No video

WATOTO 6 HATARINI KUFUNIKWA NA HII NYUMBA/ UTEKELEZAJI PJT-MMMAM

  Рет қаралды 377

Makutano TV

Makutano TV

Күн бұрын

Utekelezaji wa program ya MMMAM unaendelea mkoani Iringa, changamoto zilizoibliwa katika utekelezaji ni pamoja na hii ya watoto wanaoishi katika mazingira magumu.
Watoto hawa wako sita, wanaoishi kwa kumtegema bibi yao anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 77, wanaishi katika nyumba hii ambayo iko hatarini kubomoka, wote sita wanalala hapa chini pamoja kwa sasa bibi analala nje amekimbia chumba cheke ambacho kimepasuka kwa ufa mkubwa, kwanza nazungumza na kijana wake.
Je nini kinamkwamisha kufanya jitihada za ziada kukwamua mama yake?
matatizo ya mkono
Anapata wapi fedha ya chakula na matibabu kw watoto?
Je hawa watoto wmeandikishwa TASAF?
Kwa mujibu wa afisa ustawi wa jamii Halmashuari ya Wilaya Iringa, watoto wanaoishi mazingira hatarishi ni zaidi ya 6000
Mwisho mkutano wa dharula unaitishwa hapa kwa kushirikiana na uongozi wa vitongozi kitongoji.
UNAWEZA KUCHANGIA WATOTO HAWA KUPITIA OFISI YA USTAWI WA JAMII HALMASHAURI YA IRINGA - MAWASILIANO 0763-448986
AU
MAENDELEO YA JAMII MKOA WA IRINGA - MAWASILIANO - 0756 900024
AU
MWALIMU MKUU - 0755 816356

Пікірлер
Why UK 🇬🇧 is going Bankrupt? : Detailed Economic Case Study
20:37
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
00:20
Chapitosiki
Рет қаралды 2,9 МЛН
Box jumping challenge, who stepped on the trap? #FunnyFamily #PartyGames
00:31
Family Games Media
Рет қаралды 20 МЛН
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:58
Бискас
Рет қаралды 5 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 7 МЛН
1972 Andes Plane Crash Survivor
31:17
Nitish Rajput
Рет қаралды 2,2 МЛН
MWANZO BORA na CATHERINE SHEMBILU - S01: E02
27:28
Makutano TV
Рет қаралды 245
KAMPENI MAALUM  IRINGA
7:38
Makutano TV
Рет қаралды 158
Shiriki upate ujuzi wa kilimo bora cha viazi,Jifunze hapa.
4:12
Yara Tanzania
Рет қаралды 7 М.
HOUSE GIRL EP 12 || SEASON 2 || Love Story💕💕
19:25
BUSATI TV
Рет қаралды 37 М.
ПОМОГЛА НАЗЫВАЕТСЯ😂
00:20
Chapitosiki
Рет қаралды 2,9 МЛН