Wito Wangu S03EP03 na Padre Mario Dias OFM Cap, Padre Muhindi Aliyekata Mitaa ya DSM hadi Shinyanga

  Рет қаралды 6,513

Jugo Media

Jugo Media

3 жыл бұрын

Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
Jumuika nasi katika mitandao mingine ya Kijamii:
Instagram: / jugo_media
Facebook: / jugomedia2019
Mawasiliano:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405
#jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa #australia #unitedstates #canada #america

Пікірлер: 13
@bahatiinnocent4375
@bahatiinnocent4375 3 жыл бұрын
Congrats Ndugu Mario Diaz. Pacha wangu katika safari ya wito katika shirika la ndugu Wakapuchini
@christinemasiaga3378
@christinemasiaga3378 3 жыл бұрын
Tunajivunia sana kuhudumiwa na mtoto wetu aliyekua na kulelewa katika mazingira ya Parokia yetu. Tunamwombea baraka na neema nyingi ili aweze kuwavuta vijana wetu wengine wa Upanga wajiunge katika safari yake.
@jullianambena1503
@jullianambena1503 3 жыл бұрын
Hongera sana Fr Mario. Mungu Aendelee Kukutunza na Kukuongoza Daima
@lelomushikimboka9938
@lelomushikimboka9938 2 жыл бұрын
Hongera Baba Mario, mwalimu wangu na mlezi Maua Seminari!!! Mungu aendelee kukubariki na kukulinda!
@VeronicaSarungi
@VeronicaSarungi 3 жыл бұрын
Tunamtukuza Mungu kwa wito wa Fr. Mario na makapuchini wote
@tesharose5041
@tesharose5041 3 жыл бұрын
Hongera Sana father kwa utume mzuri🙏
@sylvesterjose3286
@sylvesterjose3286 3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akuinulie Nuru ya Uso wake na kukufadhili, Roho wake Mtakatifu akuangazie Nuru katika njia ya utumishi wako.
@marymnyanyi9221
@marymnyanyi9221 3 жыл бұрын
Tunamshukuru Mungu kwaajili yake
@paulina.baynit7970
@paulina.baynit7970 2 жыл бұрын
Hongera sana pd na ndg. Mario. 🙏🙏🙏.
@reginaldleonce9332
@reginaldleonce9332 3 жыл бұрын
Hongera NDG Mario.Nimekukumbuka tuliachana pale Kola mwaka 2005.Mungu akulinde daima.Mm Reginald sea Leonce
@zedianagasper9475
@zedianagasper9475 3 жыл бұрын
Hongera barikiwa na yesu
@ziporakamalakamala5903
@ziporakamalakamala5903 3 жыл бұрын
Barikiwa sana ,na mama maria azidi kukumbatiya ktk utumishi wako nimekupenda ni zawadi kutoka kwa mungu
@tanzaniaunforgettable4401
@tanzaniaunforgettable4401 2 жыл бұрын
Subtitle mbona sizielew? Hongera sana baba padre tunazid kukuombea udumu katika wito wako
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 18 МЛН
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 39 МЛН
Bwana Kafufuka Tuimbe Aleluya | Kwaya ya Mt. Yohane Paul II, Kurasini.
1:59
Kwaya ya Mt. Yohane Paul II - Kurasini
Рет қаралды 7 М.
SAFARI YA WITO YA PADRE MARTIN KIHIO PAROKO WA MUHEZA PART A
13:27
(UMTV) USAMBARA MOUNTAIN TV
Рет қаралды 311
FAHAMU KUHUSU UGONJWA WA GANZI, DALILI NA MATIBABU YAKE.
18:36
MUHIMBILI MLOGANZILA TV
Рет қаралды 96 М.
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Success Path Network
Рет қаралды 381 М.