Hizi penalty mpk kesho nikizingalia zinanasisimua mwili na moyo pia 💛💚🖤🙌🙌🙌🙌🙌
@FirdausyAbubakary-bl2wo20 күн бұрын
Captain katulia saana wallahi Allah amzidishie kipaji chake akacheze Real Madrild inshaAllah my favourite team❤❤❤❤
@IsackJamesmabaraКүн бұрын
Niliteseka
@IsackJamesmabaraКүн бұрын
Yani hapo kama mungu tu kasaidia
@bernadethaprosper20 күн бұрын
Yaan ilikuwa siku ngumu sana lakin baadae nilifurahi vibaya mnoo I love you Yanga
@user-gw2nm1if1h21 күн бұрын
Mechi zangu bora za msimu huu yanga 5 vs simba1 na ya pili hii azam vs yanga CRDB
@winfridapeter945517 күн бұрын
Nalia mpaka leo nikiangalia jamani😢😢😢😢😢💚💛💚💛💚💛💛
@jeremiaassenga21 күн бұрын
Naiita Mkude game😮😮
@catherineamiri985421 күн бұрын
Yani mm siaminigi mpk Leo Jmn hii siku niliteseka 😭😭💔🙌🏽
@Hope-ok9dy17 күн бұрын
Wewe haukuteseka me nilikuwavnaenda choon mkojo hautoki yani tumbo la kuarisha sio la kuarisha yani moyo ulisimama kwa muda presha ilifika 300 aki nakwambia😂
@user-ch2it3qt5z12 күн бұрын
Amini mateso yaliisha mwananchiiiiii
@isambongo93511 күн бұрын
hunifkii me
@meckmvanda64546 күн бұрын
Oyooo
@MajaliwaKulindwa-rg8im4 күн бұрын
Hata mm😅
@ElishamaMulokozi-pi8nm21 күн бұрын
Young African Gooooaaal penalt
@user-rj8zh8ok7q21 күн бұрын
Penati ya yaoo na nondo zagazabu❤❤
@stephanmpangire474121 күн бұрын
Sanaa
@muddylikwena12818 күн бұрын
Namuelewa sana pacome zoazoa
@erasmina4998Күн бұрын
Naipenda sana yanga jaman
@winfridapeter945517 күн бұрын
Sisahau hii siku jamani,nililia sana😢😢😢
@ramalida254715 күн бұрын
Mpk Leo naangalia hii dah🙌 ni mungu tu ila hii siku presha ilikuwa kubwa sanaa
@TabuSebastian21 күн бұрын
Unforgettable night yooh🙌🏾🫡💚
@mosesmukondya420521 күн бұрын
Hii game sitaisahau aisee
@MaarufuAmani-bq6qc19 күн бұрын
Mimi naamin inawezekana Dua za watoto ambao wamepitia wakati na mazingila magum hasa vituo vya watoto yatima duwa zao naona kabis zimetusaidia sana
@Aviwamwadin-so3vy21 күн бұрын
Ahsanteni timu nzima pamoja na mashabiki mliovuka bahari na kuja kisiwani kwetu hakika hii game itadumu ktk mioyo yenu milele
@jx-zf4xg11 күн бұрын
😂
@albertvalentino13019 күн бұрын
Makosa ya pernati za Aziz Ki --- (1) distance ndogo toka ulipo mpira,hiyo ilimfanya akose kasi na power ya kupiga shuti Kali (2) lakini bado akadashi,akazidi kupoteza uwezo wa kupiga shuti kali --- mwisho wa siku inamfanya kupiga pernati dhaifu,ambazo makipa wanazicheza kirahisi.
@lucymsheshi58719 күн бұрын
Hamjaelewa tu anatakiwa asiwe wakwanza
@aminadigalu771719 күн бұрын
Mm kila siku narudia kuangalia hiz penalties nilikuwa hoiiiii😂Alhamdulillah tukabeba hili kombe.
@errydeo886513 күн бұрын
Mpaka leo nikiangalia hizi penaltes, namshukuru Mungu,tulishinda! Hasa kwa Aziz Ki! Mkiangalia ,mtaona alivyolala chini ,hakuamini! Tungeshindwa! Wachambuzi uchwala wa bongo,WANGEMCHANA, WANGEMSIFIA SAAANA YULE DOGO FALA FEI! MUNGU aliliona hilo! Aziz Ki is a humble player,hana makuu, ndo maana Mungu alikua upande wake hiyo siku! May God be PRAISED! MUNGU SIKU ZOTE HUWAUMBUA WANAFIKI MBELE ZA WATU! NA HIYO SIKU ALIWAUMBUA WENGI HASA FEI! FEI HII MECHI hatokaa aisahau maishani mwake! Na sisi tuliosomea PSYCHOLOGY,hiyo mechi,kila akikutana na Yanga ,mpira utamshinda! Na HATAKAA AIFUNGE YANGA TENA!
@yunisimaiko20 күн бұрын
Sitakaa nisahau hii mech jmn nyie 💚💚💛
@salimharrasy704721 күн бұрын
Great job Yanga. Yanga walikuwa wamalize mchezo mapema ila kipa wa Azam aliwakatalia kata kata. Nimefurahi sana Yanga kuwa bingwa. Na ninefurahi sana Simba angalau wamepata fursa ya kuingia Kimataifa. Na nimefurahi sana Azam kwa kuleta ushindani. Nimesikitishwa kidogo team ya nyumbani Tanga kushindwa kuwa tatu bora.
@shaibusaady242021 күн бұрын
Allaah Akbar
@MwajumaMpotwire21 күн бұрын
Jaman mwaka huu sisi Simba cjui yujifiche shimo Gani Yani maumivu ayapoi yanakuja mengi daaaah😢😢😢😢😢😂. Lakin naipenda Simba ndakufa nauo❤❤❤❤
@user-ok2pi9im3d20 күн бұрын
Pamoj
@user-gr3bd7oo8w21 күн бұрын
Nimeamini kuwa kabla ujasikia filimbi tatu za mwamuzi basi mpira ujaisha na lolote linaweza kutokea ndani ya mda huo
@erickmbise106321 күн бұрын
Wananchi on top hii ligi tunaifanya kama buyern 8yrs ndo tutawafikiria 😅
@user-xg8kl2nj5v19 күн бұрын
My favorite gemu🔥🔥🔥
@FloraKamanzi20 күн бұрын
Hii siku ndo familia yangu wote walijua kumbe huwaga ni Shabiki wa Yanga
@JorvinVedasto-ic3su15 күн бұрын
😂😂😂 hii imeenda 😊
@jumaasindatuma10711 күн бұрын
😁😁😁
@sumairahjohn-jt4qy10 күн бұрын
😂😂😂😂
@KijaziMnkondo18 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤ until now this is what I love
@user-hd7qn9gy9p13 күн бұрын
Ahsnte Mungu💛💛💚💚
@HermanMnzeru20 күн бұрын
Mungu Ni mwema.
@MathiasPhilipo-xq6wi20 күн бұрын
Mungu ni mwema❤❤
@chongorekevin21 күн бұрын
Izi penat mpaka msim uanze ntakuwa nazirudia tu maana 😁 so kwa presha ile 😁😁😁
@ntulikimaro733221 күн бұрын
Kama mm tu 😅😅😅
@user-nb9qj7lb9r21 күн бұрын
😂😂😂
@aishabakari804021 күн бұрын
Uko kama mm 😂
@AmaniOmari-ev2gu21 күн бұрын
Sijawahi kupata presha kama mechi hii daaah ningekufa kwakweli
@MwajumaMpotwire21 күн бұрын
Jaman mwaka huu sisi Simba cjui yujifiche shimo Gani Yani maumivu ayapoi yanakuja mengi daaaah😢😢😢😢😢😂. Lakin naipenda Simba ndakufa nauo
@kevymloje73020 күн бұрын
Hii siku ndo NILIJUA kuwa nina pressure tena kali sana😅😅😅😢🙌🙌🙌🙌🙌🙌,huu MPIRA utakuja kutuuwaa😅
@user-nf3dc9fb6v21 күн бұрын
Daima mbele nyuma mwiko viongozi wetu makini mitano tena
@Shebe_traLove20 күн бұрын
Ime match sito isahau kamweee kbs presha ime taka kuniuwa
@bahatinassorali522214 күн бұрын
Pole sana😢
@youngchyna74420 күн бұрын
Yaan mimi presha juuu
@rehemamahendeka-rm2ek21 күн бұрын
Cc ndio Yanga,yaaani napenda kurejea tena na tena kutazama kwa raha hizi,KIKO WAPI
@maryberege309320 күн бұрын
Mie nikiangalia naogopa tena sijui kwanini
@ismailkiwawas598219 күн бұрын
Wewe Mimi kabisaa 😂😂
@ExcitedClock-xw3yb16 күн бұрын
Asante Mungu tumeshinda
@SalumuAliy20 күн бұрын
Haikua raic ila mungu nimwema kwakwel
@stevenkapili779121 күн бұрын
Hii siku ndio nilijuwa kuwa nina pressure tena ya kupanda na kushuka 😅😅😅😅
@user-uq2mo7mw2l21 күн бұрын
S wewe tu s poa 😂😂😂
@abubakaliyahaya296821 күн бұрын
😂😂😂😂 tupo wengi
@edithajohn960021 күн бұрын
😂😂😂😂😂Yan ilikuwa kupimo Kwa kila mtu,,,mim nimejigundua kumbe Nina presha ya kushuka,,kupitia hii mechi😂😂😂😂
@user-nb9qj7lb9r21 күн бұрын
😂😂😂😂😂hatari sna
@consolathamlimi788321 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@mwajumampokileomckapela754117 күн бұрын
Hapa ndo nilijijua kuwa nina pressure 🙌 aisee🔰🔰🟢
@leonidangimbwa152613 күн бұрын
😂😂😂😂
@user-ww4so9ks9c19 күн бұрын
Yaan hii kitu kila siku kwenye pitapita zangu ni lazima nipite hapa
@ismailkiwawas598212 күн бұрын
😂😂tunaorudia tena tutambuwane aiseeh
@aishabakari80404 күн бұрын
Mi nipo hapa kila siku 😂
@mrsab3032 күн бұрын
Good Yanga Africa ❤❤❤❤❤❤
@marosproduction0120 күн бұрын
Nice Clip
@johnjames-pw1dp21 күн бұрын
Wananchiiii hoyeee 👍👊👊👊👊👊💪💪💪💪💪💚💚💚💚💚🏆🏆🏆🏆🏆
@user-zt1db4wm4k16 күн бұрын
0yeeeeeeeeee💚💚💚💚💚💚💚
@user-vt8ow3ty7h16 күн бұрын
Upendo 😢wa gorikipa na beki wake ndo yanaibeba YANGA
Kuanzia penat ya mwamnyeto nilipata tumbo lakuharisha
@aishabakari804021 күн бұрын
Yanii mpaka sasa nikitazama hivi presha iko juu ila sio kama ile day nilitaka kufa alipokosa Bacca 😅😅😅
@yahayalugongo482521 күн бұрын
Yaan acha tu
@consolathamlimi788321 күн бұрын
😂😂😂 mm nilikata tamaa
@yahayalugongo482521 күн бұрын
@@consolathamlimi7883 Naona kwa mda ule pressure ilikuwa around 170/110
@radhiamussa16292 күн бұрын
Yaani msimu huu lazima yuwe unbeaten pia fanyeni mpango kwenye penalty mfanyie sana mazoezi hatupo vizuri
@Paul-yn9vv20 күн бұрын
Watu wa digital hemu mtuunganishie vipande vya video inayomwonyesha zaka za kazi wakati azam wanakosa penati ya kwanza, baada ya bacca kukosa penati,mwaikena anakosa penati na baada ya nado kukosa penati I think it is very funny and enjoyable 😂 wananchi mbele daima
@josephlyakurwa20 күн бұрын
Na bwanamdogo Hashim Ibwe alishaanza kuvimba 😅
@ezekielsaid953620 күн бұрын
Huyu james samwel na hofu naye kbs siyo shabiki wa koko kweli😂😂😂
@babahamza112518 күн бұрын
Kuangalia upya tuu plesha Kama sikuona
@chilubayusufYangavitambe-jw8zs20 күн бұрын
Tusiweke silaha chini vita badooo
@halefhelef976320 күн бұрын
Yangaaaaaa😢
@EvaLuhanjo9 күн бұрын
😢nimeipenda
@MwashambaMustapha-fs7fg20 күн бұрын
mim nilijua ubingwa ni wa yang2 azam kwny mech za mamuz hua hawatoboi hii ndi yanga bwana 😊😊😊😊😊😊
@olivermgode243219 күн бұрын
Mwisho hii siku kumpa bacca penati kutupa presha tu
@erickjonas-oc4oq18 күн бұрын
Yanga oyee!🎉
@mariampeter625821 күн бұрын
Sema Yanga tuna nyota😅😅 ilikua ni lazima tushinde
@gudboy51321 күн бұрын
Champions⚽️💪
@ahmedalsaadi710821 күн бұрын
😅😅hii siku nilioga bila kufikiri kama Nishaoga nilijikuta nimefungua bomba la maji najimwagia tu maana nilimuomba mungu nikahisi haikuwa rizk😢
@user-qv4ox4mu1p21 күн бұрын
Hahaha nimecheka
@salmamlokela198713 күн бұрын
😂😂😂
@PaskoAyubu-x3qКүн бұрын
Kwann huwamuni ss ndoo yanga
@moherai91206 күн бұрын
Hii siku sitoweza kuisahau katika maisha yangu ya mpira😅😅😅
@kolosii435118 күн бұрын
Huyu Golukeeper alijifanya nae kunyooeshea kidole kwa majigambo baada ya Aziz kukosa. Hakujua Mungu aliwahi kusema " mawazo yangu sio yenu" Kila kitu huandikwa kabla hakijafanyika. Si umeona? Azam walitoa jasho la damu kuzuia mashuti ya yanga, wakoamini kwa kipa huyo aliyevishwa majini wangeshinda tu penalt. Bora tu wangeruhusu dak. 90, maana wangekuwa na nguvu bado.
@saidmansoor852814 күн бұрын
Katukana kabisaaa angalia alivyofanya mikono yk kama cristiano
@boniphacemalema46617 күн бұрын
Hiii ndoo siku nilitokwa machozi huku tumechukua kombe maana tangu azizi na guede kukosa penati tumbo liliingiwa na baridi na kutetemeka
@user-cs6vc6ff5y20 күн бұрын
Hiyo siku mimi mwananchi wa yanga pressure ilipanda mbaka nikasema nini hiki, kwa kweli azam wamejua kutupelekesha.
@azizrashid61739 күн бұрын
Kila nikiamka naangalia hii😢💛💛💛💛
@AmosmasamakiMkombolla8 күн бұрын
Mwenye bahati hua habahatishi
@GetrudasamsonSengerema-he7ob17 күн бұрын
Mbona ulisitisha kutunyooshea kidolee we we kipa
@jankenkasambala7687Күн бұрын
Ila Baka noma
@viviandominique508110 күн бұрын
Tunaorudia tena leo😅
@AsiaHamza-et4du6 күн бұрын
Mim ndio naludia...mana siku ile uchungu ulinishika ghafra...kidogo nizae😢
@ShukuruGerald-tc3ys11 күн бұрын
Yaan kwenye huu muda wa penati wananchi presha ilikuw inapanda inashuka
@user-ww4so9ks9c20 күн бұрын
Aisee diara anaipenda yanga
@MwanaMwanahawa3 күн бұрын
11:02 hii siku 😂😂😂😂
@IshaOmary-ln7ti12 күн бұрын
Yanga raha bnh weee
@JeniphaRobert13 күн бұрын
Nimekuja kuiazimisha siku yangu ya kwanza ya kuumwa presha😂😂
@Vicentabiasaph16 күн бұрын
Gooood❤❤❤❤
@eliasthomas154713 күн бұрын
Mambo yalikuwa mazuri kwa yanga.
@aishabakari804020 күн бұрын
Hizi ntazirudia rudia mpaka ligi ianzee 😂😂😂😂
@aishabakari804014 күн бұрын
Yani kila siku mara mbili 😊
@kadokemarco996618 күн бұрын
Bora Mudathir kuliko Bacca
@magrethmakauki23522 сағат бұрын
Jaman ushabik unaweza kukusababishia kifo automaticaly bila kujijua😂😂 Hakikisha unalipia uanachama jaman maana sio kwa raha hiz
@rahmayasin909414 күн бұрын
Hii siku nilikuwa nalia kila wakati
@user-ce6un5ew7n10 күн бұрын
Yanga mlituweka pazuri kwa kuwafunga Azam kwa penati
@radhiamussa162911 күн бұрын
Katika siku nilijuwa ninamapenzi na mpira na mapenzi na yanga ni hii siku pressure ilikuwa haielezeki na furaha baada ya ushindi siwezi kuielezea yaani ni memory ambayo haitofutika kirahisi
@Saudahassanimwichande19 күн бұрын
Narudia Kila siku hizi penati
@doreen827114 күн бұрын
Acha tu mimi pia
@Maryc2G5 күн бұрын
Mimi pia
@abubakaliyahaya296821 күн бұрын
Daima mbele 😊
@aishajuma1821 күн бұрын
Nililia hii siku😅😅😅
@rehemabahati761613 күн бұрын
Mh sitaisahau hiii siku jamani imebaki kidogo tuu nizime
@salmamlokela198713 күн бұрын
Hii siku hta simu sikutaka kuwasha data..usingizi nao ulinigomea chakula akipandi lkn nafsi nyingine inaniambia tutashinda😅
@SAKINAJUMA-ey8qd15 күн бұрын
Siku hii nilipata tabu Sana kiasi Cha kuhisi kuishiwa nguvu na kutaka kudondoka chini nikawa nimetolewa nikapunguze pressure nje kwanza,.