No video

BEHIND THE GRAM DIVA & SHEIKH - EPISODE 2

  Рет қаралды 23,547

ZamaradiTV

ZamaradiTV

Күн бұрын

Usisahau ku"SUBSCRIBE" KZfaq channel yetu kwa videos nyinginezo
#zamaraditv #mambonimengi

Пікірлер: 256
@MariaHamis-cl3nu
@MariaHamis-cl3nu 2 ай бұрын
Nimesikiliza mambo ya passpot nacheka hakimungu😂😂😂
@EmmyMo
@EmmyMo 2 ай бұрын
Uyo hajawah kuwa na passport bana asitudanganye hapa hkn mtoto wake😂😂😂😂😂😂😂😂 Pole kaka mganga kazi unayo😂😂
@nuryatmussa9966
@nuryatmussa9966 2 ай бұрын
Eti aliletewa passport bila kwenda uhamiaji
@stellahlinusi8215
@stellahlinusi8215 2 ай бұрын
nikweli lakini ni zile za kijani mm sijawai kwenda uamiaji​@@nuryatmussa9966
@MwaminiyusuphRwekaza
@MwaminiyusuphRwekaza Ай бұрын
Akiii nqchekaa km mazurii at kujieleza mtihaniii😂😂😂😂
@esthermakelemo2864
@esthermakelemo2864 2 ай бұрын
Zamaradi tupe mambo mengi,tunapenda sana mashabiki zako,na full za shoo za gigy
@witnessmlay7415
@witnessmlay7415 2 ай бұрын
Hehehe Abdul ulipatikana kwenye hii ndoa aisee!😂😂 Diva 🙌🏽🙌🏽
@JOCENTE
@JOCENTE 2 ай бұрын
Sheikh apewe crown siyo kila mwanaum ataweza kaa na diva siku2
@AmanaHussein
@AmanaHussein 2 ай бұрын
Abdul apewe 👑 👑
@ZulekhaAmar-fy4pm
@ZulekhaAmar-fy4pm 2 ай бұрын
😂😂
@EmmyMo
@EmmyMo 2 ай бұрын
Nikweli😂😂😂
@WinWilly4162
@WinWilly4162 2 ай бұрын
Kabisa
@MwaminiyusuphRwekaza
@MwaminiyusuphRwekaza Ай бұрын
Saiv ndo naelewa kumbe kingereza sio akilii😅😅😅😅😅
@blandinamyinga9489
@blandinamyinga9489 Ай бұрын
Self respect,self worth and self confidence as a woman is very powerful""treat others the same way you want to be treated""control your temper cause it will cost you badly one day.
@queentanitah1346
@queentanitah1346 2 ай бұрын
DIVA as Diva but doesn't have a passport 😂😂😂😂 LOL ohhh my...Tanzanian celebrity
@AishaHaji-jn7sg
@AishaHaji-jn7sg 2 ай бұрын
Hajawahi kuwa na passport huyu😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣angesema ukweli tu waendelee kujaza majibu ya passport yake ya kwanza
@LeeLian95
@LeeLian95 2 ай бұрын
🤣🤣umewaza kama Mimi
@marysaituni4584
@marysaituni4584 2 ай бұрын
Haya maisha yenu ni kama movie 😂😂😂 part 1/2/3/4/5/6/7/8/9/11... Hivi mwisho ni lini.. huyu mume apewe tuzo ya mume Bora.🇰🇪
@diannaphabian7440
@diannaphabian7440 2 ай бұрын
Hawa watu waliowanaje jaman hata majina yao hawayajui??😂🙆‍♀️
@ZaynaAdam
@ZaynaAdam Ай бұрын
Huyu diva hayupo hata romantic
@monicakimati4619
@monicakimati4619 2 ай бұрын
Daah nilikua na muwaza yule Roboti wa kizungu sijui hata kwanin nimewaza hivyo😂😂😂😂
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 2 ай бұрын
Yaani nimemsikiza huyu Diva! No way! Hata hana knowledge fupi sana!! Bwana naye mrongo sana! Pwagu na pwaguzi
@fettymilly7664
@fettymilly7664 2 ай бұрын
Mtu uliletewaje passport bila ww mwenyew kufika kule anatuchukuliaje huyu divaaa😂😂😂😂😂
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌eti nililetewa nmechekaaa
@fettymilly7664
@fettymilly7664 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 anatuona ss machiziii
@mapishiyetumazuri2312
@mapishiyetumazuri2312 2 ай бұрын
Huyu ndiva mshamba na mjinga unaleta majina ya 😂😂😂
@mariamhussein7620
@mariamhussein7620 2 ай бұрын
Kwenye ndoa zenu kuna kazi na hamtuambii😂😂😂😂
@zuwenaally2734
@zuwenaally2734 2 күн бұрын
😂😂😂mamdogo ata ajui alipozaliwa
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 2 ай бұрын
Nimecheka hapo uliponunuliwa vitenge😅😅😂😂😂
@leokamil6284
@leokamil6284 2 ай бұрын
Eti how are you 😂 huku hujui hata Wazazi wako wamezaliwa wapi 😅
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 2 ай бұрын
Aiseee ila diva kwa mashauziii
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 2 ай бұрын
Watu mnanaisha jamani. Yaani milioni tatu mnatumia mwezi???? Hamko serious😂😂😂😂😂😂
@user-wu8qe4fv4j
@user-wu8qe4fv4j 2 ай бұрын
Diva mashauzi yote Hana pasport duuuuuu
@reynaaalrawahi4137
@reynaaalrawahi4137 2 ай бұрын
Yaani. Hata mimi nime mshangaa sana
@salmabamba2751
@salmabamba2751 2 ай бұрын
😂😂 yaan duh
@bahatihassan5413
@bahatihassan5413 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@AishaHaji-jn7sg
@AishaHaji-jn7sg 2 ай бұрын
Siwezi kugawa kitu mume wangu kaniletea hata kama kiwe kibaya kiasi gani huwa nakipenda na kukitunza
@saraheunice8661
@saraheunice8661 2 ай бұрын
na huyu mwanamume kwa kueli n mzuri sana
@verbalverbal2019
@verbalverbal2019 2 ай бұрын
Diva anaweza akakwambia babake ni mhaya, lakini yeye siyo mhaya, yeye ni black america, alienda mahakamani kubadili kabila... (Giselle)😂😂😂😂😂
@faridalihondo3322
@faridalihondo3322 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@peaceisrael8158
@peaceisrael8158 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😅
@AmanaHussein
@AmanaHussein 2 ай бұрын
Shida ya huyu diva ni mdomo alafu hajajua nini maan ya mume na ndoa inataka nini
@firdaussheikh4817
@firdaussheikh4817 2 ай бұрын
Kumbe sheikh anamzidi akili diva na ujuzi wake wote wa social media 😂😂😂😂😂 mpaka amepoteza passport na hajajulisha sheria😂😂😂 Pole hata mm nilipoteza yangu this year I don't know when and where 😢🇬🇧🇰🇪🇾🇪
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 2 ай бұрын
Yaani kumbe yote haya! Sasa anakua diva na hajasafiri! Huyu ni mjinga Sana
@JOCENTE
@JOCENTE 2 ай бұрын
​@@BarbaraPatience-qt9cc😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-eo4hd8xu6d
@user-eo4hd8xu6d 2 ай бұрын
Unavituko Kwel.😂😂😂😂 Sasa km mamako mzigua hatunaga se mkiwa se niuko iringa wazigua tuna mokiwa hatuna semkiwa.
@minaeli5989
@minaeli5989 Ай бұрын
Huyu Abdul wanasema hana Adabu sijui malaya but he is a realy man mtulivu anampa mke heshima na anamsikiliza vizuri kaka mtulivu
@TabithaAlfred
@TabithaAlfred 2 ай бұрын
Mmeweza😊😊
@lilianpeter1631
@lilianpeter1631 2 ай бұрын
Sasa ndo nmejua mganga Hana matatizo huyu diva ndo shida hajui kuongea na mumewe
@user-ii2dp3es9h
@user-ii2dp3es9h 2 ай бұрын
Wew diva mulize giving mawigi and nunua wapi akielekezee😂😂😂
@josephgatunzi1670
@josephgatunzi1670 2 ай бұрын
Tukalime jamani 😂❤😂❤😂❤
@reynaaalrawahi4137
@reynaaalrawahi4137 2 ай бұрын
😂😂😂
@user-us4jy4ju4h
@user-us4jy4ju4h 2 ай бұрын
Kwakweli tushike jembe😅😂
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 2 ай бұрын
Si angemwambia diamond amtafutie passport😂
@annajoseph9955
@annajoseph9955 2 ай бұрын
Huyu passport hajawah miliki bhana,,,,,huyu mwenzetu wa humuhumu tu
@EmmyMo
@EmmyMo 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@aminanyembo8471
@aminanyembo8471 2 ай бұрын
Sio wa humu humu tu,sema wa "Bukoba"😂
@temeketv
@temeketv 2 ай бұрын
Mwanetu shehe anapitia vitu vingi vigumu na huyu demu, sema anaweza kukaza, kipindi cha ukoloni watu kama shehe ndo walikua wanasafirishwa na cheni shingoni huku wanachekelea kuenda mambele😂 😂
@rukaya-jg7hj
@rukaya-jg7hj 2 ай бұрын
Muongo huyu aitwi diva 😂😂kadi lake la clinic 😂😂😂
@peaceisrael8158
@peaceisrael8158 2 ай бұрын
Jamani hadi leo huna passport jamani😢
@steveabel5819
@steveabel5819 2 ай бұрын
Yaan diva ni vituko jmn mwanaume wake kazi anayo😂🙌 anajikuta sana af hana chochote mxieew na hayo mawigi kama katani
@sherryx.7897
@sherryx.7897 2 ай бұрын
Ikiwa mume hana uwezo wa kukununulia gari..usimlazimishe...halafu Diva u don't respect ur husband.. talk to him as a husband sio kama takataka..
@leokamil6284
@leokamil6284 2 ай бұрын
Hii inanionyesha kwa jinsi gani upeo ni shida katika watu wengi ambao huwezi hata kuamini
@aminaomary5150
@aminaomary5150 8 күн бұрын
Duh natumbua mijicho nashangaa majibu ya diva dah kapinda xana
@MariaThomas-wm9iq
@MariaThomas-wm9iq 2 ай бұрын
Diva mbona fek mpka majina😅😅😅
@nayarichard5318
@nayarichard5318 2 ай бұрын
Ila huyu kaka anajitahidi jaman khaaaa!!
@nayarichard5318
@nayarichard5318 2 ай бұрын
Yaani hapa Abdul kajikanyaga naatakonda sana😂😂😂😂
@JOCENTE
@JOCENTE 2 ай бұрын
Kweli atamimi nahisi ivo,jama anapambana sana sikazi ndogo kukuwa karibu na Diva
@LeeLian95
@LeeLian95 2 ай бұрын
@@nayarichard5318mbona washaachana kitambo show yenyewe marudio hii
@LeeLian95
@LeeLian95 2 ай бұрын
@@JOCENTEwashaachana
@rehemapeter8621
@rehemapeter8621 2 ай бұрын
Kumbe muhimbili ni hospital ya muda mrefu😂😂😂and u are a journalist? Heey eh
@3Dshoez
@3Dshoez 2 ай бұрын
Yan anajifanya mgeni TZ
@AminaAfrica-pr3gi
@AminaAfrica-pr3gi Ай бұрын
Wewe umekwenda kuowa mkridto wakati dini yenyewe inatukataza tusiwaowe hao bali mbaka pale pasipokuea na budi kwakuwa kuna hasara nyingi lakini mapenzi mapenzi yalikuchotaa pole sana ila usipotexe mdu hapo una mkee wanawake wa dizaini hiyo uwa awabadiliki kiamaa pole na jipange tuuu kwa maisha mengine mimi simufichi nskueleza kweli pia kumbuka wew ni shekhe fuata dini basii ole inalilah waina...... Kumbuka hadhi za maswahaba moja alipoambiwa na baba eke abadilishe kizingiti cha mlango ndugu huyo sio mke umueexiiii mbaka kiamaaaa alafu wee shekhe. Ndoa yako ya mkataba ndowa ya bomaniii uyo ni mwamke wa kutumiaaa ana fuchaaa ndugu baldili kixingiti na fuata vigezo vya dini wacha matamanio ya duniaaa shekhe gani wewe badilika ili uendane na cheo chake
@user-wd2bc7bf5x
@user-wd2bc7bf5x 2 ай бұрын
Anaomba msamaha huku anacheka yaan hajui jns yakuishi na mume waaa japo sijaolewa bado but diva bana
@aishaabrahaman9957
@aishaabrahaman9957 2 ай бұрын
😂😂😂khaaaa jingaaa sanaa halijui kitu upuuzi 😂😂😂 mwingi kwenye kitambulisho cha nidaa lilijaza nini sengeee sanaa😂😂
@activestudios.
@activestudios. 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂dah
@jemalulenga4981
@jemalulenga4981 7 күн бұрын
Yaani dada wa ajabu hahahha afu anajikuta mzungu flan
@3Dshoez
@3Dshoez 2 ай бұрын
Baada ya hii show ,Abdul shikamoooooooooooooooo ndo maana ana cheat this is too much for him,anatafuta wakumliwaza
@HabibaIslam-rf4ev
@HabibaIslam-rf4ev Ай бұрын
Uyo mwanamuke hafayi
@khairyaalamri4002
@khairyaalamri4002 Ай бұрын
Me na diva nimeanza kumiliki passport me😂😂😂😂😂diva bwabwa
@sechemaguha7262
@sechemaguha7262 Ай бұрын
Yani mwanamke lazima uwe na kitu cha Ziada cha kumfanya mwanaume ajue mkewe nyumbani kichwa sasa Huyu binti namsikitikia sana hakuna Mke hapo
@WinWilly4162
@WinWilly4162 2 ай бұрын
Abdul ni mwanaume na Robo 3.. Kuishi na kiumbe kama Diva inabidi utumie akili hekima, busara kubwa sana.
@sechemaguha7262
@sechemaguha7262 Ай бұрын
Ujue Huyu dada anajifanya mtoto mdogo asiyejielewa hata kidogo wakati yeye muda wote ni mtoto mchanga
@HabibaIslam-rf4ev
@HabibaIslam-rf4ev Ай бұрын
Sheh amepoteyaga njiya😮😮😮
@reynaaalrawahi4137
@reynaaalrawahi4137 2 ай бұрын
Diva umeolewa na mzungu 😅
@NnajMimi
@NnajMimi 2 ай бұрын
Haki diva hajui kuongea vizuri na mume wake,kasema kupika hajui,harafu kumbe haelewi vitu vingi maana hata pasport tuu mume anafaham kuliko yeye msomi,analazimisha apewe vya thamani wakati bajeti hajui,yaani kumbe anamsema mume nje vibaya wakati yeye ndo tatizo,
@EmmyMo
@EmmyMo 2 ай бұрын
Exactly 💯
@NnajMimi
@NnajMimi 2 ай бұрын
Analazimisha apewe vya thamani wakati hajui bajeti,hajui thamani ya shilingi aiseeee atabaki hapoooo
@josephinejames4590
@josephinejames4590 12 күн бұрын
Kwa hapa nimemaliza huyu kaka,ela yake ya kimaskini kuishi na mtu kama diva alijaribu ni sawa tu walivyoachana
@RandB_Channel
@RandB_Channel 2 ай бұрын
Hata kama mnesemaga mme ooo shehe lakini hata huyo diva hana tabiaya nzuri yakuwa mke wa mtu . Kumbe unatumbo kumbwa hivi wenye wesha zaha ndo wanakuwaga navimatumbo ww imekuwaje 🤔🤔🤔 huyu diva maisha ya ndao hawutaweza ju tabia yako nimbaya
@marymanoni5536
@marymanoni5536 2 ай бұрын
Mbona kawaida
@Hajer-be2kh
@Hajer-be2kh 2 ай бұрын
Hilo liko wazi
@mapishiyetumazuri2312
@mapishiyetumazuri2312 2 ай бұрын
Yani hatari kwa kweye ndo ukivuvuna hiyo huishi na mwanaume kampata huyo mume naye wataka usataa tu
@RandB_Channel
@RandB_Channel 2 ай бұрын
@@marymanoni5536 apana kwahawa wasani wana maisha yakuigiza nilisema vile kwasababu wende utizame instagram nahapa nibitu 2 tofahuti kule iko na flati stomeki apa iko namama lawo
@gracekenan4665
@gracekenan4665 2 ай бұрын
Tumbo kama langu mama kachanga ila soon nalitoa
@mvfff7224
@mvfff7224 2 ай бұрын
Nacheka mno duu yaan hapa kwenye passport duuu umetuacha sana,,, pass kuhama ipotee😅,, anajiumauma tu😂😂Shekhe kazi unayo,,,, yaan ihi ni comedy
@LeeLian95
@LeeLian95 2 ай бұрын
Huyo hajawah kua na passport anazuga tu 😂😂 Shekhe kazi anayo kivipi wakati washaachana hiyo show ya tangu mwaka jana
@JOCENTE
@JOCENTE 2 ай бұрын
​@@LeeLian95😂😂😂😂😂
@rosehaule6765
@rosehaule6765 2 ай бұрын
​@@LeeLian95😂😂ndio hivyo.yasn 😂😂😂diva😂😂😂
@user-rf4yq9yj7u
@user-rf4yq9yj7u 2 ай бұрын
Kweli ni comedy nimecheka saana Leo 😂😂😂😂😂😂
@NanaNana-oe5ft
@NanaNana-oe5ft Ай бұрын
Diva mbaya bila mekap kibibi kweli nibora avae miwani mbaya kweli
@hollymore4904
@hollymore4904 Ай бұрын
Kumbe muhimbili ni hospital ya muda mrefu!! Hahaha mshamba huyu
@reynaaalrawahi4137
@reynaaalrawahi4137 2 ай бұрын
Puwagu na pwaguzi 😀😀😀
@ZulekhaAmar-fy4pm
@ZulekhaAmar-fy4pm 2 ай бұрын
Pipa namfuniko 😂😂😂
@Mwanamkesahihi01
@Mwanamkesahihi01 2 ай бұрын
Kwa hiyo huyu Director hakujua kua kuonesha kuwa diva hapa pass ni brand Damage?????
@user-zl5mt6lk4n
@user-zl5mt6lk4n 2 ай бұрын
😂
@walizanasiri4963
@walizanasiri4963 Ай бұрын
Kwani uyu muislam au mklisto?mbona simuelewi😂😂😂😂😂ila diva
@3Dshoez
@3Dshoez 2 ай бұрын
Mental health is real
@user-eo4hd8xu6d
@user-eo4hd8xu6d 2 ай бұрын
😂😂😂diva yaan unavitu ww af abdul yuko makin atak ujinga😅😅😅😅mara malinz mara mpare mara muhimbil
@elizabethsamwel8628
@elizabethsamwel8628 2 ай бұрын
Realty yenu mbaya hainogi
@3Dshoez
@3Dshoez 2 ай бұрын
Hata mume hajui majina ya mkewe
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@MagretSalheart
@MagretSalheart Ай бұрын
Nyie mnaomsema diva angalien inteview yaa salma mwanamke wa huyu kaka aloachana nae ata ela ya chakula anasema alikua aachi uyu kaka
@beatriceevan3074
@beatriceevan3074 2 ай бұрын
@zamaradi tuwekeen na ya kajała na mwanae wengine hatukuiona kwa tv plz
@fettymilly7664
@fettymilly7664 2 ай бұрын
Kuna mdada alicomment kwenye behind the gram ya paula na kajala kwamba bora niangalie reality show hii kuliko ya diva sizipend sofa zake ikabid nije kuziangalia😂😂😂😂😂 ni kwel km sofa yang mm nnae kaa vingunguti😂😂😂
@user-eh4rc3cm9d
@user-eh4rc3cm9d 17 күн бұрын
Kama kikwete😅😅
@zuwenaally2734
@zuwenaally2734 2 күн бұрын
beyonce huna pasport
@user-td8bp9kz8d
@user-td8bp9kz8d 2 ай бұрын
Diva anaongelea maisha ya kina biyonce walioshajipataga anayaleta kwa mganga wetu wa kienyeji
@ZulekhaAmar-fy4pm
@ZulekhaAmar-fy4pm 2 ай бұрын
😂😂😂
@EmmyMo
@EmmyMo 2 ай бұрын
😂😂😂😂daaah
@lucymtui8680
@lucymtui8680 2 ай бұрын
😂 we mshenzii😂😂😂
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 Ай бұрын
😂😂😂 kwanini mganga wenu wa kienyeji jamani
@salama1113
@salama1113 2 ай бұрын
Nilichogunguwa kweli huyu dada maishayake ni feki we hada ditel ya mzazi wako huzijui au ww sio mtz
@lilianestephanie7881
@lilianestephanie7881 2 ай бұрын
Canada 🇨🇦 unaenda kufanya nini? Acha zako diva
@AminaAfrica-pr3gi
@AminaAfrica-pr3gi Ай бұрын
Huyo ni mwanake wa kutumiaaa tuuu si unamuona
@righitkileo
@righitkileo 2 ай бұрын
Vituko jaman huyu chizi diva ataniua mm.lkn huyu shekhe jmn anaweza je kuwa na huyu ? Ha,ha,ha,ha,😂😂😂😂😂
@Masoud-bi9bq
@Masoud-bi9bq Ай бұрын
miaka yote likua wapi ata passpot atengeneze leo
@AminaAfrica-pr3gi
@AminaAfrica-pr3gi Ай бұрын
Kiongozi wetu ntumee mohamad s(s aw) alidaiwa dhahabu na wake zake wawili na hakuwa na uwezo emu rudi kwenye dini wrwee. Wacha kupoteza muda hakuna jipya kwako amblo alijawahi kutokea enzi za mitume na maswahaba na ndio viongozi wetu tunaotakiwa kuaiga wewe rudi katika imaniii yako wrweeeee vyetu
@alhamdullilla5108
@alhamdullilla5108 2 ай бұрын
Kwei sheikh 😅😅😅😅 ❤❤❤
@HabibaIslam-rf4ev
@HabibaIslam-rf4ev Ай бұрын
Uyo siyimwanamuke
@Bashitetako
@Bashitetako 2 ай бұрын
She's so fake anajikana mzima mzima eti naenda canada hata burundi hujafika 😅
@awaynaaaa3490
@awaynaaaa3490 2 ай бұрын
Yaan ndiy nimeamin kumbe huyu dada uzungu t mwing kichwan hana kitu mana anasem ety tutasem sina passport khaa sasa hajui km tarifa zipo kule nimexhek
@user-oq2wp8oh1f
@user-oq2wp8oh1f 2 ай бұрын
Diva jaman
@swaiseif2989
@swaiseif2989 2 ай бұрын
Kuna mimi nikipewa laki mbili inaisha mwez mzm nabdo naulizwa imeishaje 😂😂😂😂
@MagretSalheart
@MagretSalheart Ай бұрын
Mmaosema uyu kaka hana shida taften interview yayule mke wake salma kabla yakumuowa diva
@happybryce1269
@happybryce1269 2 ай бұрын
Kochi chafu
@floraflora9490
@floraflora9490 2 ай бұрын
Diva nimejua kweli ww muongo, pp huna na wala hujui maana ya pp,
@maidimples8236
@maidimples8236 2 ай бұрын
Ati mama angu alionizaa sindio Rosemary? Reall! Is it possiple your not sure about ur mama name?
@leokamil6284
@leokamil6284 2 ай бұрын
Ndio maana kichwa kibovu huyu
@ms_teeonly
@ms_teeonly 2 ай бұрын
Hakuwahi kuwa na mama yake..alifariki akiwa mdogo hata mwaka hana
@leokamil6284
@leokamil6284 2 ай бұрын
@@ms_teeonly Ooh pole sana kwake
@user-qq2oc4bt3i
@user-qq2oc4bt3i 2 ай бұрын
Yamekwisha ni upendoo tuuuu
@elizabethmwakalinga3287
@elizabethmwakalinga3287 2 ай бұрын
Prague na Pwaguzi, nimecheka sana leo hiyo issue ya passport.
@happynessmuro6474
@happynessmuro6474 2 ай бұрын
Passport hujui magar hujui hahaha hahha ila jaman tuishinkawaidaaa yan huyo mwanaume anamuenjoy sanaa diva coz anajikuta mjuaji so.mwanaume anakaa nyumanyumaaa,hata kuongea is acting daaa wadada
@fatnaabdulhassan7383
@fatnaabdulhassan7383 2 ай бұрын
Dah etiquette waambie hana passport mweh 😂😂😂😂😂😂
@annajohn2488
@annajohn2488 2 ай бұрын
Yaani uyu dada ni mshambaaaa
@nancyg8664
@nancyg8664 2 ай бұрын
😂😂we hutaki kutumwa af unataka akununulie mavitu hahaha
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 2 ай бұрын
Majina magumu kama maisha ya Kenya 😂😂Kwani muhaya sio mtz😂😂
BEHIND THE GRAM DIVA & SHEIKH - EPISODE 3
29:07
ZamaradiTV
Рет қаралды 23 М.
BEHIND THE GRAM DIVA & SHEIKH - EPISODE 1
26:44
ZamaradiTV
Рет қаралды 22 М.
КАКУЮ ДВЕРЬ ВЫБРАТЬ? 😂 #Shorts
00:45
НУБАСТЕР
Рет қаралды 3,5 МЛН
Prank vs Prank #shorts
00:28
Mr DegrEE
Рет қаралды 10 МЛН
А ВЫ УМЕЕТЕ ПЛАВАТЬ?? #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 1,7 МЛН
Ik Heb Aardbeien Gemaakt Van Kip🍓🐔😋
00:41
Cool Tool SHORTS Netherlands
Рет қаралды 9 МЛН
BEST ENGAGEMENT PARTY EVER 'Joshua & Maria' -MC SOGOHE
50:53
LEMMY LITO SOGOHE
Рет қаралды 6 М.
KIKAO CHA WAJAWAZITO WITH GLADNESS KIFALUKA - EPISODE 12
31:59
JUA KALI LEO TAREHE 28/08/2024 | FULL EPSODE "HD"
23:12
Mr Exclusive Tv
Рет қаралды 4,4 М.
BEHIND THE GRAM DIVA & SHEIKH - EPISODE 5
24:23
ZamaradiTV
Рет қаралды 15 М.
КАКУЮ ДВЕРЬ ВЫБРАТЬ? 😂 #Shorts
00:45
НУБАСТЕР
Рет қаралды 3,5 МЛН