What is Happening in the City Centre of Dar Es Salaam Tanzania #tanzania #construction #2024 #daressalaam
Пікірлер: 94
@razackndeze-pv5bm14 күн бұрын
Kuna watu kila kitu wao wanapinga, hao ni wapuuzi kabisa, serikari hapa wameupiga mwingi kazi nzuri sana kabisa, kazi nzuri kama huu mradi wa mwendokasi unaanzaje kuupinga?!? Mambo mengine ya metro nayo yatakuja steps by step Insh'Allah. Good job Bro.Bertin 👏 👍 👌
@user-ui1qs9yl1n14 күн бұрын
hizi barabara za city centre ni za zamani sana nakumbuka wakati nikiwa mdogo baba yangu alikuwa ananipeleka askari monument nilikuwa naliogopa sana hilo sanamu umenikumbusha mbali sana bertin big up mzee endelea kuitangaza nchi yetu
@eddechriss266414 күн бұрын
Tanzania leaders there always think to move around with video shooters to show what there doing, but for sure some time there disappoint us, they dont hv aides how they can add more attractions around the cities so that the government could add more aerials to collect the tax, The place like mnazi mmoja park looks like ghost kwa sasa, kwa nini Nssf wasipewe watengeneze park nzuri ya kisasa pia lijengwe jengo refu zaidi ya mita 300 above jina liitwe independent tower , jengo juu lisanifiwe mtu akipanda kuwe na uwezo wa kuliona jiji la dar es salaam 360 view then weka charge ya 5k kwa kila anayehitaji kupanda juu kuona jiji la dsm, am sure pesa ingepatikana nyingi sana kwa watalii watakaopanda juu kila siku, lakini viongozi wetu wao wamebaki na mawazo mgando tu kuwa na vivutio vya asili, ngorongoro, serengeti na mikumi Ohoo Tanzania oyeeeh😂😂😂😂
@giftmeela625014 күн бұрын
Serikali pia inatakiwa iangalie na miji mingine kama Arusha, Mwanza Dodoma na Mbeya kuboresha public transport.
@RashidHussein-bs1rg14 күн бұрын
Dar bado ipoh nyuma sana, kwenye miundombinu. Hizo barabara zitaongeza foleni sana
@RamadanPaul14 күн бұрын
Kumbe Dar_Es_Salaam, inajengwa vizuri namna hiyo
@alfinmbilinyi5985Күн бұрын
Kazi nzuri serikali ya Tanzania jengeni pia miji mingine iwe mizuri siyo dar tu tanga arusha mbeya mwanza singida songea morogoro fly overs zijengwe pia kama pale masasi mataa Tanzania ya Nyerere iwe tishio kwa maendeleo.
@petersonolangu239814 күн бұрын
Hizo sio sewerage system ni drainage system
@suguivan384314 күн бұрын
pia mambo ya nguzo za umeme kwenye cbd sio poa hionekani smart
@elinamilyatuu733714 күн бұрын
Sasa wanunue bus za kutosha maana abiria ni wengi ...sio bus zinakua chache alafu project inakosa maana
@temuemanuel467114 күн бұрын
Brother Bertin, thank you for your updates. For sure after 2 years Dar es Salaam will be supper modern city. May God continue blessing Tanzania leaders and Walipakodi
@ewaldambrose613614 күн бұрын
Tanzania,my heart m my soul..I'm proud to be a Tanzanian
@tanzaniantraveller14 күн бұрын
Dar es Salaam is going to the next level 🎉🎉🎉
@prothodommy14 күн бұрын
I visited Nairobi Last week, and you can go somewhere within a city and forget if you are still in the city, they have Nairobi National Park within a city, the Nairobi national Museum snake park and aquarium, giraffe center, different big public parks.. it was soo attractive and many foreigner were there!
@haithamally751414 күн бұрын
Buguruni to Kariakoo, it wasn’t necessary, its going to make the road more chaotic, There’s Buguruni Market, Boma Market, Karume Market, then Kariakoo market, along the road, plenty of those tricycles carrying heavy goods, bodabodas, bajaji, daladalas, Trucks, kitaumana I swear, its only one lane
@omarybakunda255414 күн бұрын
Hongera sana daresalam
@abuuramadhan809314 күн бұрын
Tanzania we have beutifull bus stand in every regional
@abuuramadhan809314 күн бұрын
Congrats Hon samia suluhu Hassan
@brexter352114 күн бұрын
so what happens to all the daladala...will be gone once the entire plan of brt is constructed?
@homeboybeyondtheborders493514 күн бұрын
After completion of BRT there will be no Daladala in CBD