WASANII NDIO WANATUHARIBIA MAADILI NCHI HII - SHEIKH MAZINGE

  Рет қаралды 25,686

BABDEO MILADU

BABDEO MILADU

Жыл бұрын

Kamati ya Amani na Jumuiya ya Maridhiano iliandaa Kongamano la kupinga Ushoga, Ukatili wa Kijinsia leo March 15

Пікірлер: 89
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 Жыл бұрын
Shekhe Mazinge nilikuwa na hofu usije sema Yahya mpe uyooo 20 20 MATHAYO 😅😅😅. Allah akuweke Shekhe Mazinge nakupenda Kwa ajilo ya Allah.
@hamidjuma2178
@hamidjuma2178 Жыл бұрын
Dini imekamilika inatakiwa usisitize itumikee Sheria ya Allah mungu anakuoneni mashekh masllah
@jumakhamis226
@jumakhamis226 Жыл бұрын
Jazaka Allah khaira shekh mazinge
@andrecorte3681
@andrecorte3681 Жыл бұрын
Sawa sawa mzee wangu mazinge mungu akubari na kuwamini unamsimamo .
@abdulwahidmansour5450
@abdulwahidmansour5450 Жыл бұрын
Sssafi sna sheikh MAZINGE hilo jambo ni muda mwingi natamani kulisema nilidhani hamlioni kumbe na ww umegundua...BAARAKA LLAH
@jumakhamis226
@jumakhamis226 Жыл бұрын
Safiiiiii Sanaa shekh mazinge umeongea bila uogaaaaaaaa
@RashidMohamed-j9p
@RashidMohamed-j9p 8 күн бұрын
Saf sana mazinge
@ramadhanaldawiyya8659
@ramadhanaldawiyya8659 Жыл бұрын
ALLAH MBARAK ALHBIB MAZINGE,SHEIKH ALHAD MUSSA....
@mubirirashidi
@mubirirashidi Жыл бұрын
Uko sahihi shkh Mazinge
@rbagha5280
@rbagha5280 Жыл бұрын
Thank you Sheikh Mazinge and the Christian clergy and ministers. These kinds of debates, or rather, discussions remove misconceptions. We are One Humanity under One God ( for aren't we all monotheists?) This is nopt about who is right or wrong. This is more about mature debates. We shall not hurl earth and stones on each other, for the one who hurls earth on the other, he himself sinks further down. Always maintain civility. God is the ONE going to judge us all. Let us be SINCERE, ask God to grant you the absolute TRUTH, not the truth that one is biased from the start to believe in. No bias, no favorism, no kabila, or dressings style, or color, or language one speaks. Once you remove those biases, see if you will not, for sure, a 100% surety with of course God Willing, be guided to the truth. I am a Muslim from Canada, and I love my Christian brothers and sisters. Peace be upon you all and peace be upon Jesus Christ and upon Muhammad, those sent by God the Creator. Ray, from Canada.
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Жыл бұрын
MUHESHIMIWA SHEKHE
@hamadsuleiman5177
@hamadsuleiman5177 Жыл бұрын
Perfect wasanii wa kike wanavaaa uchi sana kupindukia yaani ni kama wanyama tu...Ila pia wakiume wanavaa cheni, wanatoboa masikio na pia wanafikia kuvaaa nguo za kike...Haya hawayakemei na wanaimba mbele za mikutano yao....Allah atupe nguvu tukemee huu ujinha
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
Umesahau na wanaume nao wanavaa uchi pia.
@ahz6907
@ahz6907 Жыл бұрын
@@Fear_Allah394 na vikuku
@5amediaonline335
@5amediaonline335 Жыл бұрын
Asilimia 100000000000000000000
@FredsonHytham-dx4xk
@FredsonHytham-dx4xk Жыл бұрын
Mbona kawa. Mdogooooooo
@husseinmaula4965
@husseinmaula4965 Жыл бұрын
Nchi yenye Amani ni ile ambayo viongozi wanakaa meza moja bila kujali tofauti zao za dini siasa kabila au mtazamo tofauti wa baazi ya mambo HONGERA SANA MHESHIMIWA MAMA ETU RAISI SAMIA SULUHU HASSAN NA MUNGU AKUTANGULIE KTK KUTIMIZA MAJUKUMU YAKO YA KILA SIKU.
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Hao wazungu vipii he wanaangalia tu mutasemaje kuhusu mapenzi ya jinsia moja wametumwa mausalama Wa kimarekani hapo wana yao
@seanmurray6516
@seanmurray6516 Жыл бұрын
Nashukuru kua mumelijua hilo yakua wasanii wa nchi hii ndio maadui Llah wa Rassulu wanas ajmain
@user-jx7ot4ru7l
@user-jx7ot4ru7l 3 ай бұрын
Shehe mazinge wakikwita usende aooo serekali amani wanaichafua waooo Tanzanian ipo amani tangu nyerere hajazaliwa
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
Kabisa miziki ndo chanzo cha uovu
@swah555suhayl8
@swah555suhayl8 Жыл бұрын
Wasanii ni waharibifu mno
@seanmurray6516
@seanmurray6516 Жыл бұрын
Wasanii Tanzania hasa akina nasuba na zuchi na wachafu wenzao hao ni maadui wa Jamii zetu
@salimabdallah5304
@salimabdallah5304 Жыл бұрын
Mazinge Alha anasema maqafiri hawatarizika na nyinyi .mpaka mfate mila zao kwahiyo ww umefata mila yao ndomana uko nao hiyo amani niyao. Abbari womari alishababu mjahidina hawawezi kukaa haopo kamwe.
@swah555suhayl8
@swah555suhayl8 Жыл бұрын
Naam sheikh kwel kabisa
@nadyajaffarali7289
@nadyajaffarali7289 Жыл бұрын
Hakuna haja ya Ugomvi watoa Comment,hapa inazungumzia Amani.Kwa hio sio mbaya kukusanyika dini tofauti kujadili Amani,au Kupinga Ushoga kwasababu Dini zote hazikubaliani na Mambo haya.Umemuona Kiongozi gani nchi akawa ana mke lakini ni Mwanamme mwenzake?
@lilianmakwati5228
@lilianmakwati5228 Жыл бұрын
Haki je haisemwi
@wakizimbaniwakizimbani6596
@wakizimbaniwakizimbani6596 Жыл бұрын
Hivi kweli amani bila ya kuwepo haki amani itapatikana?kwanini hamu himizi kuwepo haki kwanza?
@joharimapunda7678
@joharimapunda7678 Жыл бұрын
Siku zote uwa nimkweli sana wewe tunakuomba uwachambuwe wanaojiita mashekhe alafu wanafanya vitu vya ovyo kama kinasharifu majini maana wanaudhalilisha uislamu unaoutangaza kwa jasho na kwa mateso muokoeni mwailopo kajisogeza sana kwa sharifu majini
@kamalmukaddam1521
@kamalmukaddam1521 Жыл бұрын
Watoto wameharibika vibaya Sana sababu ya wasanii kazi zao ku post ngono uvaaji nguo nusu uchi mapenzi nje ya ndoa wazazi wazazi hawakemei waschana kuiga sasa hatari waigizaji wadhalilisha wachezaji wakicheza nusu uchi watu kimyaa wanatazama tu hawakatazi maovu nyimbo zinahamasisha uhuni mtupu
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 Жыл бұрын
Baadhii ya Nyimbo zao Nyingi ni Matusi matupu nk ni hamasisha Zinaa na Ushoga Kwa muonekano wa Mavazi ya Nusu Uchi Kwa baadhi ya % kubwa ya Wasanii wa Kike na Mapambo ya muonekano wa Ujana Kike Kwa baadhi % kubwa ya Wasinii wa Kiume !🙆😭😭😭 Na ajabu BASATA na Serikali Kwa Ujumla wapo lakini chakushangaza nashawishika kudhani na kusema hawajibiki ipasavyo walipewa Jukumu na Mamlaka ya Kusimamia Masuala ya Sana na Maadili Nchi. Mitaani kumeharibika (kumeoza) Kwa Miziki yenye Tungo za Maneno na Video zisizo na Maadili ktk Maduka ya Kuuza CDs na Memory Cards za Video za Miziki, Tamthilia na Sinema ni Hatari tupu na mtihan Kwa kweli. Jinsi Maadili ya Jamii yanavyokithiri kumomonyolewa Kupitia baadhi ya % Sanaa za Wasanii wetu wa Miziki wa Ndani na Nje ya Nchi (Duniani) Kwa Ujumla kuadhibiwa na Mungu (Allah) Mola Muumba ni Halali na Hakiyetu kuadhibiwa Kwa Majanga na Mabalaa (Mabadiliko ya Tabia Nchi) tunajitakia Kwa kupenda Sitarehe za Dunia zisizo na Maadili Kijamii na Kiroho/Kidini. Na Wazazi na Walezi nao tunachangia Kwa kuruhusu na kupongeza Kazi Mbovu (zisizo na Maadili) zifanywazo na Watoto wetu, Kwa tamaa ya Pesa basi tunaridhia tu na hatukemei Mauvu yafanywayo na Watoto wetu na kusambaa hadharani Kupitia Sanaa zao na Muonekano wao ktk Jamii ni Mtihan hata sijui Vizazi vya Vizazi vyetu Vitakuwaje Maendeleo yao kweli watapatikana Viongozi wa Dini, Serikali, Wazazi/Walezii na Jamii Bora kama Si kuandaaliwa Kupatikana; Wazinifu, Mashoga, Mabasha, Wasagaji na watembea Uchi. Hivi tumesau na Kudharau (tunapotezea) waloadhibiwa Kabla yetu Kwa kuletewa Adhabu mbalimbali za Mungu (Allah) Mola Muumba?! Tumesahu yalowafika Ummati wa Luti/Kaumu Luti (Sodoma na Gomora) nk?! Ramadhan inakuja na wenzetu Wakristo wapo ktk Kwarezima yote hii ni ktk Kuzilea Nafsi zetu Ili tuwe Waumini wa kweli Kwa kutenda Amali zinazompendeza Mungu(Allah) Mola Muumba Kupitia Imaan/Dini Zetu lakini Cha kushangaza hata inapoingia na kupita hiyo Miezi ya lbada za Mfungo/Swaumu hatubadiliki Nafsi zetu Kimatendo tunakuwa Wanafiki Kwa kuyarejea/kuendeleza Maasi ! Sasa imefikia hata baadhi ya Viongozi wa Imaan/Dini, Wazazi, Walezi na Watendaji wa Serikali Si ajabu kuwaona na kusikia Mitaani na Mitandaoni wakiyafanya/wamefanya yasofaa ktk Jamii na yasompendeza Mola Muumba wetu?! 🙆🤫😭😭😭😭 Tujitahid kubadilika jamani tuwache na tukemee Maasi Ili tuupate Mwisho Mwema. Dunia ni Mapito na Sitarehe za Muda tu. Hivyo tukumbushane Kwa Hekma na Busara Ili tupate Rehma, Barka na Nusra za Mola Muumba wetu. Kila mmoja ni Mchunga (Mzazi/Mlezi, Baba/Mume Mama/Mke, Mtoto, Mwajiri, Mtumishi/Mfanyakazi/Mfanyabiashara/Mjasiriamali nk na Kila Mchunga ataulizwa Kwa Kile anachokichunga. Hivi tunajiamini tunao Uwezo wa kukabiliana na Adhabu za Mola Muumba?!
@hamisinalinga5201
@hamisinalinga5201 Жыл бұрын
Hapa dini mseto inatambulishwa kisaikolojia inabd uwe makin ndio utagundua
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
@@hamisinalinga5201 hee haseteki mtu apa
@MzatajumaRashitu-ld6vh
@MzatajumaRashitu-ld6vh Жыл бұрын
Hh
@salimabdallah5304
@salimabdallah5304 Жыл бұрын
Hiyo amani unayozungumza hapo ni batwili. Alhaa anasema yeyote asiyehukumu kwa sheria Alhaa huyo ni fasiqi ni dhalimu na ni qafiri. Walinganie wa haqi acha kuwapamba unatumika vibaya. Ayibu ndo qrani hiyo.
@athuman7480
@athuman7480 Жыл бұрын
Naiona dini ya mseto inakaribia au fikra zangu jamani
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 Жыл бұрын
@Athuman Dini ya mseto ipi sasa ? Hiki ni chama cha Amani Tanzania wakristo na waislamu kipo miaka mingi tu. Nichama cha kuepusha Udini kumbuka Udini unaweza kuleta vita. Haitokaa itokee sisi waislamu tuwe Dini mseto na Dini yoyote ile kwasababu Allah alishema ktk Surat Kafiroun Lakom Dynokom Wali ya Dyn.
@hemedahmed3094
@hemedahmed3094 Жыл бұрын
@@nakundwamkubwe7823 Hakuna sehem yyte inayoruhusu kafir na muumin wajadili masuala ya aman cz aman ya kikafir na muumin maana zao tofaut
@iddyjohn1032
@iddyjohn1032 Жыл бұрын
@@hemedahmed3094 wewe umesoma wapi??acha ujinga wewe,dini si yako ni ya Mungu,nenda kaishi saudia ili ukutane na unayofikiria kama hayapo,Iv kisheria kuna makafiri aina ngapi?na kafiri yupi ambaye anapaswa kupigwa vita? mbumbumbu wewe.
@hemedahmed3094
@hemedahmed3094 Жыл бұрын
@@iddyjohn1032 Kima kwel ww makafir ulionao ni wap? Ktk izo aina 2
@hemedahmed3094
@hemedahmed3094 Жыл бұрын
@@iddyjohn1032 Njooo kichwa kichwa tu
@jesusislord9190
@jesusislord9190 Жыл бұрын
Hiii nchi sio ya kidini mkumbuke Nyerere aliwaambia kuwa serikali ya tz haina dini.... kwahiyo ukitaka kuishi bila wanamuziki kaishi kwa waarabu sawa
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
Usitukumbushe ubabaifu wa Nyerere hapa nchi haina dini hali anaiendsha kwa ukafiri/ukiristo wake
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
Ssa mbona ha kwenda kwa wazungu nayy
@jesusislord9190
@jesusislord9190 Жыл бұрын
@@Fear_Allah394 wewe ulitaka tuongee kiarabu sisi sio watumwa nyerere angekuwa mbaguzi wa dini uislam usingekuwepo tz
@jesusislord9190
@jesusislord9190 Жыл бұрын
@@Fear_Allah394 ukitaka mira ya wazungu unaenda kwa wzungu ukitaka ya waarabu unawafuata waarabu
@mohammedsalim3315
@mohammedsalim3315 Жыл бұрын
Hata huko Kwa waarabu muziki IPO point ya hapa ni kwamba wasanii wengi ndio chanzo Cha mmomonyoko wa maadili ,muonekano wao,mavazi myimbo wanazoimba baadhi Zina base kwenye matusi,.
@salimabdallah5304
@salimabdallah5304 Жыл бұрын
Wewe mazinge ufahamu wako mdogo. Hebu fikiri kwanza mtume mhamad yeye mwenyewe kuhiji alienda mara moja kwemye vita mara 74. Ww unafiri ingekuwa ni wakati Wakina Abubari hao masokofu wangekuepo hapo acha uzaifu ww mzinge amani ya kishatani hiyo badilika kuwa kama Alishababu hawasogelewi na mnafiqi au mijiqafi iliyokuzunguka. Alishababu kule somalia hawataki musalaba wa Demokrasia wewe hapo misaba imekuzunguka. Ayibu.
@sadih5333
@sadih5333 Жыл бұрын
Haujui lolote katika dini una andika upuuzi.
@nyatya199
@nyatya199 Жыл бұрын
Kijana unafuata mkumbo wewe tulia
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 Жыл бұрын
Ndugu Salim Abdal ondoa chuki na acha kubagua wanadamu wenzio.Mimi ni Mkristo ila nawapenda sana ndugu zetu waislam mfano Shekhe mazige ukiona muislam anataka kuonesha ubaguzi Kwa wakristo ujue huyo siyo muislam sahihi.Mimi baba yangu mdogo ni muislam safi kabisa Hana ubaguzi kwetu anatusaidia pale tunapokuwa na shida.Wakati wa Magufuli miskiti mingi imejegwa mfano msikiti mkubwa east Africa and Central Africa aliyeomba msikiti ujengwe ni Magufuli ambaye ni Mkristo.Dini zetu isiwe chanzo Cha chuki nawapenda waislam kama ninavyowapenda wakristo wenzangu Mungu awabaliki waislam na wakristo Amen.🙏🙏
@amournassorsaid7694
@amournassorsaid7694 Жыл бұрын
Hujui kitu katika dini kaa kimya hata mtume aliazima silaha za kivita kwa wasiokuwa waislam je unalijua hilo ?
@officialrashrayz4140
@officialrashrayz4140 Жыл бұрын
Huyu hata sijui kama yuko sawa kiakili
MWAMPOSA TAPELI SHEIKH MAZINGE ALIPUKA
7:18
arkas online tv
Рет қаралды 34 М.
Pleased the disabled person! #shorts
00:43
Dimon Markov
Рет қаралды 27 МЛН
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 7 МЛН
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 34 МЛН
MAKANISA NA MAASKOFU BY MAZINGE
17:42
KENYA DAWAH TV
Рет қаралды 61 М.
TAZAMA UFUNDI WA KUZUNGUMZA WA SAYYID AHMAD ALWIY BADAWIY - 2023
29:19
KISA CHA MAZINGE NA WANAJESHI WA KONGO
5:02
Irshaad TV Online
Рет қаралды 53 М.
UST. HABIB OTHMAN  MAZINGE | MZEE YUSUF NAKUDAI
21:06
Fahari yangu
Рет қаралды 71 М.
Мыла наелся
0:21
Pavlov_family_
Рет қаралды 3,8 МЛН
Приостановили веселуху😨 #симпсоны
0:59