Asante sana Ee MUNGU kwa haya mahubiri: Hakika ulimwengu huu uko ukingoni sana Ni wale tu wenye macho ya rohoni ndiyo wanaweza kuona
@user-ns1jw3rl3g12 күн бұрын
God bless you
@JoshuaMangare14 күн бұрын
Nimekupata vema pastor
@GideonSemien15 күн бұрын
Glad to hear that pr
@ellymulesi707415 күн бұрын
Waebrania 11:3 Kwa imani twafahamu ya kuwa ulimwengu uliumbwa kwa neno la Mungu, hata vitu vinavyoonekana havikufanywa kwa vitu vilivyo dhahiri.
@charlesmalimi29332 күн бұрын
Mwezi Mungu awaajaaliee kwa kazii hii kubwa
@paligaSalu28 күн бұрын
Semba usiogope kusema kweli sema
@BarakaGoodluck-y5d28 күн бұрын
Amen
@daltonkimutai6357Ай бұрын
Where's the finishing 😭
@theresiagideon2178Ай бұрын
Amen 🙏
@Swalehmohamed486Ай бұрын
Amina pastor
@FarajaMtavangu2 ай бұрын
(Aliye na masikio na asikie)
@FarajaMtavangu2 ай бұрын
(Mwenye masikio na asikie)
@KulbartAlbart2 ай бұрын
Thank you for the word of Jesus
@MedikoMaluka2 ай бұрын
Kweli poster tujifunze kuimba mungu atusaidie
@user-ns1jw3rl3g2 ай бұрын
More blessings from heaven upon you
@VincentMochama-md7nm2 ай бұрын
Amen
@user-fd8kx7ml6e3 ай бұрын
Ukweli mtupu ila usipoelewa tambua bado hujamjua kristo vizuri..huyu mchungaji c wa haleluya nyingi ni wa mafundisho zaidi ili tuijue bibilia safi barikiwa mjoli wa BWANA.
@francismwaipopo4 ай бұрын
Good message
@peridamtatifikolo54694 ай бұрын
Aminaa
@leahpaulo81814 ай бұрын
nabarikiwa na mafundisho past barikiwa sana
@BARIKIELIAS-rd5pj4 ай бұрын
Amina pr Mwenyezi Mungu atukuzwe
@maranathaministrytanzania86554 ай бұрын
Barikiwa mjoli wa Baba
@ianirungu54455 ай бұрын
Wimbo huo ulioimbwa baada ya mahubiri na kwaya ile ya Nyarugusu waitwa aje... Tafadhali nijibu...
@user-yc7yx9se9w5 ай бұрын
Amen amen nimepata kitu zaidi, barikiwa pr semba
@user-zg6my5oi9u5 ай бұрын
Nimebarikiwa sana mtumishi wa MUNGU aliye hai
@Immanuel-pg1js5 ай бұрын
Mungu Akubariki
@BasiongeDanielamisibinEmmanuel5 ай бұрын
Nimebarikiwa Sana Na somo
@ombogamosota6 ай бұрын
mungu azidi kutuhekimisha tuzidi kuwa hodari
@Agness-sp9xg6 ай бұрын
Aminaa❤
@Agness-sp9xg6 ай бұрын
Aminaa❤
@Agness-sp9xg6 ай бұрын
Aminaa❤
@trophywilson72116 ай бұрын
Hata Wasabato niliwapenda leo Wanaimba Uchi
@trophywilson72116 ай бұрын
Kweli utabeba wengi kama Hapo Wanavyolembua Si tayari chapa ni rahisi kupokea chapa Ya Mnyama
@pascalngaya40506 ай бұрын
AMEN BARIKIWA
@user-ut3dg8hp4e7 ай бұрын
Maombi ni muhimu katika muziki
@JeremiahChacha7 ай бұрын
Amina pr
@SagandaSita7 ай бұрын
Mungu atusaidie sanaaah, nabariwa
@SleepyBoatLake-xl7jb7 ай бұрын
Mungu atusaidie pastor mungu akubariki
@user-we9rk7dj8x7 ай бұрын
Mungu tutie nguvu tumalize mwendo salaaama.bariki wachungaji hawa waendelee kutubariki
@biblianabibliapekee81137 ай бұрын
1:59
@biblianabibliapekee81137 ай бұрын
Nilikua nayatafuta sana haya mahubiri
@biblianabibliapekee81137 ай бұрын
❤
@biblianabibliapekee81137 ай бұрын
Nilikua nayatafuta sana haya mahubiri
@ElishaEliudy-tk8vs7 ай бұрын
Kazi nzuri
@malselsilyaki69597 ай бұрын
More than truth, be blessed pastor
@whajavfsb51548 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe! Naomba kuuliza je ni kweli Mungu ana nafsi tatu? Maana naona maandiko yote yakimtaja akiwa nafsi moja,..kwann kanisa linaamin fundisho lisilo na msingi wa maandiko na linasifika kwa imeandikwa
@danielmwakatumaakimu10508 ай бұрын
Ubarikiwe kwa somo zuri.hatukujua kuomba kweli.
@alodiamagoti76788 ай бұрын
Bwana Azidi kukuangazia nuru yake, ubarikiwe
@kenediotyende67608 ай бұрын
ASANTE KWA SOMO
@elicknyega73178 ай бұрын
Ubarikiwe mtu wa Mungu
@clistineniyomwungere31238 ай бұрын
Nyie watu duuuuh nyie viboko mpaka u tube ooooh nakuja mi M MDABE