WAZIRI SILAA CCM WAFUKUZENI HAWA VIONGOZI MATAPELI NA WAONGO | WAMEWAPA WANANCHI MIGOGORO YA ARDHI

  Рет қаралды 2,379

RAI TV

RAI TV

15 күн бұрын

Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amekitaka chama cha mapinduzi ccm kuwafukuza pamoja na kuwachukulia hatua kali wenyeviti vijiji,vitingoji na wa mitaa ambao wamewaingiza wananchi kwenye migogoro ya Ardhi.
Silaa ameyasema hayo mbele ya Amos Makala katibu mwenezi Taifa kwenye mkutano wa hadhara wa chama cha mapinduzi wenye lengo la kusikiliza kero za wananchi katika jimbo la Ukonga jijini Dar Es Salaam.

Пікірлер: 7
@mussakilo4916
@mussakilo4916 14 күн бұрын
Natamani siku moja nikutane na wewe uso kwa uso nikusalimie tu wewe kweli unafanya kazi ya kutukuka mungu akulinde piga kazi mkuu hakika wewe ni jembe la watanzania
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 14 күн бұрын
Mama hongera kwa kumchagua waziri slaa
@salimiddy7769
@salimiddy7769 14 күн бұрын
Kweli kabisa Mh Waziri wa Ardhi Jerry Slaa
@zubedadahalgould8809
@zubedadahalgould8809 14 күн бұрын
Ni kweli kabisaa huko kidimu kibaha wanatuuziya mara mbili mbili na kutuleteya migogoro huko kuna huyo serialised ya mtaa anaitw Kafifi na wenziwe wote serialised za mtaa wanahujumu uchumi wanatutesa kwa kutaka hongo kila siku hii ninaomba imgikie Waziri wa Ardhi Waxiri Slaa ili aone madudu ya KIDIMU
@mwanaidiahmed-dt8dj
@mwanaidiahmed-dt8dj 12 күн бұрын
Silaa oyee
@zubedadahalgould8809
@zubedadahalgould8809 14 күн бұрын
Tunatamu uje huko KIDIMU UJE KUTUTALIAMADIDU YA HUKO
@simbisimbila1972
@simbisimbila1972 12 күн бұрын
Waziri naomba kuuliza swali ivi kupewa control namba ya kulipia aridhi inachukua miezi mi ngapi kwani mimi na miezi 8 nazungushwa tu shida nini
THEY made a RAINBOW M&M 🤩😳 LeoNata family #shorts
00:49
LeoNata Family
Рет қаралды 42 МЛН
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 73 МЛН
UNASEMAJE WEWE ? TRA HAWAJUI HESABU, NJOO HAPA USEME VIZURI
10:56
小丑冒险给天使带回玫瑰花#short #angel #clown
0:56
Super Beauty team
Рет қаралды 8 МЛН
Bacho Ne Ye Kar Liya 😱🥲
0:13
Sunnyy Rawal
Рет қаралды 18 МЛН
Парень рассекретил измену своей жены😳
0:57
Clown takes blame for missing candy 🍬🤣 #shorts
0:49
Yoeslan
Рет қаралды 35 МЛН
POV Anxiety became a dad, but... | Inside Out
0:34
Future Fun
Рет қаралды 6 МЛН