#zandaaani

  Рет қаралды 95,658

Wasafi Media

Wasafi Media

2 ай бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 117
@bemmicrocredit5554
@bemmicrocredit5554 2 ай бұрын
Yes hiyo ilikuwa mechi ya yanga na Dodoma Jiji ndio maana diara hakucheza kabisa
@jeremiahmsemwa8323
@jeremiahmsemwa8323 2 ай бұрын
kipa ndo star...😂😂😂 na ni kweli kabisa
@AllyPaliwe
@AllyPaliwe 2 ай бұрын
Diara ndo star watimu!! Aziz alitaka kuwapanda watu kichwan
@allahisone6386
@allahisone6386 2 ай бұрын
Eeweeeeeh_🤔
@liberatusjackson5045
@liberatusjackson5045 2 ай бұрын
Yaniii bado hamjasema😂😂😂😂😂
@JudithNiyogushima
@JudithNiyogushima 2 ай бұрын
Alitaka kumpima hakili Rais wetu kama nani
@reinfridlipili5666
@reinfridlipili5666 2 ай бұрын
YANGA hawana tabia ya kuvumilia upuuzi hata uwe star kiasi gani! Hayo yapo Simba sana.
@barakapaul6685
@barakapaul6685 2 ай бұрын
Ndio sababu Kuna mastar nyie mlipata wapi 🌟😂 utopolo family 🐸
@zuhurajabiri3900
@zuhurajabiri3900 2 ай бұрын
Mbona mkude aliwasumbua Mkafyata midomo
@user-kr2zi7du7y
@user-kr2zi7du7y 2 ай бұрын
Yanga tuko na misimamo yetu safi sana kiongoz
@SalimAbdallah-mi1wc
@SalimAbdallah-mi1wc 2 ай бұрын
Analeta kiburi wakati uwongoz ndo umefanya Kawa mfungaji bora😂😂
@kijakazinyalinga7003
@kijakazinyalinga7003 2 ай бұрын
😊nasimba wange kua ivyo inge kuapoa
@mrnovic_8370
@mrnovic_8370 2 ай бұрын
Za ndaniiiiiiiiii kabisa😂😂
@chng1990
@chng1990 2 ай бұрын
Yanga wachezaji wanakaa kambini wanasafiri na viongozi kila mahali hyo upande wa pili
@wolfugangtesha5724
@wolfugangtesha5724 2 ай бұрын
Upi huo😅
@barakapaul6685
@barakapaul6685 2 ай бұрын
Upi huo utopolo wewe
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 ай бұрын
😂😂😂 Huy Momo khaa.
@videozaaj1069
@videozaaj1069 2 ай бұрын
Hao ndo yanga hawanaga kulamba mtu mikundu yaani kama hutaki nenda mamae,sem simba kuna mafala wengi wanaogopa wachezaji
@Jimmsuva-be5dc
@Jimmsuva-be5dc 2 ай бұрын
Haiwezi kua yanga coz mechi za mwisho aziz alikua anatafuta magoli pia yanga wanatembea always na viongozi
@bone102
@bone102 2 ай бұрын
​@TheGreatAmbrosehawafuatilii tatizo Wakat aziz ki ndio aliyepost video ya magoli yake na kuandika thank you kibao
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 2 ай бұрын
Momo unajikoshaa Aziz contract yake inaishaa hyoo maneno yakutafuta Kick
@malietamaliet
@malietamaliet 2 ай бұрын
Mech zidi ya ihefu nusu final na dodoma jiji aziz ki rais alimwambia amuulize sure boy amuulize kuhus rais wetu na diarra ndo alikasirika akasema kam aziz ki anafanya hivo na mm sitaki
@RAZAKIMMALINDA
@RAZAKIMMALINDA 2 ай бұрын
Master ki uyu 😅😅😅
@vaxminja9053
@vaxminja9053 2 ай бұрын
Aziz K hafanyi hivyo. Ni Chama aliambiwa na Mo
@felixluguga645
@felixluguga645 2 ай бұрын
Aziz Ki alifanya majuzi na ndio Diara akataka kurudi dar kabla ya mechi
@bone102
@bone102 2 ай бұрын
Sasa Chama ameng'aa msimu huu na Chama ndo kapost thank you kwenye page yake Simba golikipa gani staa Kiongozi gan wa Simba katoka nchi yenye mitutu Mzee mbona Code nyepesi hyo Kiongozi wa Mitutu ni hersi katoka Somalia kuna vita na Goli kipa staa ni Diara na anayezingua ni Aziz ki na ndie aliyepost thank you kwenye page yake Code nyepesi sana hyo mzee
@ArafatMabruk
@ArafatMabruk 2 ай бұрын
Arafat uyo
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 2 ай бұрын
Yeye akitaka aende tu, tutasajili wengine
@farajasospeter9668
@farajasospeter9668 2 ай бұрын
Jamaa liongo sana hili mdamwingne
@songombingo108
@songombingo108 2 ай бұрын
Chama bhana. Kajifanya ndo Okwi wa Madunduka.
@kinyanyaonline3658
@kinyanyaonline3658 2 ай бұрын
We baupo kabisa ni AZZK mechi mbili ya ihefu na dodoma .diara ndio star
@bone102
@bone102 2 ай бұрын
Sasa kwan Chama msimu huu kang'aa na Kiongozi gani wa Simba katokea nchi yenye mitutu na tuambie wapi chama kapost akaandika thank you ila utopolo yaani Code nyepesi hii umeishindwa kuelewa 😂😂
@user-bt6ep3yb2h
@user-bt6ep3yb2h 2 ай бұрын
Arafat mchezaji? Mechi na dodoma aziz kama hakuonekana uwanja wa ndege Dodoma vile?.
@andrewzimba692
@andrewzimba692 2 ай бұрын
Mzungu wa simba goal keeper
@Thomas-lm1dq
@Thomas-lm1dq 2 ай бұрын
Huyo Aziz Ki, kiungo aliye takes aulizwe alikozaliwa boss hapo code imekataa kufungulia. Star wa timu ni Djigui Diara.
@idrisaabdallahmadenge3155
@idrisaabdallahmadenge3155 2 ай бұрын
Kiungo mkude
@Thomas-lm1dq
@Thomas-lm1dq 2 ай бұрын
@@idrisaabdallahmadenge3155na huyo kiongozi nani?
@selemanmaganga-le4zg
@selemanmaganga-le4zg 2 ай бұрын
Sureboy katokea mtaa mmoja na raisi wa yanga
@ISSASHABANI-sw7lx
@ISSASHABANI-sw7lx 2 ай бұрын
Na hapo Yanga ndipo inapo kuwa juu
@IsmailMadrelya
@IsmailMadrelya 2 ай бұрын
Kwakweli hii Code imenishinda nimerudia zaid ya mara tatu lkn Code ni pasua kichwa ,,,Thank u nyingi nia Azizi Key 🔑,,Kudive ni Diara kiungo anaetoka sehemu moja na boss sijui nan sasa ,,boss katoka kwenye mitutu mara Tandale hili Tikitik lazima lioze haliliki haswaa,,
@sofiamsuya2254
@sofiamsuya2254 2 ай бұрын
Azizi ki Diara Boss ni CEO from congo Kiungo ni max zengel
@IsmailMadrelya
@IsmailMadrelya 2 ай бұрын
@@sofiamsuya2254 Duuuh Hatar sana 😢
@nizoplatinumztz8025
@nizoplatinumztz8025 2 ай бұрын
Aziz ki Boss ni Rais ( asiri ya msomari) Star ni Diara Kiungo ni Sure boy
@theodorahcharles4183
@theodorahcharles4183 2 ай бұрын
Nan huyo jamn
@Danieldanizo-d1t
@Danieldanizo-d1t Ай бұрын
Sema Ricardo ni muongo huyu jamaa
@zuhuranasoro8923
@zuhuranasoro8923 2 ай бұрын
Mbona code imekataa kufunguka kwangu? Kulia Kuna Chama kushoto kuna azizi..lkn mzee wa thank you nyingi ni azizi. Na kama ni azizi mbona basi hua namuonaga kila safarini?
@omarymtotela3751
@omarymtotela3751 2 ай бұрын
Mechi ya arusha alichelewa na dodoma pia
@abdalahfundi7936
@abdalahfundi7936 2 ай бұрын
Ayoub lakred😅
@jifunze0042
@jifunze0042 2 ай бұрын
ni azizi ki obviously,na kweli star wa team yetu ni diarra
@thetrends472
@thetrends472 2 ай бұрын
Waliorudia zaidi ya mara moja likes hapa
@Deadskytz
@Deadskytz 2 ай бұрын
Like huwa za nini ?
@DavidFindah
@DavidFindah 2 ай бұрын
Uongooo huo Aziz alikua kwenye mbio za kuwania kia2 hawezi kuleta utovu wa nidhamu
@user-iz3hs8jl5p
@user-iz3hs8jl5p 2 ай бұрын
chama
@JumaNdihagule
@JumaNdihagule 2 ай бұрын
Huyo chama
@thobiasshigela9046
@thobiasshigela9046 2 ай бұрын
Muarabu wa simba na chama
@user-hb8vi9fx6g
@user-hb8vi9fx6g 2 ай бұрын
SI MSHABIKI WA MPIRA ILA HII STORY IMENIFANYA NISIKILIZE TABUL'IZZAKI 😂😂😂
@mrliverpoolynwa7641
@mrliverpoolynwa7641 2 ай бұрын
Sasa🐸🐸🐸 watakasirika😂😂😂
@user-vw3cm9hs2v
@user-vw3cm9hs2v 2 ай бұрын
Momo huw naangalia hii nabak kucheka tu aisee
@othmanbudi
@othmanbudi 2 ай бұрын
Ndo wachezaji wa kiafrika
@OmariNgurangwa
@OmariNgurangwa 2 ай бұрын
Uwongo uwooooo
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 2 ай бұрын
Waongo Hawa wanachonganisha yanga na wachezaji waongo wakubwa yanga ni ileile
@AyubuMsindo
@AyubuMsindo 2 ай бұрын
Mbnawatuwanalijuwa hlo
@saidothman4527
@saidothman4527 Ай бұрын
Uongeani tuu unajua huu ni umbea.
@smartworldtz
@smartworldtz 2 ай бұрын
Wakwanza hapa nipeni subscribe zangu jamani😅
@saidothman4527
@saidothman4527 Ай бұрын
Yaaani momo ni mbeyaaa
@ABDALLAHMWATANDA
@ABDALLAHMWATANDA 2 ай бұрын
YANGA WANA VITU VYA AJABU ..ILA MAFANIKIO YANAZIBA MAUTUMBO YAO........
@chuchumeta8374
@chuchumeta8374 2 ай бұрын
Uongo timu yote ilikuwa nyuma Aziz ki kumsapoti afunge
@ayoub1906
@ayoub1906 2 ай бұрын
Ila harmoniz
@user-cc8le8bx5s
@user-cc8le8bx5s 2 ай бұрын
Wenimwongo
@user-vx6tz9ft1c
@user-vx6tz9ft1c 2 ай бұрын
Hahaha eti tabul azza key
@rafikiyako6697
@rafikiyako6697 2 ай бұрын
Sasa raisi wa Yanga si anasafiri na timu karibia kila mechi
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l 2 ай бұрын
UTOPOLO NDIYO WAKATI WENU
@user-bg6fe7ku1l
@user-bg6fe7ku1l 2 ай бұрын
Acha test za uongo
@ahmedplan.b9229
@ahmedplan.b9229 2 ай бұрын
😅
@CastorJonkey
@CastorJonkey Ай бұрын
😅😅😅
@ChalesDikwe
@ChalesDikwe 2 ай бұрын
Yan we kuma tu
@zuhuraomary2782
@zuhuraomary2782 2 ай бұрын
Mwache aende
@ameirfaki9277
@ameirfaki9277 2 ай бұрын
Sante momo.......hahahahha
@andrewzimba692
@andrewzimba692 2 ай бұрын
Inonga
@user-qo6qv6mc5p
@user-qo6qv6mc5p 2 ай бұрын
Xavi mtupu
@kudramzee5769
@kudramzee5769 2 ай бұрын
Slow gun daima mbele nyuma mwiko
@kunpeter4071
@kunpeter4071 2 ай бұрын
Ni slogan mkuu, slow gun n "bunduki ya polepole" tafsir yake🙏
@Jimmsuva-be5dc
@Jimmsuva-be5dc 2 ай бұрын
Nani huyo
@nicholousmtemi3902
@nicholousmtemi3902 2 ай бұрын
Aziz k
@pendothomas7885
@pendothomas7885 2 ай бұрын
Uongo huo
@user-lx9wp7cu9m
@user-lx9wp7cu9m 2 ай бұрын
Wahambie
@mrnovic_8370
@mrnovic_8370 2 ай бұрын
😂
@BasuleBasule
@BasuleBasule 2 ай бұрын
Game Na Dodoma
@stn4873
@stn4873 2 ай бұрын
KI AZIIIIIZZZZZ
@makame186
@makame186 2 ай бұрын
Uyo ni mwamba wa Lusaka
@SADIKIMAPESA-yn7mo
@SADIKIMAPESA-yn7mo 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@davidjohn540
@davidjohn540 2 ай бұрын
ACHENI KUJAZA WATU UONGO, NI KWAMBA HAKUNA HELA YA KIMLIPA KI, HIVYO VINGINE NI VISINGIZIO VIMETENGENEZWA, KWAMBA AZIZ KI ASAFIRI PEKE YAKE RAIS ASIJUE WAKATI MAZOEZINI YUPO KWENYE MECHI ZOTE TUPO
@user-so8dh5mp8p
@user-so8dh5mp8p 2 ай бұрын
Azizi
@aisha.abdallah.3979
@aisha.abdallah.3979 2 ай бұрын
Mh uongo bhana.
@SalmaChamy-tg4bo
@SalmaChamy-tg4bo 2 ай бұрын
Wameshaanza tena udaku
@ngido255
@ngido255 2 ай бұрын
Wananchi hawabembelezi mtu labda huko mpate mpate
@husseinwabibi8639
@husseinwabibi8639 2 ай бұрын
Eti tabul isack😂
@bemmicrocredit5554
@bemmicrocredit5554 2 ай бұрын
Yes hiyo ilikuwa mechi ya yanga na Dodoma Jiji ndio maana diara hakucheza kabisa
@nicholousmtemi3902
@nicholousmtemi3902 2 ай бұрын
Unakichwa kigumu huyo n azizi na kiongozi alimwambia stars n kipa yani diarra
@Kabeya410
@Kabeya410 2 ай бұрын
Ki aziz na Diara ndo staa na yule kiongozi asili yaje ni kule kwenye mitutu Somalia code kafungua kabisa na kuhusu huyo staa kainesha kama diving kipa. Mna vichwa vigumu
@mathewdickson8891
@mathewdickson8891 2 ай бұрын
​@nicholousmtemi3902 we nd kichwa hovyo kabisa 😂
@nicholousmtemi3902
@nicholousmtemi3902 2 ай бұрын
@@Kabeya410 nashangaa watu wagumu hawaelewi
@bemmicrocredit5554
@bemmicrocredit5554 2 ай бұрын
@@nicholousmtemi3902 sasa wewe ambacho hujaelewa nn comment yangu ni kuwa hiyo issue ilitokea wakati wa maandalizi ya mechi na dodoma Jiji ndio maana hiyo game diara hakucheza kabisa na huo mgogoro unahusu diara na azizi kwahy elewa kwanza ndio ujibu comment ya mtu
@IgnasJohn-sv4vn
@IgnasJohn-sv4vn 2 ай бұрын
Mm simpendi huyu yupokama demu kakaa kiumbea mbea kama wadada wanaokaaga mlangoni wakati wewe unapita Na pisi kali.
@saidinyakayemba490
@saidinyakayemba490 2 ай бұрын
Hiyo ni style ya kufikisha wala si mbea
@ArafatMabruk
@ArafatMabruk 2 ай бұрын
Arafat uyo
@mamajumamukure5471
@mamajumamukure5471 2 ай бұрын
Arafat kafanyaje sasa😊
@mwanangusana
@mwanangusana 2 ай бұрын
Sa Arafat mchezaji wewe ??
@Cassm898
@Cassm898 2 ай бұрын
😂
@bemmicrocredit5554
@bemmicrocredit5554 2 ай бұрын
Yes hiyo ilikuwa mechi ya yanga na Dodoma Jiji ndio maana diara hakucheza kabisa
@jifunze0042
@jifunze0042 2 ай бұрын
hapana hapo anaongelewa azizi ndio alileta dharau na ndio anaeandika thank you nyingi mtandaoni
@mwanangusana
@mwanangusana 2 ай бұрын
Hakuna code uyo anatunga tu
@bemmicrocredit5554
@bemmicrocredit5554 2 ай бұрын
@@jifunze0042 ni azizi ndio lakin huo mgogoro unahusu diara na azizi na ilikuwa kwenye maandalizi ya mechi ya yanga na Dodoma Jiji
@jifunze0042
@jifunze0042 2 ай бұрын
@@bemmicrocredit5554 naomba unifungulie zaidi nielewe,ilikuaje kwani kaka?
@user-qw9jc2cz9o
@user-qw9jc2cz9o 2 ай бұрын
Atena Bhna.Na za ndaaaaaaniiiiii lkn hasemi nani anataka muhangaike Ninyi kumjua ndo za ndaniiiiiii
TAJIRI WA MABUS  SUPER FEO ATOA SIRI YA KUWA BILIONEA
10:36
Wasafi Media
Рет қаралды 30 М.
SCHOOLBOY. Последняя часть🤓
00:15
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 11 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 102 МЛН
KIMENUKA: HANS RAFAEL vs JEMEDARI SAID/ HII NI BALAA
21:57
Crown Media
Рет қаралды 80 М.
ToRung short film: Arm-Wrestling💪(Infinite loop😂)
0:15
ToRung
Рет қаралды 13 МЛН
Secretly went out for drinks behind my boyfriend's back
0:26
侠客红尘
Рет қаралды 37 МЛН
Пройди игру и получи 5 чупа-чупсов (2024)
0:49
Екатерина Ковалева
Рет қаралды 1,5 МЛН
ANYONE REMEMBER THIS MAGIC?🤯🪄🔮 #shorts #short
0:12
MILANAROLLER
Рет қаралды 15 МЛН