Watu huchagua dini_by Muungano christian choir

  Рет қаралды 128,276

Muungano Christian Choir

Muungano Christian Choir

3 жыл бұрын

Пікірлер: 50
@user-jt6wd7xv4b
@user-jt6wd7xv4b 4 ай бұрын
mungu awbariki kuponya nafsi zawatu kupitia nyimbo hizi❤❤❤❤
@MichaelMagige
@MichaelMagige 10 ай бұрын
Jaman wapendwa katika Kristo huu ujumbe ni makini changamka,tulio wengi Sasa hivi tunakimbilia kwa watumishi ambao hawana tofauti na waganga wa kienyeji!!!
@Richardkithome472
@Richardkithome472 7 ай бұрын
Waah so creative indeed,kwaza izo quitar
@jehoshaphat5087
@jehoshaphat5087 3 жыл бұрын
Hakika ukristo si aina nyingi wa kufanya mtu atakavyo.Jumbe zenye uzito kweli kweli.Mungu awabariki.Nawapenda sana
@user-kk1fe6nh5u
@user-kk1fe6nh5u 7 ай бұрын
Mungu awabariki
@wemazai2767
@wemazai2767 Жыл бұрын
Amina,Mungu awabariki kwa ujumbe mzuri
@theambrellahproperties1133
@theambrellahproperties1133 3 жыл бұрын
Naomba kuimba nanyi jameni. Mbona makanisa hawasikii wakaimba nyimbo kama hizi zizungumzazo na roho ya MTU wala si kusisimua mwili....
@majubumkama9768
@majubumkama9768 4 ай бұрын
Haleluya! MUNGU AWABARIKI SANA
@neemakavugho2375
@neemakavugho2375 Жыл бұрын
Hakika nikaskiliza nyimbo hizi najisikia kama niko mbunguni kabsaaa mubarikie zaidi mimi ni m congomani nawapenda sanasana
@jane.ardon.4683
@jane.ardon.4683 4 ай бұрын
God Is so wonderful to all of us 🙏❤️❤️❤️🙌🙌👏👏🙌👋👋
@michaelmajisi3799
@michaelmajisi3799 2 жыл бұрын
Muungano kwaya nimewamisi Sana. Kumbe mpo? Asanteni nyimbo zenu nazipenda Sana.
@stanleyhama9477
@stanleyhama9477 2 жыл бұрын
When they sing,oh my God their songs penetrates through my bones how the sweet melodys.God bless you muungano.
@Mosetigichana
@Mosetigichana 3 жыл бұрын
PONGEZI SANA. KAZI NZURI YA UIMBAJI KWA MIAKA MINGI. MIMI NI MKATOLIKI LAKINI NAPENDA NYIMBO ZENU SANA . NILIANZA KUNUNUA KANDA HIZI ZENU NIKIWA KIDATO CHA KWANZA MWAKA WA 1995. YOU HAVE BEEN SUCH ABLESSING TO MANY OF US FOR YEARS. GOD BLESS YOU.
@muunganochristianchoir_Tz
@muunganochristianchoir_Tz 3 жыл бұрын
Be blessed
@joshuakeganda4975
@joshuakeganda4975 3 жыл бұрын
Karibu nyumbani kaka jiunge nasi
@samuelnyaachi7094
@samuelnyaachi7094 3 жыл бұрын
My favourite music for 34 years. Always new in my heart!
@muunganochristianchoir_Tz
@muunganochristianchoir_Tz 3 жыл бұрын
Amen, God be with u
@enockmomanyi9074
@enockmomanyi9074 3 жыл бұрын
@@muunganochristianchoir_Tz my choir ever
@mrmhenipm
@mrmhenipm 2 жыл бұрын
Naomba mawasiliano yenu jamani
@muunganochristianchoir_Tz
@muunganochristianchoir_Tz 2 жыл бұрын
+255620399935
@MichaelMagige
@MichaelMagige 10 ай бұрын
Absolutely sure,ukristo wa aina nyingi,Yesu akirudi wengine atawakataaa!!!❤
@kingoramichael2233
@kingoramichael2233 3 жыл бұрын
A very descent choir. Please ningetaka kusikia wimbo wa vijana hodali
@nansi1255
@nansi1255 Жыл бұрын
AMINA!💕
@mungarothuva6346
@mungarothuva6346 Жыл бұрын
All tanzanian christian choirs God bless you
@enockmomanyi9074
@enockmomanyi9074 2 жыл бұрын
My ever favoulite choir be blessed muungano
@jesusislordflock1706
@jesusislordflock1706 2 жыл бұрын
AMEN AND AMEN
@ntaisanlekuye6974
@ntaisanlekuye6974 3 жыл бұрын
Nabarikiwa mpaka nashindwa hata kulala usiku!!! Hizi ni nyimbo za kufundisha,kuongoza,kuinua,kubariki watu na hata kutukuza,kusifu na kuabudu Jehova mungu!!!!! Hakika,Asante mungu n u guyz God bless u.
@eliasgulinja442
@eliasgulinja442 2 ай бұрын
mbarikiwe sana tungo zenye ujumbe mzito tafakari!!
@jakee2041
@jakee2041 Жыл бұрын
Ameeen. Ameeen. Powerful Sermon items.
@jehoshaphat5087
@jehoshaphat5087 11 ай бұрын
Watu huchagua dini leo wakikwepa kuitwa wapagani! Huchagua upande ule ambao yuko huru kufanya atakavyo....ukweli kabisaa
@jakee2041
@jakee2041 Жыл бұрын
Ameeen. Ameeen.
@helsychepchirchir8911
@helsychepchirchir8911 2 жыл бұрын
Amen amen ninabarikiwa sana
@williemwangi1065
@williemwangi1065 2 жыл бұрын
So inspiring... Zilizopendwa nazipenda mno!!!
@kimemiamuchai
@kimemiamuchai Жыл бұрын
like listening to the song it such a blessing to me,can you please send me a written copy to know the words properly
@lambofgodtv8107
@lambofgodtv8107 2 жыл бұрын
Amen and Amen 🙏
@jakee2041
@jakee2041 2 жыл бұрын
Amen. Blessings our choir members. Great message.
@jakee2041
@jakee2041 2 жыл бұрын
Ameeen. God be Glorified. keep up.
@kibetrotich5960
@kibetrotich5960 3 жыл бұрын
Ghai Aki nyinyi?nawapenda bure tu,may Elohim blesses you people kwanza huyo mwenye anaitisha nyimbo ya wambieni watu wangu kweli watabaki kuuwa wangu,,,,,,,mnipee you numbers.once again may Messiah blesses you
@muunganochristianchoir_Tz
@muunganochristianchoir_Tz 3 жыл бұрын
+255620399935
@augustneniyokindi1128
@augustneniyokindi1128 3 жыл бұрын
Sifa kwa muumba wambingu nainchi alie waweka Duniani .Nawabalikiwe tena nawewe ulie ziweka hewani tunaomba mwasiliano ili kupata VOL.20 INAITWA, M.V.BUKOBA .NAWIMBOWAKE MVUWA YAMASIKA
@muunganochristianchoir_Tz
@muunganochristianchoir_Tz 3 жыл бұрын
+255620399935 tumia hiyo namba ya whatsapp utatupata
@sharlonmobegi8767
@sharlonmobegi8767 2 жыл бұрын
Amen, may God bless you
@jakee2041
@jakee2041 2 жыл бұрын
Ameeen. Be blessed.
@ngassajuliusmussachallya9034
@ngassajuliusmussachallya9034 3 жыл бұрын
Mungu awabariki sana kwa ujumbe mzuri watu wa Mungu
@neemajohn7757
@neemajohn7757 3 жыл бұрын
Amina
@neemajohn7757
@neemajohn7757 3 жыл бұрын
Amina sana watu wa Baba
@neemakavugho2375
@neemakavugho2375 Жыл бұрын
Nawependa sanana mungu awaongeze siku zenu mubarikiwe na mwenyezi mungu. Amen amen
@yamuremyegabiel4028
@yamuremyegabiel4028 2 жыл бұрын
Jambo
@muunganochristianchoir_Tz
@muunganochristianchoir_Tz 2 жыл бұрын
Jambo
@paullongiro9406
@paullongiro9406 Жыл бұрын
Ujumbe mwema
Ukimwi_by Muungano Christian Choir
6:44
Muungano Christian Choir
Рет қаралды 33 М.
muungano christian choir_ wimbo unaitwa mbinguni makao official video
5:59
Muungano Christian Choir
Рет қаралды 132 М.
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 23 МЛН
ТАМАЕВ УНИЧТОЖИЛ CLS ВЕНГАЛБИ! Конфликт с Ахмедом?!
25:37
마시멜로우로 체감되는 요즘 물가
00:20
진영민yeongmin
Рет қаралды 21 МЛН
Mt. Kizito Makuburi - Wewe ni Mungu (Official Music Video)
9:29
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 9 МЛН
MJI MTAKATIFU
5:47
The Parapandaz
Рет қаралды 56 М.
Maisha Ni Mafupi Sana
4:34
Heri-Tage Production
Рет қаралды 9 М.
Israel Mbonyi - Amenisamehe
9:25
Israel Mbonyi
Рет қаралды 6 МЛН
hakika dunia imekwisha chafuka lyrics_ by Muungano Christian Choir
3:32
Muungano Christian Choir
Рет қаралды 32 М.
Nyakati Tulizonazo || Australia Choir || Official Video 2013
1:01:43
Director Venacie
Рет қаралды 187 М.
Naomba Baraka by- Kmk Queens St. Kizito Makuburi
6:34
Alexander mumo
Рет қаралды 2,3 МЛН
kilo za dhambi lyrics_by Muungano Christian Choir-Tz
3:16
Muungano Christian Choir
Рет қаралды 16 М.
TAZAMA BWANA by AIC Mwanza Town Choir
7:45
AIC MWANZA TOWN CHOIR
Рет қаралды 121 М.
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 23 МЛН