zawadi yangu kwa shekh muhammad bachu baada ya munaqasha akiwa na shekh said Allah awalipe kheri

  Рет қаралды 9,013

Yam Muhamed

Yam Muhamed

9 ай бұрын

Пікірлер: 259
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud 4 ай бұрын
Napenda sana nipate masheikh niwasomeshe mana weng hawajasoma, na mimi sijasoma ila kwa masheikh hawa kina huyu, saidi, shafi nowasomeshe
@neemamohamed5926
@neemamohamed5926 9 ай бұрын
Bado Muko na Bachu tu, kweli Bachu katufungulia mwanga wa Haki, Nuru iwe juu yake sheikh Muhammad Bachu, inshallah
@abuuzwiin1876
@abuuzwiin1876 9 ай бұрын
Sheikh kwaivyo unatuambia tuendelee kupiga Gita na piano Kama sheikh said kwa nn nyie vijana munamuonea gera sheikh m.bachu wakati yeye Yuko kwenye msitari wa haki.
@yammuhamed736
@yammuhamed736 9 ай бұрын
Tunamuonea gere? Yupo katika haki? Hem jibu maswali kisha tuone nani yupo katika haki
@lilotz-we7xq
@lilotz-we7xq 9 ай бұрын
Bachu Hana elimu halafu swali moja tu kajikojolea
@abdukhan4718
@abdukhan4718 9 ай бұрын
@abuuzwin1876.... Acha upinzani na ushabiki hapa hapajazungumziwa kupiga Gita.... Sikiliza Vizuri kijana anavoelezea kaka
@user-pu7xb6zg6w
@user-pu7xb6zg6w 9 ай бұрын
Ukweli unawauma!
@husseinally5550
@husseinally5550 9 ай бұрын
Mwambie kukojozi aje nahiyo mada tena kama mwanaume
@twahirburhan3726
@twahirburhan3726 9 ай бұрын
Nyie Masufi tumewachoka na uzushi wenu,mmeshindwa kujibu hoja za uzushi wa Maulid badala yake Mnamshambulia sheikh Bachu
@khamisali5942
@khamisali5942 9 ай бұрын
We uwo munaqasha hujauskiliza unachokiesma we na kilichosemwa kwenye munaqsha ni itu viwili tofauti na we huwezi kua mwanafunz wa bachu kama hujaacha usufi yaan bachu aache mambo ya maana ya kufany aje akujibu we wakat masufi wenzio wameshindwa
@awatifomar5185
@awatifomar5185 6 ай бұрын
Jitahidi kusoma iko siku Allah atakujaalia utaijua hakki ila saa hizi bado kwanza tafuta elimu
@yammuhamed736
@yammuhamed736 6 ай бұрын
Ameen ameen yaarabal allameen 🤲❤️
@user-yi3mt2qv7b
@user-yi3mt2qv7b 5 ай бұрын
wew ostadh kushakua huna cha kufanya naongea mimi abuu ahmad anzinjibaar
@fadhilimusa9732
@fadhilimusa9732 9 ай бұрын
Namuusia Bachu aache Zarau kamzarau saidi Allah kamdhalilisha kapewa swali mzigo maishani mwake hatalisahau
@yammuhamed736
@yammuhamed736 9 ай бұрын
Hatofanya tena dharau kwa kipigo kile
@user-vl9lf4sv5h
@user-vl9lf4sv5h 9 ай бұрын
Kwani hadithi ambazo si zaifu hakuna mpaka mtumie zaifu
@kingahmada3873
@kingahmada3873 3 ай бұрын
Dua akuombee Nani wew
@rushu1232
@rushu1232 9 ай бұрын
Nasikitikia sana mawahabi haya mambo ni madogo mpaka vijana wadogo ndio wanao mfundisha sheikh wenu huyu amemletea mstalahi alhadithi na yule mwengine juzi amemletea kitabu cha hadithi za wanyama kuzungumza mimba moto kuzimika bado hamukubali hiyo nitabia yakiyahudi.
@abdallahkiwaka5948
@abdallahkiwaka5948 8 ай бұрын
usipende kuongea mitandaoni kama haujaelewa kinachojadiliwa kijana unajidhalilisha kwa wenye akili.
@muftiahmadimahmudulemba1918
@muftiahmadimahmudulemba1918 9 ай бұрын
Maa Shaa Allaahu Aaaamiiina
@Mariam99-ld4gw
@Mariam99-ld4gw 9 ай бұрын
Mashall ah ❤❤❤
@kusweymohamed
@kusweymohamed 9 ай бұрын
Simwiti shekh barzanji muwongo kwa sababu ya hadithi dhwaiff bali kwa maneno yake ya udhushi katika barzanji mtume aw mtumi kaingia leo tumboni kwa mamake Amina Aya ilitoka wapi aw Hadith nae bwana mtume ukotumboni wanyama wa bahari na wamsutuni wakasherekea maneno haya nikweli katoa nani maneno haya tuwateni ushaabiki sirudi Tena huko inna akramakum indallah atqaakum
@yammuhamed736
@yammuhamed736 9 ай бұрын
So lazima uwe upande huu cha muhimu heshima na wale ambao hawaamini unacho amini wewe
@abdurahimabdulkadir3926
@abdurahimabdulkadir3926 9 ай бұрын
​@@yammuhamed736swali liko pale pale fundisheni sasa mjadala uliisha watu wa maulidi na wasiokua wa maulidi wanataka kujua jee wanyama waliongea ni kwely maana ust Saida alinyima watu elimu hilo ndio swali la msingi ilkua ust said alifafanue kwa mjadala skizeni wanyama waliongea ukwely fungua kitabu flani flani mwanachuoni flani fungua kitabu flani huna hiki hapa kwa camera lkni sio kuja kusema tu mwampenda mtume hakuna mwislamu asiempenda mtume Bali njia yenu Ina tashwishi sasa fundisheni hii story ya kumkaririsha mtu mashairi mengi mengi wachaneni nayo
@Mariam99-ld4gw
@Mariam99-ld4gw 9 ай бұрын
Tumemuelewa. Shekh said ❤❤
@yammuhamed736
@yammuhamed736 9 ай бұрын
Sanaaa
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 9 ай бұрын
Maa shaa ALLAH 💚💚💚💚
@SamMus-qn1pu
@SamMus-qn1pu 9 ай бұрын
Allah akuongoze kijana ila umekosea unge mtafuta ilo kama una la kumwambia
@abdulkhalfan8586
@abdulkhalfan8586 9 ай бұрын
MASHAALLAH
@sarboko
@sarboko 9 ай бұрын
Kama maneno uloyatumia niyakumzushia mtume basi utaitwa Muongo na maneno yako yatakua yauongo. Na kwanini useme UONGO kufundishi watu Kwani hakuna hadithi za ukweli ukatumia. Hayo maulidi imekua niibada.
@Swalehthabit-gb9ei
@Swalehthabit-gb9ei 9 ай бұрын
Km hajuuiiii aseme. Kitu rahisi kwwnini awe mkaidi? Na jambo lengine la kushangaza Kuna wafuasi Wake hyu bachuu ukisema hvi wanaudhika na kujibu kwenye mitandaoni ufidhuli km Wao wako na elimu wajitojeze wao.wwjadiliane na shekh Said . Mwatukera tuu maulid maulid maulidi hamukomi tu.
@HASSANIMAFTAHA-rk1pd
@HASSANIMAFTAHA-rk1pd 8 ай бұрын
Jibu cumeltaja mwenyewe apo big up sana mwalimu nataka nije kusoma kwako
@amiramour857
@amiramour857 9 ай бұрын
Wewe ndie hujamfahamu shekhe mohd bachu
@hajimuhidini1903
@hajimuhidini1903 9 ай бұрын
Wewe pia umekosea huwezi kusoma aya ukasema unadhania aya inasemahivo katka aya hakuna kudhania pia umekuja na surahiyohiyo ya kujitukuza
@yammuhamed736
@yammuhamed736 9 ай бұрын
Nilisahau kama ni wala tuzaku au fala tuzaku pia Allah atujaalie tusiwe ni wenye kujikweza
@hajimuhidini1903
@hajimuhidini1903 9 ай бұрын
@@yammuhamed736 muhimu tunapo elekezana tujitahidi kutumia busara na tusitumie udhaifu wa mtu kumatngazia aibuzake kwa watu mimi namsifiasana sh saidi Ali hasani wa gongoni ni marachache anaingia katika mizozo isiyo ya lazima Allah atustiri tuwe na Tawadhui
@user-me5do6nh2d
@user-me5do6nh2d 9 ай бұрын
Mashallah tabarakallah
@kassamruzuru4913
@kassamruzuru4913 9 ай бұрын
Kijana nyie watu wa twariq mnamaskio mabovu kwa kwel. Maan ukimuelewa vizur sheikh Muhammad bachu hajasema barzandji nimuongo laaa wala hajasema kitabu cake nicauongo ila amesema kwamba ndani ya kitabu cha barzandji muna maneno yauongo sio kitab kizima kimebatwilishwa kuwa uongo kwa sababu zakutumia hadithi munkar kaeni chini msikilize vizur msikurupuke( aceni Kiki)
@MuhidiniNassor
@MuhidiniNassor 9 ай бұрын
Naona wewe umevamia basi kwa mbele muulize kibachu topic iliyompeleka huko
@idarusalwi7962
@idarusalwi7962 9 ай бұрын
Mashaallah sheikh mdogo.
@SadatiMustafa-os8ry
@SadatiMustafa-os8ry 9 ай бұрын
Wewe jibu walau nukta moja tu.wanyama wadudu wote samaki naviumbe vingine vyote ilipo tunga mimba ya mtume viumbe vyooooote vilipeana khabari kuwa mimba ya mtume imeingia je hayo niyakweli?jibu walau hilo tu
@mohammedmfamau43
@mohammedmfamau43 8 ай бұрын
Huyu anaonesha hasa km anapenda kuhongwa ili apotoshe Jamii.shekh ubwabwa
@bakarijuma8697
@bakarijuma8697 9 ай бұрын
Katika usilamu tumekatazw kufanya mzah katika kweli nawew unamfanyi shee mzaha kwakujifany wampenda wew kama kwako unaona alicho kusema niuwongo au nimakosa yawache usijitafutie umarufu kwa kujipatia madhambi mola tusame
@user-ek3zk4bx5j
@user-ek3zk4bx5j 9 ай бұрын
Shehe mwenyewe ndio huyo Bachu ?
@TijosHaba-xi8vy
@TijosHaba-xi8vy 8 ай бұрын
Amiiin
@SamMus-qn1pu
@SamMus-qn1pu 9 ай бұрын
Wewe sion kam una akili ingekua una elimu bas ingekua muelewa
@mkubwamasoud2776
@mkubwamasoud2776 8 ай бұрын
Allah akuongoze unatafuta umaarufu ushauoara
@idarusalwi7962
@idarusalwi7962 9 ай бұрын
We sheikh mdogo umeelesha vizuri lkn mbonaYee Bachu hailewi.
@AbdullahOmar-fv3ld
@AbdullahOmar-fv3ld 9 ай бұрын
Anajuwa bachu Ni mtego hawezi kujibu
@ShaibmbaroukHemed-mi5rf
@ShaibmbaroukHemed-mi5rf 9 ай бұрын
Wwe katafute mashiawenzako usimpelekee bachu kitabu wape hao mashi walokutuma huna lako jambo katafute uyo mpiga gitaa ust said mukapige gitaa pamoja
@user-od1et5ii1k
@user-od1et5ii1k 9 ай бұрын
Hawezi kujibi huyo bachu mandonga keshazoweya kijisifu huyo huyo ni sawa na mandonga tu hata akishindwa basi anaesema kashinda
@user-bg2yc4kw9k
@user-bg2yc4kw9k 9 ай бұрын
Umeniharibia mb zengu ugekua karibu nige kupiga wali
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 9 ай бұрын
Qruani ni mazingatio ya wenye akili,
@izmamuizmamu6521
@izmamuizmamu6521 9 ай бұрын
Acha riyaa Wewe kijana
@yammuhamed736
@yammuhamed736 9 ай бұрын
Sawa
@ibnayub2374
@ibnayub2374 9 ай бұрын
KISWAHILI hujui kwanza
@user-di8me2wb7p
@user-di8me2wb7p 9 ай бұрын
Kabisa wape wape hao wenye akili kama hata hatujui tuzifananishe na nini akili zao na ilmu zao kumbe hawana ilmu kabsaa waLLAH mawahabi chembelecho yuauf siwani mambumbumbu😂 Matango pori
@yammuhamed736
@yammuhamed736 9 ай бұрын
Ni ndugu zetu usiwape maneno makali ivyo😁
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 9 ай бұрын
Hadihti dhaifu huwezi kutumia kujengea hoja ikiwa utapingwa ktk jambo fulani kwani mtume ana mapungufu gani mpaka asiwe kwa hadithi zaifu wakati sifa anazo
@yammuhamed736
@yammuhamed736 9 ай бұрын
Hatutaki jazba tunataka vitabu
@jumafaki2891
@jumafaki2891 9 ай бұрын
Inaonesha maana ya Hadith na hukumu zake huzijui Hadith zaifu zatumika na bachu hilo alijua ndio maana akakwama kujibu suala waja wewe ama Hadith ni zaifu someni mawahabi musiwe wajinga
@abdurahimabdulkadir3926
@abdurahimabdulkadir3926 9 ай бұрын
​@@jumafaki2891nyinyi wenye elimu na ust said ilkua afundishe umma pale sio bachu atoe kitabu skizeni kitabu flani flani kinasema hivi kuhusu kuongea kwa wanyama mwanachuoni flani amesema hivi watu woote wangeelewa sio lazma bachu aelewe waskilizaji ndio walengwa kila umuulizae atakwambia zii hakuna kitu dini ya kiislamu ni dalili tu sasa wekeni darasa mufundishe umma mjadala uliisha watu wanataka kujua wanyama waliongea lilithubutu hilo kwa dakiki watu wataelewa kirahis
@khamisali5942
@khamisali5942 9 ай бұрын
We umeuliza sawli unataka ujibiwe je ukijibiwa na we ukotayar kuulizwa na utuletee majibu usihemkwe kwa kusoma icho kitabu siku mbili ukajiona tayar unajua je utatoa ushahid wanayama waliongea kweli
@samirrubeya2379
@samirrubeya2379 9 ай бұрын
Kejeli pelaka kwa mzazi wako kama hakufunza... Hii mijitu yatoka wapi? Ungetowa video ya kutatuwa shirk na kufuru kwa barazambiiiii ungefanya la maana.Bure kabisa.
@yammuhamed736
@yammuhamed736 9 ай бұрын
Usiende kwenye vita ya. Bunduki na visu ndo somo la leo
@MuhidiniNassor
@MuhidiniNassor 9 ай бұрын
Ni kheri mukafute mikojo kwenye kiti Cha watu
@AbdulmajidHyder
@AbdulmajidHyder 9 ай бұрын
Ni Vibaraka vya Mayahudi. Huenda wanajitambua ama hata bila ya kujitambua.
@ibrahimjumbe8121
@ibrahimjumbe8121 9 ай бұрын
😂😂😂😂😂 Bhachu kuenda mombasa kumevurumua mambo mengi
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 9 ай бұрын
Toka apaa kimberley nyimbo uko ndo fani yako
@user-iv3ou4qg4d
@user-iv3ou4qg4d 9 ай бұрын
Umeshaonekana na ww ili usifiwe upate kuongeza kibri.
@mohdhilaly7900
@mohdhilaly7900 9 ай бұрын
First eleven ina maana gani kumuambia mwenzio ?
@user-fq6iw1pb7q
@user-fq6iw1pb7q 9 ай бұрын
Kaa kimya shuhulikia masomo yako
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 9 ай бұрын
Ww unayo ilimu pambana nae Kwak dalili na ushahidi
@jambojomba9042
@jambojomba9042 9 ай бұрын
Allah akuepushe na kutetea baatil
@princeabuu8297
@princeabuu8297 8 ай бұрын
Maliza kusoma kwanza alafu ndo umtafute Bhachu kakangu
@jafarijande
@jafarijande 9 ай бұрын
Hadithi ili ìingie kwenye kundi la hadithi lazima alieihadithia awe muhadithina wa hadithi na dini haina imekamilika usiz ue kitu ukakiingiza kwenye dini, kitaleta migogoro , barzanji sio kitabu miongoni mwa vitabu vya hadithi
@yammuhamed736
@yammuhamed736 9 ай бұрын
hujaambiwa barazanji ni kitabu cha hadeeth bali ni kitabu cha kumsifu mtume ambapo ndani yake kuna kipande kina msifu mtume kua wanyama walizungumza kwa kuzaliwa kwake ambayo maneno hayo si ya jafar barazanji kayatunga bali kayatoa kwenye hadeeth ambayo ni dhaifu ndomana akauliza kutumia hadeeth thaifu kwenye kitabu chako ndo tayari kitabu chako ni cha uwongo?
@khamismwalim5604
@khamismwalim5604 9 ай бұрын
Kama unazawad kwel usinge tangaaza mitandaoni
@markazzadlittaalimwalakhla355
@markazzadlittaalimwalakhla355 9 ай бұрын
Huyu naona ajikoroga na anaturegesha nyuma akasikize tena munaqasha vizuri , katika makubaliano yao ni hadithi dhaifu itatumika kwa vigezo gani? Huna jipya shekhe warudiarudia wewe kashike twari upige tungojane siku ya Mahshar.
@omarchaijefwa729
@omarchaijefwa729 9 ай бұрын
Si hata naona umepiga picha na kish ki? Kish ki nimkata viuno?
@user-ik6sf8lh9m
@user-ik6sf8lh9m 9 ай бұрын
Ushakua maarufu jitashid hiyo mitusi munayo watukana watu wa sunna siku ya qiama mutajibu
@HajiJuma-dc2ev
@HajiJuma-dc2ev 9 ай бұрын
Matusi anayowatukana mashekh wetu yeye ataendapeponi????
@HajiJuma-dc2ev
@HajiJuma-dc2ev 9 ай бұрын
Kama kuingia motoni bachu sijui itakuwaje
@neemamohamed5926
@neemamohamed5926 9 ай бұрын
Jibuni Hoja kwanza!
@user-zo6wx9zt3p
@user-zo6wx9zt3p 7 ай бұрын
huyu ndiowle wanaotafuta umaarufu mitandaoni nenda kasome kwanza
@abdallahmmary8591
@abdallahmmary8591 9 ай бұрын
Mpo kwa ajili ya makulaji
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 9 ай бұрын
Sheikh hauna elim
@binfarhan879
@binfarhan879 9 ай бұрын
Hajauliza ivyo shekhe Rudi ukaangalia ila Munakash ila uwe unasema ukweli kwa swali aliloulizwa. Itaq Llah swali halikuulizwa hivyo aliuliza la Mtu TU wala sio kitabu.
@osmanmanbile9327
@osmanmanbile9327 6 ай бұрын
Ndio maana mawahabii wanapiga kelele bachu aliposema.hamjadili kitabu akalizwa je kitabu pia n uwongo alishindwa Kwa sababu bachu alikua anasema n uwongo Rai yke lkn siku ya munaqasha alishkwa. ..hebu n ww Anglia vizuri munaqasha uone hilo
@RashidAli-ft2om
@RashidAli-ft2om 7 ай бұрын
Kasome kwanza umalize Acha ujinga
@yammuhamed736
@yammuhamed736 7 ай бұрын
Sawa
@Yousouf-wn1qz
@Yousouf-wn1qz 9 ай бұрын
Ww unajitia kumbembele unaisi atakujibu nyinyi siolazima mumewe lewe tukimuelewa sisitu inatosha sisi tushajuwa yakwamba maulidi siktk dini rabdautua mbyenimila apotutakufaham.Mahizzibi hiyyi hauzushi
@MuhidiniNassor
@MuhidiniNassor 9 ай бұрын
Uwahabi je ni dini
@thefoodshaikh811
@thefoodshaikh811 9 ай бұрын
Wewe sokwe acha ushirikina, barzanji limejaa shirk.
@MuhidiniNassor
@MuhidiniNassor 9 ай бұрын
Sawa MBWA eshasikia
@makamekombo-qy6dx
@makamekombo-qy6dx 9 ай бұрын
hiindio hatari ya watu wa bidaa Vijana Kama huyu allh amuongoze mtu akesha ingia ktk bidaa hawezi kutubia kwani ahisi ndio dini bidaa yake hiyo
@MuhidiniNassor
@MuhidiniNassor 9 ай бұрын
Bidaa ni uwahabi maana haukuwepo wakati wa Mtume(S.A.W) mnasahau upesi tokeni katika uwahabi ndo bid.a kubwa yenu
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 9 ай бұрын
Insha Allah Allah atakupa ilimu insha Allah na utafaulu
@yammuhamed736
@yammuhamed736 9 ай бұрын
Ameen ameen yaarabal allameen ❤️🤲
@yammuhamed736
@yammuhamed736 9 ай бұрын
Nawe pia
@ramadhanisulemani9016
@ramadhanisulemani9016 9 ай бұрын
Huyu nae mweupeee subhaaana llah kasome umekariri ya mtu www...toa ya kwako
@hajimuhidini1903
@hajimuhidini1903 9 ай бұрын
Hawa wrote humsikiliza mmoja akisha kusema mmojatu hawajali kama kapatia au kakosea nawao huingia kundini mmemsikiahapo anasema anadhania aya inasema hajuwi katika kufikishia watu huwezi kusema unadhania dhanayako ukainasibisha na wahay pia hadithi munkar kama alivosema ni dhaifu bali kitabu alichoonyesha Taysir Amesema ni dhaifusana na anasema Hadith dhaifu maulamaa wamekubaliana kutumia ktka fadhailil aamali kwaufupi hakuna makubaliyano ya matumizi ya hadithi dhaifu wapo wameonahivo na wapo hawakubalihivo mwisho anaempenda mtume ni yule anaemfuwata mtumeصلى الله عليه وسلم
@saadasaleh3177
@saadasaleh3177 6 ай бұрын
Kwan kuna hadithi dhaifu au MUNKAR !!!?????
@mohammedhassan8922
@mohammedhassan8922 9 ай бұрын
Soma kwanza ujue
@humudhemed7177
@humudhemed7177 9 ай бұрын
Mche Allah Kuna siku utakufa
@yammuhamed736
@yammuhamed736 9 ай бұрын
Allah atupe vifo vyema
@mhusinigau3231
@mhusinigau3231 9 ай бұрын
Kwahiyo ww hutakufa
@fayeezabdallah2217
@fayeezabdallah2217 9 ай бұрын
@@mhusinigau3231 tumia akil bas
@husseinally5550
@husseinally5550 9 ай бұрын
Ona ulivo tahira.nani kasema hafi .Unaelewa maudhui? Yaani nyie mawahabi ni majaahil sana
@fayeezabdallah2217
@fayeezabdallah2217 9 ай бұрын
@@husseinally5550 wew juha wa 2 dunia hii toka Allah kaumb
@user-fq6iw1pb7q
@user-fq6iw1pb7q 9 ай бұрын
Kila mtu aseme mpaka wewe ??? Duh
@yammuhamed736
@yammuhamed736 9 ай бұрын
Ni kwasababu mie ni msomaji mzuri wa barazanji hivyo limenigusa tena kaanza mlango ambao nikiusoma natunzwa mpaka nauli
@fayeezabdallah2217
@fayeezabdallah2217 9 ай бұрын
@@yammuhamed736 subhnllh wallah Allah akuongz kwny haki
@yammuhamed736
@yammuhamed736 9 ай бұрын
@@fayeezabdallah2217 sote kwa ujumla
@fayeezabdallah2217
@fayeezabdallah2217 9 ай бұрын
@@yammuhamed736 usisem sot kwa jumla sema mim kwa ujumla
@MuhidiniNassor
@MuhidiniNassor 9 ай бұрын
​@@fayeezabdallah2217hujaongozwa wewe!
@fayeezabdallah2217
@fayeezabdallah2217 9 ай бұрын
wallah Allah hawez kukusamh wakt unatetea uwong bil chenga chunga manen yk juha mkubwa we
@yammuhamed736
@yammuhamed736 9 ай бұрын
Msamaha anae toa ni Allah si jazba zako
@fayeezabdallah2217
@fayeezabdallah2217 9 ай бұрын
@@yammuhamed736 ushawah kumuona mt anamdhly mtum muhammad saw half akwa salama!!!!
@fayeezabdallah2217
@fayeezabdallah2217 9 ай бұрын
@@yammuhamed736 mimi naw natk munaqsh wa akil ya fikra man naona wew akil yk haiwez hat kufkr bas dah kwa namn hiy wallah ikiwa unakaid wa kijinga huna salama mbele ya Allah kbc wakt ndg yak muslm anakufahmsh kwa waz na sir huelw unakaidi unakuw na kibr wallh huna salama mbel ya Allah
@yammuhamed736
@yammuhamed736 9 ай бұрын
@@fayeezabdallah2217 do kaka Tumefika pabaya kwani tatizo nini
@fayeezabdallah2217
@fayeezabdallah2217 9 ай бұрын
@@yammuhamed736 tatiz lak umekurupuka saaaana unajuwa Allah sw anavokasirk namn amby anavodhlw uwong kipenz chak unajuw!!unajuw!! ni namn gan Allah anaghazibika unajuwa!!! unajw!!!!!!!
@HalidiMbonde-jn4hi
@HalidiMbonde-jn4hi 9 ай бұрын
Kwani bachu si anaitaji kujua kuhusu wanyama na wadudu kuongea baada ya mimba ya mtume kuingia? mpeni dalili
@abuuSwalhatun98
@abuuSwalhatun98 9 ай бұрын
Dalili kapewa kwani we husikii au??
@MuhidiniNassor
@MuhidiniNassor 9 ай бұрын
Dalili alitoa mwenye we Kisha akajitia ufundi wa kutega hatimae kijasho Cha makalio mchana kwaupe
@abubakarykivo7366
@abubakarykivo7366 6 ай бұрын
Sasa kama adithi tayar ni dhwaifu kwann tuendelee kuitumia
@abdurahimabdulkadir3926
@abdurahimabdulkadir3926 9 ай бұрын
Wacha kupotosha mada ust said alinyima watu elimu kama yy alikuja na risasi mbona alishindwa kuthibitisha wanyama kweky waliongea hilo ndilo swali la kwanza ilkua azame kwa vitabu leo nataka watu woote waskie hili kitabu flani flani chasema hivi na hivi mwanachuoni huyu ywasema hivi ilimshinda watu walitegea kuskia wanyama waliongea
@user-fq6iw1pb7q
@user-fq6iw1pb7q 9 ай бұрын
Dogo hujavuta bangi lakn ???😅
@yammuhamed736
@yammuhamed736 9 ай бұрын
Tumefika huku kaka wakati mi natoa zawad
@MuhidiniNassor
@MuhidiniNassor 9 ай бұрын
Hajavuta kajikojolea
@salmyhussein6255
@salmyhussein6255 9 ай бұрын
Hadith hiyo ni dwaif kweli, je imepokelewa na nani? au imeokotwa? Hiyo Hadith amepokolewa na mtu ambaye si mpokezi wa Hadith, kaaeni mutete madhambi
@yammuhamed736
@yammuhamed736 9 ай бұрын
Nani kaipokea? Tambua sio barazanji na watu wa elimu ya hadeeth wanaikubali kuwa ni hadeeth na daraja lake ni dhaifu hadeeth Ya kutungwa huitwa maudhui na haijaitwa hivyo hivyo nakushauri kasome hicho kitabu nachotaka kumpa bachu zawadi ili usiseme sems majambo ambayo hayapo
@yammuhamed736
@yammuhamed736 9 ай бұрын
@imsimbe kinaitwa mustalah al hadeeth pia kwakua bado mpya mpya kwenye dini nakushauri mfwatilie sana othman maalim
@rajabdanga8590
@rajabdanga8590 9 ай бұрын
Unatafuta kiki kupitiam.Bacho kaendelee kusoma
@fayeezabdallah2217
@fayeezabdallah2217 9 ай бұрын
hakik wew ni juha wa mwanz dunia hii
@yammuhamed736
@yammuhamed736 9 ай бұрын
Brother unahasira sana
@fayeezabdallah2217
@fayeezabdallah2217 9 ай бұрын
lazima niw na hasr kwnn munamzulia mtume muhammad saw kwnn half wew kam wew unapinga hak unakubal batil why thibitsh bas hoja ni wakt mimba ya mtume saw wanyama na viube wot walipeana habr hem thibitsh bas nipat faid
@fayeezabdallah2217
@fayeezabdallah2217 9 ай бұрын
nd man nikasm wew ni juha wa kwanz dunia hii man kun mamb unatakw kutmy akil ya kuzaliwa sio akil ya ujuwaj fikr kwa makin
@fayeezabdallah2217
@fayeezabdallah2217 9 ай бұрын
@imsimbe cha msing msomi akiwa msom yupo tyr kufahmsh umma kuhus jamb muhim ktk din, ikiwa maulid si uzsh kwnn toka miez kadhaa hoja 19 hat moja isijbw kwann kwann!!! half bas tufany sis tusio juwa kwann hatufahmsh je wanyama walipeana habr wakt mimba ya mtum (saw) inangy??? kam wew unafhm nifahmsh bas kwa ushd wa quran na hadth sahih
@MuhidiniNassor
@MuhidiniNassor 9 ай бұрын
​@@yammuhamed736msameheni kwa pengine ana mimba
@shazyahya4121
@shazyahya4121 7 ай бұрын
Said jafar barzanji ni muongo na kitabu chake cha barzanji ni uongo kipindi wanyama wanaongea lugha fasaha alikuwepo ebu punguza kula mirungi utamuelewa vizuri Sheikh Mohammad Bachu
@JumaKhamis-cw8ec
@JumaKhamis-cw8ec 9 ай бұрын
Wewe hupo mbali na bachu bali upo mbali na haki
@rumaythaseif5613
@rumaythaseif5613 9 ай бұрын
hujui ata nn unazungumza apo hakujachambuliwa kitabu chote ni jambo moja tuu huwez kutoa hukmu ya kitabu kizima kwn kwny barzanji hakuna mambo ya kweli? linalotakiwa kujua hakuna mtu wala kitabu kilichokamilika ispokua Qur an peke yke kuna tatizo gani kutoa makosa ya kitabu husiku. musiitukuze barzanji mpk mukaiweka darja ya qur-an. Oh! Allah tusaidie
@allydaud117
@allydaud117 9 ай бұрын
Maali unasoma bc endelea kusoma, m nakuombea kw Allah akuongowe na akuongoze mn yy ndo muongofu ila kijana acha kutafuta umaarufu kwa kupitia majina ya watu we ulitaka Sheikh Mohammad akup jawab gan au nia yenu nd mlitaka aseme hajui 😂 il museme hajui wakati swali, aliloulizwa halimo ktk kitabu, n maulamaa hawajaongelea suala la mtu alietumia hadith zaifu bali wao wamehukumu hadith yenyew na so mtu, nakushaur kakae tena kauskiliz munaqash vizr huwend ukapata kitu ila pia achana na mambo ya upenz bali kaa katika hakki.
@MuhidiniNassor
@MuhidiniNassor 9 ай бұрын
Kama yeye ndo muongofu ilikua kwanza uombe wewe akuongoe acheni kasumba الجزاء من جنس العمل
@zahraomar8095
@zahraomar8095 9 ай бұрын
Sasa nyie mnaemtukana huyu shekh nyie mmesomaaaaa au maneno mengi tuuuu
@user-hh1ol2tr5w
@user-hh1ol2tr5w 9 ай бұрын
bado huna elimu kasome kwanza au kama unatafuta umaarufu na ww poa tutakufollo
@AbdallahMpemba
@AbdallahMpemba 9 ай бұрын
Nenda kasoma,mwkt kasema"
@SaidAbdallah-sm1ft
@SaidAbdallah-sm1ft 9 ай бұрын
Hakuna mantiki yeyote ktk maneno Yako
@mohammedhassan8922
@mohammedhassan8922 9 ай бұрын
Ndugu upo upo lakini hujielewi
@omarlee3297
@omarlee3297 9 ай бұрын
yaan ww mtu akikuona kma chpe ila upo vizur
@jumamahmoud9271
@jumamahmoud9271 9 ай бұрын
sheikh muhamed amesema ndani ya kitabu cha barzanji kuna maneno ya uongo mbona nyny vichwa vyenu vibovu.
@MuhidiniNassor
@MuhidiniNassor 9 ай бұрын
Unaposema kitu uongo unatakiwa uthibitishe kwa Aya na Hadith bachu Hana hata maneno bandia
@MuhidiniNassor
@MuhidiniNassor 9 ай бұрын
Linaropoka tuuuuuuuuu
@daudyussuf8180
@daudyussuf8180 9 ай бұрын
Mtu yoyote wataka kuwa marufu mpaka amutaje Mohamed bacho dio haonekane marufu wengi wajulikani sasa huu atayulikana
@MassodAbdalla
@MassodAbdalla 9 ай бұрын
NENDA KAPIGE VITA UBAKAJI KATIKA VYUO VYENU VYA MADUFU ACHA KUJITAFTIA UMAARURU NA KUJIFANYA MJUAJI YAKO MAMBO YA MSINGI WAISLAM KUYAKEMEA BADO WEWE UNA TAKA TAKA AKILI TU
@yammuhamed736
@yammuhamed736 9 ай бұрын
Mtupa kitabu bachu nae mlisihi nini
@MuhidiniNassor
@MuhidiniNassor 9 ай бұрын
Unataka kusema kua jambo la msingi ni kujikojolea?
@abdallamassoud53
@abdallamassoud53 9 ай бұрын
Mashallah ufafanuz mzur
@yammuhamed736
@yammuhamed736 9 ай бұрын
❤️❤️🙏
@subetizaid6515
@subetizaid6515 9 ай бұрын
Msondongoma huyu
@hassankiloba217
@hassankiloba217 9 ай бұрын
Upo vizuri kk bachu Hana akili jinga mkubwa
@yunusramadhan2546
@yunusramadhan2546 9 ай бұрын
Wewe ndio jinga kubwa nafamilia yako wote hata mwaonekana mwala mavi navijiko nyinyi kuanzia ile siku babako alivyo anguka choon nakushuku wewe ni senge kenge wewe mwanaharam hizaya mkubwa wewe paka shume chui nyoka muuma watu kisha asiwale mbeelele wewe
@asiahamis7893
@asiahamis7893 9 ай бұрын
​@@yunusramadhan2546innalillah wainàlileyh rajiun
@ommymkasa9575
@ommymkasa9575 9 ай бұрын
Shekh tafuteni watu muwafundishe acheni kutafuta umaarufu usokua na maana basi kilamtu anataka aoneshe alicho kisoma upumbavu mtupu
@mohammedmfamau43
@mohammedmfamau43 8 ай бұрын
Hhhhh hawa jamaa akili zao c barabbara yani nyie hao mnaowambia wasisome maulid ndio kwanza raha mustarehe na habari hawpati ndio wanzidi kumsalia mtume.
@dredboy
@dredboy 9 ай бұрын
Toa upuzi mtadaoni
@mozasalum8742
@mozasalum8742 9 ай бұрын
Sasa ndoumesama nini kumbe na wewe unalako
@yammuhamed736
@yammuhamed736 9 ай бұрын
Lipi mi natoa kweli hiyo zawadi
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 9 ай бұрын
Bachu hana ilimu mpe zawadi yake
@abdurahimabdulkadir3926
@abdurahimabdulkadir3926 9 ай бұрын
​@@yammuhamed736Mimi swali langu moja tu kwani haya maulidi mtu wa kwanza haswaa kuyaanzisha nani? Na yalianzishwa wapi? Na yalianza Karne ya ngapi?
@yammuhamed736
@yammuhamed736 9 ай бұрын
@@abdurahimabdulkadir3926 nijibu maulid ni nini nikujibu swali lako
@abdurahimabdulkadir3926
@abdurahimabdulkadir3926 9 ай бұрын
@@yammuhamed736 hiyo ndio shida kma kwa mjadala unaruka swali la mwanzo langu unanirudishia swali haya mm sijui maulidi ni nn nielimishe lkni ujue swali langu ni nani alieanzisha maulidi? Na yalianzishwa wapi? Na yalianza Karne ya ngapi?
@rashidandayi5514
@rashidandayi5514 9 ай бұрын
Wajichanganya
MALENGO YA KUUMBWA BINAADAMU || Muhammad Bachu || 13/1/2024.
30:28
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 931
Каха ограбил банк
01:00
К-Media
Рет қаралды 11 МЛН
PAJUWE NYUMBANI KWA SHEIKH OTHMAN MICHAEL
4:06
OTHMAN MICHAEL ONLINE
Рет қаралды 17 М.
FAIDA ZA KUFANYA DHIKRI MARA KWA MARA
27:25
Istiqaama Muslim Community of Tanzania
Рет қаралды 3,5 М.
Muhammad Bachu JE MTUME ANAKWENDA MAULIDINI|WATU WA MAULIDI WAMEZIDI SASA
19:36
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 45 М.
07 - IJUE DINI YAKO || SHEIKH ALI ABUBAKAR
28:44
Al Haajar TV Kenya
Рет қаралды 331
BARZANJI MAULIDINI Sheikh Said Bafana
47:08
Masjid Riyadha Nairobi
Рет қаралды 40 М.
ФРАНКЛИНДІ ЗҰЛЫМ ҮЙ ЖЕП ҚОЙДЫ (GTA V)
19:41
Animation vs. Geometry
9:17
Alan Becker
Рет қаралды 6 МЛН