Mbarikiwe sana wavunaji. Mwl Deo na Baraka Mungu awabariki
@MatikoMbunduki3 күн бұрын
Mbarikiwe sana wavunaji toka Ipagala SDA church Dodoma. Wimbo unagusa moyo wangu.
@mwambazmazoyah462815 күн бұрын
Hongereni kwa nyimbo nzuri Mungu azidi kuwatumia katika kazi yake
@helenandaro88915 күн бұрын
Nyimbo zenu zote ni nzuri sana Mungu awabariki mfike mbali sana watu waMungu
@helenandaro88915 күн бұрын
Mungu awabariki sana watu wa Mungu mfuke mbali
@helenandaro88915 күн бұрын
Hongera sana watu wa Mungu mufike mbali
@emdbmh822718 күн бұрын
Nice work ... I love the song
@JumanneYoyo18 күн бұрын
Ameen
@helenandaro88918 күн бұрын
Mungu nimwema
@annapaulo151321 күн бұрын
safi sana kazi nzuri sana ya kumuinua Mungu katika viwango tofauti
@abednegoLumala-po3zc24 күн бұрын
Much appreciations from Ukonga sda church Dar es saalam. May Almighty God bless you❤ more wavunaji tz ✅🙏🙏
@DianaNgeleja26 күн бұрын
Mungu nisaidie nikutumikie kwa uaminifu.Amen🙏🏾
@EvaJackson-px7mb29 күн бұрын
who is watching this 2024?
@PhanuelPaul-ot3tb9 күн бұрын
Me
@EvaJackson-px7mb29 күн бұрын
nice one ❤❤❤❤❤
@EvaJackson-px7mb29 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤nice song
@merckzedecksima-hi6xlАй бұрын
Mbarikiwe watu wa mungu wimbo mzuri sana
@pr.calebmbabaali9710Ай бұрын
The song not only flows well, butbthe lyrics are encouraging too....thanks a bunch
@frankkalinga4727Ай бұрын
Hii kwaya ya mtaa Gani?
@wavunajitz342Ай бұрын
Habari Frank, Wavunaji Gospel choir Wanapatikana Mkoa wa dodoma, Mtaa wa Ipagala, Kanisa la Ipagala, Karibu.
@frankkalinga4727Ай бұрын
Naombeni namba za kwaya hii ya wavunaji
@wavunajitz342Ай бұрын
Wasiliana nasi kupitia namba hizi...+255744244777.
@danielnyabungi693Ай бұрын
It is awesome be blessed you are the good ambassordors on the way you sing to praise, to glorify,honour, our GOD,keep that perssion until the LORD decend to take us to his precious new jerusalem.yo inspire me and I love u guys.stay blessed always
@danielnyabungi693Ай бұрын
Heko, the message is nice
@valentinedaudАй бұрын
Code za alto duh zpo vzr sana
@mariajacob2457Ай бұрын
MUNGU awabariki sna
@martinpius9212Ай бұрын
Mbarikiwe sana
@momylavielАй бұрын
Ile ya kwanza ndo kali sana nawapenda tuuu
@namsifumaduhumwita2495Ай бұрын
Ila ninyi ni wa pekee sana❤❤❤. More blessings from above
Hii nyimbo naicheza kila dakika 5 kila siku asubuhi na jioni naipenda sana mbarikiwe mno, mmeimba vizuri
@AbelMadindaАй бұрын
Hivi vitu vyenu kabisa, tulivimiss sana, maana hatuvipati pengine tofauti na kwenu
@edinanyaruga6533Ай бұрын
Barikiwaaa sanaa rafik
@deogratiasmabula3519Ай бұрын
Karibu sanaa
@AbelMadindaАй бұрын
Kaz nzuri young bro
@john.mweli-2312Ай бұрын
Kaz nzuri sana mungu awabariki
@makedoniachurchАй бұрын
Barikiwen sana wimbo mzuri mziki umetulia mnoo
@MtangiChumuАй бұрын
Aki this choir mna nibless ever seen keep on serving our almight father while waiting him to take us home❤🎉
@barakamanono2887Ай бұрын
Kazi ni njema sana
@tabithachepkoech7306Ай бұрын
Sauti ya pili tuu aah❤❤❤❤❤
@wicklifeoiro1649Ай бұрын
Amina
@johnsonmalimaofficialАй бұрын
Mbarikiwe sana mafundi wangu, nawakubali sana maana mmenifundisha kuimba codes za bass bila ninyi kujua😂😂😂But all in all, Brother Deo na Jephta mbarikiwe sana 🤝🤝🤝😊😊😊
@wilsonkudema2722Ай бұрын
Amina
@user-ub9gl9ez1wАй бұрын
Ujumbe mzuri na umewasilishwa kwa ustadi wa hali ya juu Hongereni sana Wavunaji 👊
@user-kt8pj1xc8mАй бұрын
Heri be blessed and your team
@user-kt8pj1xc8mАй бұрын
Simwoni Nehemiah hapo?
@Thyme938Ай бұрын
Muende mbali, na mbarikiwe !
@IreneMichaelAbilaАй бұрын
Mungu awatangulie mwendelee kumtumikia Kwa moyo mmoja love you all❤
@omodesignerАй бұрын
❤❤Amen.
@EmmanuelMgeta-du9grАй бұрын
Barikiweni sana
@kibangujuusdachurchАй бұрын
@hamenyayohanakasase5836Ай бұрын
Safi sana. Hongereni sana WAVUNAJI, nimeona utaalam hapa