#EXCLUSIVE

  Рет қаралды 69,997

Wasafi Media

Wasafi Media

2 жыл бұрын

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 228
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 2 жыл бұрын
Mmmmmmh ndoa ndoano..Mungu ni mwema ,utapata mume sahihi kipenzi. Hongera sana ,unajua kuongea kwa interview mami..hongera sana....so much potential right there boo🙌🙌🤗💫😇
@victorsanga2229
@victorsanga2229 2 жыл бұрын
Wanawake wa Dar ni shida kwa kweli, hata ufanye kitu gani, siku mkiachana, watakuchambua kwa mabaya tu mpaka uchoke. Hatari sana kwa kweli!
@seifsungura6936
@seifsungura6936 2 жыл бұрын
Kwani Wewe na huyo mumeo mnaendana?? Washenzi wakubwa mmekutana... yaani mmeachana ndo Leo unamuongelea vibaya hivyo mumeo...fala Sana wewe mdada...kwani huwezi kunyamaza na kusonga mbele.....
@petronilamtei7470
@petronilamtei7470 2 жыл бұрын
mbona umemtukana sasa ukiwa kwenye reality unasema uhalisia
@husseinkazigo6189
@husseinkazigo6189 2 жыл бұрын
Anatafta bwana huy
@rahmazahor4333
@rahmazahor4333 2 жыл бұрын
H baba maneno mengi ya bure Hata kitunguu.....pole dada
@zainabnassoro1109
@zainabnassoro1109 2 жыл бұрын
Mshenzi sana 😆😆😆😆😆
@elizabethmkude9452
@elizabethmkude9452 2 жыл бұрын
Bora hamonise kalitua zigo zito
@salwasuleiman3525
@salwasuleiman3525 2 жыл бұрын
@@elizabethmkude9452 usinichekeshe nimecheka
@missmoona4497
@missmoona4497 2 жыл бұрын
Chawa kama chawa🤣🤣🤣handundu handandaa apeche alolo🤣🤣🤣🤣nina mashaka na zile nyumba anazo semaga anamilik', kuna ukakas hapa na mkanganyiko🤣🤣🤣🤣🤣
@olivemwamengonakilimombeya6951
@olivemwamengonakilimombeya6951 Жыл бұрын
Kumbuka kuna upande wa pili
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 2 жыл бұрын
H.bababaaaaaaaa kumbe ZIRO kabisaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂pole mwanamke mwenzangu umejitaidi kumvumilia mie nisingeweza
@rahmazahor4333
@rahmazahor4333 2 жыл бұрын
Kunywa soda Dada konde boy atalipa.....
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 2 жыл бұрын
Shoga kweli ulikurupuka, pole Sana.
@jcrackcrack1669
@jcrackcrack1669 2 жыл бұрын
Wonderful,umeongea true,kila mtu hayuko kamili hata yeye
@smarty1064
@smarty1064 2 жыл бұрын
Mimi huwa nasafiri sana, kwa kweli huwa sibebi kitunguu wala nyanya wala machungwa, Dar kuna kila kitu we tuma pesa watanunua wenyewe, uanze kuhangaika na mavitunguu mabarabarani huko, mara umeweka sijui kwenye buti ya gari...ah! kila mtu na mtazamo wake
@esterdaffi4538
@esterdaffi4538 Жыл бұрын
Mechek xana
@bonnysure8706
@bonnysure8706 2 жыл бұрын
Diva angalia mawigi mengine yanatutisha sis watazamaji kwakweli
@zenadaudzena2849
@zenadaudzena2849 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@saladaniel9274
@saladaniel9274 2 жыл бұрын
😋😋😋😂🙌
@agnesjohn2571
@agnesjohn2571 2 жыл бұрын
😂😂😂
@mariamkaaya939
@mariamkaaya939 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@salomemchewa5187
@salomemchewa5187 2 жыл бұрын
Limbukeni. Wa Kingereza., mnachosha, watu wanaishi ulaya, na tunapiga kiswahili
@caindunke8526
@caindunke8526 2 жыл бұрын
Diva na Mganga wako na nyie ni same Calibre!? 😀
@janeschurmanns7364
@janeschurmanns7364 2 жыл бұрын
🙊😅😅😅
@fesalchambuso8023
@fesalchambuso8023 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 2 жыл бұрын
yes yule si sheikh asingemuacha huyo mke akae kichwa wazi
@andrewkilave3532
@andrewkilave3532 2 жыл бұрын
wewe diva ni mnafiki sana eti wewe na h baba ni vitu viwili tofauti nyoo wewe unayajua ya ndani kwao
@ruqayaruqaya4283
@ruqayaruqaya4283 2 жыл бұрын
Ni chiz linajifanya lajua sanaaa kila kitu
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 жыл бұрын
Tena chizi sio kdg sana tu wakati yeye ndo mchaguaji wanaume adi aje mwenye pesa ndo amuoe mahali yake bei M.50 sasa kaolewa na Mganga wa kienyeji sasa shubaamiti zake
@asmetkevtz
@asmetkevtz 2 жыл бұрын
hiki si kipindi cha malavi davi we ni mshamba wawap
@andrewkilave3532
@andrewkilave3532 2 жыл бұрын
@@asmetkevtz wewe ndio mshamba kwahiyo kama kipindi cha malavidadi ndio amwambie kuwa huyo na Mwanamke na h baba ni vitu viwili tofauti? Je walivyopendana kwanini asingemwambia kuwa wako tofauti. Leo hii wewe uitwe kwenye hicho kipindi uambiwe wewe na mpenzi wako ni vitu viwili tofauti utajisikiaje
@asmetkevtz
@asmetkevtz 2 жыл бұрын
@@andrewkilave3532 kama umelitambua hilo ungemwambia kipindi wanaanza mahusiano kuwa badae diva atakwambia wewe na h baba ni vitu viwili tofauti!!
@wardamunguakuzidishew9399
@wardamunguakuzidishew9399 2 жыл бұрын
Diva mbaya
@pillyolsen8377
@pillyolsen8377 2 жыл бұрын
Kweli diva ni mbaya💪🏿
@magrethpeter1918
@magrethpeter1918 2 жыл бұрын
Mzazzi mwenzio. Usimseme my
@neemaglow8077
@neemaglow8077 2 жыл бұрын
Pole mama hakuna mahusiano/ndoa bila changamoto
@serafinamalecela4728
@serafinamalecela4728 2 жыл бұрын
Diva the bawseeee anakasura kabayaaaa
@azaransari7307
@azaransari7307 Жыл бұрын
Nywele na miwani mimi ananischaga hoi anajifanyaga mtoto wa kishua ila mavazi yake miwani na minywelr yake kama Shumileta
@michaellagwen8198
@michaellagwen8198 2 жыл бұрын
Huyu Dada ana roho ngumu sana
@abelfrancis8437
@abelfrancis8437 Жыл бұрын
Sana
@marymoyo46
@marymoyo46 2 жыл бұрын
Duh! Miezi mitatu hata kitunguu🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
@whimsymaverick3057
@whimsymaverick3057 2 жыл бұрын
Huyu binti naye alikuwa mcharuko mitaani usiombe
@gressjoseph5615
@gressjoseph5615 2 жыл бұрын
Hap bint ni yup au me ndo con
@kimodoog4656
@kimodoog4656 2 жыл бұрын
Ukiwaona kweny tv wapole wanajifanya watu kumbe nyoko ona Sasa alivo tulia jmn Kam mtu
@kiba_bishoo
@kiba_bishoo 2 жыл бұрын
Na anajiona star na wakat anatembelea starlet namba A
@seiflugendo5043
@seiflugendo5043 2 жыл бұрын
Anaonekana2
@omaribazanga7967
@omaribazanga7967 2 жыл бұрын
@@kiba_bishoo hivi starlet bado zipo
@eppiemodest
@eppiemodest Жыл бұрын
Mbona H. Baba hana shida. Mbona hata wewe Diva umeolewa na Ustazi bila hata mahari wala kumfanyia utafiti. Bora Flora ana mda mrefu. H. Baba ni handsome sana na ni tajiri hana njaa. Basi tu ilitokejea hata kurudiana mnaweza kurudiana. Mbona Diva hata wewe inasemekana wewe unamlea Ostazi sawa tu na Flora. Bora Flora kazaa nae lakini wewe Diva hata mmoja huna. Unashangaa nini.
@jeyshillyjack4470
@jeyshillyjack4470 2 жыл бұрын
We Acha H Baba ako Sawa hata mi namzimia from 254
@leticiamapunda3324
@leticiamapunda3324 2 жыл бұрын
Wanaume wa saivi wengi wao wanapenda sana mserereko pole wangu
@mariamrajabu1015
@mariamrajabu1015 2 жыл бұрын
Jamani
@mwambarock2562
@mwambarock2562 2 жыл бұрын
Sawa sawa ...ndo H baba huyo.....au tufanye ana danganya tu au bas....😏😏😏alikuwa ana kuja na kakitungu kadogo ...🙆🙆🙆
@thetrends472
@thetrends472 2 жыл бұрын
hii miwani ya DIVA utafikiri mzinga wa nyuki 😂😂😂
@deborajohn7285
@deborajohn7285 2 жыл бұрын
Jamani acha nicheke TU🤣🤣🤣na Kila siku miwan yaan mm naona asipovaa miwan anapendeza zaid
@kimodoog4656
@kimodoog4656 2 жыл бұрын
Nakanajikuta San
@leyla-uu5ke
@leyla-uu5ke 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@jenifaally9620
@jenifaally9620 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@sarahwawuda5164
@sarahwawuda5164 2 жыл бұрын
Duuu🤣🤣🤣🤣🤣
@nostresslyly5454
@nostresslyly5454 2 жыл бұрын
Wanaume wenye kelekele kama H baba kwakudumiya ni shida pôle dada umekuwa umeangukiya kwenye kobo la mukocho
@olivemwamengonakilimombeya6951
@olivemwamengonakilimombeya6951 Жыл бұрын
Don't judge love
@kimcash3079
@kimcash3079 2 жыл бұрын
Wewe diva nae wapo different hata ww na huyo shekhe wako je
@user-pr8pv2du2x
@user-pr8pv2du2x 2 жыл бұрын
Nikweli lakini anayaona ya mwenzio
@israeleliah7163
@israeleliah7163 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@morogorodoll397
@morogorodoll397 2 жыл бұрын
Wasiofanya majukumu yao siku izi ni wengi sana na tumewachoka Sasa kilA kitu unafanya mwanamke na akija anapaka tu siagi kwenye mkate sijui hata wa a shida gani
@filibetamahindi3021
@filibetamahindi3021 Жыл бұрын
Wigi la diva mh
@pillyolsen8377
@pillyolsen8377 2 жыл бұрын
Diva kujishauwa kote kila siku wigi Hilo Hilo wigi lenyewe feki sio orijino🥱🤥🤑🤮
@ruqayaruqaya4283
@ruqayaruqaya4283 2 жыл бұрын
Na cjui halimuwashi 🤗
@fatmamansour676
@fatmamansour676 2 жыл бұрын
@@ruqayaruqaya4283 😂😂😂mi naona hata hali haki kwa kitana kulinyoosha
@ruqayaruqaya4283
@ruqayaruqaya4283 2 жыл бұрын
@@fatmamansour676 🤣
@deograsmbilinyi1214
@deograsmbilinyi1214 2 жыл бұрын
Diva kawa mweusi
@parisnyange2986
@parisnyange2986 2 жыл бұрын
Kweli bhana hata Mimi nimeliona Hilo kafifia flani hivii
@maryandason1815
@maryandason1815 2 жыл бұрын
Kaolewa na sheee Sasa nais alkuwa anajitaid anga'ae il apendwe Sasa keshapata kishoiyaa wake.mybe anamwambia aache crimu.
@jackiemuthami7418
@jackiemuthami7418 2 жыл бұрын
Pesa za cream zimeisha,chezea mganga tapeli wewe
@louiskalenga5745
@louiskalenga5745 2 жыл бұрын
KWANI WE DIVA USHAOLEWA MARA NGAPI NA UKAACHIKA. KWAN KUNA ALIYE KUULIZIA MASWALI. PIA WANAWAKE IFIKE SEHEM MUJITAMBUE MTU UMEOANA NAYE MUMEACHANA MIAKA HUKO . PIA WATOT MNAO BADO UNAKAA KWENYE RADIO KUMZUNGUMZIA MWENZIO MABAYA
@gloryjohn1746
@gloryjohn1746 2 жыл бұрын
yan we diva tangu uolew nayule jamaa hata wigi huchani sjui kwann lakn duh au bas
@alexismona8242
@alexismona8242 2 жыл бұрын
Alakini we mubaa huwezi kuwa na h baba Tena urinenepa mpaka basi ukazeheka ni chuja tu ikakuweka mujini kidogo karangi kakaja
@halimamohammed4108
@halimamohammed4108 2 жыл бұрын
Kwani yy sio mwanaume acheni kuliza maswali diva ww ilikuaje kuolewa na mganga wakienyeji
@abelfrancis8437
@abelfrancis8437 Жыл бұрын
Diva muchonganishi
@ummylahlove3418
@ummylahlove3418 2 жыл бұрын
Nyumbu uyo alikua habebi ata nyanya jmn😂😂😂
@aishambise6529
@aishambise6529 2 жыл бұрын
Diva imekuwaje tena n huyo mganga wako Kama vile hauna furaha
@calvinhuruma43
@calvinhuruma43 2 жыл бұрын
Mganga wpi tapeli yule namfaham vzr alitaka kumbaka pacha wangu pindi anfanya kazi kwake Yan huyo mkaka malaya jamn kheri ya mondi afu muongo San mpenda sifa yan amna mtu pale
@aminaalabri4170
@aminaalabri4170 2 жыл бұрын
🙄🙄
@fatmamansour676
@fatmamansour676 2 жыл бұрын
@@calvinhuruma43 hio sifa anaonesha kuwa anapenda kujionesha uwezo hana
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 2 жыл бұрын
@@calvinhuruma43 uyo mdogo wako nae alikuwa mganga
@calvinhuruma43
@calvinhuruma43 2 жыл бұрын
@@maloomaalmnsj5111 cy mganga lkn ukweli ni kwamb huyo c mwanaum wa kuolewa na yeyote Yan pacha angu alitoroka sa3 Yan ni tapeli San huyo kak
@Basagamp4
@Basagamp4 2 жыл бұрын
Hutakiwi Kumvua Nguo Mumeo....Huo ni Upuuuuuzi
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 2 жыл бұрын
hana adabu huyu hasaa
@Basagamp4
@Basagamp4 2 жыл бұрын
@@nadyasalim7956 Insha'Allah
@Basagamp4
@Basagamp4 2 жыл бұрын
@@nadyasalim7956 I like it 👌
@ramamwakazy961
@ramamwakazy961 2 жыл бұрын
Kwan anauzuri gani mpka hawezi kuolewa na h wacheni kujimwamba fai
@sabrinasabrina8395
@sabrinasabrina8395 Жыл бұрын
Acha uongo wewe mmekaa kwneye mahusiano miaka mingi na mlikuwa mnapendana Tena sana lol wanawake sii mungu atatulaaani
@abelfrancis8437
@abelfrancis8437 Жыл бұрын
Yani jamn
@seiflugendo5043
@seiflugendo5043 2 жыл бұрын
Mahojiano ya namnahii yanakuaga ni yakinafiki na ukuda
@dixminderjngao1056
@dixminderjngao1056 2 жыл бұрын
yan we diva ni fala sana umamuuliza mwenzio et ilikuwaje mpk ukaolewa na. H-Baba kwamba siyo mwanaume we mwanaume ako shoga mbn watu hawashangai acha kukosoa uumbaji wa Mungu
@olivemwamengonakilimombeya6951
@olivemwamengonakilimombeya6951 Жыл бұрын
Fikiria sana kabla huja drop messages
@MyName-wd8cp
@MyName-wd8cp 2 жыл бұрын
Wanawake Wana mifuko miwili, wa nyuma na wambele, I mean that.. ukimfanyia mabaya huwa anaweka mfuko wa mbele, na ukimfanyia mema huwa anaweka mfuko wa nyuma. Hii inapelekea mkikoseana padogo anatazama mbele nakuona yale mabaya tu! Ili pale mtapo achana ndipo anageuka nyuma nakukuta yale mazuri yote, na hawezi kushukuria kwako Wala kwawatu, maana haita mfanya kuwa huru tena. Ila wanaume wana mfuko mmoja tu wa mbele, Yani huyaweka mema na mabaya sehemu moja, ndo maana yakitokea makosa, bas akitazama anaona yote mema na mabaya kwa wakati mmoja, na hapo huchambua kwa kina ulilo mkosea kwa Sasa na mema yaliopo. Allah atujaalie tupate wanawake wema, na wanaume wema🤲
@brunomirambi8792
@brunomirambi8792 2 жыл бұрын
MY NAME HII AKILI YAKO KUBWA HUJAPEWA HATA KATIBU KIONGOZ WA CCM WILAYA??? HII AKILI YA CHUO KIKUU KABISA R.I.P MAGUFULI KWA MAJIBU HAYA TU TAYARI D.C UNAKUHUSU NAKUOMBEA ILA NA MIMI USINISAHAU
@allyfleva9507
@allyfleva9507 2 жыл бұрын
Nikweli
@jacksonnduna4419
@jacksonnduna4419 2 жыл бұрын
Umenifurahisha sana tena umeukosha moyo wangu vilivyo uliposema wanawake wanafuko mbele na nyuma yaani kwaufupi ulivyodadavua, you have nailed it!
@ameenaameena1224
@ameenaameena1224 Жыл бұрын
@@brunomirambi8792 jamani wewe😂😂😂😂😂kapata cheo tayar
@salamanauthar480
@salamanauthar480 Жыл бұрын
aamin yarrabi🤲
@simonsweka7305
@simonsweka7305 2 жыл бұрын
Aloo na wigi hbaba KWA uso
@akimuwaziri4089
@akimuwaziri4089 2 жыл бұрын
Kwann nyie wanawake hatamungu hakuwaamin? Yesu alichagua wanafunz 12. Kwann hakuchagua hatamwanamke 1 ? Aliwafahamu kua niwasenge tu
@fauzishabani2622
@fauzishabani2622 2 жыл бұрын
True
@iranangole7007
@iranangole7007 2 жыл бұрын
Kiufup ukingia kwnye Ndoa shetan achez mbal Ila mkizin shetan Ana Enjoy Sana Ila Ndoa hata wa2 wabaya pia ilojambo linaitaji Dua sana
@happiness.focus.8023
@happiness.focus.8023 2 жыл бұрын
Umeongea vizur San,Ni kwel kabsa an
@sululuzungu9587
@sululuzungu9587 2 жыл бұрын
Daa we demu unahoji mbaya kinoma yn ten unavojiona hpo km vile bioss 🙌
@omanphone3455
@omanphone3455 2 жыл бұрын
Nyie Huyu ndo diva au machoyang mmmmh anamimba
@herself7545
@herself7545 2 жыл бұрын
Diva mganga anakuchakazaaaa😀
@serafinamalecela4728
@serafinamalecela4728 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣mizagamuoooooo
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 Жыл бұрын
Manywele ya diva du na hao mahair duu
@zenaa8217
@zenaa8217 2 жыл бұрын
ongeni kiswahili nakingereza chakungaunga
@kelvinimunishi3334
@kelvinimunishi3334 Жыл бұрын
Chawa huyoo ana kity😂😂😂😂
@thomasmtauka1175
@thomasmtauka1175 Жыл бұрын
Sasa kwenye mahojiano kama hayo chagueni lugha Moja,kama ni kiingereza ama kiswahili acheni dharau
@Tarzan_cat
@Tarzan_cat 2 жыл бұрын
Wanawake 🥱🥱
@mamacaroline6046
@mamacaroline6046 2 жыл бұрын
Diva na mume wako mbona kama kasi imepungua vile !
@zayanazayana5353
@zayanazayana5353 2 жыл бұрын
Kashaona pesa zke zinatoka haziingii😁
@mamacaroline6046
@mamacaroline6046 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@mariamakungwa5391
@mariamakungwa5391 2 жыл бұрын
Kiki mbaya Sana
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 9 ай бұрын
Hatawewe diva na abdul nijua namwezi wasema yawenzio yako je
@simongadiel866
@simongadiel866 2 жыл бұрын
Uyu dada kumbe ni smart....!!anaongea vzr
@vanessarobyn4584
@vanessarobyn4584 2 жыл бұрын
Kweli nimeamini wanawake tunabeba mabaya tu mazuri tunaweka pembeni yaani alipofulia tu basi mbaya si wewe ulisema anahudumia leo ahudumii kisa tu sasa walau kapata mbaya flora wifi yangu jamani ndio kunichambia kaka hvyo🤣🤣🤣🙌🙌
@dadaagnes4483
@dadaagnes4483 2 жыл бұрын
Tena haipendezi kuanika manaya yake wakati alikuwa mume wake wa ndoa na wana watoto hata kama wameachana sijapenda kwakweli
@paschaziaignas6984
@paschaziaignas6984 2 жыл бұрын
Diva na ww na hyo miwan yako kama mchomelea mageti
@whimsymaverick3057
@whimsymaverick3057 2 жыл бұрын
😆😆😆😆😆
@hassanmatano7423
@hassanmatano7423 2 жыл бұрын
😁
@nancyg8664
@nancyg8664 2 жыл бұрын
Aloo😂😂😂
@Unity6663
@Unity6663 2 жыл бұрын
Kwani uko na chuki na Diva nn 😂😂😂😂
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 halafu leo yuko tofauti au macho yangu?😉
@bonnysure8706
@bonnysure8706 2 жыл бұрын
Kumbe jamaa Hana kitu alafu alikua anamtusi Mondi na yule mpuuzi Harmonize
@ashuramhando5285
@ashuramhando5285 2 жыл бұрын
H b Leo umepatikana kujisif tu oooo wasukuna tunatunza kumbe Zero 🤣🤣🤣🤣🤣
@fatmamsiliwa8485
@fatmamsiliwa8485 2 жыл бұрын
Diva mawigi yake style moja halaf miwan haukupendez kabisa ,nani kakudhawish uvae ivo,yan hayo mawig kama kimambi
@serafinamalecela4728
@serafinamalecela4728 2 жыл бұрын
Hata akiwa nyumbani anavaaaaaa maiwangu sijui anamakengezaaa
@JayJay-kd7zs
@JayJay-kd7zs 2 жыл бұрын
H baba choko mtemi
@jacksongidion5170
@jacksongidion5170 2 жыл бұрын
7
@kingcopper_tz
@kingcopper_tz 2 жыл бұрын
He is a father of your kids, you don't have to talk sh!+ about him
@luizabahati5198
@luizabahati5198 2 жыл бұрын
Imagine...she is stupid..and this will be listened to their kids then what next...surely...hana busara wala hekima kabisa
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Жыл бұрын
Alikurupuka ya nyoko hadi kubadili dini ikaja ndoa akaja mtoto wa kwanza akafata wa pili na kuishi wote bado kukurupuka tu ?! Mshenzi tu ww Bora ukae kimya tu
@najuf8021
@najuf8021 2 жыл бұрын
Hii kuolewa bila kujua tabia yamwanaume nitatizo sana
@theresiamartin3008
@theresiamartin3008 2 жыл бұрын
Ur so cute flora
@mariamakungwa5391
@mariamakungwa5391 2 жыл бұрын
Walikuwa wanatutambia Leo anamsema haji na kitunguu khaaaa
@billduke6700
@billduke6700 2 жыл бұрын
Nikiwa staa sitak unihoji una maswali ya ki.....
@esterkimath1214
@esterkimath1214 2 жыл бұрын
Jamani hayo mawigi yamechakaa...kipindi kinakaa ovyo..
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 жыл бұрын
Kanenepa
@georgesikazwe5914
@georgesikazwe5914 2 жыл бұрын
Wanwake bhn hiv kukubali t kwamba mlipendana unashindwa yan dizain km.unamkataa hiv h baba...mpumbv ww acha ujinga hyo alikua mume wako ila h baba angejib kuhus madahaif yako mngemuona mbaya...
@sarahmichael7538
@sarahmichael7538 2 жыл бұрын
Diva punguza kuvaa miwigi, Na H, baba mkome humornize
@zayanazayana5353
@zayanazayana5353 2 жыл бұрын
Dah 😀 akirudi kw mkewe habebi hata bibo na ndani mna watu wake huo ni unyama
@divinebernard1047
@divinebernard1047 2 жыл бұрын
Inamaana ww diva umeendana na mganga?
@dinyoabeli9028
@dinyoabeli9028 2 жыл бұрын
Mwanaume unasafir miezi miwili au mitatu hubebi hata ktunguu😂hapo tu acha kwanza nicheke😂😂
@bamsnames149
@bamsnames149 2 жыл бұрын
H B UMETUANGUSHA CHAWA WEWE
@stellamwitta8119
@stellamwitta8119 Жыл бұрын
Ndoa ndoa ngumu
@jacobmenganyi8941
@jacobmenganyi8941 2 жыл бұрын
Uyu diva mchochez Sana hajui bado hao ni wazaz mbona anamtia ubaya mzaz mwenzake Kuna wana habari inatakiwa wauwawe ambao hawana weledi
@fatmamansour676
@fatmamansour676 2 жыл бұрын
Adiva mchochezi kweli
@jacobmenganyi8941
@jacobmenganyi8941 2 жыл бұрын
@@fatmamansour676 afu Ni mwanamke hastahili kuzungumza icho afu Ni issue sensitive family matters
@fatmamansour676
@fatmamansour676 2 жыл бұрын
@@jacobmenganyi8941 hutokea kumsikiliza mahojiano yake mengi ya uchochezi
@vailettarimo4545
@vailettarimo4545 2 жыл бұрын
Diva ilo wigi tumelichuka
@nizarurassa6480
@nizarurassa6480 2 жыл бұрын
Sasa abebe vitunguu vya nini wakati vimejaa masokoni huku,hivi mmelogwa na nani yani mtu akitoka mkoani ati lazima aje na vifurushi we sema hatoi matumizi tujue hivo.Mtaishia kuchezewa na kuachwa Kwa style zenu mbovu.
@boyochu1308
@boyochu1308 2 жыл бұрын
Kuimba kupokezana,,, usiseme ukamaliza
@serafinamalecela4728
@serafinamalecela4728 2 жыл бұрын
Diva wewe na abdulrazak mnaendaaanaa kwani?
@jumasoli7818
@jumasoli7818 2 жыл бұрын
Ww diva mh Kama hmpendi h baba c ww mbona hivyo🤫
@aysherkitoi5507
@aysherkitoi5507 2 жыл бұрын
H baba c kasema hana ndugu kwa babake na mamake yupo peke yke
@stevenibrahimu326
@stevenibrahimu326 Жыл бұрын
diva you are not perfect unauliza mambo ya kupuzi sana.. unavunga unajua kingereza frola she is the best than you for talking rightly.
@mwasamiladldm7557
@mwasamiladldm7557 2 жыл бұрын
Ushuzi mtupuuu,wote ni ushuzi.
@danielmtanda1223
@danielmtanda1223 2 жыл бұрын
😅😅😅
@aysherkitoi5507
@aysherkitoi5507 2 жыл бұрын
Lile jumba alikuwa analipa nani acha Kiki florah au kakutumia kubust albam yake ya duku duku🤔🤔
@deborangura2712
@deborangura2712 2 жыл бұрын
😅Liliwashinda ..m.1 kwa mwez Kodi..kwa Kaz gn😂mchanaaa wakayeyaaa
@epaphrakahema1006
@epaphrakahema1006 Жыл бұрын
Na wewe. Kwani lazima ujianike. Kwendraaa. Mama lataria. You were stresed kumbe
@zahratahmad7990
@zahratahmad7990 2 жыл бұрын
Kwani huyu na Keisha ni ndugu?
@Aaron-nu7dv
@Aaron-nu7dv 2 жыл бұрын
ongeeeni kiswahili kilichoonyoka kima nyieee...
@arafamahadhi7141
@arafamahadhi7141 2 жыл бұрын
Dah jmn urembo kweli lkn mwish w sk tunwz kuwa km chokaa 🤣🤣🤣
@sadalahsadalah6661
@sadalahsadalah6661 2 жыл бұрын
Mkundu unakuwasha huyu aje kwa vijana uku wamsungue
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 2 жыл бұрын
Ukisema umebadilisha dini iyo ilikuwa mistake..muombe Allah msamaa Islam ndo dini ya haki napenda wakristo wangesoma uwislam kwanza b4 ya kuingia ili ukiingia ujue.waone wazungu wakislim tayari wanakiwa washajua
@sarahmashauri9102
@sarahmashauri9102 2 жыл бұрын
Mmmhhh mungu akusamehe
@emanueljohn5643
@emanueljohn5643 2 жыл бұрын
We nawe
@tittoskeysproject1967
@tittoskeysproject1967 2 жыл бұрын
Ila akina Haji akili zao wanazijua WENYEWE 😂😂😂
@shankokarlobigiz2897
@shankokarlobigiz2897 2 жыл бұрын
Mungu wa kweli hayupo kweny din bana
@janeschurmanns7364
@janeschurmanns7364 2 жыл бұрын
We acha hizo usilete udini hapa kwani imeandikwa wapi uisilam ndio dini sahihi kwendraaaaaaa
@asiliyetuonlinetv5063
@asiliyetuonlinetv5063 2 жыл бұрын
Diva na wigi lako kama vibanda vya coco beech unaboa sana wewe mbona na mganga wako vile vile hamuendani!!
@user-pr8pv2du2x
@user-pr8pv2du2x 2 жыл бұрын
Hahahaha 😂😂😂 mbio za sakafun huishia ukingoni watu wanapenda sana kutoa mambo yao mitandaon
@hanifaomar7438
@hanifaomar7438 2 жыл бұрын
Anajifanya anajua kuongea kumbe Hana lolote
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 2 жыл бұрын
Sasa ww diva unamwambia mwenzio walikua hawaendi na H baba ww mbona Umeolewa na mganga acha unafiki kwa wenzio sio vizuli
@neemaglow8077
@neemaglow8077 2 жыл бұрын
Mganga 😂😂
@mishwanwanmish8803
@mishwanwanmish8803 2 жыл бұрын
Kwaiyo wewe na uyo mganga mwaendana nyoko we
@badenbensoni7516
@badenbensoni7516 2 жыл бұрын
Zumaridi aliyechangamka
@bigbossmanbossman6946
@bigbossmanbossman6946 2 жыл бұрын
Siafadhali aliolewa na H Baba wewe umeolewa na mganga ulifikiria nini 🤣🤣🤣
@capteinchuimchafu7894
@capteinchuimchafu7894 2 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁😁
ТАМАЕВ УНИЧТОЖИЛ CLS ВЕНГАЛБИ! Конфликт с Ахмедом?!
25:37
HOW DID HE WIN? 😱
00:33
Topper Guild
Рет қаралды 43 МЛН
Happy 4th of July 😂
00:12
Pink Shirt Girl
Рет қаралды 61 МЛН
The Story Book : Tukifa Tunazaliwa Upya ! REINCARNATION
29:47
Wasafi Media
Рет қаралды 412 М.
H.BABA NATACHA WAFANYA KUFURU AIRPORT #BUJUMBURA
1:11
H BABA
Рет қаралды 1,1 М.
Vuta N'Kuvute (Tug of War) (2021) Trailer
1:46
Kijiweni Productions
Рет қаралды 43 М.
Хотела обмануть робота, но попала
0:58
Почему?
Рет қаралды 8 МЛН
마시멜로우로 체감되는 요즘 물가
0:20
진영민yeongmin
Рет қаралды 22 МЛН
GIANT alligator was caught in line while eating a smaller gator 😯 || Jacob Landry
0:10
Jacob Landry (swamp People)
Рет қаралды 17 МЛН