VIDEO IMEPIGWA NA ERICK SHAMPUME 0766446652 SEMINARINI KIPALAPALA TABORA
Пікірлер: 35
@annamushi24905 жыл бұрын
Unaninikumbusha mbali sana Kway kule parokiani kibosho mungu awabariki sanaaa
@jennifermlingi46324 жыл бұрын
Mungu awabariki sana mapadre wetu watarajiwa. Naomba Mungu mwanangu Davis nae aje kwenye wito huo.
@catherineshayo6565 жыл бұрын
Watu wote na wakushukuru, Mungu azidi kuwasimamia muweze kutimiza lile kusudi alilowaitia kutimiza.
@kassimourio68795 жыл бұрын
mmeimba vizuri sanaa. Kwa kupendeza huko mtazidisha miito ktk kanisa
@felisterkokuberwa57834 жыл бұрын
Watu wote na wakushukuru Mungu ,eh Mungu uwabariki wafikie altare yako wakutumikie
@martinemifuko715 жыл бұрын
Nilitamani niingie kwenye wito, daaaa
@blandinakimbe40193 жыл бұрын
Wrote na tumshukuru. barikiweni saana. Mpo vizuri
@mtotonimalezikahamatv83265 жыл бұрын
Hongereni Mapadre wa kesho.
@inosentchaba29375 жыл бұрын
Asee nilikaa upande wa kushoto lakini bahati haikuwa yangu basi .
@philemondaud49633 жыл бұрын
Mbarikiwe Sana mapadre wetu wa kesho.
@desderinshendry12365 жыл бұрын
Nawapenda sana jamn...nikiwaona na hayo mavazi nafurah sana,Uimbaji wenu ni mzuri mnoo....Mungu awabarki na kuwatimizia nia yenu ya kufanya kaz ktk Shamba lake!!!
@samuelchondomnzala895 жыл бұрын
I love Catholic choirs. May God bless you all.
@zedianagasper94753 жыл бұрын
Sauti nzuri
@rozisia15785 жыл бұрын
nice god bless you
@mengooswadi46705 жыл бұрын
Mungu awabaliki WA seminalisti
@kennedymwakio50135 жыл бұрын
Mnanikumbusha Seminary. Miss alot St. Augustine Major Seminary Peramiho
@marymuthoni15515 жыл бұрын
Amen and Amen, that was awesome!!!!!
@mapachunyi48304 жыл бұрын
Daima wanaseminari hua mnanibariki sana once I hear you while you are singing,,, Mungu na akamilishe nia aliyoianzisha mioyoni mwenu
@GervaisMughanyiri5 жыл бұрын
Asante sana ,Amen and Amen
@alexbenedict53782 жыл бұрын
Very nice
@prosperidinya58645 жыл бұрын
Nzuri sana, inamvuto wa kimungu
@bernadkaomya51415 жыл бұрын
Safi sana vijana wangu
@maryshauri73115 жыл бұрын
God bless you all.
@paulina.baynit79705 жыл бұрын
Mungu awabariki sana mapadre wetu watarajiwa,awape Uvumilivu, Upendo, Hekima na Busara na kazi aliyo ianza ndani mwenu aikamilishe mkawe Mapadre WEMA NA BORA. Nawapenda wote.
@sandezakeo38135 жыл бұрын
Asanteni kwa wimbo mzuri
@chrecensiamalembela86385 жыл бұрын
Mbarikiwe sana
@sosthenesntemi53615 жыл бұрын
Hongereni waseminari sana kwa uinjilishaji
@nobertsulley46915 жыл бұрын
Mungu atimize kusudi lake kwnu
@winifridakatengezya84875 жыл бұрын
Safi Sana
@wizotz81445 жыл бұрын
Nice
@damianmbunda93105 жыл бұрын
good job
@masangujoachim22875 жыл бұрын
Safi sana!
@sosthenesntemi53612 жыл бұрын
It is four years now, Let them prosper in their endeavors