Kwaya ya Mt. Theresia wa mtoto YESU Parokia ya Mt. Yohane Maria Muzeeyi Maruku Jimbo Katoliki la Bukoba Audio : HOLY TRINITY STUDIOS Video: HOLY TRINITY STUDIOS Wimbo: Leo Mtunzi: Edward Nzingula KARIBU UINJILISHE NASISI....
Пікірлер: 22
@EudosiaZephrine2 ай бұрын
Amina sana wanakwaya wenzangu Mungu awabariki
@RedsonMhadisa6 ай бұрын
Hongeleni Kwa utume mungu awabariki
@anithaonesmo1174 Жыл бұрын
Hongereni na endeleeni kuitangaza injili
@mosesclavery22707 ай бұрын
Kazi nzuri
@masanja1972 Жыл бұрын
Mtunzi bora sana
@SEMANKA9710 ай бұрын
Heko nyingi watumishi
@revyanshytitch2266 Жыл бұрын
Waooooo!!!!!!!! Nzur sana nimeikumbuka kwayà yang mungu awasidie
@tumusiimeomukama3151 Жыл бұрын
Waitu Mayo ge ba mawe na batata Rugaba abatunge ebyo mulikwetaga. 🎉
@lucasrwegesira127 Жыл бұрын
Comment yangu naomba isiguswee kazii nzurii mnoh na yenyew viwango vya juu mungu azidii kuwainua Wana maruku Ila mpga kinanda aisee🔥🔥🔥
@isaacksusuma3855 Жыл бұрын
Kazi nzuri💥
@philipokabadi3553 Жыл бұрын
Usafi wa picha 100%, Production audio 100%, Waimbaji 100%, Ujumbe 100% siwadai kabisa Wana maruku 🙌 wimbo Bora wa #MAY2023
@sylivestermchafu2891 Жыл бұрын
Kazi nzuri Sana Wana maruku! Mimi ni shabiki yenu tangu kitambo! Ujumbe mzuri, mpangilio wa sauti mzuri, utamkaji wa maneno mzuri, changamoto ninayo iona mimi ni moja tu na sio kwa kiasi kikubwa! Picha Alizififiz Sana kiasi kwamba sura ya mtu haionekani kwa uharisia wake! Yaani zinakua kama Zina yum a kidogo, utamtambua mtu kama amemzoom mmoja mmoja lakini wakikaa katika line wengi labda kama unawajua utawatambua kwa maumbo yao. Tofauti na hilo kazi nzuri Sana mbarikiwe sana
@EvalineprotassFranciss-ku9tg Жыл бұрын
Hongeren sana
@adamuhashimu720 Жыл бұрын
Hongera sana tena sana kwa wimbo huu naomba mnisaidie namna ya kuupata wimbo huu hasa copy nimeupenda sana mbarikiwe sana🎉🎉🎉
@francisfaustine2573 Жыл бұрын
hongera sana mr Richard naona unapiga kinanda ipasavyo
@richyhinju697011 ай бұрын
😊😊😊amen
@tonynyaki2779 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana sana👏👏👏hongereni Maruku Parish
@linaphoustine9389 Жыл бұрын
Nawapenda bure mung awabariki San kazi nzurii ♥️❤️