Mwanzo Mwisho-Historia ya Kusisimua ASKOFU MKUU Thaddaeus Ruwa’ichi OFM Cap
Пікірлер: 6
@benedictamuya14373 жыл бұрын
Baba Askofu Ruwaichi binafsi nakukubali Mungu azidi kukupa maisha marefu katika utume wako
@othmarluwawilo83083 жыл бұрын
Niekuwa jirani ukiwa Jimbo la Dodoma, ukweli una upekee na karama ya pekee kt kuinjilisha neno la Mungu. Mungu aendelee kukupa afya njema.
@didasjohn85993 жыл бұрын
Utumishi mwema
@emmyjohn28363 жыл бұрын
Wana jimbo la Mbulu tunakumbuka mafundisho uliyotupatia
@sylvesterjose32863 жыл бұрын
BabaAskofu Mkuu tumekuwa nawe katika Jimbo Kuu la Mwanza umetuachia zawadi kubwa ya kuanzisha ujenzi wa Kanisa kuu (Cathedral) ni kumbukumbu ya kudumu ya Uongozi wako.