WATU WAWILI WAUAWA KWA KUPIGWA RISASI VINGUNGUTI DAR ES SALAAM, 'POLISI WATAJWA'

  Рет қаралды 47,722

JAMBO TV

JAMBO TV

7 ай бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZfaq: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 384
@Mundi-oz7os
@Mundi-oz7os
Tuna tatizo sana uswahilini kuhusu uwezo wa kujieleza baada ya matukio. Watu wanakuwa na hamu ya kuelezea kila kitu pamoja na hisia zao badala ya kuelezea walichoona au kusikia tu. Naelewa kunakuwa na kiwewe cha uchungu lakini waandishi jitahidini kuwaongoza mnaowahoji wasivuke mipaka fulani ya kuharibu ushahidi au kuhatarisha maisha yao bila ulazima wowote.
@hadijaabdallah8614
@hadijaabdallah8614
Haya maisha ni kuomba Mungu tu watoto wetu hawa dah! Anaweza kuwa mpole nyumbani ila huko mitaani ni jambazi yarab. Allah tufanyie wepesi sisi wajawako hatuna kitu tunachokijua kuhusu watu wetu maana viko kwenye mioyo yao.
@edwardmizambwa237
@edwardmizambwa237
Sheria ya haki kaishi ni muhimu iwepo.
@user-ml6cc7td1x
@user-ml6cc7td1x
askari mnafanya kazi vizuri sana wauweni tu haina haya ya kuwapeleka polis
@isaacopolot2027
@isaacopolot2027
Napongeza polisi kwa kazi nzuri waloufanya. Muuaji akiuawa hamna hasara. Wote hao wanaolalamika hawajui wala hawataki kutambua maumivu ambazo wanapitia wahanga wa ndugu zenu. Basi na nyinyi pia mta kuja kuaawa.
@coolson2925
@coolson2925
poleni sana wafiwa...ila hao waliouwawa inasemekana ni panya road na wameua watu na kujeruhi sana .......auwae kwa upanga atakufa kwa upanga.....nalipongeza jeshi la polisi kwa kazi nzurii
@isaacopolot2027
@isaacopolot2027
Mjumbe ni mwerevu sana. Asante kwa kazi yako
@rasheedmbaraka7199
@rasheedmbaraka7199
Ushabikwa risasi ya mguu bado unasota unatak kukimbia unadhani ni watu wa kawaida hao?..hapo kuna kitu...
@ummySheikh72
@ummySheikh72
Subhannallah hata kama jambazi ila hakuwa na silaha mpaka mumpige risasi zote hizo 6! Mwananchi huyo na Askari, wakiuwawa nje mnasema oooh! Watu fulani wabaya hawafai. Sasa hawa Askari wamekuwa wauwaji sana siku hizi tukimbilie wapi?? Inatosha TZ sasa😱😱😱
@mfalmekaitaba2425
@mfalmekaitaba2425
Rais karudisha viburi kwa watumishi wa Umma ndio maana huu upuuzi unatokea,,kauli ya Rais haisikiki kwenye kukemea haya maovu yalokithiri.
@AminaLibisa
@AminaLibisa
Mjumbe anaongea kwa tabasamu kabisa subhanna Allah 😭
@khalfanmohammed7594
@khalfanmohammed7594
Poleni sana الله awape subra
@SangioNgoo
@SangioNgoo
Poleni sana wafiwa. Lakini nadhani msingepika ubwabwa na kukaa kitako kula. Kitongoji chote na maeneo ya karibu mngeandamana kwenda kwa mkuu wa Mkoa kudai haki itendeke. Na pia msingekubali kufanya mazishi mpaka haki ipatikane.
@StuatKimbavala
@StuatKimbavala
Lisasi inatumikakama kulikuana mapambano katiyapolisina jambazinasi mtuhumiwa ,jamanitunakwendawapi
@paullutonja5904
@paullutonja5904
pole sana
@Ambwene
@Ambwene
POLISI WA TANZANIA 🇹🇿 NI MAJAMBAZI WAUWAJI WAKUBWA MBWA HAO
@myself4128
@myself4128
Haqa Polisi inabidi Tuwabame huku Mtaani ili Tugawwne Hasara!!! Mie ukiuwa Ndugu yangu ni Jino kwa Jino! Msamaha kwa Mungu hapa Hukumu
@petermathius-eu1pt
@petermathius-eu1pt
Dah mungu atakulipien hapa hapa dunian
@saidramadhan71
@saidramadhan71
Poleni sana ndugu zetu
@usafiaps318
@usafiaps318
Hapa Viongozi Msipo Simama Na Kuyakemea Haya Maovu Nchi Haitakalika.
MUONE MASANJA NA MASHAMBA YAKE
6:45
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 17 М.
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 63 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 78 МЛН
POLISI WAZUA BALAA, WATOA KICHAPO, MGONJWA ABEBWA JUU JUU...
3:15
Wasafi Media
Рет қаралды 53 М.
FULL VIDEO: Makonda akiwataja wanaotuhumiwa kwa dawa za kulevya DSM
10:49