No video

Yammi: Sijawahi kufanya Mapenzi! Sijawahi kuwa kwenye Mapenzi, 'Sina My Man' Part 3

  Рет қаралды 9,768

LilOmmyTV

LilOmmyTV

Күн бұрын

Yammi afunguka status yake ya mahusiano katika kipindi cha Valentines Day, 'Sijawahi kufanya mapenzi'
Tazama full interview hapa, Subscribe, Like, Comment & Share!
#Sitetereki

Пікірлер: 22
@wilsonmulongo5685
@wilsonmulongo5685 6 күн бұрын
Yammi mtoto mzuri jamani,natamani uje kenya angalau tukuone
@isdorchuvu6280
@isdorchuvu6280 6 ай бұрын
Nilivyoona kichwa Cha habari tu Wala sijajisumbua kuangalia hayo mahojiano ila nimekuja kwenye comment section kushauri kitu ,, waandishi wa kibongo ubunifu ziro ,, lazima muandike kitu Cha hovyo ili kuvutia watazamaji kuangalia videos zenu ,, Kama yeye hajawahi kufanya mapenzi Mimi inanihusu Nini,, Kama yeye Ni msanii Mimi nataka kusikia kuhusu kazi zake sio maswala ya ngono ,, mnafeli Sana waandishi...
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy 6 ай бұрын
Acha roho mbaya
@isdorchuvu6280
@isdorchuvu6280 6 ай бұрын
@@PrincessHellen-pg1oy hapana mamy ,, halafu Mimi cpo hivyo ,, nimeshauri tu, huyo ni msanii wa mziki so alitakiwa amuhoji kuhusu mziki wake ili mashabiki zake wamfahamu zaidi ,, lakini kichwa cha habari chenyewe kinasema msanii Fulani hajawahi kufanya mapenzi,,, Sasa inshu ya kufanya mapenzi mbona Kama iko personal Sana ,, so ni kwamba waandishi tu wanazingua kwa kuwauliza hao wasanii maswali ya hovyo yasiyoendana na kazi yao...ivo Yani..
@mohamedsalum5504
@mohamedsalum5504 Ай бұрын
Very true sometimes waandishi wana cross line kwenye maswali...mimi pia sijaona sababu ya kuuliza maswali ya ngono. Na ndo maana hata mwenyewe yammi anajisikia tabu sana kujibu aina hii ya maswali
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy 6 ай бұрын
Wow amekua sasa 😊 MUNGU amtangulie inshaalah
@Mith-Quinn
@Mith-Quinn 4 ай бұрын
❤️Lovely melody😍
@witnaofficial
@witnaofficial 3 ай бұрын
Nimegundua kipaji kipya huyu Dada anajua saaana . Ngoma yake ya upepo badass🤔🤔🤔🤔Nipo Congo
@user-ck9pt2ct9c
@user-ck9pt2ct9c 5 ай бұрын
🎉🎉🎉
@user-ku4uh2ze6i
@user-ku4uh2ze6i 6 ай бұрын
eti bado kudinyan
@giant_701
@giant_701 6 ай бұрын
Huyu mtoto anaongea vzr jmn sijui ntampataje
@Falsefacegamer
@Falsefacegamer 6 ай бұрын
Is this an individual interview or a interrogation,she should learn to respond to questions, too much full stops
@officialdatonepro
@officialdatonepro 6 ай бұрын
Huyu mtoto muongo Sijapata kuona😂
@BabyLulu-xf3rf
@BabyLulu-xf3rf 6 ай бұрын
usitudanganye kwenda zako nakushauri tu usijichanganye kwa bilnas yule mpare atakuzima kabisaa😅😅
@salimjumaa8180
@salimjumaa8180 6 ай бұрын
Ypo vzuri sema hpo kw kua single kma ka2piga hvi mafisi
@malkavoice2570
@malkavoice2570 6 ай бұрын
Nandy Malaya mnategemea nn kwa huyu binti?
@jacqueli18
@jacqueli18 6 ай бұрын
Umetembea na nandy? Hivi wewe? Huyo nandi hata uliwai kumuona?😂😂😂😂😂😂😂
@malkavoice2570
@malkavoice2570 6 ай бұрын
@@jacqueli18 Malaya mpaka umle kwani? Kapapasa rungu nyingi sn mjini hapa Yammi mulemule!
@PrincessHellen-pg1oy
@PrincessHellen-pg1oy 6 ай бұрын
Unaaana ya bibi na babu
@salumungassa9217
@salumungassa9217 6 ай бұрын
Awe ajatobwa uyu wee kuma yake mbichi apa ndo yanapogo niuz maxanii yetu waga maong maong2
@rahmaoman470
@rahmaoman470 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂msimpime mtu kwa macho na muonekano wa nje
@salumungassa9217
@salumungassa9217 6 ай бұрын
@@rahmaoman470 sio kwa xaiv kizazi jeur iki arafu naww uwajui wasanii mfano juz2 apa hamo na posh xiwalikua wanakan kua awap p1 kikwapi xaiv
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Wian
Рет қаралды 6 МЛН
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 16 МЛН
Yum 😋 cotton candy 🍭
00:18
Nadir Show
Рет қаралды 7 МЛН
Yammy - Tiririka ft Mbagathi Dance Crew
1:47
Mbagathi dance crew
Рет қаралды 4,3 М.
Yammi - Tunapendezana (Official Music Video)
3:06
Yammi
Рет қаралды 1,7 МЛН
UNBOXING WITH INAYAH ! OUR CUTE BIRTHDAY GIFTS AFTER THE FACE REVEAL
30:19
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Wian
Рет қаралды 6 МЛН