Wavunaji tz -VITA KALI (OFFICIAL VIDEO)

  Рет қаралды 115,950

Wavunaji Tz

Wavunaji Tz

2 жыл бұрын

Wavunaji Tz -VITA KALI (OFFICIAL VIDEO)
Audio:Max studios
Email: wavunajitz4z@gmail.com
Instagram: @wavunajitz
Contact: +255 744 244 777
+255 712541156
+255 714540065

Пікірлер: 162
@irenejulius4354
@irenejulius4354 2 жыл бұрын
Aliyefanya audio achongewe sanamu ikulu msije mkamuacha wavunaji iko poa Sana nimewakubali
@stevenbamba7489
@stevenbamba7489 2 жыл бұрын
Mwende mbali...na kuzidishwa katika huduma hii ya Uimbaji...!! Mungu anatukuzwa kupitia huduma yenu hii
@monginakimaigaMK
@monginakimaigaMK Жыл бұрын
Nimerudi Tena hapa kama mara ya Saba, I had to download it Tena niwatafute IG.... Mungu ambariki mwandishi huyu na waimbaji pia maana bila nyinyi sijui tu 😍🥰🥰🥰
@leahayubu933
@leahayubu933 2 жыл бұрын
Mwimbo wa mwaka aisee nimebarkiwa naitj kutafta usajili wavunaji mnanichanganya kwa neno la MUNGU
@khajirajafari1591
@khajirajafari1591 2 жыл бұрын
Karibu sana
@leahayubu933
@leahayubu933 2 жыл бұрын
Asnten saaana
@raphaelonyango5690
@raphaelonyango5690 2 жыл бұрын
Ipo namna wavunaji wanakua hatua moja mbele ukulinganisha na waimbaji wengine. Mbarikiwe sanaa
@jovindanda6053
@jovindanda6053 Ай бұрын
Hii nyimbo naicheza kila dakika 5 kila siku asubuhi na jioni naipenda sana mbarikiwe mno, mmeimba vizuri
@FideliaLuboha-ro3hy
@FideliaLuboha-ro3hy 9 ай бұрын
Haijalishi, umeshindwa kufanya nini. Kama ukifa katika Kristo, uzima utapata
@enockmichael7134
@enockmichael7134 Жыл бұрын
Sina maneno mengi ya kuelezea #itoshekusemamungunaazidikuwatumiakwakadriyautufuwake💛💜🤝🏼atukuzwe Mungu muumba wa mbingu na nchi atupaye kushida
@elizabetheliakimu1396
@elizabetheliakimu1396 2 жыл бұрын
Nimefurahi kumuona HEAD GIRL wetu,,,,MONICA
@sautiyaamanitv6524
@sautiyaamanitv6524 2 жыл бұрын
Ohh Mungu awabariki Sana, good massage, Nabarikiwa Sana na wavunaji
@NyabwekeMazanza-fl2jl
@NyabwekeMazanza-fl2jl Жыл бұрын
Jaman wimbo huu unanibariki sanaaaa mko vizuri Mungu awabariki
@neemajohn10
@neemajohn10 2 жыл бұрын
wapandao kwa machozi😭 tutavuna kwa furaha😊🤲🙏🙏🙏
@homegtv3440
@homegtv3440 2 жыл бұрын
Duuh MUNGU awabarki saana kwani ujumbe maudhui ya wimbo mzuri saana
@maingujunior985
@maingujunior985 2 жыл бұрын
Kazi nzuri
@richsumm7969
@richsumm7969 2 жыл бұрын
Mungu awenanyi,(Vita kali)
@mamakhadijah2352
@mamakhadijah2352 11 ай бұрын
Amen 🙏 Mungu awabariki sana na mtunzi wenu naye sijui nani ila utunzi wake unanibariki mno endeleeni kufanya kazi ya Mungu muendelee kuwatia moyo na wengine tunakaribia kwetu mbinguni🙏❤❤❤
@dr.edwingeorge9837
@dr.edwingeorge9837 2 жыл бұрын
Hakika ni Vita Kali.
@thelightofjerusalem4309
@thelightofjerusalem4309 2 жыл бұрын
Mbarikiweee saaanaaa 🤓😋🙌
@sinnalupande5687
@sinnalupande5687 2 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na Wavunaji My Aunt keep it
@ThisisOumah
@ThisisOumah 2 жыл бұрын
Many new members
@maxstudios4654
@maxstudios4654 2 жыл бұрын
It happens brother barikiwa
@IrineJulius
@IrineJulius Жыл бұрын
Mungu awabariki nawapenda
@sabatoelia312
@sabatoelia312 2 жыл бұрын
Sema kwel niliwamix mpk nikadhan mmetengana lkn naona Bwana nimwema mko vizur 🥰🥰🥰🙏🙏
@danielwangwe8621
@danielwangwe8621 2 жыл бұрын
Amina,,, barikiweni sana @Wavunaji kwa huduma. Mungu azidi kuwa nanyi
@maxstudios4654
@maxstudios4654 2 жыл бұрын
Ujumbe unabariki sanaaaaaaa.
@PeterJames-ms1tk
@PeterJames-ms1tk 2 жыл бұрын
Aminaaaaa 🙏 hakika MUNGU atusaidie 🙏
@rosemarysam9092
@rosemarysam9092 2 жыл бұрын
Mungu awabariki Sana Katika kulitangaza neno lake🙏🙏
@kalebmgeta8961
@kalebmgeta8961 2 жыл бұрын
Barikiwaaa sanaa kazi nzurriii
@samwelmgasa6530
@samwelmgasa6530 2 жыл бұрын
Ninabarikiwa na kufarijika sana na wimbo huu Mungu awainue na kuwatumia sawasawa na mapenzi yake kwani ninyi ni nuru katika ulimwengu huu wenye dhiki na shida,Huyu Mungu aliyewafikisha hapo kwa vyovyote vile msije kumuacha simameni imara Mungu Awabariki....🙏
@priscalwangili4278
@priscalwangili4278 2 жыл бұрын
Thanks Wavunaji. Barikiwa
@maxstudios4654
@maxstudios4654 2 жыл бұрын
Madam ubarikiweeeeeee
@godfreysaguti3500
@godfreysaguti3500 2 жыл бұрын
Barikiwaa sana kazi nzurii
@zacharynyaraja2217
@zacharynyaraja2217 2 жыл бұрын
Nabarikiwa san
@JoshuaMasunga
@JoshuaMasunga 2 жыл бұрын
Hongereni sana jamani.
@amanikayanda1359
@amanikayanda1359 Жыл бұрын
Huu wimbo kwakwel mzur. Mbarikiwe
@nancycharles4294
@nancycharles4294 Жыл бұрын
Nimebarikiwa sana wimbo ni mzuri unagusa sana umenipelekea mpaka kutoa machozi oooh Haleluya Mungu ni mwema tujitahidi tukairithi nchi aliyotuandalia MUNGU.Mbarikiwe sana
@ronniearara5606
@ronniearara5606 2 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na wimbo huu. Kazi nzuri mwalimu, waimbaji pamoja na producers.Mungu azidi kuwabariki.
@liliancharles9657
@liliancharles9657 2 жыл бұрын
Mubarikiwe 😍 🙌🏻
@esdrasbugingo7868
@esdrasbugingo7868 Жыл бұрын
Hello I am Ezra from Rwanda I love you and I like your songs they make me to be a good worshiper
@saadahrasheedy9468
@saadahrasheedy9468 2 жыл бұрын
Nyimbi nzur hongeren na mmependeza piaa ❤❤
@samsonzakayo7013
@samsonzakayo7013 2 жыл бұрын
Amen sana wavunaji kazi iendelee👌
@asheryemmanueli6267
@asheryemmanueli6267 Жыл бұрын
Bwana na awabariki sana kwa huduma yenu ni njema sana! Ushauri: katika huo itafaa sana kama hii instrumental ingelikuwa na utulivu kwa kuondoa hio mikito Bwana na awabariki sana
@mussaottoman2267
@mussaottoman2267 Жыл бұрын
Mungu awabariki kwa kazi nzuri.
@ThisisOumah
@ThisisOumah 2 жыл бұрын
Asanteni wavunaji kwa mibaraka hii ya sabato. Kwa kweli mnanibariki sana. Pongezi kwa sauti zenu na sare zilizopendeza. Mzidi katika injili.
@amoskashilimu7238
@amoskashilimu7238 2 жыл бұрын
Ni vita kweli
@jairoodero7611
@jairoodero7611 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥mziki mzuri
@jordanquotes4041
@jordanquotes4041 2 жыл бұрын
Amen🙏
@azarybayalimo
@azarybayalimo 2 жыл бұрын
God bless you wavunaji tz
@jefoojohn2551
@jefoojohn2551 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥 blessings
@mr.isackenocknyaimaga3899
@mr.isackenocknyaimaga3899 2 жыл бұрын
Sweet cool song
@mbarikiwamtwa
@mbarikiwamtwa 2 жыл бұрын
Hakika Vita ni Kali sana. Tunamuhitaji Mungu kuliko wakati wowote.. Na anadhihirika kwetu kupitia watumishi wake kama ninyi hapa🙌😊🙇‍♂️🙏🙏 mbarikiwe sana🙏🕊️🕊️👏👏
@shemusangalali8473
@shemusangalali8473 2 жыл бұрын
Nice song
@julisterteyumwete7585
@julisterteyumwete7585 2 жыл бұрын
MUNGU awabariki sana ,
@thomasobai8485
@thomasobai8485 Жыл бұрын
Mfike mbalii
@richakilo
@richakilo 2 жыл бұрын
What a nice song be blessed wavunaji choir
@sheridamagomere6300
@sheridamagomere6300 2 жыл бұрын
Be blessed wavunaji keep on praising your creator
@wilsonkudema2722
@wilsonkudema2722 Жыл бұрын
Amen be blessed
@brightonaugustin5077
@brightonaugustin5077 Жыл бұрын
Tupo katika vita ya maisha ya kiroho,,.... usichoke kutenda mema... mbarikiwe sanaa
@naftaribulenya5847
@naftaribulenya5847 2 жыл бұрын
Barikiweni Sana 👍
@abubakaryalmas7673
@abubakaryalmas7673 2 жыл бұрын
Mbarikiwe sana watumishi , ujumbe mzuri na mpangilio wa sauti Mungu azidi kuwainua 🙏
@exaudduma8815
@exaudduma8815 2 жыл бұрын
Amina barikiwen sana
@khajirajafari1591
@khajirajafari1591 2 жыл бұрын
Amen Amen Amen
@jemimakengia7308
@jemimakengia7308 Жыл бұрын
Keep it up excellent
@shemusangalali8473
@shemusangalali8473 2 жыл бұрын
Be blessed
@neemamahanju7919
@neemamahanju7919 2 жыл бұрын
Blessed 🥰
@dodomaadventistchorus
@dodomaadventistchorus 2 жыл бұрын
Amen. God bless you 🙌🙌🙌
@sirmyusah732
@sirmyusah732 2 жыл бұрын
Amina kubwa
@vivianhinzano2967
@vivianhinzano2967 Жыл бұрын
Awesome is an understatement
@helenandaro889
@helenandaro889 8 күн бұрын
Hongera sana watu wa Mungu mufike mbali
@Mwl_wazamumediapro.5979
@Mwl_wazamumediapro.5979 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana
@fortinathamlelwa5192
@fortinathamlelwa5192 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana🙏
@isackbenjamin2170
@isackbenjamin2170 2 жыл бұрын
🙌
@richsumm7969
@richsumm7969 2 жыл бұрын
Barikiwa wavunaji
@mwanaishasalimu1771
@mwanaishasalimu1771 2 жыл бұрын
Nmebarikiwaaa mnooo 🙏🙏
@edwingabriel5942
@edwingabriel5942 2 жыл бұрын
Be blessed 🙏
@kizitomichael4957
@kizitomichael4957 2 жыл бұрын
I love ❤️ your music 🎶
@mpehisontv9830
@mpehisontv9830 2 жыл бұрын
JAMAN nyie watu mbarikiwe sana maana mnafanya kazi kubwa sana wimbo ni mzuri na mmeuimba vizuri sana Mungu awabariki sana wavunaji
@sarahstanley2904
@sarahstanley2904 2 жыл бұрын
Amina zidi kubarikiwa
@stevenbamba7489
@stevenbamba7489 2 жыл бұрын
Wonderful song in deed. Am so blessed na huduma yenu Wavunaji...🙏
@fideliskivai2669
@fideliskivai2669 Жыл бұрын
Amina! Wimbo mtamu, waimbaji waliotulia na kupendeza. Mungu awabariki kwa sana Wavunaji.🥰❤
@ibrahimjoshua934
@ibrahimjoshua934 Жыл бұрын
Always you have a Good job ,keep it up 💕💕
@diana_aluoch
@diana_aluoch 2 жыл бұрын
Amen. Beautiful piece...wenye moyo safi watamuona Mungu
@tossymediachannel
@tossymediachannel 2 жыл бұрын
be blessed alot Wavunaji
@FideliaLuboha-ro3hy
@FideliaLuboha-ro3hy 9 ай бұрын
Barikiwa
@chrisselite
@chrisselite 2 жыл бұрын
Mbarikiwe sana.
@maxwellvangulinja
@maxwellvangulinja Жыл бұрын
Amaaazing
@edbinmaregesi7720
@edbinmaregesi7720 Жыл бұрын
Am blessed for this
@ephraimdaniel7434
@ephraimdaniel7434 2 жыл бұрын
Be blessed wavunaji 🙏
@magdalenafunga1755
@magdalenafunga1755 2 жыл бұрын
Chiiiiiiiiiiiiiiiii💥🔥🔥
@joachimmatondo8646
@joachimmatondo8646 Жыл бұрын
Leo hatimaye nimevunwa. Mungu awabariki nyote, endeleeni na uvunaji. Ni kazi njema sana. Nimependa kila mlichofanya kwenye hii santuri mwonekano: mpangilio wa sauti, ujumbe, mavazi, na ubora wa kazi. Vema sana.
@rachelcharles2215
@rachelcharles2215 2 жыл бұрын
Amen 🙌🏼 Mungu atukuzwe kwa kazi nzuri🙏
@matikomohabeshi4676
@matikomohabeshi4676 Жыл бұрын
safi sana uimbaji mzuri , confedence ya kutosha na producer is excellent 97%
@dorithmasindi9080
@dorithmasindi9080 2 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ Mmejaa moyoni mwng family 😍. You've killed it, Great is the Lord God
@michaelnammanje7822
@michaelnammanje7822 2 жыл бұрын
Be blessed Good message, melody, sound and video........ BIG and BIG UP to MOE KAALI for this good job
@user-do9iq3vd6n
@user-do9iq3vd6n Жыл бұрын
that,s good song
@wilsonjoma1187
@wilsonjoma1187 2 жыл бұрын
good song
@khajirajafari1591
@khajirajafari1591 2 жыл бұрын
Amen my brother
@thealarmvoices2344
@thealarmvoices2344 Жыл бұрын
Cool muziki
@nellymedia
@nellymedia Жыл бұрын
Mubarikiwe sana aiseee wimbo mtamuuu sana japo ni nimeumiss kwa 1 month bwana awabariki sana jaman
@amchatparfecttunemedia4445
@amchatparfecttunemedia4445 2 жыл бұрын
nice song
@magilekasanda2402
@magilekasanda2402 2 жыл бұрын
It was amazing, good message to the world.
@laurentbrash8142
@laurentbrash8142 Жыл бұрын
Barikiweni sana wateule beautiful song🤗..
@mwemasamo8149
@mwemasamo8149 2 жыл бұрын
Tujivike sila katika vita Kali Mungu awabariki nabarikiwa na nyimbo zenu🙏
@johnmicah7519
@johnmicah7519 Жыл бұрын
God bless you guys,good rendition and well blended voices.Good compositions.🙏
@bestbeatstoreacid
@bestbeatstoreacid 2 жыл бұрын
Wooooooow! This on repeat 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@sheridamagomere6300
@sheridamagomere6300 2 жыл бұрын
Blessings
@maxstudios4654
@maxstudios4654 2 жыл бұрын
Amen bertha
Wavunaji tz - Njia ya Hekaluni (New song 2022)
5:46
Wavunaji Tz
Рет қаралды 107 М.
Wavunaji tz - IMANI (OFFICIAL VIDEO)
4:27
Wavunaji Tz
Рет қаралды 40 М.
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Line?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 95 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 48 МЛН
He sees meat everywhere 😄🥩
00:11
AngLova
Рет қаралды 11 МЛН
Agape Gospel Band  -   Nimeziona Baraka za Bwana ( Official Music Video )
13:49
MPIGA KINUBI (OFFICIAL VIDEO)-GEITA CENTRAL YOUTH CHOIR
4:45
Geita central Youth choir
Рет қаралды 1,6 М.
Jomireso voices Tz - Niraha (Official Video) 4k
3:41
Jomireso voices Tz
Рет қаралды 331 М.
MWALIMU WA KWAYA YA NYASUBI ELIKANA NGERELA & ESTER  WEDING
6:12
NYASUBI SDA CHOIR
Рет қаралды 79 М.
WAVUNAJI - NITAIMBA (OFFICIAL  VIDEO)
4:52
Wavunaji Tz
Рет қаралды 198 М.
Chukua Udongo
5:26
THE REDEMPTION MINISTERS KENYA
Рет қаралды 4,3 МЛН
Injili Family Choir International - Mfalme, Official video
9:51
Injili Family Choir International
Рет қаралды 19 М.
JINA LA YESU - The Light Bearers Tz, OFFICIAL VIDEO 2023
5:03
The Lightbearers Tz
Рет қаралды 341 М.
Iliyas Kabdyray ft. Amre - Армандадым
2:41
Amre Official
Рет қаралды 534 М.
Sardor Tairov - Sen meni yeding (Official Music Video)
5:02
Sardor Tairov Official
Рет қаралды 3 МЛН
BABYMONSTER - ‘FOREVER’ M/V
3:54
BABYMONSTER
Рет қаралды 42 МЛН
Ozoda - JAVOHIR ( Official Music Video )
6:37
Ozoda
Рет қаралды 10 МЛН
akimmmich (feat. Turar) - UMYTTYŃ BA?| official lyric video
2:54
Zattybek & ESKARA ЖАҢА ХИТ 2024
2:03
Ескара Бейбітов
Рет қаралды 154 М.