Wameumbuka wachambuzi ukwala,hata huyu mzee za dani,naye kaumbuka.hongera sana Eng.umenikumbusha mbali sana,Magu aliwaumbua wazungu pia
@amaniomar175514 күн бұрын
Acha Tz iitwe Bongo kuna maana kubwa sana ndani ya hilo jina...
@awetumtengera114714 күн бұрын
Za ndaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii tajiri mo ameshamsaini azizi k Leo Husemi tena, punguzeni kuongea vitu ambavyo hamna uhakika.
@johnmshuta513314 күн бұрын
Momo Amna mchambuzi hapo za ndani akuna kitu 😃😃😃😃😃
@anithawidambe754314 күн бұрын
AZIZIKI ALISHASAINI ZAMANI YANGA CY LEO
@elicktilia443014 күн бұрын
Uwalisia kabisa sports yetu imekuwa yamoto blaaa nice all media📺📺📺 tz
@jumamchewa324614 күн бұрын
Wakudele ulisema azizi anaenda upande wa pili ila Leo unabalikabadilika unasema SABABU ya shemelaa
@kalebphilip342614 күн бұрын
Ukiona mchezaj anang'ang'ania Tanzania ujue ni mchezaji wa kawaida mno,mm Aziz ki namwona sawa tu na akina mzamiru na umri alionao akienda ulaya anakuwa houseboy tu sio mchezaj mpira
@thadeusmarkiminja228214 күн бұрын
Tunajua lazima mtoke majumbani mkatafute mkate yaani msosi.punguzeni un mbea kwa kweli.kilichiniudhi mm ed ingilia maisha ya huyo binti Mara mjamzito ....nk wapi wanao enjoy umbea huu hayo ni yao
@DarliotonTumaini14 күн бұрын
Mhuuuuu😂😂😂😂 pasi katoa mobetto
@juliusjkalela916414 күн бұрын
Ety ana mahusiano achen uongo
@MeshakiShija-mz5mw14 күн бұрын
Wachambuzi uchwara injinia Hersi saivi anawacheki anawasogeza na anawamwaga mwaaaaa endeleeni kushadadia mipango ya klabu ya yanga mtajioona mpaka akili hamna
@vaxminja905314 күн бұрын
Huyo mzee wa Kudere ndio muongo namba moja, alidanganya kuwa Mo ameshatia mzigo.
@kakamau038414 күн бұрын
Ila kwenye App ni ukweli mtupu mimi ni jana tu nimeishusha kisa Azizi leo anaongea 😂😂😂
@MeshakiShija-mz5mw14 күн бұрын
Na wee Edo mpuuzi sana
@ElidaMsigwa-nz2ts14 күн бұрын
Acheni kujadiri mapenzi ya watu yenu yanajdiriwa wapi
@hassannickson765414 күн бұрын
Hivi wachambuzi wetu Ttz Nini mda mwengine huyu za ndaniii alishasema Aziz ANAONDOKA sasa imekuwaje Tena hapo eee
@salimusafuko859414 күн бұрын
Nyie wasaf mnafeli kila mnachozungumza anaewafatilia ni mgeni labda mmechezeshwa na hersi mkaingia mkenge kuhubir Mambo msioyajua ovyoo nendeni shule
@user-iz3hs8jl5p14 күн бұрын
yanga baba lao
@ManzabaySalim14 күн бұрын
Mafala watupu waandishi momo s ulisema mo dewji anamchukua