Mbona Mzungu hajavaa sare , kitaalum imekaaje hh Msaada please
@justinjohn43715 күн бұрын
Saut nzuri ,hongereni kwa utume
@EmmanuelLyachu9 күн бұрын
❤❤love it , it's so nice 😘
@gabrielkweka861210 күн бұрын
yaan mnanikosha sana na nyimbo zenu..mzidi kubarikiwa..nawakubal mno
@richardrugemalila749018 күн бұрын
Hongereni sana kazi nzuri na ujumbe mzuri sana
@elipidiusemmanuel173-hw7ll19 күн бұрын
wimbo mzuri🎉
@rozaliahhaali517319 күн бұрын
Kazi nzuri sana nasubiri bwn utajibu nafarijika sana hongereni mungu awape hitajilenu
@SmilingMonarchButterfly-kh4ve20 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@PriscaJoseph-b4o21 күн бұрын
Nice song congratulations❤
@AnnastasiaJuliusАй бұрын
Ufb😢🎉❤❤❤❤hd
@atabomodo7794Ай бұрын
Beautiful song
@SmilingMonarchButterfly-kh4veАй бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@demetriarwiza888Ай бұрын
Hongereni wanna Maruku kwa kuwa na wainjilishaji wanaotulisha neno la Mungu
@yvonnekanini-th2vvАй бұрын
My favourite song❤
@VeronicaKigelesoАй бұрын
Hongereni sana🎉
@madattarcharles1114Ай бұрын
Good song congratulations more maruku choir....
@SalphinaSalvatoryАй бұрын
Kazi nzuri nimewamiss
@SmilingMonarchButterfly-kh4veАй бұрын
Waaooh 🤗🤗❤️❤️❤️🙏❤️❤️❤️🔥
@BernadethaAbrahamuАй бұрын
Asante kwa wimbo mnzuri sana
@eliasjames148Ай бұрын
Haipiti sku bila kuskilza
@fortidaswilfred7566Ай бұрын
Barikiwa sana. Hivii father Agape bado anaudumu apo?
@AffectionateHarpSeal-xc2dzАй бұрын
nimeipenda sana hii kwaya
@danieldede-co6zjАй бұрын
Mungugu awabariki sanaaa kwa wimbo mzuri sanaaa wimbo wangu Bora wa mwaka
@MagdalenaMagereАй бұрын
Kazi nzuri sana. Hongereni sana
@user-fd4gp9zk3hАй бұрын
Wimbo mzuri sana 🎉🎉
@sylivianamutosi9264Ай бұрын
Mungu awabariki sana kwa kazi nzuri ambayo kunafanya god usikie maombi yete amen 🙏🙏 today is Saturday 08 06 2024 08:35am 💛💚💙💜🌹💃🌍🇺🇬
@kwayayamtpaulomtume-kihesa85612 ай бұрын
Hongereni kwa kazi zuri Mungu awabariki sana
@orlanebakana64942 ай бұрын
Une très belle chanson pour la louange de notre seigneur qui est ressuscité alléluia😊
@user-ib7il1mo9l2 ай бұрын
Hongereni Kwa wimbo wenye maneno ya faraja mungu attubariki sote
@MeryceEdward2 ай бұрын
Jamani hongereni sanasananapendeza❤😅
@AlbertMaduhu2 ай бұрын
Tumwimbie bwana katika roho na kweli aleluya
@sammymwania55022 ай бұрын
Huku kenya twasema hongera kwa kazi nzuri 🎉
@josephmasabo42072 ай бұрын
Wimbo huu unatafakarisha sana daah maisha haya basi tu hongereni sana
@user-de7is8cf1f2 ай бұрын
Hongera sana Tumaini Swai wimbo mzuri ubarikiwe
@oscarluwi51422 ай бұрын
Hii ni kwaya bora kabisa daraja la maombi,nasubili,majira ya neema noma sana
@annarweyemamu34712 ай бұрын
Mungu awaongoze hakika
@deusdedithkweka58992 ай бұрын
Hongereni kwa kazi nzuri Tumaini big up bro unaitumia ipasavyo talanta uliyopewa na Mungu
@JosephRweyemamu2 ай бұрын
Akale ni dhahabu!!!❤❤
@EudosiaZephrine2 ай бұрын
Amina sana wanakwaya wenzangu Mungu awabariki
@mugemainyas52412 ай бұрын
Asante kwa wimbo mzuri. Nyinyi ni kwaya nzuri sana . Na asante sana kwa kumwimbia baba askofu Mwijage wimbo bora na mzuri kupitiliza
@mugemainyas52412 ай бұрын
Asante kwa wimbo mzuri. Nyinyi ni kwaya nzuri sana . Na asante sana kwa kumwimbia baba askofu Mwijage wimbo bora na mzuri kupitiliza
@alameri5632 ай бұрын
I ended up with this video because I was surching the meaning of " Ni Amri " as this means in my tribal Arabic, meaning " I am Amri ( ني عامري ). What is meaning in your language?
@magefaustine37462 ай бұрын
The best song ...hongera sana bro swai❤
@asiepetjoan30673 ай бұрын
I feel like taking offertory next Sunday. Very divine song.
@beatrixkarugaba46663 ай бұрын
Maruku mko juu sana Mungu atawajibu sana wala msihofu
@beatrixkarugaba46663 ай бұрын
Mko vizuri sana kwa kweli Mungu anawatumia big up
@WilliamKasake3 ай бұрын
Hongereni kwa utume
@fridoliusrushunju90933 ай бұрын
Mungu awabariki na kuwalinda kupitia uinjilishaji wenu Hakika inapendeza ni matumaini yangu mtatuletea na nyimbo nyingine nyingi za kihaya 🙏