Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe katika #Clouds360
Пікірлер: 35
@alpheombuya57922 жыл бұрын
Kama kweli haya anayoongea Zitto Kabwe yanatoka moyoni na hayana hila zozote za nyuma ya Pazia hasa za kutumika na CCM ili kutuvuruga Watanzania kwny mchakato wa kupata katiba mpya basi Mungu ambariki sana kwa maono hayo!%
@levidavid11562 жыл бұрын
zito hufai. mnajarobu kumchafua magu. lakin hamuwezi. coz aliwabana. naufisadi weni. Tena sasahivi udin ndo jadi yenu kabisaa
@levidavid11562 жыл бұрын
moja yawatu ambao walinivutia kwenye kuenda siasa nizito lakin moja yawatu. waroho. nawenye usaliti kisa pesa nizito msaliti hafai kabisaa. tena kanisaa hafai mnafiki mnoo mroho sanaa
@ahmed591222 жыл бұрын
Perfect
@mkanjimamkanjimamkanjima20432 жыл бұрын
Nduyangu katika imani Zito Zuberi kabwe wwe ni kiongozi wa mfano wa kuigwa sana. Kwn hamna malidhiano yasio kuwa na mazungumzo na taifa lolote ili lisonge mbele ni lazima papite mazungumzo ndipo amani na usawa upatikane. Sasa hao wasusaji wa mazungumzo ya amani nadhani nia yao ni kuleta vurugu na kuwagawa watz
@uhurunyereremusa85922 жыл бұрын
uhuru huko wapi kama mikutano ya vyama imepigwa marufuku?? Zitto please umepewa andazi na Samia endelea kula andazi lako la usaliti..kikosi kazi kitafanyaje kazi nzuri wakati kipo chini ya control ya Rais !!??
@swaleheamri23032 жыл бұрын
Leadership.usipo ongoza utaongozwa.
@shaabanikabwe26512 жыл бұрын
Mwalimu wa Vijana kwenye Siasa very big brain@ Zitto Kabwe
@johnedward13512 жыл бұрын
Zitto sio
@seifsungura69362 жыл бұрын
This day's siielewi siasa hii
@peterkijanga33542 жыл бұрын
Ndugu Kabwe, pamoja na kwamba ni kweli Tume Huru inaweza kufanya vitu vya utangulizi, lakini ukweli ni kwamba Tume Huru ni Chombo cha kwanza cha Katiba kinachotokana na Katiba na Katiba INAELEKEZA jinsi Chombo hicho kitakavyo UNDWA na KUPATIKANA.Ni CHOMBO chenye uwezo au nguvu,--Instrument of power--, kinachotokana na uamuzi wa kauli ya Watanzania na sio na chama fulani cha siasa.
Hapo zito umesema hoja, hao ccm wavae nguo ili waondoe unyavuzi
@V24hrs2 жыл бұрын
#TheFutureIsPurple
@husseinibnuhassan12722 жыл бұрын
Zitto umekuwa chawa wa ccm
@landomalekano65702 жыл бұрын
Zitto unaeleweka Kiongozi,na Wale Wote Wasioelewa Wataelewa
@hamedmaskari5182 жыл бұрын
Hao watangazaji wana harufu ya ccm wamekukatiza katiza
@ellyjeremia94012 жыл бұрын
Zitto ni jembe kuliko viongozi matapeli wa chadema
@jamessiame51692 жыл бұрын
Koma wewewe
@joezeno82 жыл бұрын
Chuki mbaya! Huyu kibaraka, anaongelea tu “PERSONAL INTEREST” tatizo walibaniwa maslahi yao binafsi na JPM!
@sixtuskisarika66392 жыл бұрын
KWANIMI WANASIASA NDIO WANAITAJI KATIBA MPYA.? NIMUDA GANI KATIBA IASTAHILI KUBADILISHWA NAKUANDIKWA UPYA? HII ILIYOPO INA AHIDA GANI? KAMA NI BAADHI YA VIPENGELE VIMEPITWA NA WAKATI.KWANINI.WASIVIBADILI TUKAENDELEA MBELE. WANASIASA BHANA. MBONA WAFANYABIASHARA SIJAWASIKIA WAKINGNGANIA KATIBA
Zitto ana busara ktk kuendesha siasa za upinzani. Wale wengine ni mabavu mabavu tu
@mohammedmdangwe20562 жыл бұрын
Zito ni kirusi hatari sana kwa tanzania mnafiki mkubwa kweli nimeamini huyu siyo mtanzania nani anemjuwa baba yake huyu jamaa
@nestor3842 жыл бұрын
Wajinga pekee waweza elewa hadaa ya Zitto Kabwe na kundi zima la WAHUNI
@johnmike60592 жыл бұрын
Mpuuzi mmoja uyo umeumia kwa ujinga wako uroho wau raisi wadanganye wajinga alafu kutwa kumsema hayati magu ivi nyie mtaishi milele wa tz wenye akili tulimuelewa sana na awezi tokea rais kama uyo apa tz
@othmarluwawilo83082 жыл бұрын
Jinga wewe, Magu ameuwa sana, angeweza kufanya aliyofanya bila kuumiza ndiyo maana Mungu alimwambia nimewaumba watu waishi, wewe huna mamlaka ya kuwaondoa, akamwondoa. Wewe ulimpenda, lakini kuna wengi walimchukia
@idrisachalahani42952 жыл бұрын
@@othmarluwawilo8308 aliwaua kina nan?
@johnmike60592 жыл бұрын
@@othmarluwawilo8308 una ushaidi
@nestor3842 жыл бұрын
Wajinga pekee waweza elewa hadaa ya Zitto Kabwe na kundi zima la WAHUNI
@mwalimumstaafu85292 жыл бұрын
Mnafiki mkubwa huyo. Njoo Kigoma kugombea ubunge kama utapata. Haufai kabisa ni mlaghai na mnafiki wewe.
@nguyekorajabu15922 жыл бұрын
@@mwalimumstaafu8529Nani wa kushinda Zitto Kigoma ?? Ngenda Kirumbe. Huyo ndie Rais Wa Kigoma , na ICON ya Kigoma .