Usisahau ku"SUBSCRIBE" KZfaq channel yetu kwa videos nyinginezo #zamaraditv #mambonimengi
Пікірлер: 46
@jaymwinyi69575 ай бұрын
Mashaallah tabaraqallah Allah amzidishie umri zaidi hyu mzee Abdallah bado yuko fomu
@mariamkibindo17415 ай бұрын
Mashaallah ALLAH amjaalie Afya njema na umri twawil
@KaburuKimath-eu5nf5 ай бұрын
Mungu akujaalie maisha marefu
@josephatmathiasgalagalabuh7865 ай бұрын
Kwa nini kila Kaunda akiwepo kunatokea kasoro? Mara moja huyu mzee aliona kijana mbaya akamkamata na ARUSHA akala samaki na Kaunda?
@abuyunusmohamed69615 ай бұрын
Huyu jamaa anajua sana kumhoji mtu.hongera sana.
@sophiakassim67845 ай бұрын
Ila anazingua sometimes swali moja analirua kuuliza mara mbili mbili wakati kashajibiwa
@Fred-Ma5 ай бұрын
Mwalimu alikuwa hali Kitimoto?😂😂
@sophiakassim67845 ай бұрын
Mtangazaji sauti kweli unayo ila kwenye kuhoji jipange unarudia sana maswali hayo kwa hayo
@AyshaYassin-hm5xo5 ай бұрын
Wakwanzaa🎉🎉❤
@evaristmbuya62205 ай бұрын
Mwinyi alikuwa Mzaramo aliyekuwa anaishi Zanzibar kwa hiyo Mwinyi alikuwa Mtanganyika kwa kuzaliwa! Somo zuru tuishi kindugu
@judithsimon78925 ай бұрын
Kwanza vpi kuhusu Historia ya kazaliwa,kakulia wapi elimu,mwenyeji wa mkoa gani eti bado kuna watu wanampongeza mwandishi inaamana hawajaona hayo
@sophiakassim67845 ай бұрын
Sauti kweli anayo ila mambo mengi anasanda kwenye kuhoji hajajipanga
@stanslausmteme84555 ай бұрын
Big up somo
@msongamwinyi28775 ай бұрын
Video ya mzee kwenye meza mbona mmeotoa mngeiacha kupendezesha storia
@lucasdismas4314Ай бұрын
Mzee alikuwa kitengo
@Fred-Ma5 ай бұрын
Kumbe Lambart upo huku? Nimekutafuta sana kule😂😂
@husseinkonz51925 ай бұрын
Hongera bab Kaz umefanya kwa weled
@jacobnorbertchenga94655 ай бұрын
Zamaradi mtunze huyu jamaa Crown Fm wanamjadiri sasa
@MrishoHakim5 ай бұрын
Mumuhoji muanzilishi WA taasisi ya kuzuia na kupambana na madawa ya kulevya, George Timbuka
@evaristmbuya62205 ай бұрын
Kwa kifupi mzee kasema wasomi ni majizi badala ya kusaidia nchi wanajisaidia wenyewe
@madenge7315 ай бұрын
#USALAMA huyoooo ❤❤❤
@oswardwenge23515 ай бұрын
Kipindi unatambaa inamaana watu hawakuona na kujiuliza kuna nn ?
@user-cw3vu8mu3k5 ай бұрын
Kwa wale wanaojua protocol atuambie je ni kuonja vya kula ,je hakuna vipimo
@iliyasabakari5 ай бұрын
Final uzeeni
@Chettymlambalipsi-lb9km5 ай бұрын
Ila uzee hauna adabu
@user-hi8le2vb7z5 ай бұрын
USISHTUKE,,WANAKULA VYAKULA KAMA UNAVYOKULA WEWE KWENU,,,,,TOFAUTI NI KWENYE KUANDAA..KAMA NI SAMAKI USIDHANI WA BEI ZENU IZO.
@mozasalim77255 ай бұрын
Leo wapili kudadeki wanikabizi mimi nionje chakula jamani
@hajimnubi45815 ай бұрын
Ilikua Mozambique hiyo alipomuwahi mdunguaje niliwahi kumsikia ulipomhoji before
@evaristmbuya62205 ай бұрын
Kwa hiyo kikiwa na sumu unaanza kufa wewe hii imekaa vizuri
@giztony20095 ай бұрын
Kwa levo yko nahisi unafaa hata uwe unatangazia BBC
@ukuvukiland23875 ай бұрын
Ebwanae kwenye chakula viongozi wetu wajiangalie sana wakija majuu ,kusaini mikataba ya wananchi kuna viongozi wengi ,clip zao zipo kwenye you tube,uzalendo kwanza hata kwenye pombe na uraibu mwengine,kuna dawa unaweza ukawekewa hazikuui leo zitaukuua 1,2,34 kama sindano za sumu wanazopigwa wagonjwa huku ulaya ,wachukue hela za uzeeni......
@protusmushi71625 ай бұрын
Mwinyi alikuwa anakula chapati. Mbona janabi anatukatza tusile chapati?
@user-pw8pc3by8p5 ай бұрын
Dr mwinyi amuone huyu mzee
@evaristmbuya62205 ай бұрын
Food tester
@FreeGod3685 ай бұрын
Uyu mwandish anastahili BBC au AZAM au any very big media houses
@boscokikoti5 ай бұрын
Wewe jamaa umeona mbali sana.mimi namkubali sana anajua anatamka matamshi ya kiswahili kwa ufasaha sana
@FreeGod3685 ай бұрын
@@boscokikoti Kabisa kaka jamaa ana uwezo mkubwa sana na utulivu katika kuhoji
@wechemakambo21825 ай бұрын
Mzee kaficha kitu...kujulikana na Mwl haikuwa Kaunda bali akiwa JKT,akatembelea na kwenye gwaride Mwl akasema namhitaji huyu kijana Ikulu na Mwl akampa hilo jukumu ila yy hakujua mpk leo why Mwl alimchagua...ila pale kambini alikuwa na kipaji cha kawaida cha kugundua chakula chenye shida...sababu hapo anachanganya kuwepo kwenye circle ya Mwl ilikuwa lazima mpikwe kweli na yy anasema tukio la Kaunda je alikuwa nani kama hakuwa na kazi hiyo?Alikuwa ni mwonjaji na ni kazi ipo mpk leo...MWONJAJI yuko close na Wapishi,,haiingii Akilini wapishi wasimjue yy bali wamjue km mpenda kula tu?Hawa wenye mafunzo huwa hawafunguki sana wanakuwa limited.
@TPW_FLUXY5 ай бұрын
Wewe muongo haikuwa hivyo waongo wakibwa nyie mnasifia uongo mbona hamsemi alivyo kiwa anakimbia na mabox ya pesa kwenda oman
@abdikadirhassan9355 ай бұрын
Ww mnafki ulimuona akiiba pesa? Hayo mabox umeyaona au unaamini vya kumbiwa
@user-iw5hu3mc7l5 ай бұрын
Hiyo ndo tanzania watu muhim kama hawa leo mtu amekua choka mbaya ka choka kama mpira wa makaratasi
@khatibabass31065 ай бұрын
Kwaio umri wa miaka 96ulitaka afanywe nn? Au arejeshewe ujana? Kama nyumba anayoishi ninzuri ,nguo kavaa nzuri ulitakaje?
@ttss77165 ай бұрын
@@khatibabass3106Asanti sana pia mimi nilikuwa nataka kumuuliza hilo swali😂😂😂
@mohamedhamismagoraonlinetv4595 ай бұрын
@@khatibabass3106Umenena kweli. Umri ni mkubwa ni lazima azeeke
@winfordmwangonda53755 ай бұрын
Asante point maridhawa@@khatibabass3106
@user-hi8le2vb7z5 ай бұрын
USISHTUKE,,WANAKULA VYAKULA KAMA UNAVYOKULA WEWE KWENU,,,,,TOFAUTI NI KWENYE KUANDAA..KAMA NI SAMAKI USIDHANI WA BEI ZENU IZO.