MAKONDA AWAKA- "LIPENI HIYO Milioni 132 NDANI ya Dakika 10" SINA MUDA wa KUCHEKA, MIAKA 3 MNAJADIRI

  Рет қаралды 44,524

Wasafi Media

Wasafi Media

Ай бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 59
@AznatJonas
@AznatJonas Ай бұрын
Makonda ana spirit ya magufl
@chrismassawe2939
@chrismassawe2939 Ай бұрын
Makonda jaman MUNGU fanya muujiza baadae awe waziri mkuu
@SundayNkaza
@SundayNkaza Ай бұрын
Kama makonda anaibua madudu arusha namikoa mingine wakuu wa mikoa hawasanuki ama wanapigia pamoja ndomaana wapo kimya:
@godwineliya4686
@godwineliya4686 Ай бұрын
Waizi tu hao Piga spana Makonda
@papayikoyo741
@papayikoyo741 Ай бұрын
Kazi njema baba ang Mungu akupe neema Uzidi kuwatetea Tanzania maskini na wenye mbalmbal
@FatumaMombo
@FatumaMombo Ай бұрын
Sasa Makonda akisema watu wanasema ni maigizo tu Mimi ntaendelea kukukubali siku zote
@frankmfuse6990
@frankmfuse6990 Ай бұрын
Tatizo Kila shida inasababishwa na viongozi wenyewe ni wa chama na selikali, ni chama kizima kimeoza na ndio chanzo chakila kitu
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 27 күн бұрын
Kwa kazi ya namna hii, nimempenda Makonda !
@theresiamwandara7990
@theresiamwandara7990 Ай бұрын
Tenda za serikali ni kichefuchefu, wababa msijeua mitaji yenu mkafa vibaya. Acheni kabisa
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa Ай бұрын
Wasipooo kutaperiii unaletewaaa hiyoo kodiii mara ulikuwa hulipiii ushuruuu , na ndugu yangu amepooza kisaa tenda za serikali wenzakee ndo wameanzaa rdiii kweny system hiv karibuniii🙌🏼
@PriscaMponda
@PriscaMponda 16 күн бұрын
Raisi rais rais
@RuthMwakilembe
@RuthMwakilembe Ай бұрын
Hongera Makonda! FanyaKazi Yako Waokoe Wanyonge MUNGU Awe Nawe Daima
@egdldm4981
@egdldm4981 Ай бұрын
Tasaf imejaa wapigaji sana
@laxfordzabron4109
@laxfordzabron4109 24 күн бұрын
Nimrpenda sana makonfa
@MitchellErmina
@MitchellErmina Ай бұрын
Hiyo ndio shida inasumbua kenya eti tenda
@japhetmasunga8889
@japhetmasunga8889 Ай бұрын
kazi kaz kazi
@Cyb-TideTide
@Cyb-TideTide Ай бұрын
😊😊
@sadikingitu
@sadikingitu Ай бұрын
Huyu pia si ndiye alijenga ile shule ya OLE nini sijui na akadhulumiwa? Jamaa wameshamfanya kibonde chao aiseee, yaani anaumizwa tu.
@JohnNditi-jg2me
@JohnNditi-jg2me Ай бұрын
Yeye😢
@daslamonline4665
@daslamonline4665 Ай бұрын
Mwendo wa spana tu😅
@MeckitilidaTushabe-or9hu
@MeckitilidaTushabe-or9hu Ай бұрын
Yaaani uyu mwanamke hajielewi😢😢😮
@jumongderick-ub2if
@jumongderick-ub2if Ай бұрын
then she's laghs
@user-qg3nu1kv2n
@user-qg3nu1kv2n Ай бұрын
Huogopi kesi ya udhalilishaji wewe umemdhalilisha mwanamke mwenzio 😂😂😂
@user-qg3nu1kv2n
@user-qg3nu1kv2n Ай бұрын
Huogopi kesi ya udhalilishaji wewe umemdhalilisha mwanamke mwenzio 😂😂😂
@ndekagotfried
@ndekagotfried Ай бұрын
Wangefikia muafaka kweli au ndio unakoment tuu bila akili............sikiliza kwa makini wewe
@MashakaMagesa
@MashakaMagesa Ай бұрын
Utaanzishaje mradi bila kuwa na ela
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@mwanaidimussa
@mwanaidimussa Ай бұрын
Mradi unapagwaaa pesaa inatoka ikifikaaa wanakulaaaa hawa wendawazimu
@ndekagotfried
@ndekagotfried Ай бұрын
Jifunze kusikiliza kwa makini na kuelewa mtu hapewi hata nafasi ya kueleza vizuri ......... aliyekwambia mradi ulianza bila kuwa na hela nani.Kuna ubadhilifu ulifanyika TASaF jiji na Jambo linachunguzwa........ kwaa akili yako huyu dada angejibu nini?
@KamugishaFredi
@KamugishaFredi 25 күн бұрын
Makonda kwanni usigombee urais jaman
@HussainMaula-tz8dh
@HussainMaula-tz8dh Ай бұрын
Eeeeeeee Arusha mtanizeeeesha😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@SaidiAyubu-of8zt
@SaidiAyubu-of8zt Ай бұрын
Daaaah😂😂😂😂wezi kibao aiseee
@maryjames7438
@maryjames7438 Ай бұрын
Afu kama Kuna ukweli vile maan wametulia kama Tanzania Ina mkoa mmoja
@saidsalim851
@saidsalim851 Ай бұрын
Kihindi mkuti hapo😂😂😂😂
@user-jt7uv6vu1d
@user-jt7uv6vu1d Ай бұрын
Mwendo wa.spana tu atuchek na nyan
@user-jt7uv6vu1d
@user-jt7uv6vu1d Ай бұрын
Nimecheka san jmn
@Arsenal002
@Arsenal002 Ай бұрын
Wasafi taarifa wenzenu wameshapost siku ya tatu leo nyie ndio mnapost mpo nyuma sana
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Wanakera
@MashakaMagesa
@MashakaMagesa Ай бұрын
Nchi yetu watu Wana matatizo kibao alafu tuna viongozi hivi wanafanya kazi gani
@frankmfuse6990
@frankmfuse6990 Ай бұрын
Viongozi wa chama na selikali ndio wezi wenyewe Watu Bado katika mikutano kama hii utasikia ccm hoye
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Wasafi mko nyuma sn Habari wenzenu washapost nyie ndo mnapost
@officialhansi4462
@officialhansi4462 Ай бұрын
hapa kuna shido gani kwano 😅
@mgoledaudi7598
@mgoledaudi7598 Ай бұрын
😂😂😂
@mariambakari7010
@mariambakari7010 Ай бұрын
😂😂😂😅 ni shido kwakwelo
@user-jt7uv6vu1d
@user-jt7uv6vu1d Ай бұрын
Tupe.hela.yetu
@user-fg4yv8le8c
@user-fg4yv8le8c 2 күн бұрын
Makonda nyoosha watu
@PachaPanga
@PachaPanga 18 күн бұрын
Awe rais
@user-vj1ek5us4r
@user-vj1ek5us4r Ай бұрын
😂makonda tibu hao wataumiz wanyonge
@rahelpeniel7299
@rahelpeniel7299 15 күн бұрын
Kiboko wa wachawi
@emmanuelsunday8325
@emmanuelsunday8325 Ай бұрын
Mwanamke nikilaza huyu
@ndekagotfried
@ndekagotfried Ай бұрын
Kwaakili yako angejibu nini na Jambo lipo mahakamani .......... muwe mnafuatilia mambo sio kushabikia bila akili
@theresiamwandara7990
@theresiamwandara7990 Ай бұрын
Yani mtu anakula pesa anahamishwa, analetwa asiyejua kitu
@ndekagotfried
@ndekagotfried Ай бұрын
Duuuuuh hivi ni lzm ku comment sijui kama unaelewa unachokisema kahamishiwa wapi kwani kazi kubwaaa
@user-lucas47
@user-lucas47 Ай бұрын
Kwelii bwana walipe helaa
@jumaigoti7541
@jumaigoti7541 Ай бұрын
Samia analea wajinga
@user-ko5co3bk9f
@user-ko5co3bk9f Ай бұрын
Point🎉🎉
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Ай бұрын
Hivi huyu mratibu ana akili kweli? Yaani mchukue bidhaa mtumie mseme mradi hauna pesa? U cant be serious aiseee! Hii nchi ngumu jmn🙌
@ndekagotfried
@ndekagotfried Ай бұрын
Wewe ndio Huna akili maana unacomment bila kujua tatizo ni nini..........si kasema aliyehusika anachunguzwa na vyombo vya usalama sasa ajibu nini hapo. Think big brother
@Arsenal002
@Arsenal002 Ай бұрын
Wasafi taarifa wenzenu wameshapost siku ya tatu leo nyie ndio mnapost mpo nyuma sana
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 39 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 60 МЛН
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 26 МЛН
ВОДА В СОЛО
0:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 26 МЛН
Бушмен и бабуин. В поисках воды.
0:42
BERMUDA
Рет қаралды 11 МЛН
He understood the assignment 💯 slide with caution x2
0:20
Carlwinz_Official
Рет қаралды 28 МЛН
ВОДА В СОЛО
0:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 26 МЛН