Ahsanteni ACT, hakika hiki ni Chama Kiongozi kwa sasa Tanzania, kinawapa nafasi vijana kuonesha vipaji vyao vya kiuongozi, sio wale wafuasi wa nyumbu wanaosifu na kuabudu mwamb awavush tu, na kuwaimbia nyimbo za mapambio wale wale siku zot, vijana wapya hawan chao ndani ya chama
@masellemaziku10965 ай бұрын
Kila la kheri Mhe. Zitto Kabwe. Nakutakia mafanikio katika future yako. Umetuendelezea Utamaduni wa Mwl Nyerere wa Kung'atuka. Wachache sana wanawaza jambo kama hilo. Historia itakuzawadia kwa uwamuzi huo. Tuache taasisi zijiendeshe kwa kanuni na taratibu. Big up sana
@V24hrs4 ай бұрын
I love ACT WAZALENDO ❤❤❤
@user-jd2sg9qj8s5 ай бұрын
Hongera kiongozi
@user-ob9mc5zc1k5 ай бұрын
ZITTO unafaa kuigwa
@abdalahgunda13195 ай бұрын
Zito kabwe is the feliyer politician even to b mp feliyer has got no capacity of building lmotion much of tanzanian people same time crush is own lmotion this is what drop zito kabwe on popularity in politics ndio mwisho wa zito kabwe kamalizwa na chama tawala taratibu
@williamsenkoro22104 ай бұрын
Kafulia ndio maana kaachia uenyekiti ili apate nafasi ya kugombea ubunge. Maana uraisi hatoboi. Bora a gamble kwenye ubunge. Huyu jamaa ni ccm b navyomuona....
@castromemba63115 ай бұрын
Sipendi kumsikiliza huyu jamaa anaua nguvu za vyama.