INAUMIZA : H BABA ASIMULIA FLORA MVUNGI ALIVYOMSALITI HADI KUPEWA MIMBA NA MWANAMME MWINGINE

  Рет қаралды 42,449

Wasafi Media

Wasafi Media

Жыл бұрын

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 104
@filskischannel9737
@filskischannel9737 Жыл бұрын
Naipenda Sana sauti yako Diva , amazing voice, it's called sauti ya mwanamuke mrembo😍. So sweet 😘
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Nzuri sn
@subirajohn728
@subirajohn728 Жыл бұрын
Sana!
@bujashidaniel5537
@bujashidaniel5537 Жыл бұрын
I like ds instrumental ya lavidav ,big up wasaf
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
Kwendraaaaaa mwanaume hakosi sababu,ni muongo,hata kwanza hafanani na hayo anayoeleza,ni stori tu izo
@paulmushi2428
@paulmushi2428 Жыл бұрын
Ee pole sana dada yetu inaonekana una maumivu ya kutendwa!! Mtu anaeleza masaibu yake wewe unajuaje kama ni uongo? Ulikuwepo?
@zayanazayana5353
@zayanazayana5353 Жыл бұрын
Alishaaema ulikuwa ukitoka Mwanza unarudi na sparms zko tu humletei hata fungu la Kitunguu ameshtuka mapema km kujenga alijua ni yako na yy anatafuta chke
@abelfrancis8437
@abelfrancis8437 Жыл бұрын
Samahani lakn umeolewa
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Akirudi katika dini yake ndoa haipo mana hakukubaliki ndoa ya dini tofauti
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
Sasa mwanaume huna mstakabali wa maisha unategemea nini??mume sio cheti kijana,jipange,
@abelfrancis8437
@abelfrancis8437 Жыл бұрын
Samahani lakn ulishaolewa
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free Жыл бұрын
Pole H Baba
@pastashadrack8637
@pastashadrack8637 Жыл бұрын
Pole
@rogerioathumani9084
@rogerioathumani9084 Жыл бұрын
Pole sana bro leo atakujua tu
@Officalnaph
@Officalnaph Жыл бұрын
SIO WEWE TU NDIO UMEACHANA NA MKE, NI WENGI TUMEACHANA NA WAKE ZETU ILA HATUWEZI KUWEKA MADHAIFU YA NDANI MBELE ZA WATU NI MAKOSA, UNAMKOSEA MWANAMKE NA SIO JAMBO ZURI KWA SABABU MWANAMKE ANAPASWA KUPEWA HESHIMA YAKE WAKATI WOWOTE UWE NAYE NA USIWE NAYE. ACHA UPIMBI
@afandebrighttz2887
@afandebrighttz2887 Жыл бұрын
H baba pole
@mathanikibuti6676
@mathanikibuti6676 Жыл бұрын
TATIZO BRO ANATUPANGA SANA,SASA UWO UJENZI ULIENDA KUJENGA WAPI MPAKA FLORA ANAANZA MAHUSIANO MAPYA WE UJUI.
@ngowibeatrice1701
@ngowibeatrice1701 Жыл бұрын
Safi
@Nikita_8017
@Nikita_8017 Жыл бұрын
This is one side of story , we need to hear side story of Flora
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Alishagaongea
@salummussa9871
@salummussa9871 Жыл бұрын
Mkome kuwabadilisha watu dini kisa mapenzi ,,na si kukiamini mnachoamini nyinyi
@gasperkyanda9508
@gasperkyanda9508 Жыл бұрын
Hamkuwa na future nyinyi hata hivyo mmechelewa kuachana
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 Жыл бұрын
,,😆😳
@christinaonditi9341
@christinaonditi9341 Жыл бұрын
Umeongea ujinga hujui maana ya ndoa,Yani ulipopewa tu umbea ndio hapo hapo kwenye umbea ukaamini kila kitu na hata home hukurudi.unamwamini anaekupa umbea badala ya !umpa mke nafasi ya kujieleza na wewe kufanya uchunguzi🙄,nimekushangaa sana na nilikua nakuona safi kumbe hakuna kitu hapo
@zuenampandeni3347
@zuenampandeni3347 Жыл бұрын
Ila kuna kitu kaepusha, kuliko kuchunguza san na kumfumania mtu unaweza kusababisha mauaji, bora mda mwingine ujiepushe
@nicholauskilosa5336
@nicholauskilosa5336 Жыл бұрын
Frola alisema ulikua huna kitu hata nyanya na vitunguu vilikua vinakushinda kununua, alikua anakulisha ndio maana alikuchoka!
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Жыл бұрын
Mmhh mbona kipindi analishwa hakuwahi kuchokwa?! Na vipi uyo mwanaume Mwingine nae akikosa pesa atamuacha?!! Ndoa sio lele Mama ndoa ni uvumilivu
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
@@ashurajengela3926 sawa sawa wasanii ni wapiga pesa hawaoleki mke mume akikosa anakimbia mke gani
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 Жыл бұрын
@@sabihaibrahim143 yani namm ndo nimebaki nashangaa kama watu wote wangekua wanawakimbia Waune zao kipindi hawana kitu basi talaka zingekua nyingi sana
@quentinsylvia3877
@quentinsylvia3877 Жыл бұрын
Ndoa hakuna hapo.pia unayo haki ya kuchukua wanao ...kakuacha yeye hapo pole sana
@drmussa1220
@drmussa1220 Жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/jpqHqM6ls7CpnGQ.html Dawa Ya kufarakanisha..*#*#*# kzfaq.info/get/bejne/jpqHqM6ls7CpnGQ.html
@aminaamiri7684
@aminaamiri7684 Жыл бұрын
Astaghafirullah laadhim....una sijda waswal umesuka nywele ,,,,una udhalilisha uislam shame on u
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Mtihani hata aibu Hana kama dem.
@coolvoices6608
@coolvoices6608 Жыл бұрын
Mbona unamshambulia huyo tu si nadhani watanzania asimilia 80 ya waimbaji ni waislam. Leeni watoto katika maadili ya dini. Ubaya wa bongo mnapenda igiza sana
@abdallaabdulrahman8319
@abdallaabdulrahman8319 Жыл бұрын
Hata hivyo namsifu kua bado anamuabudu Mungu kwa kusali
@omaryhajji1393
@omaryhajji1393 Жыл бұрын
@@abdallaabdulrahman8319 mashaallah nimependa comment yako kaka
@Mamatonny2065
@Mamatonny2065 Жыл бұрын
Muoe huyo unaezungumza nae hapo. Mwanaume gani wewe Una maneno mengi hovyo!.
@abelfrancis8437
@abelfrancis8437 Жыл бұрын
Nakupenda bule niwanawake hao hawachelew kutupiga kitukizito
@salmameshack4502
@salmameshack4502 Жыл бұрын
Hili hivyo cjawahi lielewa geu geu ongea sn fyuuuuu
@anitajacob3641
@anitajacob3641 Жыл бұрын
Mh!
@meshakinelisoni1176
@meshakinelisoni1176 Жыл бұрын
.safi sana
@meshakinelisoni1176
@meshakinelisoni1176 Жыл бұрын
.frola ulipiga mwingi ajakupiga na banzi la mgongo
@dostovan5142
@dostovan5142 Жыл бұрын
Wanaume wachambaji si wasapot hata kidogo
@binmakka8693
@binmakka8693 Жыл бұрын
*Hapa mwenye makosa ni ww mwanamume wacha kumpa makosa mwanamke na uwache kutufunza dini ww mkumbavu*
@annamduma4009
@annamduma4009 Жыл бұрын
Weee kwenda wa pare atupendi kupotezewa time na wasukuma
@goodluckmsoka3660
@goodluckmsoka3660 Жыл бұрын
Kuwa mkweli
@jackyluns8224
@jackyluns8224 Жыл бұрын
Huo upare wako ndo umtukane kabila lake huna haya dinfi wew
@africa7479
@africa7479 Жыл бұрын
wapareee tupooooo
@maryamsaid3297
@maryamsaid3297 Жыл бұрын
Hanakaba kabisa
@mubarakhassan2618
@mubarakhassan2618 Жыл бұрын
Grami ya bongo h ashawahi kuyicukua
@kaayamariam673
@kaayamariam673 Жыл бұрын
Mwanaume kutowa Siri za fmly wanaume Kama mabint
@salummussa9871
@salummussa9871 Жыл бұрын
Unamzungumzia dini huku umesuka nywele si Bora kwenda kanisani kuliko kusuka nywele mwanaume
@fedmiradaf3141
@fedmiradaf3141 Жыл бұрын
Kwahyo umeambiwa mwanaume akisuka ndo anaweza kwenda kanisani Acha dharau na dini za watu
@kemosabe27
@kemosabe27 Жыл бұрын
scrotum ww
@remigiusrwechungula7047
@remigiusrwechungula7047 Жыл бұрын
Ndoa na Dini🤔
@ibrashani8012
@ibrashani8012 Жыл бұрын
Sasa ji2 lipo kama choko unafikili mwanamke gani anatak chizi kama hilii
@mdimistudio6041
@mdimistudio6041 Жыл бұрын
Wanawake sio powaah kama ijawahi kukutokea kaa kimyaaa
@zuenampandeni3347
@zuenampandeni3347 Жыл бұрын
hata wanaume kifuupi kusalitiwa ni kubaya
@costardeogratias7784
@costardeogratias7784 Жыл бұрын
Na alivyosuka Kama katoto kangu kakike hahahhahaha Kama nimekosea niite mbwa nimekaa pale
@subirachuta8169
@subirachuta8169 Жыл бұрын
Flora alikuwa anapenda pesa sana na wewe ulikuwa umefulia na ndio maana akakuchit!! Na ata huyo aliyenaye sasa aombe sana asije akafulia atakimbiwa mchana kweupeeee.
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Uislam wako upowapi..? Ndiyo tatizo LA kuabadilidini sababu ya mwanaume nasi kwaajili ya Kutaka haki matokeo yake mkigombanatu naww mwenyewe unauislam WA kisela mtihani
@Kbaya86
@Kbaya86 Жыл бұрын
Jiangalie umbea mwanamume ndio maana akakusaliti
@ebengapierre8826
@ebengapierre8826 10 ай бұрын
sio ivyo bwana wanawake wanasaliti ata matajiri tajiri naye anakosa Nini mwanamuke
@gamalielialoni5538
@gamalielialoni5538 Жыл бұрын
Kwan kanisan kuna nin
@puregamers4215
@puregamers4215 Жыл бұрын
Hakuna cha maàna kanisan Yesu hakuwahi kusali kanisani kabisa kama una ushahidi leta
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Ukidumu mpaka ukafamkiristo motoni. Kwahiyo Kuna moto
@elizaeliza4369
@elizaeliza4369 Жыл бұрын
huyu ni muongo, huwezi kusikia taarifa kwa watu na ukachukua maamuzi ya kumuacha wewe ni mwehu kama wehu wengine kwanza wanaume wa aina kama yako hawawezi kutunza familia😏😏
@rosemarymunyi5035
@rosemarymunyi5035 Жыл бұрын
Kweli kabisa he's
@shyllahnekesa216
@shyllahnekesa216 Жыл бұрын
Huwa sikuamini
@ilovejesus666
@ilovejesus666 Жыл бұрын
KWELI APO NIMEKUELEWA MZEE UWEZI KUWAPELEKA WATOTO KANISANI WAKATI SIO WAKRISTO IYO ATA MIMI NINGEMAIND
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 Жыл бұрын
Mara nyingi hii inatokana kama Baba hufanyi majukumu yako. Yaani nikuzalie hela hutoi watoto nitunze bado unataka wakufuate.
@mwlpierre
@mwlpierre Жыл бұрын
Sasa watoto wanajua nini halafu unapoongea masuala ya Imani jaribuni kuongea kwa hekima maana wakristo niwavumilivu sio waoga maana huwa kuna namna fulani hivi ya ubaguzi
@zuenampandeni3347
@zuenampandeni3347 Жыл бұрын
unaakili san
@ilovejesus666
@ilovejesus666 Жыл бұрын
@@mwlpierre kumbe hujui kitu wew
@ilovejesus666
@ilovejesus666 Жыл бұрын
PELEKENI watoto wenu msikitini kama mnaona ni sawa kama na nyie hamtaumia
@johnnytravo
@johnnytravo Жыл бұрын
Kina mama wanastahili pongezi kubwa sana kzfaq.info/get/bejne/n7-anM2Xu5O9gqs.html
@maryamsaid3297
@maryamsaid3297 Жыл бұрын
Anaongeasanahuyu nahisi anaviashilia vyakikehuyu
@henryfaraji1527
@henryfaraji1527 Жыл бұрын
Ni sawa manake wewe umebabaika kwa wanaume wenzako bibi aliona dume bure hovyo senge
@husnamusa3178
@husnamusa3178 Жыл бұрын
😃😃😃😃😃😃🤣🤣🤣🤣
@doughtywanjaonditi5390
@doughtywanjaonditi5390 Жыл бұрын
Utafanya interview ukimaliza urudi kuziangalia utajipata mjinga sana si mke wko c harmo c ray ata kama unatafuta ugali wako umezidi
@abouayman8713
@abouayman8713 Жыл бұрын
sa hii umeolewa na bw ake zuchu
@Ndawoo
@Ndawoo Жыл бұрын
kwaiyo kanisa sio dini,acheni za hovyo ase
@puregamers4215
@puregamers4215 Жыл бұрын
Ukristo sio sina ya haki. Ni mpango wa kina Paulo tu
@zuenampandeni3347
@zuenampandeni3347 Жыл бұрын
ww hujielewi
@mbeguclassic3387
@mbeguclassic3387 Жыл бұрын
Mwenyewe umesuka ndio uslam hiyo acha ufala wewe
@ngamanyajoshua839
@ngamanyajoshua839 Жыл бұрын
Kwahiyo huo ndio muonekano wa Kiislam Sio?fala sana hili jamaa
@nsanyarasheeed8693
@nsanyarasheeed8693 Жыл бұрын
Muonekano wa kiislamu ukoje ww mbona mnaifanya dini kuwa ngumu dunia ni tofauti kwa sasa
@ngamanyajoshua839
@ngamanyajoshua839 Жыл бұрын
@@nsanyarasheeed8693 Ndio iko hivyo hivyo..nilisahau tu kumbe waislam huwa tunaingia misikitini tumevaa hereni na tumesuka nywele...nisamehe mzee..nilisahau tu..halafu kumbe inabidi dini ibadilike Kwa sababu Dunia imekuwa tofauti eeh...safi sana
@puregamers4215
@puregamers4215 Жыл бұрын
Hapana huo sio muonekano wa kiislam ila yeye ni mwislam tena asie fata misingi na taratibu katika mwonekano wake mavazi na kusuka nywele. Ila ni mwislam tunamwombea abadilike
@brivany9810
@brivany9810 Жыл бұрын
grammy😆😆😆
@babamarry6350
@babamarry6350 Жыл бұрын
Aibu ya taifa 😃
@beatricesonga3468
@beatricesonga3468 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@achimosaide3355
@achimosaide3355 Жыл бұрын
😂😂😂
@nyamizishaban8815
@nyamizishaban8815 Жыл бұрын
Anavyo ongea utadhani mtu!!! Mtu awezi kukuacha hivi hivi wewe
@griffinschire9695
@griffinschire9695 Жыл бұрын
Acha kuongea ...mm yamenikuta tRNA makubwa...sio wanaume wote wabaya.....mm nimmjengea mwanamke nyumba Ila shukrani nikulala na wanaume kwenye iyo nyumba mpka kufikia kupewa mimba.........sasa ivi ameona aibu kakimbia kwenye nyumba kaenda kwa mzazi Wake... Mimba Ina miezi minne.....sasa anaomba msamaha eti nishetani..
@jackyluns8224
@jackyluns8224 Жыл бұрын
@@griffinschire9695 jamani,daaah pole GRIFFINS wengine tunatafuta wengine wanachezea bahati pole sana aisee dash naiman utapata
@nyamizishaban8815
@nyamizishaban8815 Жыл бұрын
Namimi nimeongea kulingana na niliyoyaona sijakurupuka!!! Pole kwa yaliyokukuta
@rosejoely4518
@rosejoely4518 Жыл бұрын
Pole
@drmussa1220
@drmussa1220 Жыл бұрын
kzfaq.info/get/bejne/jpqHqM6ls7CpnGQ.html Dawa Ya kufarakanisha..*#*#*# kzfaq.info/get/bejne/jpqHqM6ls7CpnGQ.html
3M❤️ #thankyou #shorts
00:16
ウエスP -Mr Uekusa- Wes-P
Рет қаралды 12 МЛН
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 44 МЛН
Children deceived dad #comedy
00:19
yuzvikii_family
Рет қаралды 8 МЛН
The day of the sea 🌊 🤣❤️ #demariki
00:22
Demariki
Рет қаралды 103 МЛН
H-BABA AMEFUNGUKA MAPYA KUACHANA NA MKEWE/ ALIZAA NJE YA NDOA
4:58
Mpaka Home MAISHA YA RAYVANNY NA JUMBA LEKE LA KIFAHARI UTAPENDA
10:32
Мама хитрая😂​⁠​⁠@ladymilanapap4610
0:16
МишАня
Рет қаралды 2 МЛН
One Two Buckle My Shoes ! #spongebobexe #shorts
0:17
ANA Craft
Рет қаралды 22 МЛН
Cunning GUYS 🤣
0:15
dednahype
Рет қаралды 4,1 МЛН