Yanga SC 3-2 Azam FC - Highlights | NBC Premier League - 23/10/2023

  Рет қаралды 1,136,286

UTV Tanzania

UTV Tanzania

9 ай бұрын

Stephane Aziz Ki amefunga #hattrick na kuipa Yanga ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa #NBCPremierLeague uliopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam
magoli ya Aziz Ki yamefungwa dakika ya 9', 69', 72' huku Azam wakipata magoli yao kupitia kwa Gibrill Sillah 19' na Prince Dube dakika ya 62 kwa penati.

Пікірлер: 238
@PanchoValentino-wh7wt
@PanchoValentino-wh7wt 8 ай бұрын
Viva Yanga Viva Wananchiiiiii let's go Ubingwa msimu Huu Ni lazimaaa 💪🔥💥💚💛⚽👊🤚🖐🏿
@JoshuaMovela
@JoshuaMovela 8 ай бұрын
Hongera yanga ,Azam ni watoto wetu
@zekelly_025
@zekelly_025 8 ай бұрын
Jomba hii mpaka iishe kwanza ninnoma sana🎉🎉🎉
@cleverymwakamala2967
@cleverymwakamala2967 8 ай бұрын
kama Aziz atacheza kwa kiwango hikihiki kwenye derby tutawanyonyoa makolo
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 8 ай бұрын
Wamenyooka kwel yaan
@user-op7mh5sp4p
@user-op7mh5sp4p 5 ай бұрын
Asee hapa uli sema😂😂
@GracieTyno
@GracieTyno 2 ай бұрын
Tayari tushawanyoosha😂😂😂😂
@kephamlewa5258
@kephamlewa5258 Ай бұрын
Dahhh mwanangu uliona mbali na tuliwanyonyoa kweli
@user-vm5xd9wx1d
@user-vm5xd9wx1d 9 ай бұрын
Yanga yakibabe sana Huyu jamaa alotambulishwa usiku wa saa 6 mwamba wa wagadugu ni nomaaa sanaaaaa
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA
@--------GEO_SPORT_EARTH_EA 8 ай бұрын
Usiku wa manane
@wardah-mb6kb
@wardah-mb6kb 9 ай бұрын
Ila Azam mnaroho mbaya Kila mechi ya yanga Huwa mnachelewesha
@veronikasamson6438
@veronikasamson6438 9 ай бұрын
Wana boa sanaa Aisee
@rajabrwambow9660
@rajabrwambow9660 9 ай бұрын
Azam mnatuangusha likija swala la highlights
@williamuphilipo2120
@williamuphilipo2120 9 ай бұрын
Mkubwa ni mkubwa tu ❤❤
@ezekielmwarabu3548
@ezekielmwarabu3548 9 ай бұрын
Yanga ni nomaaaa sanaaa
@user-xk5mq6rk8u
@user-xk5mq6rk8u 8 ай бұрын
Nakuunga mkono kwa hilo aise mamnyeto uwezo wa kukaba ama kuzuwia Bado sana asianze kiukweli atatuchomesha🎉
@mwanangusana
@mwanangusana 8 ай бұрын
Mwamnyeto ni defender wa nchi beki la mpira weweee
@GracieTyno
@GracieTyno 2 ай бұрын
Aziz Ki bwana dah!🙌🏽
@KaroliMagana
@KaroliMagana 8 ай бұрын
Amazing goal no:3
@ntakakasendebayi9992
@ntakakasendebayi9992 8 ай бұрын
💛💛💚💚🔰🔰😂😂😂 nacheka kwa sababu nina furaha sana yanga hiii raha sana💚💚💛💛🔰🇹🇿
@Fredy-oz5vu
@Fredy-oz5vu 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@alluarjun8638
@alluarjun8638 8 ай бұрын
Mhh huyu azizi Ni noma aisee
@user-rc6il8vw9z
@user-rc6il8vw9z 8 ай бұрын
Kama mwanayanga naomba mechiya Leo katiya yanga na singida kibwana aaz
@user-ex7zx1qb8g
@user-ex7zx1qb8g 8 ай бұрын
💚💚💚💚💚yanga nitimu kubwa
@josephbukubila2737
@josephbukubila2737 9 ай бұрын
muwe munakata dakika hata 40 au nitumie mechi zima unambie bei yake
@youngrapper339youngrapper3
@youngrapper339youngrapper3 4 ай бұрын
dash kiukweri nasikia raha na tanga yetu😂😂😂
@edibilychaula.3753
@edibilychaula.3753 8 ай бұрын
Hii match ilikua inawauma kuikuwema kisa timu yenu imepigwa mnachekesha kweli 😂😂😂
@user-eg9sq2zd5b
@user-eg9sq2zd5b 7 ай бұрын
Yanga raha ❤❤❤ jamn
@abdulazackabdul1894
@abdulazackabdul1894 6 ай бұрын
🐸🐸🐸
@NellyErick
@NellyErick 8 ай бұрын
Yanga bora
@jacksonnyoni1978
@jacksonnyoni1978 9 ай бұрын
Azam ikicheza na yanga nyie azam midia kuweni kiloho safi leo ndo mnatupia toka jana mmekaa kimya tumeangalia mpila vizuli tumeshinda 3 - 2
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 5 ай бұрын
This is true derby
@user-jn8us1qi1z
@user-jn8us1qi1z 6 ай бұрын
Fei shoga kwel eti anafanya ishara kuwa imeisha😂😂😂
@user-uh4tr3nb1r
@user-uh4tr3nb1r 4 ай бұрын
Saaa saba kasoro tarehe sita mwezi wa wa tatu narudia mechi kuangalia usiku uuu
@shabbirbharmal7876
@shabbirbharmal7876 5 ай бұрын
Sauti ya baraka MPENJA inauwa humna mtu anayeweza kama baraka mpenja
@user-ze6qu7zq1w
@user-ze6qu7zq1w 25 күн бұрын
We need you in naturenaaaa man😂✌️✌️✌️✌️❤❤
@user-pq5ud1gc5f
@user-pq5ud1gc5f 5 ай бұрын
Aaah mpka kero jaman achen mpira wa sifa
@HusseinKafuta
@HusseinKafuta 4 ай бұрын
Naludia mechi leo
@user-xw1zk5ug6h
@user-xw1zk5ug6h 4 ай бұрын
Daima mbele nyuma mwikooooooooooooo
@catherineshao8304
@catherineshao8304 Ай бұрын
I love Yanga
@user-od4zj2xk6s
@user-od4zj2xk6s 6 ай бұрын
Ni kweli kabisa
@danielsunghwa487
@danielsunghwa487 8 ай бұрын
💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚 yangaaaaaaa
@abdallahakida7908
@abdallahakida7908 9 ай бұрын
Mabeki wa azam wazembe bao lapili sio lakipa
@julianashani9408
@julianashani9408 9 ай бұрын
Azam FC 3- 0 Mwakarobo
@sadalaedward2460
@sadalaedward2460 7 ай бұрын
Mungu asimame Kati tu dhidi ya Ali ahal
@yonasytitusy337
@yonasytitusy337 6 ай бұрын
Ivi azizi awezi kufunga bila tobo
@abdulkheri7322
@abdulkheri7322 7 ай бұрын
Hii ndio ilikuwa Derby....Naskia malogo sc wameomba game yao na azam isongezwe mbele😂😂😂
@GracieTyno
@GracieTyno 7 ай бұрын
Wanaogopa 😂😂😂😂na lazima wachapwe 🔥
@florakweyunga4490
@florakweyunga4490 9 ай бұрын
SISI NDO YANGA,....ENDELEENI KUWATESA HAO MAKOLO.
@ishirininasita2626
@ishirininasita2626 8 ай бұрын
Feisal bana is on another level
@masaumujungu
@masaumujungu 7 ай бұрын
Another level without winning
@ishirininasita2626
@ishirininasita2626 7 ай бұрын
@@masaumujungu without winning what kama ni titles ako nazo kama ni individual awards anazo ama huangalii mpira boss
@ishirininasita2626
@ishirininasita2626 7 ай бұрын
@@masaumujungu ooooh ni majungu tu kama jina lako
@agapeemmanuel
@agapeemmanuel 7 ай бұрын
Yanga ipo juu
@baltazarmrema5712
@baltazarmrema5712 Күн бұрын
Nani anarudia kuichek hii game saii kama mimi😂😂
@Hagai-pm6yf
@Hagai-pm6yf 9 ай бұрын
Ni aibu Kwa azama na Feisal wao,
@HabeebaHassan-eq7bg
@HabeebaHassan-eq7bg 9 ай бұрын
Azam tv wasenge sana
@chrissg4026
@chrissg4026 8 ай бұрын
Goli la tatu kulikuwa na faulo 7:45
@mohdyussah825
@mohdyussah825 2 ай бұрын
Great 💚💚💚💚💚
@shaibumrisho5033
@shaibumrisho5033 7 ай бұрын
Mpaka sasa hakuna mechi inayoshinda hii kwa ubora
@febroniamsoma178
@febroniamsoma178 8 ай бұрын
Azam fanyieni kazi quality ya picha za highlight hazionekani vzur
@user-vp4ni5kk4y
@user-vp4ni5kk4y 8 ай бұрын
Angalia setting kwenye youtube yako pia
@user-kw9xe7cl9z
@user-kw9xe7cl9z 8 ай бұрын
Mambo ni moto
@user-oj1wx7ue5u
@user-oj1wx7ue5u 8 ай бұрын
Apewe mmauwa🎉🎉🎉 yake mwamba
@AmanduceFesto-nb6kh
@AmanduceFesto-nb6kh 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤ yanga
@zaidyabdalah3691
@zaidyabdalah3691 9 ай бұрын
Timu ya Azam takataka tupu, mishahara minono, marupurupu kibao, Hospitality ya uhakika, lakini wachezaji hovyo kabia, hivi hamjifinzi kwa yanga na Simba? Wachezaji huwa mnaokoteleza wapi? Hamfiki popote, mpaka labda Yesu akirudi. Kama vp hicho kiwanja Jenga kiwanda Cha kutengeneza biskuti utapata faida kuliko kuwa na timu inaleta hasara kila iitwayo siku. Trash trash trash trash kabisa hovyooo
@franksanyiwa
@franksanyiwa 8 ай бұрын
Tunaeda kushambulia sio kunzuwia kwahiyo acheni kumpagia cacha akifungwa nyie ndio wa kwanza kulaumu kwahilo muachen cocha apage timu yake
@MwanamkasiAlj
@MwanamkasiAlj 9 ай бұрын
Azam haina mpira wakistaarabu ni watu wa mihereka tu kata funua sijui ni hizo ice cream.
@josephndaki8003
@josephndaki8003 8 ай бұрын
Siwezi kukubali Simba na Yanga iitwe Kariakoo derby why not Dar es salaam Derby? DUNIANI nani anajua Kariakoo au Chamazi?
@sadallahnineka3078
@sadallahnineka3078 6 ай бұрын
Makolo walijichanganya 5 zilikua ni za hawa lambalamba
@abdaljuma-wk4dg
@abdaljuma-wk4dg 8 ай бұрын
Ona lao hili lijinga usitofautishee bhana water wachezeji we2 sijapenda nyooookoooo
@user-mo3yz7zk8y
@user-mo3yz7zk8y 8 ай бұрын
Hii ndo yanga
@justinewanzala3218
@justinewanzala3218 6 ай бұрын
Jamani mpenja mbona haungulumii
@user-ze2uy3vh3w
@user-ze2uy3vh3w 4 ай бұрын
Hii ndoyanga leo daaah kiukwel yanga ndotim yakuxhabikia
@AsmaAmeir
@AsmaAmeir 9 ай бұрын
Azam makipa munatoa wapi mbona mipira inawapita kama kandimu
@hassanchiwambo687
@hassanchiwambo687 8 ай бұрын
Huo moto waliopelekewa azam kuazia dakika ya 80
@simonsikanyika1682
@simonsikanyika1682 5 ай бұрын
Yanga tamu
@omega-gl9wt
@omega-gl9wt 9 ай бұрын
Daima mbele nyuma mwiko
@alicenice1711
@alicenice1711 9 ай бұрын
Tofauti ya wanaume na wavulana ndo hiyi sasa
@katalisajuka-fl3st
@katalisajuka-fl3st 6 ай бұрын
Walitakiwa wapigwe 6 hawa kama sio uzembe wa Mudathir na Max, Kiukweli Max ana kera sana siku hizi, sehemu ambayo anatakiwa atoe pass rahisi ili wenzake wafunge yeye anataka apige afunge, Mudathir maamuzi yasiyo sahihi uwanjani yamekuwa mengi sana, mtu umebaki wewe na kipa unataka utulize tena badala ya kuunga, lakini tazama pale watu wawili wapo kwenye box mmoja ametanua pembeni ili kumvuta beki wa kati, yani Mudathir badala ya kupasia mpira kwenye box yy anataka achese one, two na huyu aliyetanua pembeni, mbona huu ni uchoyo uliyopitiliza
@mbukumagiubukumagu406
@mbukumagiubukumagu406 8 ай бұрын
Azam tafuteni kipa
@kedyjohn1848
@kedyjohn1848 8 ай бұрын
Ilikuwa wale tano na hawa kama siyo umakini wa Maxi, wangeongezeka kwenye ile list yetu.
@Kikotidata
@Kikotidata 8 ай бұрын
Ila nyiee Aziz anajua Mpira bhn wew
@CHW113
@CHW113 Күн бұрын
Yanga hakuna kitu
@AmanduceFesto-nb6kh
@AmanduceFesto-nb6kh 7 ай бұрын
Ngoma ya mtoto haikeshi
@GracieTyno
@GracieTyno 7 ай бұрын
Huyo kipa wa azam alitaka kutuzoea 😂😂😂😂
@sadallahnineka3078
@sadallahnineka3078 8 ай бұрын
Kumbe azam nao walikua wanakula 5 aisee kwa hizi nafas zilizopotea😅
@JustineIshebakaki-ns7fd
@JustineIshebakaki-ns7fd 6 ай бұрын
Jmny yanga sio pooooo
@Kisamorabaututa-em1bv
@Kisamorabaututa-em1bv 7 ай бұрын
Mwamunyeto mech inamuhs sana Bora job asuge benchi
@user-hp4dn4nm8g
@user-hp4dn4nm8g 7 ай бұрын
Ihi meche ya kumbukumb
@abdallahakida7908
@abdallahakida7908 9 ай бұрын
Ally kamwe kashanzakutabiri ujinga ndio midono inamponza
@user-dl8bn3oc8c
@user-dl8bn3oc8c 8 ай бұрын
kwan all kamwe kaongea kit gan ww kolo
@godfreymkinga
@godfreymkinga 6 ай бұрын
Mwamnyeto ajifunze jinsi ya kumkaba adui eneo la hatari makosa kama haya yanajirudia sana. Kingine max onyesha makali na mechi za kibingwa isiwe ligikuu tuu
@user-rv3dr9ug8o
@user-rv3dr9ug8o 9 ай бұрын
Wazembe kivp
@user-ov8zp5mc4y
@user-ov8zp5mc4y 8 ай бұрын
ahahahahahhaha hapoooo mm cpoo
@user-qu2md6yh1y
@user-qu2md6yh1y 9 ай бұрын
Tunahama huku
@SalumuKibao-ex3zy
@SalumuKibao-ex3zy 8 ай бұрын
Ndoa ya kanisani hiyo
@rukaya-jg7hj
@rukaya-jg7hj 8 ай бұрын
Dabi zote wananch tumeshind
@parishlawal3034
@parishlawal3034 6 ай бұрын
Ilo goli la sillah n offside kubw san
@denisndandika2024
@denisndandika2024 8 ай бұрын
Ni kweli
@rogersiddy
@rogersiddy 8 ай бұрын
Tunawaomba viongozi wetu wa Yanga mechi dhidi ya Aly Ahly Mwamnyeto asianze Warabu watatumia madhaifu yake kwa kujipatia Penalti za kizembe kbs maoni tu
@yusuphabubakary2030
@yusuphabubakary2030 8 ай бұрын
daah umeona,.. magoli yote mawili yametoka kwake,.. pale ni job na bacca tuu ndo wawe wanaanza
@suzancharles1639
@suzancharles1639 8 ай бұрын
Hata siku tumecheza na USMA ile final penalty aliisababisha yeye
@rogersiddy
@rogersiddy 8 ай бұрын
@@suzancharles1639 Umeona ilo kumbe nimesema ivyo sababu nimechukua ile unayosema na Penalt ya Azam na warabu wakishamjua mtu wa ivyo wanatumia sana iyo nafasi tunamuelewa sana Mwamnyeto ila ligi ya mabingwa apumzike kdg
@lucasmhagama8166
@lucasmhagama8166 8 ай бұрын
Kwa hiyo timu inapagwa na viongozi?
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 8 ай бұрын
Saa utamuweka nani kwa vimo vya wale jamaa
@SurprisedHibiscus-zh6to
@SurprisedHibiscus-zh6to 8 ай бұрын
Unaipenda yanga kak
@user-eq1gl3uh4m
@user-eq1gl3uh4m 8 ай бұрын
Tunaomba waliocheza dabi wajekuanz kweny mech ya Al shaky
@hajially4527
@hajially4527 5 ай бұрын
0:32 0:35
@filbertabdallahmdee2676
@filbertabdallahmdee2676 8 ай бұрын
Hii mechi aucho alku hayuko fit ,hakua na fitness mda mwingi alkua anaachwa na fei na alkua anacheza faul na hii si kawaida yake nazan angetakiwa aende bench aingie hold mwingine ata mkude..,Mauya...
@mwamvitamatiku
@mwamvitamatiku 9 ай бұрын
Yanga moto mkali
@sekwajuma
@sekwajuma 3 ай бұрын
mamboo yako vizuli sana
@user-gq7pl8pw5k
@user-gq7pl8pw5k 8 ай бұрын
Mpenja alifurahia sana hapa akazani tutashindwa mkibwa Ni mkibwa tuu kwahiyo watangazi muwe makini kabisa
@kokunyegezaruta8456
@kokunyegezaruta8456 5 ай бұрын
😊
@abdulkheri7322
@abdulkheri7322 7 ай бұрын
Dirisha dogo inabid Yanga viongozi wasajili beki tatu, beki ya kati itayosimama na bacca na striker
@user-qc9dj8be6r
@user-qc9dj8be6r 4 ай бұрын
Yanga hatal
@ChristopherSamson-ce6lo
@ChristopherSamson-ce6lo 8 ай бұрын
Mwamunyeto bado mzembe anaigharimu timu
@trofinlyimo3520
@trofinlyimo3520 9 ай бұрын
Yanga bhnaaaa
@hajially4527
@hajially4527 5 ай бұрын
0:51
Simba SC 1-5 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 05/11/2023
12:02
UTV Tanzania
Рет қаралды 1,6 МЛН
Yanga 2-1 Simba | Highlights | Ngao ya Jamii 13/08/2022
23:51
Azam TV
Рет қаралды 4,7 МЛН
One moment can change your life ✨🔄
00:32
A4
Рет қаралды 32 МЛН
Хотите поиграть в такую?😄
00:16
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,7 МЛН
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 24 МЛН
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
FC Augsburg 2 - 1 Young Africans
6:37
BRADY TV
Рет қаралды 19 М.
WAMEYATIMBA NDARO NA STEVE MWEUSI
14:56
Ndaro Tz
Рет қаралды 1,7 МЛН
0% Sportsmanship but it gets increasingly more disrespectful
12:27
Yanga 2-2 Azam | Highlights | NBC Premier League 06/09/2022
22:09
Magoli yote | Simba SC 1-5 Yanga SC | NBC Premier League 05/11/2023
9:40
Стань Роналду 🤯
0:27
MovieLuvsky
Рет қаралды 208 М.
Испания - Англия - 2:1 | UEFA EURO 2024 | Финал | Шолу | Обзор
10:44
QAZSPORT TV / ҚАЗСПОРТ TV
Рет қаралды 3,5 МЛН