No video

WILL SMITH: Utata wa matukio ya FAMILIA yake, Tetesi za kuwa SHOGA zinamtafuna, Utamwonea HURUMA

  Рет қаралды 44,828

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
play.google.co...

Пікірлер: 86
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 6 ай бұрын
Pole willy tatizo ni kumuacha Mungu, hakika kwa adui hakuna huruma, watakurarua sana sana, Mungu akusaidie
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 6 ай бұрын
Daa pole will Smith,,will Smith Bado hajamuv on hajampata mbadala wa Jada..Yan mim ilinikutaga hayo kumpenda mtu kias icho Cha will..ni hali mbaya Sana ikikukuta..nikwer will ni king'ang'anizi Kwa Jada na upendo upo upande mmoja..pole will mungu atakutoa huko
@ramrod2169
@ramrod2169 6 ай бұрын
I like Mr Smith he seems a cool guy😢....he doesn't deserve this
@user-ip4ie7pt6i
@user-ip4ie7pt6i 6 ай бұрын
Wamarekani sio watu wa kuwaamini hapo asaivi wanamuita Will Smith bwege lakini akisema ajibu mashambulizi pia wata mgeuka na kusema mnyanyasaji wa wanawake
@raulmagige2698
@raulmagige2698 4 ай бұрын
Kama mkewe amekiri mwamba shoga ww nani upinge Sio KILA serekali mengine Yana ukweli rafiki Ake amekiri mwamba shoga aliwahi mfuma analiwa
@user-ip4ie7pt6i
@user-ip4ie7pt6i 4 ай бұрын
@@raulmagige2698 usikulupuke tu kutaka kumjibu mtu nilicho sema mimi na ulicho kuja nacho wewe ni vitu viwili tofaut
@Khalidniya380
@Khalidniya380 6 ай бұрын
Pole sana Will MUNGU asaidie huyu jamaa asije kujiua
@Fgldesigns
@Fgldesigns 6 ай бұрын
Mwanaume kuoa Marekani ni sawa na kujitega mwenyewe mda wowote unanasa... Huko utaishi vizuri ukiwa bachelor ila ukioa maisha yako yatakuwa na misukosuko mwanamke hachelewi kukugeuka au kuomba talaka mgawane mali.
@cuteliciacutelicia3968
@cuteliciacutelicia3968 7 күн бұрын
Alafu ndio maana hazeeki huyu kaka anaimani sana❤
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 6 ай бұрын
Yan mapenzi yanaumiza Sana na mapenzi ni uwendawazimu unaweza ukaitwa majina yote kabisa lakin ogopa Sana kitu kinachoitwa kupenda ,,kupenda jaman nikitu kibaya Sana,,,hususan kama hujamuv on kwamtu unayempenda mmmh nihatar..unaweza hata kujizuru..Mimi nakuelewa Sana will Smith..inavyonekana Jada alikuwa hampendi will Smith tokea awali..ila aliolewa tu na Smith ilimladi tu aolewe
@idinado-wk3lx
@idinado-wk3lx 6 ай бұрын
Pole sana @jamilaathumani5481 inaonekana ulisha pitia maumivu 😊😊
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 6 ай бұрын
Ushoga ni tatizo kubwa Marekani
@FatumaIssa-kw3vv
@FatumaIssa-kw3vv 6 ай бұрын
Allah atufanyie wepesi
@mohdyussah825
@mohdyussah825 6 ай бұрын
Really love
@sammy-b6281
@sammy-b6281 6 ай бұрын
Yamwenzako sikia Omba yasikukute
@ShukranMwakyambo
@ShukranMwakyambo 6 ай бұрын
Sanaaaa
@LUHAHAJR-fj3ed
@LUHAHAJR-fj3ed 2 ай бұрын
Real man
@sonnyr1899
@sonnyr1899 6 ай бұрын
Kuwa makini na nani utakae muoa aitha nani atakae kuoa.
@Gulfnas1
@Gulfnas1 6 ай бұрын
Hiyo ndio iluminati, wanakupangia maisha yako mpaka kizazi chako!! Umechagua mwenyewe willy so pambana
@user-hj4bc5uh2x
@user-hj4bc5uh2x 6 ай бұрын
Ndio alitakamwenyewe kashindwa mwenyewe kumtegemea muumba wake acha abebemzigowake
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 6 ай бұрын
Kbx
@godfreysudi7264
@godfreysudi7264 6 ай бұрын
Eeeh wa bongo sawa wasajili wa illuminant 😅
@Gulfnas1
@Gulfnas1 6 ай бұрын
@@godfreysudi7264 we ni msajili wa Freemasonry
@Billystewart999
@Billystewart999 6 ай бұрын
Makala ya Juice wrld pia tunahitaji.
@user-gt6gj3oy7u
@user-gt6gj3oy7u 5 ай бұрын
Huyu ndie lusifa anakupa utajiri na umaarufu lakini hataki maisha yako yawe na amani hata siku1
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 6 ай бұрын
Yaani wenzetu hawa Hawatuthamini kama ss ni binadamu kama wao weupe. Uchafu wote tunatupiwa watu weusi. Mashoga sisi mashetani sisi, kila baya ni la ss weusi. Ukipata umaarufu hawapendi watakusingizia kila chafu. Tujuwe hstupendi hata ukijikomba vipi hawatuthamini
@raulmagige2698
@raulmagige2698 4 ай бұрын
Kuna mzungu gani msanii mkubwa marekani?
@aziza9093
@aziza9093 6 ай бұрын
Ashidwe Allah tulahe
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 6 ай бұрын
Hapa ili amani ipatikane inabidi Mungu amchukue Jada maana ndio anamuumiza mwenziee😢
@Happy-yk3lv
@Happy-yk3lv 6 ай бұрын
😅😅
@user-ip6iy6pm3n
@user-ip6iy6pm3n 6 ай бұрын
MUNGU amekupa kusikia majuto ya mwenzio kuwa funzo kwako kazi kwako uwe msikilizaji au usikie
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 6 ай бұрын
👊✌️👍.
@user-cf8re1vm7o
@user-cf8re1vm7o 4 ай бұрын
Jadah mwenyewe mbaya kama kinyago wiliy mzuri sana jamani mapenzi kweli yana nguvu
@surusuru1994
@surusuru1994 6 ай бұрын
Anaonesha hayuko sawa sikuzot baba huwa bora huyu mam ndo hana haya wala hajavuzwa
@peterchalamila3422
@peterchalamila3422 6 ай бұрын
Jadah Pinket mwenyewe havutiii
@vickydan2869
@vickydan2869 6 ай бұрын
Yaani
@godfreysudi7264
@godfreysudi7264 6 ай бұрын
Siri ya kitanda 😊
@SalimSalim-bv3wb
@SalimSalim-bv3wb 5 ай бұрын
NI kwasababu amezeeka,hebu nenda katafute movie inaitwa Queen Latifa,uone Jada alivyo bomba
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 6 ай бұрын
Wanawake kama hawa hawafaii kabisa jamani 😢duu kwni anakuua kimyakimya walai siopoa kua maarufuu kweli ni chngamoto
@JosephJackson-jv1so
@JosephJackson-jv1so 6 ай бұрын
Naomba utuletee makala ya Eminem.
@hannahnjoroge2641
@hannahnjoroge2641 5 ай бұрын
The Devil comes to steal kill and destroy....
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 6 ай бұрын
22:51 jada ana kichwa kibaya 😂😂
@jumalihumbo5314
@jumalihumbo5314 6 ай бұрын
Nipe like first man😅
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 6 ай бұрын
Masikini
@lazaromwambene4516
@lazaromwambene4516 6 ай бұрын
😮
@cuteliciacutelicia3968
@cuteliciacutelicia3968 7 күн бұрын
Huyo jada anazeeka anamuacha will😂😂😂 roho ya kishetani had kamuharibu mtoto
@alisalim2145
@alisalim2145 6 ай бұрын
Maskini babawawatu😢😢😢😢
@judyngowi391
@judyngowi391 4 ай бұрын
Naombeni kuuliza, huu utajiri wa kishetani una uhusiano gani na ushoga?
@hallin9561
@hallin9561 6 ай бұрын
kwakwel mapenz uchiz, jada alivyokuwa mbovu ivyo ata mvuto hana lakin mwamba anakomaa nae kwa machungu yote, Will Smith ni handsome boy sana nilimuona live arusha mwaka juzi aisee mwamba kapanda hewan na handsome anaweza pata pisi kali ingine akala nayo raha ila yeye kukomaa na uyo bibi tu
@prosephinerandrew7155
@prosephinerandrew7155 6 ай бұрын
Huyu jamaa atakuja fia usingizini😢😢😢
@user-cg6sq4qy5l
@user-cg6sq4qy5l 6 ай бұрын
Kweli😢
@Goodluckcomputers_01
@Goodluckcomputers_01 6 ай бұрын
sky🎉
@SaudaZigaba
@SaudaZigaba 6 ай бұрын
😢😢
@shabanibussara8454
@shabanibussara8454 6 ай бұрын
Changamoto ya Afya ya Akili...
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 6 ай бұрын
Kwa hali aliyonayo Jada upendo na kujaliwa ni kitu kikubwa anachostahili
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 5 ай бұрын
Atajua mwenyewe iwekweri sikwwli Kazikwake. Maana sikuhizi kawaidakwawatukama hao
@laurenttadey1955
@laurenttadey1955 6 ай бұрын
Mapenz ni kitu cha ajab huyo jada ana kichwa kama kokwa la embe lkn anamtesa will😅😅😅😅
@eminix2132
@eminix2132 6 ай бұрын
Bad Boys ft Martin Lawrence
@EdghaMoses-js8lj
@EdghaMoses-js8lj 6 ай бұрын
Binafsi hatuwezi kuimaliza hata siku yenye masaa 12. Yaan siwez siwez kuwa
@JacqDaniels-hu5xj
@JacqDaniels-hu5xj 5 ай бұрын
Mwanamke ukimfanyia mateso siku akikukinai nd yanatokea haya
@mackamehassani201
@mackamehassani201 6 ай бұрын
Kuna kitu cha kujifunza hapaa jmn.
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official 6 ай бұрын
Mtizamo wangu nikwamba kilambuzi itakula kwa urefu wa kamba yake
@luganomwakyusa7697
@luganomwakyusa7697 6 ай бұрын
Hii familia ishaharibika inahitaji maombi
@mariasalomemelchiorkaigaru1974
@mariasalomemelchiorkaigaru1974 6 ай бұрын
Asikwambie mtu hakuna mzazi anayependa uhusiano wa mwanae wa jinsia moja,hata wao hiwaumiza ila baadae husema kama ana furaha yy basi ila hiwaumiza sana.
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 6 ай бұрын
Yaani mapenzi ni takataka kabiisaa😢
@blacknesaya744
@blacknesaya744 6 ай бұрын
😅
@humbleshoal
@humbleshoal Ай бұрын
Hamna, kuna wengine wanapendana sana.
@moseskulola6913
@moseskulola6913 6 ай бұрын
Mashetani tu wote
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 6 ай бұрын
Choko huyu , anatumik kw maisha ya dunia na pesa na umaarufu
@damianminsno1317
@damianminsno1317 6 ай бұрын
Utawala wa ibilisi ndio unataka awe shoga ao wote mbwa
@kijokombao5345
@kijokombao5345 6 ай бұрын
Huyu ameingiza familia yake yote kwenye ushoga,kuanzia watoto wake hadi mkewe anasagana aliyataka
@tinejuxfrancis729
@tinejuxfrancis729 6 ай бұрын
Kaka we sikia tu Ila mwanamke akiamua kukuumiza na kukuchafua Ni hatari wanawake wameumbwa kuongea Sana tofauti na wanaume Kaka
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 6 ай бұрын
Haya tuambia ulimuona wapi😂😂 kha binadamu loh
@Mundi-oz7os
@Mundi-oz7os 6 ай бұрын
Sahihisho. Moja: tafadhali sana zingatia kuwa huku Tz hatuna shule za "upili" kama unavyoziita. Tunaita (na wewe unajua hilo) kuwa tunaziita shule za sekondari. Pili: Will na Jada hawajawahi " kuachana" bali walitengana kwa muda. Kuna tofauti hapo. Kwa Kiingereza ni "divorce au kuvunja ndoa" na "separation" au kutengana wakati bado ndoa ipo hai
@user-ed5xy5ce6k
@user-ed5xy5ce6k 6 ай бұрын
Acha ujinga wewe jaden Smith ndo alijiingiza mwenyew kweny ushog uelewi kitu wew
@kijokombao5345
@kijokombao5345 6 ай бұрын
@@user-ed5xy5ce6k sawa msemaji wa Smith family
@saidmwakugomba3623
@saidmwakugomba3623 6 ай бұрын
Jada alimpa nini uyu mwamba 😂
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 6 ай бұрын
Shetani akikupa pesa mwisho wake ndio huo
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 6 ай бұрын
Yarrabiii
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 6 ай бұрын
KAMA BONGO TUNGESEMA KATILIWA RIBYATA 😂😂😂
EXCLUSIVU : IMEVUJA SAUTI YA AHMED ALLY AKIDEKA KIMAHABA KWA MREMBO
6:14
Meet the one boy from the Ronaldo edit in India
00:30
Younes Zarou
Рет қаралды 19 МЛН
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 13 МЛН
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 49 МЛН
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 16 МЛН
BABA YANGU KIPOFU Full episode /31/ #love
40:19
BabaJoan
Рет қаралды 150 М.
Meet the one boy from the Ronaldo edit in India
00:30
Younes Zarou
Рет қаралды 19 МЛН