Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh.... SHEIKH.. wangu. ..nimeota ndoto Ila ktk kafatilia APA nimepata mana yake ..naomuomba ALLAH aKujaalie UMRI MREFU wenye afya njema na atujaalie kila lenye kheri atuepushe na kila. La shari...🙏
@ConfusedCat-le3sl4 ай бұрын
ustath mm niliota mme wangu alishafariki npo nae lakini analo kovu kama kakatwa kisu au panga shavuni mm nayule tukapita uchochoro mdgo giza na pembeni kuna watu wengi mm nikaogopa aniambia usiogope twende tukawa yunaenda kwa mama angu mkubwa lakini lakini nyumba nyngne kabisa sasa sijaelewa hiyo ndoto mpka leo shekh wangu 12:43
@zaitunisagwa2082Ай бұрын
Mimi namuota sana mume wangu, mara nyingi tupo kwenye biashara iliyokuwa yetu, sometimes tunazungumza kwa furaha, sometimes ako kimya tu ila buzy na kazi zake. Mara moja tumealikwa kwenye meza ya chakula na watu fulani, akachekaa, kisha mimi nikaawaambia kuwa huyu hali vyakula kama vyetu. Kisha mume akapotelea. Wakati mwingine alikuja nikamlalamikia changamoto zangu sanaa. Akanaambia, usijali, nikirudi tuenda pamoja. Kiufupi sijawahi muona katika hali inayonitisha. nikiamka nahisi mkamilifu, mwenye nguvu na furaha na tumaini.
@clovicemusobozi38915 ай бұрын
Shukran Jazaka Allah Khery
@MahijaMhini6 күн бұрын
Salamualeyku shekhe Mimi ninaotaga baba yangu amefariki miaka mitatu iliopita LAKINI ni nauna amefa
@mamaafrika148110 ай бұрын
Nashukuru nimekuelewa sana shekhe
@swaiseif29892 ай бұрын
Alhamdulilah nimefrai kujua maana ya ndoto
@JudithWanyonyi-cp6mqАй бұрын
Asante nimejifunza mengi
@lilianrichard90655 ай бұрын
Shekhe mm nikilala naota mme wangu anataka tushiriki tendo la ndoa huku akinambia nakupenda sana mke wangu nisamehe yote
@lilianrichard90655 ай бұрын
Nipe jbu ni ndoto inayojirudia sana
@LatifaKaumaАй бұрын
Aisee hapo mwsho nakubal nlmuota baba yangu kawa hai kisha akawa ananisemesha namsikia ila kitu kmoja alkuw ananiambia saut inakata kisha anakufa tena aisee imepita miaka kadhaa tukazika ndugu zetu wengi sana😢
@athumanmayeko17 күн бұрын
Seikhe mimi nimeota baba yangu ananisemea mazuri akiwa kaninamisha masikioni
@user-xx8dh2bp3bАй бұрын
Ikiwa hii maan ya kwanza bas mm nashkuru nina rafiki yangu ilkua tunaelewana alkufa lakn nishamuota sana, na katika izo tafsiri bas ya kwnza na ya 3 nishaona tayr ikiwa ni kweli ALLAH AMJALIE hatima njema ila hua namuota anacheka namkumbatia anacheka.
@AshaMohamed-ib4le23 күн бұрын
Shekhe mim naota ndoto marehem baba na mama yangu pamoja na ndugu zangu tuliozaliwa pamoja tup mwenye nyumba kubwa na kila ndug yangu pamoja na marehemu baba na mama wamezungukwa nyoka wakali baba na mama ananiambia nipambane kuua nyoka zile nilipamban kuziua mpaka zikafa ndug zangu wakawa salama kabisa nanikashtuka
@MajaliwaLechipya2 ай бұрын
Kama nimeota baba yangu kaja wakat napambana namnyama mkal naakiwa na zana mikononi mwake halaf muda wa saa nikafanikiwa kumuuwa mnyama huyo na babayangu baada yakuona nimemuuwa yeye anaondoka hii inaashilia Nini?
@ShamimuAbassi-eh9ro29 күн бұрын
Aslam alkum shehe mm nimepata Bibi angu alokufa amenitokea nikiwa mm na mdogo wangu Niko tunasubiria nyama za waturuki Bobbi angu alokufa akanitokea nakuniambia hivi nimuombe masmaja nanimshike magoti
Assalam ghalaikum nimeota mme wangu anaumwa na akafariki maana yke nin nn sheikh
@nadhifamohammed774910 ай бұрын
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh sheikh nimeota mume wangu anaumwa namtolesha shahada ina maana gani
@sheymohamed2 ай бұрын
shekhe mm nimeota ndoto sijaelew nimeota baba mkwe wangu wamume wangu nishaachana naye ila baba yake mzazi kanitokea alikuja kwa furaha akaonoka kwa uzuni akaniambia nimemuangusha sanaa yaan hii ndo imeludia mala kwa mala jmni maan yake nini
@user-ui5jt9og1m4 ай бұрын
Shehe Mimi kuna mutu alikufa tenasiombalisana Ila nabakinamuotasana namuona anakujaku isalimia Lakini namukimbia kwasababu najua kama tulimuzika naomba unisaidiy sana nijuwe manaak atakama nimuchana nabaki namu jifikilia.
@user-ej4lu5nc2b6 ай бұрын
Bibi ang amefariki tumezika mwezi aujafika rakin gafra nimeota amekaa kitako na kuna mbia yy ajafa na tulikuw 2 ila uyo mwengin simjui akaniita mm na kuniekea mkono kichwam kesh nkashtyka na kabuli lake nimeon km rina shimo
@fatmaally72525 ай бұрын
Shekhe mimi nimeota shangazi yangu marehemu namuuliza kitu cha hatari alafu yeye akanijibu kwa upole kwamba hakuna shida upo salama
@HaniaAbdallah-oy1yd3 ай бұрын
Asalaam alaykum nakumbuka mm niliota niko na maiti tumeenda out na watoto zetu tunaenjoy tunacheka tunakula halafu huyo niliemuota cna mazoea nae hp duniani lkn kashakufa namjua tu kwa vile alikuwa star
@sheymohamed2 ай бұрын
mimi nimeota baba mkwe wangu wa ex wangu niliachana alikuja ndoto kwa furah alf akaondoka kwa uzunii akasirika kabisa maan yake nn jmniii hii ndoto hii inaludia kila malaa nimekuw mtu ambaye sielewiii
@dorahkasembe18399 ай бұрын
Asalam alaykum nimeota nipo karibu na marehemu mume wangu ananipeleka kwenye choo kizuri nikajisaidie nini maana yake
@mathiaslutumbi59738 ай бұрын
Asallam wallekum shekh: nimeota niko namkwe wang ambae marehem teal ana nisema kuwa simsalimii ata watt wng pia siwafundishi kumsalimia nikawana nabisha mbn nakusalimia kila nilipo nyanyuka kuingia ndan mguu moja ukawa mlefu mmoja mfup nilipo fika ndan kwang pemben ya kitanda kuna jongoo wannee wana ogombana kwa fujo alaf wale jongoo wamezungukwa na mende lipo zid kushangaa wale jongoo wakaondoka kwa kas kuelekea nnje na wale membe wakawa wamejipaga mstar km siafu wana wafata wale jongoo nimeamka usingizn kipanda uso kinaniuma vibaya mnoo namm ni wakike naomba unisaidie shekhe ina maana gan
@user-jz6qu6fb2hАй бұрын
Sheikh mimi niliota kwamba nimeenda Kijijini kwetu nikamkuta mama angu analima akiwa na baba mdogo nimeanza kumsalimia mama then nikamsalimia baba mdogo baada ya muda mama akaniambia kwamba sikutegemea kama ungependeza Ivo naomba unisaidie maana yake
@user-gq4qf4jl2h5 ай бұрын
Mm shekhe nimeota kunarafiki yng nimemuota amefariki jee hii inakuwajee taffsiriyak
@user-yb9vz5ve6f3 ай бұрын
Mimi nimemuota marehemu baba yangu mzazi anaumwa kwer tena yupo seemu amepelekwa ndo anapouguzwa iyo nyumba yenyew ni ya udongo bas na mimi nikaenda kumuona uko aliponiona akanita jina langu
@brownpunchforever80073 ай бұрын
Kama mm ila ni mama yangu
@user-ot1ei7hc4q6 ай бұрын
Ukiota mtu amekufa alafu anapika swadaka jee nn maan yake
@joharisimba48463 ай бұрын
Shehena mimi nimemuota mtu alie kufa alikua rafiki yangu KAFA tena ila sina udugu nae
@joharisimba48463 ай бұрын
Nifanyaje shekhe nimemuota alie kufa KAFA tena ila sio ndugu yangu akaja kwangu tukawa unaongeza nae nami ni mjamzito
@user-ld2wd3ww8h9 ай бұрын
Assalm alaykum warahmatullahi wabaeakatu shek nilimuota mamgu nipo nae nikawa namueleze maish ya pale nyumbn n wadogo zangu lakin akunijibu alifata kunyamaza tu... Alfu nikaota ten niko na mwenzangu lkn sikumjua ni nani maal nilipo kua nae ni kweny mto wa maji alfu nilipo kua naongea nae alikua ndani ya majo nikitaka kumuokoa akaniambia nisifanye hivo badae nikamuon niko nae yuaniambia yuatak kuolewa
Nimeota nipo na mama yangu kitandani ambaye amafariki lakini alikuwa uchi akaniambia nimnyonye halafu sehemu zake za siri zilikuwa zakiume nilivyo kuwa namnyonya yakawa yanatoka maziwa mengi nikapata kinyaa Sana nikastuka nikajikuta Nina mate mengi mdomoni ila nimeota asubuhi hii
Wote mlioota waliokufa wasomeeni dia na wakristowakawsomee sala ya wafu
@saidmc48593 ай бұрын
Shekh mimi nimemuota mume wa mama angu mkubwa ashafariki lakni nimeota namuuguza tena mwisho akanipigiasimu mwanawe wa kike wakati nimembeba ckuweza kumpokelea nlipomlaza nikaamka unamaanisha nn
@sheymohamed2 ай бұрын
shekhe mm nimeota ndoto sijaelew nimeota baba mkwe wangu wamume wangu nishaachana naye ila baba yake mzazi kanitokea alikuja kwa furaha akaonoka kwa uzuni akaniambia nimemuangusha sanaa yaan hii ndo imeludia mala kwa mala jmni maan yake nini