WAAMBIE WANAOLETA VITALO,ZANACO NK. SIMBA DAY,HIYO NDIYO FAIDA YA KUWA NA JICHO LA MBALI AU KUPANGA MAKUBWA.
@jamilahjamilah415725 күн бұрын
kuna wachezaji wazao wapo vizur na yanga wamewajali wachezaji wote wazao wengi wamebaki nikitu kizuri sana kibwana uliisaidia sana tim msim ule wa nabii msim huu ilikuwa zamu ya yao kwansi wala usiwe na shaka wanayanga wengi tuna kupenda sana mm nakupenda km mwanangu kaza bunti mungu atakusaidia
@st.jamese.r694124 күн бұрын
Wazawa sio wazao 😢
@MselemHamisi24 күн бұрын
Mungu awalinde viaongozi wayanga,
@fadhiliomary180225 күн бұрын
Kuna wachezaji hawajaripoti na muhim sana, Dr harid Aucho na musonda
@suleimanmsalum24 күн бұрын
Safi sana
@AidaMwantimwa24 күн бұрын
Timu yangu jamniii .... 5 & 17.. job and faridi musaaa nawakubali mnooooo