KIMEUMANA! MENEJA WA TANROAD ASHINDWA KUMPA MAJIBU MAKONDA, ATAKA KUSAIDIWA "UMELIPWA MSHAHARA?"

  Рет қаралды 145,805

Wasafi Media

Wasafi Media

5 ай бұрын

KIMEUMANA! MENEJA WA TANROAD ASHINDWA KUMPA MAJIBU MAKONDA, ATAKA KUSAIDIWA "UMELIPWA MSHAHARA?"
www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 425
@George-jz3jg
@George-jz3jg 5 ай бұрын
Makonda nilikuelewa sana ukiwa mkuu wa mkoa lakini sasa ukiwa mwenezi na kwa kazi hii kubwa unayoifanya imenifanya nikuelewe vizuri zaidi
@user-ml2bt4nx4o
@user-ml2bt4nx4o 5 ай бұрын
Ahsante Sana mwenezi wenye Nia mbaya nawe washindwe katika jina yesu mungu akubariki Sana.
@SaidHassan-wz1px
@SaidHassan-wz1px 5 ай бұрын
Allah akuhifadhi Kaka makonda nakupenda sana kuna watu majinga sana hao
@asnathlaizer4603
@asnathlaizer4603 5 ай бұрын
Naona roho ya magufuli kwa makonda Mungu akulinde wasikuue
@user-ty6oz1gl8q
@user-ty6oz1gl8q 5 ай бұрын
Aise mwacheni mungu aitwe mungu tunakushukulu sana Allah kutuletea huyu kiumbe aliye kubali kuvaa kiatu cha mpendwa wetu magufuli Allah ampumzishe maali pema peponi nahuyu makonda Allah tunaomba utulindie ❤❤❤❤❤❤❤❤amin
@omaryramdhani9823
@omaryramdhani9823 5 ай бұрын
Sema mpendwa wako sisi tunae MH RAISI MAMA SAMIA MSIKIVU SULUHU MSULUHISHAJI AU MTENGENEZAJI HASANI MWEMA PIA NI KIONGOZI NA SI MTAWALA KAMA LILEEEEEEE NIMELISAHAU JINA LAKE
@sabinamachange6040
@sabinamachange6040 5 ай бұрын
Makonda umegundua Nini katika ziara zako???? Ni kuwa Ccm haitakiwi kabisa kutawala Tena matatizo na uonevu Kila Kona ya Tanzania 😢😅​@@omaryramdhani9823
@user-ut3gf1tg2n
@user-ut3gf1tg2n 5 ай бұрын
We acha uchoko mtoto wa kiume ​@@omaryramdhani9823
@sundaystanley5322
@sundaystanley5322 5 ай бұрын
Kwani wewe umelazimishwa kumpenda,ndiyo mimi pia namkubali makonda
@user-co2ed6dj6p
@user-co2ed6dj6p 5 ай бұрын
​@@omaryramdhani9823unaonekana na ww umepigwa na kitu kizito mbwa ww
@user-ob8yz1dv8h
@user-ob8yz1dv8h 5 ай бұрын
Kaka makonda kwa kweli unatujali. Allah Akuhifadhi.
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 5 ай бұрын
Makonda 😂😂 "eti we mzee una ndugu wizara ya fedha? "
@antonydamian8906
@antonydamian8906 5 ай бұрын
Kaka makonda hongera kwa kufanya kazi kwa uaminifu mkubwa 2025 kura zote chukua
@kingallydj2667
@kingallydj2667 5 ай бұрын
Hongera makonda Sasa umekuwa uncle magufulii mtetezi wakwelii ubarikiwe
@thabitdaudi9815
@thabitdaudi9815 5 ай бұрын
Makonda kamfunika had magufuli. Apewe nch tu kama vp
@talents7934
@talents7934 5 ай бұрын
​@@thabitdaudi9815kamfunikaje usiwe unasifu kupitiliza
@BABAGIFTBOY
@BABAGIFTBOY 5 ай бұрын
Weee aki naeza Cheka mpaka mbavu ziume yaani jamaa hataki uruke swali lake ata moja ... Genius
@verajohn3457
@verajohn3457 5 ай бұрын
Kazi nzuri Mwenezi, Mungu aendelee kukutunza,nakupenda sana Makonda,Njoo na huku Mwanza,tuna mengi, asante sana Mama Samia,huyu anatufaa sana
@rosesilio9008
@rosesilio9008 Ай бұрын
Makonda nakuomba uwe unakula chakula unachopikiwa na mpishi wako mwenyewe,, na microphone uwe nayo ya kwako,, kila kitu usipewe ovyo ovyo big up sana mkuuu we ndo rais wetu baba🙏🔥 we ndo pacha wake na mh marehem magufuli 🙏🔥🔥❤❤
@ProudB719
@ProudB719 Ай бұрын
Hapo nakuunga mkono 100% Hata chakula cha mpishi asile maana anaweza kula rushwa . Mke wake ndie ampikie. Ajitahidi kabisa.
@HamsiHusna-nf3vg
@HamsiHusna-nf3vg 5 ай бұрын
Ila makonda mungu akilipe na akutie nguvu kiukweli anafanya kaz nzuri sana mambo mengi yamejificha
@doiabel3793
@doiabel3793 5 ай бұрын
Huyu ndo makonda tuliye kuwa tunampenda toka akiwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam
@chachajulius4481
@chachajulius4481 5 ай бұрын
Kweli kabisa
@user-vt8yq7xv1q
@user-vt8yq7xv1q 5 ай бұрын
Makonda respect 😅😅
@meshack3266
@meshack3266 5 ай бұрын
Mtoto wa mama Kizimkazi uyoooo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Zuu673
@Zuu673 5 ай бұрын
Mungu akuweke mbali na husda baba magu yuko na amani huko aliko
@murattywamuratty9778
@murattywamuratty9778 5 ай бұрын
2016 Rais alikuwa nani kwani?
@sanaanimaisha4072
@sanaanimaisha4072 5 ай бұрын
Hakika kubwa
@user-wx1pq7gh6d
@user-wx1pq7gh6d 5 ай бұрын
@@murattywamuratty9778magufuli
@dannywillson5874
@dannywillson5874 5 ай бұрын
Kaz za connection hiz mtoto wa mjomba kaaa hapa😂😂😂😂
@tabyabelemwenebenga2311
@tabyabelemwenebenga2311 5 ай бұрын
We jama madako yako 😊😂😂😂😂😂😂😂
@aminashayo9263
@aminashayo9263 5 ай бұрын
Mheshimiwa Makonda huko mikoani usikubali kuvalishwa migolole wala chochote cha kimila wasije wakakukabidhi kwa miungu mingine si unajua Yesu hachangamani na miungu mingine asije akakaa pembeni akakuacha, chonde chonde Komredi wa CCM
@yusuphmsuya8336
@yusuphmsuya8336 5 ай бұрын
Hongera sana dada unasali wapi
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 5 ай бұрын
Umeona eee na Mimi nilimwambia
@mtatapharaoh5174
@mtatapharaoh5174 5 ай бұрын
ACHA imani za kikoloni wewe muafrica uliopotea, kwahiyo yesu mweupe mzungu ndo unaona wakuabudiwa, nani aliwaletea dini,, umesahau walikuja wakawapa biblia na Quraani kisha wakachulua ardhi yenye rutuba,... UNASAHAU kwanini jina lako ni AMINA ni jina la kiarabu na nikwasababu watanzania walitaaliwa na waarabu na ndio maana ukanda wa pwani wengi ni waislamu na .. utawala wa jerumani na waingereza ulikuwa nyanda za kusidi, kaskazini na ndio maana waislam wengi maeneo hayoo.. JILA LAKO la mwisho ndo jina la kujivunia MISS shayyo, jina la kimila , la kiafrica.. acha kudharau muingu yetu ya kiafrica, hakuna tofauti kati ya MUHAMMAD(mungu wa warabu) & YESU (Mungu wa wazungu ) na miungu yetu ya waafrica.. ni imani tu,, swali kabda MISSIONARI HAWAJAJA TANZANIA NA africa ulikuwa unaamini nini?
@mtatapharaoh5174
@mtatapharaoh5174 5 ай бұрын
​@@yusuphmsuya8336 akili zenye matandu ya kikoloni ..
@gfvh7282
@gfvh7282 5 ай бұрын
Kwni yesu ni mungu wawapi ?😅😅
@user-tv7yx8nt5k
@user-tv7yx8nt5k 5 ай бұрын
Uyo ni meneja kivuli atolewe. Maana anababaika tu hapo mtu anapokea mshahara kutoka serikalini na hajui kazi yake ni nini . Ndugu MH. Makonda hao ndio wakutazamwa sana wananchi wanalia wao wanajaza vitambi .😢😢
@ssalimsalim3864
@ssalimsalim3864 5 ай бұрын
Ukiwakuta ofisini ukiingia kwenye anga zao wanakua jeuri na mitumbo yao ila wakiwekwa corner hua wanajikojolea pamoja na kigugumizi "damn"!!!
@naturelle1097
@naturelle1097 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@user-co2ed6dj6p
@user-co2ed6dj6p 5 ай бұрын
Kwakweliii
@tobosha3236
@tobosha3236 5 ай бұрын
Mwezi wa kwanza hoyeeeee😂😂😂😂😂 makonda Mungu akulinde wasije kupulizia sumu
@user-co2ed6dj6p
@user-co2ed6dj6p 5 ай бұрын
Duh kwakweli mungu amlinde sana
@kabibijohn2939
@kabibijohn2939 5 ай бұрын
Wew ni mwamba mzee ❤❤❤❤❤
@UKWELI-TV
@UKWELI-TV 5 ай бұрын
Huyu mzee itakua ana pressure ndio shida kinacho fuata anajaribu kucontrol pressure yake
@humphreydagaa-ds3nj
@humphreydagaa-ds3nj 5 ай бұрын
Kwenye Accounting, makonda position ya Forensic Auditor ingemfaa sanaa, he asking very technical questions 😁😁
@DorosellaBuchwa
@DorosellaBuchwa 5 ай бұрын
Kumbe,ccm..ninzurihivi!!!mungu akubariki makonda
@jesaminzo
@jesaminzo 5 ай бұрын
Uzuri wake upo wapi sasa? Huoni hapo Makonda anajijenga mwenyewe binafsi?
@talents7934
@talents7934 5 ай бұрын
​@@jesaminzokama anajijenga na wewe jiunde JEALOUS PPO NVER WIN😢
@user-co2ed6dj6p
@user-co2ed6dj6p 5 ай бұрын
​@@jesaminzonendagaa uko anajijenga binafsi ulitaka awabebe viongozi au kwendraaa
@EmmanuelMoses-pb1zh
@EmmanuelMoses-pb1zh 5 ай бұрын
Hapo umezinguaaa boss​@@jesaminzo
@humphreybilly7437
@humphreybilly7437 5 ай бұрын
Mimi nilivunjiwa Salon yangu na nilikuwa nimewekeza pesa nyingi mpka sasa ni hasara na atuna pakulalamika.
@sangajaffar7419
@sangajaffar7419 5 ай бұрын
HAPO MAKONDA UMEONGEA KIUME
@HusseinKibega
@HusseinKibega 5 ай бұрын
Good mh makonda njoo uku Kenya 🇰🇪 jamani mbona uku 🇰🇪hawazaliwi viongozi kama hawa?
@emakoresahili
@emakoresahili 5 ай бұрын
Nafkiri wapo hata Kenya Ila kupata nafasi kama hii ndio kazi sana that's why unaona kama hawapo
@jamesmongelwa8625
@jamesmongelwa8625 5 ай бұрын
Brother Paul you are doing well nakupongeza sana sana good job Ombi langu Mungu akuongezee hekimi na Afya umsaidie mama mbele daima nyuma mwiko big up
@lingsonKasomwa-ho1tf
@lingsonKasomwa-ho1tf 5 ай бұрын
Kazi nzuri ndugu Makonda. God bless you
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 5 ай бұрын
Makonda ame vaa viatu vya magufuli 😢 wasije waka muua😢
@ROBERT75376
@ROBERT75376 5 ай бұрын
Unaona, sasa. Aliyekua na majibu ni huyo msemaji wa pili.
@vincentauxerbius7554
@vincentauxerbius7554 5 ай бұрын
Mmh makonda ni kichwa mungu akilinde sana kichwa hiki😅😅😅
@mhagamachas8974
@mhagamachas8974 5 ай бұрын
Huyo meneja akikaguliwa lazima atakuwa ameharibu/kuchafua hali ya hewa!!! 😅😅😅
@khadija5761
@khadija5761 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@AishaTarimo
@AishaTarimo 5 ай бұрын
Safi sana makonda
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 5 ай бұрын
Ubarikiwe sana Makonda
@user-zr1yc6jr6z
@user-zr1yc6jr6z 5 ай бұрын
safiiii sana makonda mungu aendelee kukulinda 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@SelemaniNyunza
@SelemaniNyunza 5 ай бұрын
Makonda kakiwasha
@habibabarker1644
@habibabarker1644 5 ай бұрын
Tumbo limejaa dhuluma ajielewi
@piuskusenge-jf2ob
@piuskusenge-jf2ob 5 ай бұрын
😂😂😂Makonda unataua watu kwa pressure angalia na Afya za watu, Kabla huja wabana😂😂😂
@user-yh4vv7gi6n
@user-yh4vv7gi6n 5 ай бұрын
Watu wenyewe wanakula sana wachawatumbuliwe😅😅
@user-rg7tx2cc1l
@user-rg7tx2cc1l 5 ай бұрын
Uyu jamaa nomaaa🎉🎉🎉makonda❤❤❤
@NABILMOHAMMEDABDULLAH
@NABILMOHAMMEDABDULLAH 10 күн бұрын
Zaidi ya hayati mh makufuli,mh makomda hongera kwa kazi nnzuri
@user-oh6pc7zd4s
@user-oh6pc7zd4s 5 ай бұрын
MAKUFULI ALIMTELEKEZA MAKONDA LAKINI MAMA AKAMUONA ANAFAA.ASANTE MAMA SAMIA KWA KUTULETEA MAKONDA ASANTE SANAAAAA
@edwingideon3606
@edwingideon3606 5 ай бұрын
Hapana, Magufuli alikuwa anampenda sana Makonda, Magufuli alimkataza makonda kustaafu ukuu wa Mkoa, alitaka ubunge na Uwaziri, Makonda angesubiri angekua mbali sana.
@user-ym6eh5fh3k
@user-ym6eh5fh3k 5 ай бұрын
Magufuli hajamkataa makonda ila makonda aliutak ubunge alafu wananchi wakamuangusha
@sayibaba8566
@sayibaba8566 5 ай бұрын
Mh hongera kwa kazi nzuri ya kuwahudumia wananchi..nilikua na ushauri kidogo hawa viongozi wa taasisi wakati mwingine wanakua hawana majibu ya papo kwa papo na maswali mengine yanakua juu ya uwezo wao ndiyo maana hata kujieleza inakua changamoto wanajikanyaga..kama pesa zimetumwa toka wizarani kwaajili ya hiyo kazi ya kulipa fiidia ni dhahiri ingekua imefanyika hivyo..Tunawapa tention wananchi kwa kuona wakuu wa taasisi hawawajibiki lkn sivyo..
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 5 ай бұрын
Ingekuwa wewe ungeweza subiri miaka saba hujalipwa fidia?????hao viongizi wanafanya kazi gani???????
@dismasmgaya5114
@dismasmgaya5114 5 ай бұрын
Meneja Mkoa ndo mlipaji? Si amruhusu Naibu ajibu? Meneja kashamaliza kazi yake ya tathimini....Walipaji sio wao
@dismasmgaya5114
@dismasmgaya5114 5 ай бұрын
Hapo sijaona kosa la Meneja zaidi alitaka kumdhalilisha tu Meneja lakini hana kosa lolote
@habibabarker1644
@habibabarker1644 5 ай бұрын
Leooo utakoma kudhulumu aibu
@obednyagani506
@obednyagani506 4 ай бұрын
Tunakusubiri kibaigwa kongwa kwa ndugai madudu kibao karibu mwenezi nahama chadema ukija mungu akubariki
@johnbwire8301
@johnbwire8301 5 ай бұрын
Mweshimiwa mwenyezi😂😂 mtasema vizuri
@edisonpeter3894
@edisonpeter3894 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@tabyabelemwenebenga2311
@tabyabelemwenebenga2311 5 ай бұрын
We jama madako yako 😂😂😂😂😂
@guyasidotto1198
@guyasidotto1198 5 ай бұрын
Huyo Meneja wa TANROAD Yuko sahihi amesema wametumwa watu wanaotakiwa kulipwa fidia wizarani kwahiyo suala la pesa Ni la wizara kuleta ndo maana Meneja anasema alijibie naibu Wazir ni lini watalipwa maake ndo wanaleta hela Makonda umemng'ang'ania tu mzee wa watu jamani😂😂😂😂
@hajihassan5433
@hajihassan5433 5 ай бұрын
Kosa lake Meneja anajichanganya alitakiwa asimamie alichoamini na aseme Wizara ndio inahusika na Malipo.
@guyasidotto1198
@guyasidotto1198 5 ай бұрын
@@hajihassan5433 Meneja Yuko sawa maake swali hapo je Ni lini mtawalipa Sasa anashindwa kutamka maake hela haziko kwenye akaunt ya Mkoa ndo maana anataka ampe naibu Wazir ajibu lakn Mwenezi anamkatalia atamke yeye ungekuwa wewe ungefanyaje?ndo maana anajichanganya😆😆😆😆😆
@user-yj5yp7js5f
@user-yj5yp7js5f 5 ай бұрын
Hakika mama samia anajua vyombo vya kazi asante makonda
@gideonmwalusamba6861
@gideonmwalusamba6861 Ай бұрын
Brother l respect u unakula mshahara kihalali sn me nadhani uongezewe
@elipidhugotesha1909
@elipidhugotesha1909 5 ай бұрын
Nashauri kuhoji hao viongoz kuwa na utaratibu ili msiwauwe na presha huyo ni Eng mtamuuwa mpaka unamchanganya
@festokemibala5832
@festokemibala5832 5 ай бұрын
Kama walivyomuua Mkurenzi wa Jiji miaka hiyo pale darajni Kigamboni eti wanamtumbua! Haya ni mazingaombwe, kwani wenye dhamana hawapo kiasi cha kutoa takwimu kwa mtu asiyehusika?
@user-hj6my7sz8h
@user-hj6my7sz8h 5 ай бұрын
Hii nchi kunawatu wanaajiriwa hawajuii hata wanafanya nn
@user-ti8xr5sd7h
@user-ti8xr5sd7h 5 ай бұрын
Uwanacheka Sanaaaaa nkiona bos wangu kakutana nabos wake
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 5 ай бұрын
😂inafurahisha hatareee
@user-xc6wt1lf6u
@user-xc6wt1lf6u 5 ай бұрын
Makonda Kabla Ya Kuwahoji Kuwa Na Doctor Anawapima pressure... Bila ivyo Ipo Siku Atakufa Mtu 😅😅
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 5 ай бұрын
😂😂😂
@jamesmwita2995
@jamesmwita2995 5 ай бұрын
Kabisa,,, maana sio kwa moto huo😂😂😂
@maryamsulyman9426
@maryamsulyman9426 5 ай бұрын
😀😀😀aibu aona mimi wallah
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 5 ай бұрын
Wafe tu hivi miaka sn watu hawajalipwa jmn this is not fair
@tabyabelemwenebenga2311
@tabyabelemwenebenga2311 5 ай бұрын
We jama madako yako 😂😂😂😂
@user-wf7dp3ni5p
@user-wf7dp3ni5p 5 ай бұрын
Kaka makonda mungu akubaruki Kwa kufanya kazi nzuri sana kunamajitu yapo tyu kudhulumu watyu tu
@huldamichael4445
@huldamichael4445 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂mwezi wa kwanza😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Makondaaaaaaaaaaa
@fatumamilimo7336
@fatumamilimo7336 5 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@erickabel6201
@erickabel6201 5 ай бұрын
Duuh makonda ni atareee 🔥♣️♥️
@kassimmuktarymurji4242
@kassimmuktarymurji4242 4 ай бұрын
Makonda unawakati mgumu kusimamia haki unatengeneza maadui kibao,na watu unaowapambania wanyonge,un oganise,hawa wala rushwa wamejipanga,sana piga kazi chama chetu kinataka haki na haki tutatoa CCM
@user-dd8oc6yw9n
@user-dd8oc6yw9n 5 ай бұрын
Asante kaka❤️❤️
@isacklaurent8948
@isacklaurent8948 5 ай бұрын
mimi na2wambiaga vijana wenzangu chama sio hovyo watendaji ndo wanakuaga wa hovyooo
@joshuamtindya8683
@joshuamtindya8683 5 ай бұрын
Huyo jamaa alipata kazi kwa njia ya connection 😅
@IssackLeonardBakekela
@IssackLeonardBakekela 5 ай бұрын
😮 wow mbona makonda anafuata nyayo za jpm🤔 maana mahojiano ni hapo kwa hapo kiasi kwamba ananikumbusha kipenzi chetu❤
@AllyGibu-cz2vo
@AllyGibu-cz2vo 5 ай бұрын
Makonda ni jembe
@user-fs6lp3op1x
@user-fs6lp3op1x 5 ай бұрын
Songwe kinabaridii lakn kaswet kama yupo daaa ahahahaa
@josephmaina1748
@josephmaina1748 4 ай бұрын
Hongera watazani hiyo dio jia mwafaka yawanaishi mwedele hivyo hivyo
@kimchi-91
@kimchi-91 5 ай бұрын
Aiseee kazi za serikali hizi nikudhalilishana kila siku bora uwe mjasiriamali kuliko kudhalilisha huku.
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 5 ай бұрын
Hudumia wananchi kwa nafasi ulionayo.co kutesa wananchi. Unajua maana ya UHURU
@ernestkija6428
@ernestkija6428 5 ай бұрын
Mmh mengine magumu kuyaelezea
@mercyassy5469
@mercyassy5469 5 ай бұрын
😂😂😂january oyeeeee
@FunnyCamping-sf7yq
@FunnyCamping-sf7yq 5 ай бұрын
Kura yangu chukua mda wa mungu ukifika
@RobertChacha-hb9re
@RobertChacha-hb9re 5 ай бұрын
Tuna baadhi viongozi miyeyusho kweli
@ndabarinzesamuel9333
@ndabarinzesamuel9333 5 ай бұрын
Bwana Makonda Mwenyezi Mungu akubariki kwa maswali unayouliza huyo tapeli anayedhulumu Mali za wanainchi.
@Charleslsk
@Charleslsk 5 ай бұрын
Your our next president makonda wile love you so much❤❤❤❤❤❤❤
@user-xm5hg9oy4b
@user-xm5hg9oy4b 5 ай бұрын
Makonda viva
@asiamwanukuzi5085
@asiamwanukuzi5085 5 ай бұрын
Makonda kaka mwenyezi mungu akubariki sana piga kazi baba
@charlesurio3395
@charlesurio3395 5 ай бұрын
Jimbo la Meru hukupitia mwenezi kuna udanganyifu unyanyasaji wa kupindukia
@FunnyCamping-sf7yq
@FunnyCamping-sf7yq 5 ай бұрын
Njooo na meru mkuu
@jacksongidione-yo8vg
@jacksongidione-yo8vg 5 ай бұрын
😢
@user-ho8gz6yn9v
@user-ho8gz6yn9v 5 ай бұрын
Duuuu bado nakuona makonda upige sana njoo rorya.plz
@KelivinFransis
@KelivinFransis 5 ай бұрын
Mzeee ata kaa arudiye kujileta kwenye mkutanonwa makondo 😂😂😂😂😂😂
@khadija5761
@khadija5761 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@Zuu673
@Zuu673 5 ай бұрын
Dadeki makonda akuepushe na wabaya mugu still alive
@nestymushi6489
@nestymushi6489 5 ай бұрын
Huyu jamaa mbona lofa kwani Meneja wa Tanroad kosa lake linatoka wapi, ndo ulibebe hilo uende kulipeka kwa Mh raisi kwani huyo mzee anatoa pesa mfukuni mwake
@zaitunirashidi5532
@zaitunirashidi5532 5 ай бұрын
Atleast ww una akili sana ,,Kuna mijinga uko juu inaropoka sana
@jessykadaraja2691
@jessykadaraja2691 5 ай бұрын
No.. Kosa lake hafatilii miaka 8 ni mingi sana... Si ajabu pesa inatoka wanapiga
@zaitunirashidi5532
@zaitunirashidi5532 5 ай бұрын
@@jessykadaraja2691 ni kweli miaka 8 ni mingi sana,,hela ya serikali Ina mlolongo nyie,,sawa labda kunaweza kuwa ni uzembe wa kufatilia lkn tusihukum mno,,Hawa watu wa juu uko kwenye hela wana milolongo mno wakati mwngine
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g 4 ай бұрын
😂😂😂wizara ya fedha imepeleka fedha. kwenye wizara ya fedha. Duuu hii Kali 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-wk5fm4nv9h
@user-wk5fm4nv9h 2 ай бұрын
mwenyezimungu akulinde bro makonda
@EricEricsaid
@EricEricsaid Ай бұрын
Wonderful wallay
@PhilipoMwasha
@PhilipoMwasha 5 ай бұрын
Kama ningekuwa Mimi ningeacha kazi,maana hui ni udhalilishaji
@tigejuma9865
@tigejuma9865 5 ай бұрын
Hawa ilikua kiboko Yao n mafunguo yani makufuli...cc wakenya yye ñdio alikua raisi pendwa east Africa nzima ...yani dunia nzima kwa ujumla....hakutatokea Raisi shupavu na mtenda kaz kma yye....may his soul continue resting in peace...😢😢
@ashuramhandoashuramhando6798
@ashuramhandoashuramhando6798 5 ай бұрын
Mijitu ya Fisiemu inajaa mitumbo tu kwa ajili ya Dhulma Mungu atawalipia kwakila mlitendalo😭😭😭
@danielmasaga4179
@danielmasaga4179 5 ай бұрын
Mungu weeeee
@SAIDIMUKSIN-iy2op
@SAIDIMUKSIN-iy2op 5 ай бұрын
Izo hela serkalin zipo lkn au mnawanyanyasa watumishi tuu
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 5 ай бұрын
Ufwatiliaji
@evaemil856
@evaemil856 5 ай бұрын
Mmh kwa nini msitumie eneo lingine kujenga huo mradi maana wananchi wameshajiendeleza hapo. Kulipa bilioni nne na hamuoni km ni upotevu wa pesa za walipa kodi?
@AtuganileAsubisye
@AtuganileAsubisye 5 ай бұрын
Mda mwingine bora ukae kama raia tuu.so.kama.ivi
@emmanuelnnko-dv1th
@emmanuelnnko-dv1th 5 ай бұрын
Dah
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 5 ай бұрын
😅😅😅😅 Alhamdulillah
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 5 ай бұрын
Tanroad ndio zao wamepitisha grader kwa ajili ya barabara kwenye viwanja vilivyopimwa na mpaka leo bado barabara ya vumbi Dodoma ni kama km 22 toka Msamvu round about kuna barabara mkono wa kushoto inaitwa Mawasiliano / Njovu toka 2018 December mpaka leo tupu
@evaemil856
@evaemil856 5 ай бұрын
2016-2019=3 fidia ilicheleweshwa baada Ya miaka mitatu. Samia akasitisha 2021 ili tathimini ifanyike upya ili kufidia gharama za maisha kupanda.
@DAVIDLUTHA
@DAVIDLUTHA 4 ай бұрын
Safi kaka uko vizuri wakujibu
@nestymushi6489
@nestymushi6489 5 ай бұрын
Yani nikama vile watu baking kumbe ni ccm ndo inachelewesha malipo huu ni usenge, na aache kujaji mishahara ya watu
@vianeynzarami6861
@vianeynzarami6861 5 ай бұрын
Ahaaaa😢😢
@Samwelsamwel1152
@Samwelsamwel1152 5 ай бұрын
Daah mheshimiwa mwenezi ungekuwa rahisi ungeshamtumbua huyu mzee
@user-hw8jt1pq9b
@user-hw8jt1pq9b 5 ай бұрын
Mnek😂😂
@tabyabelemwenebenga2311
@tabyabelemwenebenga2311 5 ай бұрын
We jama madako yako 😂😂😂😂😂
@tinkybellah6634
@tinkybellah6634 5 ай бұрын
Weee makonda wewe!! kumbe unawawezaaaa!! Matumaini yangu baadae baada ya mama etu mpendwa Dr Samia Suruhu Hasani Mungu akujalie Rais uje kuwa wewe.
Makonda Akataa Kuomba Radhi Clouds Media Sababu Hizi Hapa
9:16
Global TV Online
Рет қаралды 176 М.
One moment can change your life ✨🔄
00:32
A4
Рет қаралды 34 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 12 МЛН
MADUDU YALIYOMNG'OA MAKONDA HAYA HAPA
8:27
Wasafi Media
Рет қаралды 82 М.
MAKONDA AWATUMBUA WATUMISHI WA JIJI LA ARUSHA WAJIKOROGA
33:34