Waziri Mwigulu ajibu Mapigo kwa Mpina "dokta yangu siyo ya kupewa nimeisomea darasani" afunguka

  Рет қаралды 36,496

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Жыл бұрын

Waziri wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba amesema ni kazi kubwa kumfundisha mtu yuleyule ambaye hataki kuelewa lakini dokta yangu siyo ya kupewa bali nimeisomea darasani,"
Waziri huyo amesema hakuna shaka Tanzania bado iko salama na suala la kushuka kwa akiba ya fedha amekiri kubwa zimeshuka kwa sababu fedha nyingi zimwingia kwenye miradi mikubwa ya maendeleo.
Hata hivyo Dk Mwigulu amesema uchumi ni sayansi hivyo unahitaki wajuzi katika uchangia na kuomba wanaoongoza bunge kuwa makini kuhusu hoja za baadhi ya wabunge Kwa madai wanaweza kuwa wapitishaji wa dili za watu.

Пікірлер: 163
@raphaelkaswahili323
@raphaelkaswahili323 Жыл бұрын
Huyu mhuni anatumia nguvu na kufoka akiamini kwamba ataogopwa akwende zake uchumi mzuri wapi hali mbayaaa
@richardlucas2275
@richardlucas2275 Жыл бұрын
umeelewa kilichoongelewa???
@raphaelkaswahili323
@raphaelkaswahili323 Жыл бұрын
@@richardlucas2275 kiukweli nimeelewa saana ....hajajikita kwenye point zinazozungumziwa na wabunge ila anafoka tu sijui hataki waseme ukweli ?
@ellamsakafu60
@ellamsakafu60 Жыл бұрын
Umeishia la ngapi?
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 Жыл бұрын
Mwigulu huwezi kupambana na luhaga Mpina mwigulu utapasuka musamba
@lanezboy7016
@lanezboy7016 Жыл бұрын
Huyu mwiguru hana hakili hata chembe yan hapa tumepigwa
@constanciapeter2497
@constanciapeter2497 Жыл бұрын
Namwelewa sana Waziri.. keep it up Mheshimiwa!
@barakaothumani6421
@barakaothumani6421 Жыл бұрын
kweli Watanzania mazezeta duh,!! hivi hamjamjua huyu jamaa anang'ata na kupuliza, natena nimnafiki mkubwa,,Ee Mungu tupe Akili,,
@lemonadesoldier1377
@lemonadesoldier1377 Жыл бұрын
Uhakika Sana
@ALIMOHD-bk9lr
@ALIMOHD-bk9lr Жыл бұрын
Mimi DR. MEIGULU NCHEMBA Waziri wa Fedha wa SMT, nimekuelewa mnoooooo. Mungu akubariki Sana Sana Sana.
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Жыл бұрын
hapendi kukosolewa na kuambiwa ukweli
@TamuzaKale
@TamuzaKale Жыл бұрын
Hili ni jipya?
@goodluckdavid7806
@goodluckdavid7806 Жыл бұрын
Facts
@richardlucas2275
@richardlucas2275 Жыл бұрын
kukosolewa uongo. anaelekezwa
@Allystor
@Allystor Жыл бұрын
Mbona kipindi cha Magufuri hayakuwepo hayo ya kupanda bei kiholela miaka yote sita aliongoza
@oklahommy9838
@oklahommy9838 Жыл бұрын
Hapo kwa import na export nakuelewa watu wengi hawajui kuwa uki import vitu kutoka nje unatumia US Dollar so kama importation is higher than the exportation obviously foreign reserve will reduce its just a simple logical phenomena
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Жыл бұрын
Aaaah hii nchi bhaana uchumi una collapse halafu mtu analeta habari za kuwa msomi wa uchumi tafadhali tuache siasa raia huku uchumi mgumu mno huo ndo ukweli tubadilike kuwa wanasiasa bali twende kwa mahesabu zaidi
@benny4345
@benny4345 Жыл бұрын
Not a fan of Mwigulu, but I must say he has a point!
@kambamazig02024
@kambamazig02024 Жыл бұрын
Kodi unazozisemea si kodi rafiki na zinaumiza wananchi na kudumaza uchumi. Kuna haja ya kuangalia mfumo mzima wa kodi ili uwe rafiki kusudi kila mtanzania aweze kuchangia kwenye kodi.
@kulwachacha7592
@kulwachacha7592 Жыл бұрын
Wewe bwana hupendi kukosolewa tulisha kuona huna lolote kazi wizi tu
@suitstv5889
@suitstv5889 Жыл бұрын
Hili jitu hili haliawahi kukaa kwenye wizara lika fiti lime kaa kaa kama Sambwan hivi
@loganoipatrick7744
@loganoipatrick7744 Жыл бұрын
Kashakula cha arusha hapo 😄🤸‍♂️🏃‍♂️
@kenanimwakanemela483
@kenanimwakanemela483 Жыл бұрын
Very articulate, salute Mh waziri
@iddymangwela9049
@iddymangwela9049 Жыл бұрын
Katika maisha yangu cjawah kushuhudia waziri wa hovyo kama huyu
@yahayagimbu4216
@yahayagimbu4216 Жыл бұрын
inabidi ujiangalie na ww pia unaweza kuwa ww ni raia wa hivyo vile vile na ni.mzigo kwa taifa
@patrickKitambo
@patrickKitambo Жыл бұрын
mimi pia sijawi ona , Waziri mjinga kiasi hiki
@barakaothumani6421
@barakaothumani6421 Жыл бұрын
yahya wew zezeta et ee Sasa huyu mnafiki unamuelewa kwalipi???
@richardlucas2275
@richardlucas2275 Жыл бұрын
yeye ni wa hovyo? umesikiliza anachokizungumza???
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Жыл бұрын
Mimi sijawahi kuona Waziri makini kuliko huyu. Anajuwa kutolea na kujibu HOJA.
@deogratiuswambura7597
@deogratiuswambura7597 Жыл бұрын
Asiwashike wabunge mdomo wanainchi wana hali mbaya !
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
Hapo 14:00 '..hii sio honorary doctor..', watakula kichwa mtani.. uliona matokeo form iv hawakutangaza shule zilizojitahidi na zilizofanya vibaya.. mwulize mulamula yalomkuta
@abelkingu4653
@abelkingu4653 Жыл бұрын
Salute kwako waziri, Elimu umeitoa. Utendaji wako katika wizara ya fedha hauna mashaka
@nazaathumani9178
@nazaathumani9178 Жыл бұрын
Perfect explanation
@willymdeka6034
@willymdeka6034 Жыл бұрын
Yaani hata useme kitu Gani watanzania tunajielewa sana nyie endeleeni kujinunulia mabasi tu
@GodfreyKiyeyeu
@GodfreyKiyeyeu Ай бұрын
Mpina salut🎉🎉🎉 yanuse kabla hujafa
@Nufaila442
@Nufaila442 Жыл бұрын
Mimi nalima maharage ekari 5 tu mpaka sasa nimetumia laki 4 ... hongera sana Mh waziri
@daudimchileg307
@daudimchileg307 Жыл бұрын
Sio kweli
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 Жыл бұрын
@@daudimchileg307 ukiona hivyo huyo chawa😃😃
@Nufaila442
@Nufaila442 Жыл бұрын
@@daudimchileg307 shamba nimekodi kila eka 40,000 kulima na Trakta kila ekar i ni sh 35,000 hapo nimelima na Trekta ya ucle mbegu nimenunua ... Leta maneno kama ni uwongo huu
@daudimchileg307
@daudimchileg307 Жыл бұрын
(40000×5=200000) (35000×5=175000) apo tuu 375000 tupe bei ya mbegu, vibarua kupanda, usafiri, gharama za kulima, na kama trekta yenu mafta ulitumia ya sh? Acha kutudanganya bana futa hiyo post
@Nufaila442
@Nufaila442 Жыл бұрын
@@daudimchileg307 nimesema nimetumia laki 4 mahesabu yako yako vizur ila hujapigia bei ambayo ni kila debe la maharage ni 42,000 madebe 3 malizia wewe
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 Жыл бұрын
mwigulu huna lolote siasa tu
@Kidia-yt3bm
@Kidia-yt3bm Жыл бұрын
Safi mkuu nimekuelewa,wenye akili tu ndio wanaweza kukuelewa,chapa kazi
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 Жыл бұрын
Acha hasira, jibu hoja kaka.
@leninkazoba6534
@leninkazoba6534 Жыл бұрын
Hakuna ukweli nchi wakulima wanaumia Kwa sababu ya Madalali
@allyseleman9531
@allyseleman9531 Жыл бұрын
Mh waziri unasema kweli ila mtu kama hapendi kweli hata uongee Hadi Koo lipasuke hawakuelewi ila Mimi mkulima kilimo Sasa ni Dili.
@kokukarokola4974
@kokukarokola4974 Жыл бұрын
Kipindi cha magu wakulima ni hao hao mbona mambo yalikua shwari? Si kweli.
@kmmediapro712
@kmmediapro712 Жыл бұрын
Hongera Sana mkuu
@petertimothy7882
@petertimothy7882 Жыл бұрын
Big up Dr. Mwigulu.Binafsi nimekuelewa Mhe. Kwa maelezo yako, nashauri waheshimiwa wakusikilize tena. Umetetea vyema wakulima. Kutokana na bei ya vyakula kuwa juu sana kwa sasa, nashauri Serikali iangalie upya mishahara ili kimfariji Mtumishi wa umma kutokana na mahitaji ya mengi kupanda
@yasiniswedi8835
@yasiniswedi8835 Жыл бұрын
Hamna wazili apo
@mosseskanini255
@mosseskanini255 Жыл бұрын
We ndo ujielew kabsa,We unajua ni asilimia ngap ya watanzania hawana hizo mishahara au kaz unategemea hayo matihaji watapata wap,kikubwa ni kushusha bei ya bidhaa ndo watu waweze kukidhi mahitaj.
@salama1113
@salama1113 Жыл бұрын
wabunge inaelekea mnapenda kumchokoza waziri anavyo ongea kwa povu😂😂😂🙌🙌
@foundationforcommunityhope7327
@foundationforcommunityhope7327 Жыл бұрын
Heeee PHD....inangia wapi hapa...mbona maelezo mazuri ...Hata PHD za HESHIMA heshimu Dr.
@Pelegrinoemanuel
@Pelegrinoemanuel Жыл бұрын
Mpina kakutoa jasho
@hurumajosephat6333
@hurumajosephat6333 Жыл бұрын
Mwiguru uko sahihi principle za uchumi haziwezi kukwepwa huyi mpina alipewa uwaziri wa uvuvi na mifugo alifilisi wavuvi wengi Sana Kanda ya ziwa kachoma saa nyavu za watu leo anaongee Nini akae kimya ata akiongea asahau kupewa uwaziri na akicheza ata ubunge 2025 hapat
@amaniabdi9755
@amaniabdi9755 Жыл бұрын
Hongera mweshimiwa Waziri,anaetaka Bei za vyakula zishuke aende Shamba akalime na yeye.
@Watema23
@Watema23 Жыл бұрын
Ni kweli kwamba kahuli ususha uchumi... Hapa Marekani wanaangali sana kahuli ya gova wa bank reserve
@jameskivelege8630
@jameskivelege8630 Жыл бұрын
Safi sana mheshimiwa Mwigulu huo ndio uchumi,nimeipenda unavyowarudisha watu shule, congratulations
@amirikoshuma6022
@amirikoshuma6022 Жыл бұрын
Uzalendo zeroo
@JJ-fb9jp
@JJ-fb9jp Жыл бұрын
Unahalalisha na kuwapa kichwa watu watapandisha bei zaidi
@abdulrahmanally1412
@abdulrahmanally1412 Жыл бұрын
It is an apt speech articulated, wapitishe darasani hao baadhi, sasa nadhani ni mbuzi ambaye hatakuelewa, they don't even know how the world is managed by the cartels and syndicates, they still do not know the effect even the global impact of covid 19 and Ukraine vs Russia war we are not leaving in an Island, the global impact will also be affected in one way or another, Mpini shule inakuhusu na sio kubwabwaja tu watu wanajua kupima sm za samaki tu na kukusanya nyavu za watu na kupiga moto, Msukuma aliwahi kulisemea hili, leo jamaa(Mpini) anajifanya savior!!! Wakipewa nafasi walete mapinduzi ya mifugo na uvuvi wao wanapima sm za samaki! Piga kazi Mwigulu your Doctorate is not honored, is purely school learnt oriented, kama anaona rahisi basi aingie darasani aone thesis zinavyosumbua kama atapata muda wa kupayuka
@dn.n4983
@dn.n4983 Жыл бұрын
Kweoi juu kasoma naona hapa walisahau siku zote kimya
@emmanuelnyina1789
@emmanuelnyina1789 Жыл бұрын
Kwahiyo unataka kusema nini kuhusu wale wa kupewa dokta😀😀😀😀
@aronesamson3692
@aronesamson3692 Жыл бұрын
Wazili bwna unaongea sana lakin sijakuelewa kabisaaaa.tanzania tunalima wachache sana walaji niwengi zaidi.
@msafirimiracle6613
@msafirimiracle6613 Жыл бұрын
Pale kwenye doctor ya kupewa ndio Kuna Jambo hapo,ngoja ninyamaze ndio tumetoka January
@nicodemmabala1904
@nicodemmabala1904 Жыл бұрын
Safi sana Mwigulu hio point nimeielewa sana.
@johnsonbagambi1908
@johnsonbagambi1908 Жыл бұрын
Nikweli uyu jamaa kasema ukweli binafs nimemuelewa sana
@ezekielmabwai482
@ezekielmabwai482 Жыл бұрын
Mama Fukuza hili CHAWA!!
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
Mchawi ww wamechelewa kukupa matunguri...
@amanafi1288
@amanafi1288 Жыл бұрын
@@josephlorri431 Naona Wewee ni Conductor wa Esther Luxury....
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
@@amanafi1288 semeni kosa la Dr (PhD) Mwigulu. Mkalime,acheni kupiga bao asubuhi hadi jioni.
@amanafi1288
@amanafi1288 Жыл бұрын
@@josephlorri431 Sioni Dr hapo masuala ya pesa... Huyoo Kijana Mwenzangu ni Msanii tu wa Majukwaani... Kwa vyanzo vya pesa vya hii Nchi anambana hata Mtu wa kawaida. Huyo hawezi asione aibu amvute Mchumi kama Lipumba aoneshwe njia salama ya kuifikisha Tanzania uchumi kwelii wa kati. Tuache ushabiki maandazi... Tuna Kilimo,Mifugo,Bahari,Mito,Maziwa,Misitu,Bandari, Airport's,Mipaka (boulder),Madini aina Rukuki n.k Aibu tupo kuwa na Mtu anayeuponda Udocta wa heshima hadharani kujenga hoja yake mbovu.
@Worldunite
@Worldunite Жыл бұрын
Kwanini sasa mbolea zisizalishwe hapahapa nchini????
@leninkazoba6534
@leninkazoba6534 Жыл бұрын
Acheni uongo toeni makusanyo ya Kila mwezi tu.
@safarijuma9410
@safarijuma9410 Жыл бұрын
Safi sana mheshimiwa mungu ni mwema atakulinda chapa kazi wengi tunakuelewa vizuri sana
@charzykazimilymajahasy703
@charzykazimilymajahasy703 Жыл бұрын
Dr mjinga
@mzungu2012
@mzungu2012 Жыл бұрын
Waziri ikiwa hapo mwanzo tu kwenye namba ya walioajiriwa unabadili ⚙️ angani. Mara ya kwanza elfu moja mia tano walishaajiriwa in less than 5 seconds elfu mbili walishaajiriwa. Sasa kwenye figures tu unayumba itakuaje kwenye hayo mengine, tunapataje uhakika kama unasema ukweli
@johnkomba8181
@johnkomba8181 Жыл бұрын
Leo mwigulu katusha
@life_varieties9559
@life_varieties9559 Жыл бұрын
Atleast leo umejibu vzr
@jellymbogo7246
@jellymbogo7246 Жыл бұрын
Hv hili sjui wanaliaminigi nn jinga hili
@saxannjo6173
@saxannjo6173 Жыл бұрын
Kisomi sana na Logic sana MWIGULU. Leo nimekuelewa sana Mheshimiwa
@bavonichristopha1693
@bavonichristopha1693 Жыл бұрын
Mmmmh
@ericksweetbert6072
@ericksweetbert6072 Жыл бұрын
Ndio wanavyofundishwa hivi chuoni jamani
@abdulsengo5312
@abdulsengo5312 Жыл бұрын
Kama kila kitu Anafanya Samia wao wamekaa hapo bungeni kufanya nini.
@salehwaziri5062
@salehwaziri5062 Жыл бұрын
Upuuzi
@yasiniswedi8835
@yasiniswedi8835 Жыл бұрын
Huyu wzli huwa cmuelewagikabisa
@abdulsengo5312
@abdulsengo5312 Жыл бұрын
Hajui kuwa huwa tunaekisipoti madini huyu waziri mchumi.
@augustinomasala5339
@augustinomasala5339 Жыл бұрын
Mchumi hakuna sifuri point sabini na tano
@ellamsakafu60
@ellamsakafu60 Жыл бұрын
Hivi wewe umeishia la ngapi na darasani hesabati ulikuwa unapata ngapi vile?
@augustinomasala5339
@augustinomasala5339 Жыл бұрын
@@ellamsakafu60 kwamba unanikosoa au unaniunga mkono?
@michaelgibril8594
@michaelgibril8594 Жыл бұрын
JAMANI MM NIMEISHIA LA SABA, NACHANGANYIKIWA. MAISHABYANAZIDI KUWA MAGUMU
@adkajisi4536
@adkajisi4536 Жыл бұрын
Kuishia la saba na kuchanganyikiwa Vina husiana nini?
@kastorkidumu6579
@kastorkidumu6579 Жыл бұрын
Kwahiyo Bei ya mazao yatashuka Kama ruzuku
@johnsonbagambi1908
@johnsonbagambi1908 Жыл бұрын
Mwigulu uko sahihi
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 Жыл бұрын
Mheshimiwa umejitahidi kujieleza lakini kuna hoja ya malipo nje ya bajeti ukutoa ufafanunuzi Mheshimiwa mavuno hayoko mbali tutarudi tena kukuhoji kwani umedai msimu huu serikali imatoa ruzuku katika kilimo na matarajio ni kupunguza bei mara baada ya mavuno. Tumesikia na tunasubiri. Kuna zao la korosho Mheshimiwa bei zimekuwa zikipangwa na wajanja wachache hapo vipi? Na kama kuwatoa katika umasikini mbona wakulima wa korosho ni maskini sana ukilinganisha na bei ya korosho duniani?
@abelkingu4653
@abelkingu4653 Жыл бұрын
Hili Alilijibu mkuu, kwa kifupi bunge lilitoa ridhaa serikali itoe pesa kwa ajili kujenga madarasa nje ya bajeti
@abelkingu4653
@abelkingu4653 Жыл бұрын
Pia kwenye ruzuku ya mbolea... kubali kusikiliza na kuelewa tu mkuu
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 Жыл бұрын
@@abelkingu4653 Ndugu nakuelewa lakini tusiunge mkono kwa sababu mtoa hoja ni mjomba tuangalie masilahi mapana ya wananchi. Kwa sasa bei ya vyakula iko juu. Serikali ije na mikakate ya kupunguza hizo bei. Msimu ujao sio mbali tunataka kuona kama hatua iliyochukuliwa ya ruzuku ya mbole itatatua mfumuko wa bei za vyakula.
@abelkingu4653
@abelkingu4653 Жыл бұрын
@@mwalimumstaafu8529 mi naunga mkono hoja za kiuchumi mkuu. Au unapenda zama za kudanganywa
@mwalimumstaafu8529
@mwalimumstaafu8529 Жыл бұрын
Wewe utakuwa toka Kiomboi na kama sikosea mtoto wa mzee Stephen. Mjomba wako sera zake za kiuchumi zimetuathiri sana sisi watu wa chini. Mwambie akusanye kodi kwa matajiri. Mimi naamini wanalipa chini ya kiwango kutoka na mifumo mibovu.
@lanezboy7016
@lanezboy7016 Жыл бұрын
Tumbili huyu sasa kwann mlipandisha mbolea kwahiyo mliyajua haya mbwa nyinyi
@samwelhechei8537
@samwelhechei8537 Жыл бұрын
Mwigulu umeongea vizuri sana
@tumainirkyando8128
@tumainirkyando8128 Жыл бұрын
Hakuna lolote hapo !
@mmungamasengo1859
@mmungamasengo1859 Жыл бұрын
Magufuli oyeee kazi mbele nyuma mwiko tz ya sasa inapendeza
@jafarimfinanga6686
@jafarimfinanga6686 Жыл бұрын
amka usingizini
@novatusabond9253
@novatusabond9253 Жыл бұрын
Huwa tunauza ziada,hatuuzi chakula chote nje mzee
@maryamshekihiyo
@maryamshekihiyo Жыл бұрын
Sembe ipo juu mchele upo juu maharage yapo juu kuna hali mbaya mwinguru sijui unampango gani na sisi masikini kwakweli
@davidsimbeye1548
@davidsimbeye1548 Жыл бұрын
Mbona amefafanua vizuri hata tuliosomea chini ya mwembe tumemuelewa? Amesema kupanda kwa bei ya mazao ya chakula imetokana na gharama kubwa za uzalishaji wa mazao hayo mwaka Jana. Ndiyo maana rais akaamua kuweka ruzuku kwenye mbolea na mafuta ili mkulima azalishe kwa gharama ndogo msimu na baada ya mavuno bei ya mazao hayo itashuka. Miezi ya mavuno ni kuanzia mwezi wa tano mpk wa nane tungeswa tusubili tuone kama kweli bei ya mazao itashuka, ili tuje tumshike uongo vizuri.
@ashasaidi1895
@ashasaidi1895 Жыл бұрын
Lima
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Жыл бұрын
Hata Magufuli Akupenda Ya Hi Mbayambayambaya
@kokukarokola4974
@kokukarokola4974 Жыл бұрын
Baada ya ajira hizo mapato yamekua kiasi gani, wameokoa siasi Kani cha mapato kwa matajiri wakwepa kodi? Yameongezeka tozooooo? Na kuuza chakula nje ndani twafaaaa.
@deogratiuswambura7597
@deogratiuswambura7597 Жыл бұрын
hakuna chochote hapa
@charzykazimilymajahasy703
@charzykazimilymajahasy703 Жыл бұрын
Mimi Sasa simpendi, amekuwa mjinga, sijui wanatufanyia makusudi, eti Dr mpuuzii, rais nae hatoshei, kama kweli wanaipenda Tanzania na sio madaraka, nawaomba muachie nganzi Ili kuiweka Tanzania Salama..
@mansooralaisri5200
@mansooralaisri5200 Жыл бұрын
Hao wabunge kama hawakuelewi ni sawa sawa na Mbuzi
@isaacjohn3786
@isaacjohn3786 Жыл бұрын
Ila Mwigulu ni kichwa
@dottolucas9768
@dottolucas9768 Жыл бұрын
Hapo nimekuelewa mweshimiwa mwigulu
@fabiankachewa6551
@fabiankachewa6551 Жыл бұрын
Kongole kwako waziri,wanaotaka mazao kushuka bei waende wakalime
@majigedioniz8049
@majigedioniz8049 Жыл бұрын
Mwiguru na mama mnajambo lenu
@abbyseniorhunter7030
@abbyseniorhunter7030 Жыл бұрын
Huyu waziri ni kichwa
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Жыл бұрын
Umeeleweka
@frankngoloka2589
@frankngoloka2589 Жыл бұрын
Kweli kabisa tumelima kwa gharama sana
@lanezboy7016
@lanezboy7016 Жыл бұрын
Nyoko
@abellutonja4589
@abellutonja4589 Жыл бұрын
Umeamua kuwasimanga SAMIA ,MUSUKUMA, TALETALE
@mansooralaisri5200
@mansooralaisri5200 Жыл бұрын
Mpina ni Sukuma Gang. Sió kwamba haelewi ila anataka kuiangusha CCM kwa makusudi. Atazamwe kwa Jicho la tatu.
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Жыл бұрын
ccm anajiangusha yenyewe ugumu wa maisha uliopo sio siri. lazima ukweli usemwe hadharani, rushwa inatisha , uonevu watu kunyang'anywa ardhi zao , masai wanafukuzwa kwa nguvu katika makadhu yao . yote haya anayafanya Mpina?
@isaackibezi6422
@isaackibezi6422 Жыл бұрын
Watuache na ss wakulima tupate kidogo
@mansooralaisri5200
@mansooralaisri5200 Жыл бұрын
Vichwa nazi utaumia Mwigulu
@adammwakalonge3573
@adammwakalonge3573 Жыл бұрын
Tatizo kaka Lameck watu walishakuwa na mtazamo hasi ndio maana kila unachoongea hata kama kina mantiki watu wanajizima data, we jaribu hata kujitambulisha jina lako Utasikia bado unapingwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣lakini mbona unachoongea ni kitu kiko wazi sema tunapenda kuambiwa uongo
@kokukarokola4974
@kokukarokola4974 Жыл бұрын
Mbona mnatuchanganya ela ikiulizwa madarasa reseivu madarasa lakini ulipoambiwa umetumia ela nje ya bungee pia umesema ni madarasa tupe darasa humping mpina unatupa wananchi. Me sijui uchumi nifafanulie kikayumba tu madarasa mnayosema yamejegwa kwa ela gani?
@immanuelinvocavith1498
@immanuelinvocavith1498 Жыл бұрын
Zalisheni chuma hapa tz mana tunayo
@abdulsengo5312
@abdulsengo5312 Жыл бұрын
Hakuna anachokijua.
@deogratiuswambura7597
@deogratiuswambura7597 Жыл бұрын
Nikwa nini mborea iuzwe bei juu
@abdulrahmanally1412
@abdulrahmanally1412 Жыл бұрын
Mpige shule huyo Mpini na kundi lake
@yasiniswedi8835
@yasiniswedi8835 Жыл бұрын
Ninashaka nao haowanaompgiamakofi wzli anaeongea kisichoeleweka
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 Жыл бұрын
Mbona korosho mnampangia mkulima bei ya kuuza
@adamukamei5625
@adamukamei5625 Жыл бұрын
Achen kupaniki
@christianmwashala9760
@christianmwashala9760 Жыл бұрын
Ww piha kelel weee ngj aje dkt tulia akson ndo kiboko yako
@amirikoshuma6022
@amirikoshuma6022 Жыл бұрын
Kusema keeling mwigulu nchemba sijakuelewa hata kidogo ...
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 119 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 12 МЛН
Gym belt !! 😂😂  @kauermotta
00:10
Tibo InShape
Рет қаралды 18 МЛН
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 10 МЛН
Ni kuri na njira njeru cia kweheria Rigathi Gachagua wabici-ini.
27:06
KAMEME OFFICIAL PAGE
Рет қаралды 1,2 М.
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 119 МЛН