Usisahau ku"SUBSCRIBE" KZfaq channel yetu kwa videos nyinginezo #zamaraditv #mambonimengi
Пікірлер: 206
@user-td8bp9kz8d26 күн бұрын
Tatizo divà anaumwa kisaikolojia anatakiwa aseme am Diva at work and am Diva at home I suppose to do this and that to my husband as a Diva and to be proud of lkn kulalamika kunfanya ajihisi anaonewa au anashuka kibrand
@steveabel581927 күн бұрын
Sura ya diva siielewag😂😂hanaga sura moja😅
@LevinaMiteo27 күн бұрын
😂😂😂 nikajua nimie tuu Bora aendelee na kuvaa miwani
@alsam488126 күн бұрын
Diva ana sura nzito sana na umri umeshaenda.
@shantellemwanakombo370326 күн бұрын
😅😅😅😅miwan inambeba😊
@sophynatch732726 күн бұрын
😂😂😂😂
@LevinaMiteo26 күн бұрын
@@alsam4881 ukiisikia kwenye redio sauti jina lake na ukimuoña ni watu wa watatu tofauti
@nancyg866425 күн бұрын
hapo mwisho sijapenda😢 yan ningekua ni mimi ningempiga huyu mwanamke angerudi nyumbani wigi mkononi
@salhamrishoi494327 күн бұрын
Ungesema2 mganga kaka mbona sisi tunakuelewa kabisa 😊hii sasa ndiyo maisha harisi siyo ile ya gigi🎉❤❤❤❤❤❤❤❤
@WinWilly416224 күн бұрын
Diva udiva wako utakuangusha sana kwenye ndoa.. Ni kheri ungekua unautumia nje ukiingia ndani unabaki getini
@mutamurizajosephine834922 күн бұрын
Atakwabwanae anamutishiya brand
@blandinamyinga948915 күн бұрын
Ni kweli kushikashika maji sana pete zinaharibika au ngozi zetu haziendani na madini fulani
@zenaali869622 күн бұрын
Diva kutopika ama kutojua kupika anaona ni sifa 😊
@TrinaRoman34527 күн бұрын
Nawaza tu kwan kwenye ndoa uliingia kwa kutamani au???kweli diva sio mke ni wakupiga na kusepa😂😂
@nsajigwaburton22 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@shabanimpalazo26952 күн бұрын
Ana mapungufu ya Akili sio mwanamke wa maisha ni mwanamke wa starehe
@user-qq2oc4bt3i26 күн бұрын
Ni nzuriii saaaanaaaaa mashallah
@Irenes_Kitchen27 күн бұрын
Mbona kama movie alafu sielewi 😂
@maidimples823627 күн бұрын
Good this was’nt bored for sure
@annamussa18527 күн бұрын
Hakuna mke wala mume naona ukatuni tu😂
@happybryce126922 күн бұрын
Wanaboa hasa uyu dada
@JechaMakameIssa-gs2bl22 күн бұрын
chai aweke mwenyewe hujafunzwa ww
@chunaabdullah133325 күн бұрын
Mwarabu wa kipilipili😂😂😂
@maryamtanzania974325 күн бұрын
Ni mzuri diva hamjawahi kuonana nae laivu afu msiwe mnakomenti komenti za kuumiza watu
@haskao7719 күн бұрын
Na hata hapa kwenye hii video, hana ubaya wowote
@reginamluviji9405Күн бұрын
yaani unjua umeolewa unasema hela aloacha umenunua chips hakunaga mwanmme bwege wa kuvumilia haya mambo asee
Ndo hata ham kiss akiingia mpaka amuombe 😂😂oooh baby
@wemaMichael-fr4th27 күн бұрын
tafuta bwana michunusi imekuzidi sanaa
@NaomiKasimu25 күн бұрын
Hapo kwenye dener nilivotoa macho khaaaaaaaa😊
@edwardyessenessen87377 күн бұрын
Tumia microwave wew si diva bana 😅😅😅😅😅
@MariamJuma-nj9fc25 күн бұрын
😂😂😂jaman, yan abdul anaonekana hayuko comfortable na hio gram😂😂😂.. mwanamke anatoa siri zote
@user-ts5bu7os5d24 күн бұрын
Hata akitoa,,,lakini chini Abdul kashakufunua sana,,,Bora angekaa kimya maana wanaume wakiamua kutuumbua mmmh,,,ndoa sio mchezo
@tinnahagustinolyelu424726 күн бұрын
Wewe ni mvivu dada sasa unataka ulivyokuwa peke yako na ukiwa na mume iwe sawa wewe ni mvivu
@nancyg866425 күн бұрын
anataka tu kifo cha mende
@user-dn7gn6ib4k26 күн бұрын
Nice couple mashallha
@NanaNana-oe5ftКүн бұрын
Diva mbaya bila mekap
@lailafakhihaji24 күн бұрын
Diva umenene sana yaani umeharibika
@zuwenasalim279427 күн бұрын
Diva ukimtizama kwa nyuma akitembea nikama mm tu😂😂😂
@user-sf5lk3qo4s27 күн бұрын
Da uyu diva
@MuhamadiAli26 күн бұрын
Huyu diva sauti na sura ni tofauti
@Anna-jl2ie22 күн бұрын
Sasa mizagamua atakupaje unamnywesha chai😂😮
@user-ls2cm8pw5x24 күн бұрын
Tulete Na Ya Gigymoney😂😅
@OmanOman-vb4uj25 күн бұрын
Mziki wenu unakera bhnaaa
@ashminaabdulla894612 күн бұрын
Kumbe hii ndiyo Tz ok 👍
@SuleimanKhdija27 күн бұрын
Sasa movies hii ao mnatumalizia Bundle zetu??😅😅
@faridahalil445625 күн бұрын
Kwani huyu Diva hajui majukumu ya mke, kuonja mkono wako, this is a must. Huo mkate utamfungisha choo. Kwani kuolewa uliona kupaka lipstick na kubadilisha mawigi??
@bintabou82827 күн бұрын
😂😂😂😂😂 Una haki Ya Kuoa mke mwengine aisee 😂😂😂😂😂😂😂
@hafswahamisi968527 күн бұрын
😂😂😂 kwa style hii n Haki yakee
@MariamJuma-nj9fc25 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 kweli
@nancyg866425 күн бұрын
😂😂😂 mbona izo features za bibi ni kama anajisema yeye, et sura nzito, shingo pana mgongo na tumbo havieleweki...ni yeye mwenyewe mbona😂
@WinWilly416224 күн бұрын
😂😂
@mutamurizajosephine834926 күн бұрын
Eti baba yake kamwambiya aweke miguu juu yameza😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@nurathyswalehe420825 күн бұрын
Imagine 😂😂😂
@walizanasiri4963Күн бұрын
😂😂😂😂Ila diva
@AmanaHussein25 күн бұрын
Abdul wafanyishwa diet ya lazima😂
@barikiwa2221 күн бұрын
Mwanamke mzee hujui kupika unaona sifa 🥱
@boubabizo24622 күн бұрын
Camera imemkosea Diva.. she doesn’t look like that.
I'm a diva mpaka nyumban diva n kazin ukirud nyumban shika majukum yako A's a wife sasa kwahiyo life ya vyakula vya hotel unanunua ulitegemea abdul asioe???? Hata mm ningekua mwanaume ningeoa nikakuacha na hiyo akili yako ya I'm divaa diva ya nyoko
@AmanaHussein26 күн бұрын
💯💯
@user-wd2bc7bf5x25 күн бұрын
na tena wako wawili mume anatakiwa kupikiwa 😢😢namuonea huruma huyu kaka diva anaonekana mbishi sanaa
@user-ir5ec5jn3w26 күн бұрын
Sheikh gani mkeo Anavaa Mawigi tena mpaka jikoni Masheikh wakina Othman Maalim, Nurden Kishki
@mwanaikaomar862827 күн бұрын
Tuleteeni episode ya 2 upeai
@AsiaSiraji-ud9ju27 күн бұрын
Nitakujuza ila Bado sana
@user-cd5by9vc5i25 күн бұрын
Ndoa gani iyooo jamanii😢
@annamontana285427 күн бұрын
Kwan hii haikuisha??
@user-is9he3pb3b13 күн бұрын
Pete.ni.pambo.tuu..kwa.waislamu.ndowa.nikwenye.napsi.ya mtu..kupendana heshima.na kustahamili na kusaidiana
@agwalubifaridah707925 күн бұрын
Bado kuna ndoa kumbe..!😮
@happybryce126922 күн бұрын
Uyu dada jmn😅
@user-og4wh1xr2c26 күн бұрын
Anasura ngapi jamani huyu binti
@user-td8bp9kz8d26 күн бұрын
And Abdul unatakiwa uweke mfanyakazi wa kupika ili Diva awe anarest na anapokua na wewe usimtume tume hapendi
@user-og4wh1xr2c26 күн бұрын
Abdul razak...haujaona waswahili wenzako...mpaka.umchukue huyo mzungu
@mutamurizajosephine834922 күн бұрын
😂😂😂😂
@patriciaboniface997526 күн бұрын
Diva na mawigi 😂
@AmanaHussein26 күн бұрын
Ndoa yako diva umeamua kuweka mitandaoni pole 🤐
@RAHMASULEIMAN-mh6ul26 күн бұрын
Ndo dini yako ilipokufikisha mungu akuongoze
@nancyg866425 күн бұрын
sio mungu ni Mungu "MUNGU "
@UmayyaNkya-ze3ri25 күн бұрын
Ko hadi kupika na wigi😅😅
@saidissa889917 күн бұрын
Mtu na
@wemaMichael-fr4th27 күн бұрын
matako ya diva ni kama bAmina za morogoro
@patriciaboniface997526 күн бұрын
😂😂😂😂😂dah
@floraflora949026 күн бұрын
Kwaivo talaka hakuna tena😂
@AmanaHussein26 күн бұрын
Kuachika hawezi wachezeaaaaaaaaa🍍🍍🍍
@pikanaauntzuu146619 күн бұрын
Ndiomaana mumeo msumbufu sana ana majina mengi hivyo pekee yake😂😂😂😂
@blandinamyinga948915 күн бұрын
Diva"i hope this is only a reality tv show""i hope so but if its real in real life?? mhhhh""That one,second don't you ever ask a man(yr husband) provocative questions like that on your dinner date((((out dinner date)))wooooow.as i said before i hope this is only for TV shows not in real life.
@righitkileo21 күн бұрын
Ha ha haaaaaa,ha ha ha haaaaaaaaaaa.ntakufa kucheka .eti ile hela ulioiacha nimenunua chjps.uwe unanunua mkate .jmn😂😂😂😂
@walizanasiri4963Күн бұрын
😂😂😂Yani wewe ucheki kama mimi nacheka mwenzako akili za diva nazipenda😂😂😂yani yuko vizuli na wala afeki maisha😂😂😂
@RutyNatalia-uu5uj24 күн бұрын
Mume anahaki ya kuoa mke mwingn ndoa ni mahaba diva sijuh anashida na akili
@mutamurizajosephine834922 күн бұрын
Sijambo lakujiuliza hana urafiki na akili kbs
@witnessmlay741526 күн бұрын
Sasa Diva anamsema mwenzake sura nzito sijui hana shape, ye hajioni?😎
@user-vs8ht4uy8p25 күн бұрын
Rihanna 😂😂😂😂
@faridahalil445625 күн бұрын
Kwa yote unavyo jieleza inaonekana hauko SECURED and PARANOID
@user-td8bp9kz8d26 күн бұрын
Mbadilishe taratibu ataanza kupika na kufanya kila kitu
@Teddy_jones25 күн бұрын
Huyu diva hajuw uyu mwanaume n muislam anaoa wake 4 my sister grow up your too big to this
@Juke99526 күн бұрын
Kama shida ni pete basi abdul ana shida ya iron deficiency yan upungufu wa madini ya chuma ndo maana silver inamletea shida na dhahab hataki kuvaa dini imekataa😂😂
@user-zl5mt6lk4n24 күн бұрын
na dida hatak kumpikia japo dagaa😅 aengze madini chuma
@tanzcanmediatv447323 күн бұрын
Waislum wa buza ila naowajua mimi mmh
@sistersade903919 күн бұрын
Ndoa gani hii 😮vituko tu. Sasa diva hujakuwa ukisikiliza wenye ndoa? Mbona mambo ya ajabu. Ata wazungu hawa behave namna hii.
@WinfridaNdege20 күн бұрын
Pamoja na mapungufu yote ya diva hata mm nisingekubali kuamshwa usiku eti kupika chai😮 labda kama mgonjwa huyo mume
@marieiradukunda929827 күн бұрын
What kind of a wife is this? 🤦🏾♀️
@AmanaHussein26 күн бұрын
Brand 😂😂😂
@ramhuudulla892126 күн бұрын
Hakuna mume hakuna mwanamme, Naona UFYOROTO AMKA ABDUL UNATIA AIBU WANAUME WENZAKO MKE HAWEZI KUTOA AIBU ZA MUME HADHARANI KISA DIVA WHO IS DIVA BY THE WAY, DIVA BONGOÒ
diva ujui kutofaitisha nguo za kazin na za nyumban asa manyela umo umo mume atakushika wap upo ka unafanya kazi ya kujenga bala bal mwanaume anataka mwanamke yuko romantic kuanzia mavaz mpka maongezi sio nafikilia vibaya lkn abdul anaish na mubaba 😂
@rehemapeter862126 күн бұрын
Kwamba? Akale kwa mama yake kwako? Et unapenda kuorder seriously?kwenda sokoni Sawa sasa ata kama ni malikia ndo usioshe vyombo? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@MariamJuma-nj9fc25 күн бұрын
Yan vyakukoment haviishi .😂😂😂😂😂😂diva atar
@rehemapeter862125 күн бұрын
Ni vile naandika nakuchoka huyu kazidi😁
@nancyg866424 күн бұрын
@@MariamJuma-nj9fc 🤣🤣🤣
@tanzaniawomenyouthempowerm26727 күн бұрын
Inabadilika badilika tokana na make up anayopaka
@MuhamadiAli26 күн бұрын
English kila wakati. Wakati kiswahili ndio lugha ya taifa
@HusnaMuhammed-yx8nl20 күн бұрын
Wewe nae unachosha kila siku abduli amekuchoka hujiongezi
@Tuu201927 күн бұрын
Good quality congratulations... mengine ya ufake tumuachie Diva Nangai
@user-do6tg8ot7x22 күн бұрын
Ila jamani nimecheka kwa nguvu. Eti Diva Nangai😂😂😂😂
@pikanaauntzuu146619 күн бұрын
Huyu mwanaume hovyo kweli yani mi uniamshe usingizini nikqkupikie surely usinitanie km kuna kitu sikipendi nikuamshwa usingizi kbs coz hata mimi mtu akiwa amelala cpenda kumuamsha na pia divi im here you're twin pia sipendi kutwa nitu kidogo baada ya hao na wewe fanya mwenyewe km unataka kitu anasema amesoma dini dini haijasema mwanamke ni mtumwa bali ni utulivu wako ni pumbazo lako so ukitaka awe mfanyakazi wako ndio pale mwanamke anafanya kazi kutwa nzima tokea ulivyomuacha asubuhi na jion unamkuta hivyohivyo na kachoka analala km punda
@souvenirweber716926 күн бұрын
Wapi hapo?
@AmanaHussein26 күн бұрын
Kenya mpenzi 😜
@khalsasalim793026 күн бұрын
Hatimae sura 199 leo nimeona sura ya 200😂
@user-ts5bu7os5d24 күн бұрын
Make up 😅😅😅😅
@AishaHaji-jn7sg25 күн бұрын
Hivi huyu wakati anaolewa alikuwa ana expect nini….?au ndo anajua wazungu wanaishi hivi? Em mtafutieni passport yake ya kwanza akashangae dunia uko