YAJUE MAISHA YA MR BLUE, SHULE ALIYOSOMA,NYUMBA ALIYOZALIWA,VITUKO VYAKE,MASKANI YAKE,KITAANI KWAKE

  Рет қаралды 56,235

Wasafi Media

Wasafi Media

Жыл бұрын

www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 57
@husseynomar9523
@husseynomar9523 Жыл бұрын
Hii ni love ya hatar yani wana mpa sifa zake Blu utafkir kishakufa 🎉🎉🎉
@samuelshukurani5550
@samuelshukurani5550 Жыл бұрын
Haya ndio maua Roma aliongelea .....big respect mr blue
@ismailngulingar2133
@ismailngulingar2133 Жыл бұрын
Mimi ninaitwa Baba joy au Ismail nimeishi na hery au Mr blue kinondoni Ananasifu soko mjinga akiwa mdogo darasa la 4 akiwa na marehemu mama yake ninamfahamu vizuri sana na safari yake ya mziki akiwa kinondoni na wakati akiwa bado kujulikana nyimbo iliokuwa akipenda sana ni nyimbo ya Dully salome juu ya kabuli lako nalia aah . Ninamfahamu vizuri sana mpaka kutoka kwake ila ninaomba nishie hapa
@maulidimbau9233
@maulidimbau9233 Жыл бұрын
?
@hassanfigo6175
@hassanfigo6175 Жыл бұрын
Jamaa wameongea kwa love sana no hard feelings kwao kabisa
@HalimaHalima-id2cb
@HalimaHalima-id2cb Жыл бұрын
Mashallah mr blue Allah akubarik akulinde na hasad ww na family yako❤❤🔥🔥
@davidibrahim9138
@davidibrahim9138 Жыл бұрын
Huyu mtagazaji safi sana jamaa linajuwa kuhoji sauti ya ukweli kazi linaijuwa sana hii
@PrinceBonnyTz8
@PrinceBonnyTz8 Жыл бұрын
Unyama Sana Wasafi media kwa support yenu kwa babilooni
@abdulabdallh9506
@abdulabdallh9506 Жыл бұрын
Uhuu ni upendo mkubwasaaana Washkaji wana toa history ya Rafikiayao mule mule tena kwa love❤❤
@ghost_worker01undetectable63
@ghost_worker01undetectable63 Жыл бұрын
Big love sana kwa wana... wamemuongelea mwana wao vizuri sana.. kama binadamu lazima wamekwazana mahali ila wana wamejikita ktk mazuri...
@ayubuamsonjr9437
@ayubuamsonjr9437 Жыл бұрын
Abby skills kagoma kuzeeka 😢🎉❤😂
@ghost_worker01undetectable63
@ghost_worker01undetectable63 Жыл бұрын
Nilitaka kusema hivyo hivyo... 😂😂😂😂
@lucasmsogoti3435
@lucasmsogoti3435 Жыл бұрын
NIMEKUBALI SANA LOVE YA ABBY SYKES KWA BABYLON AISEE HII NI SAFI,BLUE ANASTAHILI PONGE LA SHUTS OUT
@hezronjoseph405
@hezronjoseph405 Жыл бұрын
Jamaa kafunguka zaidi ata ya yeye Mr blue
@suratibrahim6417
@suratibrahim6417 Жыл бұрын
Hii inaitwa mwana ukome nimeinjoy sana♥️🔥 Abby Skills,Mr Blue 💙 Kasim,Qwn Darling...na wote waliotajwa shiriki fire🔥🔥🔥🥂💯
@SwahiliAmbasador954
@SwahiliAmbasador954 Жыл бұрын
Nitoe tu pongezi kwa wasafi WCB kwa hili mlilo lifanya lakini pia heshima kwako abby skills na zungu siku zote mchawi wa kwanza ni watu unao ishi nao ndio wakukumaliza na pia ndio mafanikio yako watu wanao kujua hivyo kwa umoja wenu huuu zungu + mr blue + abby skills mwenyez Mungu awabariki na kuwatunza
@hassanfigo6175
@hassanfigo6175 Жыл бұрын
Wasafi mwajua kufanya promotion ya mukiwa na jambo lenu
@JamesDismas
@JamesDismas Жыл бұрын
da! Baisa n I ovee
@sanarymes8648
@sanarymes8648 Жыл бұрын
Blue ni hatari sana na ameweza kufika alipo sasa kutokana na heshima sana
@asl6295
@asl6295 Жыл бұрын
Nishawahi kumuonga DEMU album ya Mr Blue 😅
@idrisadalluc4498
@idrisadalluc4498 Жыл бұрын
Namkubali sna Mr bluu my blo
@flinchclassic1531
@flinchclassic1531 Жыл бұрын
Vizur sana blue kumpa heshima yake
@user-yp6pi7bj2n
@user-yp6pi7bj2n 11 ай бұрын
Bizy utakua legendary daima❤❤...
@hassanngayaga3202
@hassanngayaga3202 Жыл бұрын
Nimefulahi sana nimependa hii leo nimewakubali sana sitakuja kuisahau mimi love sana wana wote
@irenemwewe3566
@irenemwewe3566 Жыл бұрын
Dah yaani maua ni mengi mpaka naisi amekufa,,sema raha sn
@pierreulengazi6843
@pierreulengazi6843 11 ай бұрын
Daah Hawa Jamaa Wana Love sana Kwa mwenzao .....Siyo Masnitch.....Safiiiii
@amaniomballa1855
@amaniomballa1855 Жыл бұрын
Hawa ndio Watoto wa Mjin sasa ninyi wengne mjini ni wakuja
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Жыл бұрын
ABBYSKILLS NDO KAWATOA MR BLUE NA ALIKIBA
@ellymbwambo8768
@ellymbwambo8768 Жыл бұрын
Unyama sana
@thomassago1055
@thomassago1055 Жыл бұрын
Salute byser
@fedrickaloyce9660
@fedrickaloyce9660 Жыл бұрын
Naiangalia saiv nikitoka kazini nairudia tena
@Ali-gk5mv
@Ali-gk5mv Жыл бұрын
imenigusa sana hii wasafi
@aliyumuhammed6054
@aliyumuhammed6054 Жыл бұрын
Namkubali babilon💙
@husseinkombo-3447
@husseinkombo-3447 Жыл бұрын
Nawakubali sana hawa watu
@islamkarata9655
@islamkarata9655 Жыл бұрын
nimeinjoy sana💣
@mkazy6550
@mkazy6550 Жыл бұрын
Very intresting
@yousramutwale2463
@yousramutwale2463 Жыл бұрын
Nice sana
@SwahiliAmbasador954
@SwahiliAmbasador954 Жыл бұрын
Kiukwel moja kati ya wasanii wa Tanzania mr blue inatakiwa apewe heshima yake tunakuwa wajanja tunamwona ni mtoto wa kishia sijui nyinyi watoa tuzo mnakaa wapi hamjuagi ata kutoa tuzo za heshima au mnataka mje mtoe pindi akifa mmpe mke au mtoto wake.
@user-cw1gl9qu9k
@user-cw1gl9qu9k Жыл бұрын
Much love
@naufalmustafa565
@naufalmustafa565 Жыл бұрын
bablon in wasafiii promotion
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 Жыл бұрын
Nimeipenda iyoo. Big up wanangu.
@aminaasia-jl8fk
@aminaasia-jl8fk Жыл бұрын
Wasanii wazamani walikuwa wanapendana walikuwa hawana chuki lakini wasanii wasiku hizi wivu umewajaa
@fedrickaloyce9660
@fedrickaloyce9660 Жыл бұрын
Daaa kwelii wana really love
@MONEY_CHANNEL.
@MONEY_CHANNEL. Жыл бұрын
pesa ilikua hakuna. pesa ndo imeleta teams na chawaz
@amanikudeli5297
@amanikudeli5297 9 ай бұрын
Safi
@kingtega5943
@kingtega5943 Жыл бұрын
nasubili ya chidi benzi jaman dah ndo msanii mwana hip hop mwenye tuzo nying kwanza tunasubili wa ilala na Tanzania
@shadrackshabani7061
@shadrackshabani7061 10 ай бұрын
Courage 🇨🇩🇨🇩
@saimooyahya
@saimooyahya Жыл бұрын
Nakubal bluu baissaa
@jajimkuumnyama6214
@jajimkuumnyama6214 Жыл бұрын
Yani dah mmenipitisha misitu za zamani sana mpaka aiseh enzi hamna wanyama wengi buana
@Ali-gk5mv
@Ali-gk5mv Жыл бұрын
Ab skillz mkongwe
@annajulius9940
@annajulius9940 Жыл бұрын
Home sweet home gerezan mbaruku
@jacsbizzy7074
@jacsbizzy7074 Жыл бұрын
babilon bizzy
@InocentGalinoma-dq6hl
@InocentGalinoma-dq6hl Жыл бұрын
Ana baya bluu
@alibinali_
@alibinali_ Жыл бұрын
Kipenzi cha watu
@officialAlAbdul
@officialAlAbdul Жыл бұрын
Zee la makokoto Mia mia
@ghost_worker01undetectable63
@ghost_worker01undetectable63 Жыл бұрын
Hiki kizazi hakizeeki kimuonekano... huyu zungu nae kumbe kasoma na baisa ula anaonekana dogo sana
@iddyjuma8036
@iddyjuma8036 8 ай бұрын
W sheby bwax n mbea
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 30 МЛН
The Story Book: Mambo 20 ya Ajabu Zaidi Ya Viumbe Na Wanyama Pori
37:48
Люди были шокированы от увиденного 🤯
0:29
Фильмы I Сериалы
Рет қаралды 2,7 МЛН
ДЕДУШКА ВЫ ГДЕ? 🤣🤣
0:59
РЕАЛЬНЫЙ ВОВАН
Рет қаралды 2,3 МЛН
Сначала скажи, а потом не мамкай 🗿 #shorts
0:16
Вика Андриенко
Рет қаралды 2,5 МЛН