Some songs are so moving ...thank for always blessing my heart Muungano choir ...
@mathewm71153 ай бұрын
Ilikuwa injili tosha kwenye ufalme wamungu mungu awakumbuke, injili kama hii kwasasa haipo niusela tu wa kutafta pesa, aisee mungu yupo mbingu zipo wazi kwaajili yao
@peteralex62003 жыл бұрын
Vya kale ni dhahabu. Barikiwa. Wekeni na zingine.
@daniellaurent22383 жыл бұрын
Mbarikiwe,endeleeni kuongeza nyimbo nzuri wapendwa.
@muunganochristianchoir_Tz3 жыл бұрын
Zipo zinakuja
@juliuskaziahindi8038 Жыл бұрын
Mungu bariki wapendwa hawa. Ninaposikiza nyimbo hii hujisikia kutokwa na machozi. Inanikumbusha udogo wangu nikiwa Yesu ndio tumaini langu pekee. Inaninyenyekesha sana na kujua Mungu yuko.
@allyopii39443 жыл бұрын
Jamani jamanii hizinyimbo za kwaya ya muungano zinanitoa machozi ninapozisikia mungu awalinde muendelee sarama
@muunganochristianchoir_Tz3 жыл бұрын
Asante nawe pia akulinde
@williamkirway46203 жыл бұрын
Kwaya kongwe waimbaji wenye ujumbe wenye faraja na subira mbarikiwe sana kutumia mda wenu vizuri,kutoka Haydom-manyara William cresent kirway.
@muunganochristianchoir_Tz3 жыл бұрын
Akubariki na wewe pia
@user-xl7ji7tz7i3 ай бұрын
Amina Mungu awabariki sana🙏🏼
@theambrellahproperties11333 жыл бұрын
Barikiweni jameni tusipoonana hapa nitawatafuta kwenye Meza hiyo
@muunganochristianchoir_Tz3 жыл бұрын
Amina. Nawe tuonane
@njorok73682 жыл бұрын
Nami nitakuwa nanyi wawili
@wycliffkinara10987 ай бұрын
Good songs ever,be blessed choir members.
@ndiemadavid6734 Жыл бұрын
Hakika ni wimbo wa kumuandaa Bi arusi wa Kristo. Ni kiwango cha utukufu kwa mungu
@JacintaMaiyu-ed2mh22 күн бұрын
Amen 🕊
@jakee2041 Жыл бұрын
Ameeen. Ameeen. Glory to God.
@ezekielkapara52963 жыл бұрын
Muungano mko vizuri, mungu awabariki sana
@mrsdeborahurio7 ай бұрын
Aminaaaaa! Mmekuwa mbaraka kwangu Kwa miaka Mingi Sana,tukaimbe Mbinguni❤
@JacintaMaiyu-ed2mh22 күн бұрын
Good singing. Be blessed
@vincentmutiso2772 Жыл бұрын
Kwa Mungu hakuna Mzee,,, Barikiweni sana na Mungu wasindishie Baraka tele , SDA hymnal songs unijenga Sana kiroho
@gabrielwainaina99843 жыл бұрын
A counseling hymn..God bless you choir & kip up
@tumainjangu40929 ай бұрын
Jina la BWANA litukuzwe sana❤ 🎉
@peninahngomo68093 жыл бұрын
Ujumbe. Mzuri wa baraka mungu wabariki watu wako
@kennedywasike8653 Жыл бұрын
Ujumbe mkubwa Sana Sana, ombi la kilindi hilo, ahsanteni Muungano, tembeeni katika uhaki na UTAKATIFU, tukutane mbinguni siku hiyo
@gakamirwaeric9328 Жыл бұрын
Amen amen Mungu awabarikisana wazazi wetu
@linomario2583 жыл бұрын
The only choir that I know who bring souls close to throne of God.
@vincentmutiso2772 Жыл бұрын
Absolutely yeeeeesi Nkiwasikiza ujihizi nikama nisha fika Mbingini. Mungu hawabariki Sana ,,
@BwJnyamari3 жыл бұрын
Wimbo mtamu sana. Giving me hope each day
@user-cr8yl9gp2w11 ай бұрын
Legendary
@rkellyrkelly1424 Жыл бұрын
Looking forward in seeing you all in NEW KINGDOM, THE NEW JERUSALEM 🙏
@vincentmutiso2772 Жыл бұрын
What a wonderful & touching message,,, God bless you all & keep the spirit of spreading the Good News,,
@wesleykiptanui65052 жыл бұрын
May the Lord bless you abundantly muungano choir... My childhood songs.. From Kenya 🇰🇪
@omtuas093 жыл бұрын
God bless your praising voices and give you all good health
@okeyomichael37943 жыл бұрын
Muungano mbalikiwe
@williammlelema4158 Жыл бұрын
Ahimidiwe mfalme bwana wa milele zoteee
@thomaskering9326 Жыл бұрын
In eldoret main stage ,they sang in 1997,I listened to their songs to late evening,I was a young man
@priscillandekere8846 Жыл бұрын
Hakika BABANGU YESUnami nitakuwepo pale
@essyessy28272 жыл бұрын
Amen
@bonfacemotieri1800 Жыл бұрын
What a beautiful song 🥲🥲
@Joseph-iz9kj11 ай бұрын
Prepare to sing in heaven with the saints
@nyabasamoffat12392 жыл бұрын
Muungano💯🔥🔥
@ntaisanlekuye69743 жыл бұрын
Amen,God bless u guyz.
@richardthiongo2049 Жыл бұрын
I wish you include the Lyrics we sing together
@jesusislordflock17062 жыл бұрын
amina
@njorok73682 жыл бұрын
Weka like kama utakuwa kwa hiyo Meza, na kema unehubiria wengi mukuje nawao.