Itungwe sheria wakipatikana na hatia ya mauaji nao wakatwe viungo vya mwili kimoja baada ya kingine kama walivyomfanyia mhanga.
@ABDULLAOALI7 күн бұрын
Hy mambo bado ypo t jmn
@user-fy3cy5fe6q7 күн бұрын
Ondoeni waganga nchini kwanini mnawalea?
@waziriabasi95755 күн бұрын
Wanyongweeeeeeeeeeeeee wote
@PartySekemi7 күн бұрын
Kweli kabisa serikali wachukue hatua huo kwa tukio hili la kikatili shikamoo mpina
@StellaNjau-zd5kn6 күн бұрын
Tunajiuliza kwanini kipindi cha uchaguzi ndiyo haya mambo hujitokeza? Enyi wanasiasa mnatuangamiza nyie wenyewe kwa kuwa uongozi mwingi mwenda kwa waganga na hata mlio kama hapo wengi ni washiriki
@charleskawo55727 күн бұрын
mh^eshimiwA hadi anachukuliwa
@NixonJohnson-zn8nk6 күн бұрын
Uchaguzi na matamko ya hawa viongozi ni tatizo
@StellaNjau-zd5kn6 күн бұрын
Pia wanasiasa tumwogope Mungu kwani kiongozi bora huchaguliwa na Mungu na si mganga tujiulize uongozi wako umeupataje? Viongozi kujitathmini. Haya yakemewe hasa vipindi hivi vya uchaguzi. Kuliko kuomba uongozi kwa ushirikina ni heri pesa zako utoe sadaka ili upate kilicho bora kuliko kumwaga damu zisizo na hatia.
@StellaNjau-zd5kn6 күн бұрын
Kazini alimuuwa nduguye na Mungu alimlaaani je wewe na mimi tupo upande gani kati ya laini na abeli? Tuombe sana Mungu na hawa watu wasiojulikana wajulikane. Miaka mitatu yote hatujasikia albino kuuwawa lakini kwanini mwaka wa uchaguzi haya hutokea? Kujitathmini wagombea tusimwage damu isiyo na hatia. Utaulizwa uongozi wako ulikuwa ukitumia nini kuwa kiongozi?