Mungu hawabariki sana Don Bosco kimanga tunapokea ujumbe na mziki uliokamatana
@KacheroElias18 күн бұрын
Namuona boss Prude katika ubora wake akigongeana na Juli Raha sana na boss Kifaru
@kristiankitali550526 күн бұрын
Nota zake nazipataje?
@MARTINEMASANGU-hd2frАй бұрын
Nikweli kabisa fadhili zake bwana niza milele tuendelee kuzitumainia
@ocestalmgao3678Ай бұрын
Waoooooo vizuri sana naweza kupata copy
@germanusbaminday6181Ай бұрын
Nyimbo Safi nimefata kutoka Congo Démocratique
@AugustinoShirima2 ай бұрын
❤❤❤
@AugustinoShirima2 ай бұрын
❤❤❤❤
@christermodest98322 ай бұрын
Hongera sana Gerald
@christermodest98322 ай бұрын
Woow hongereni sana kwa utume
@AnjelinaPaschal-hc8mg2 ай бұрын
❤
@AnjelinaPaschal-hc8mg2 ай бұрын
Nzuri
@OddahOdindo2 ай бұрын
Hongera
@MchwauRukas2 ай бұрын
Mungu abariki kwaya nzima
@rahelmsuya72713 ай бұрын
Nice
@lynnsean95233 ай бұрын
🎉🎉🎉kongole kwenu nyote,,sauti poa na nyororo.Sasa karibu kenya tueneze injili
@mercymbithe27363 ай бұрын
Congratulations Mungu awabariki nyote .....nawapeda San Kwa uimbaji wenu mtamu San.......
@PRISCAVEDASTUS3 ай бұрын
Hongera Sana brother mashibe
@PRISCAVEDASTUS3 ай бұрын
Nawapenda jamn Kaz nzuri pamoja sana❤❤
@kiriaregula84753 ай бұрын
Ubunifu kama mbele hongera sana director na team nzima kiujumla, kazi nzur pongezi pia kwa kwaya
@kiriaregula84753 ай бұрын
❤❤❤
@Suzanpaul863 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@JamesKimuyu-gv2us3 ай бұрын
I love this choir kujitolea kweli
@samwelobed32053 ай бұрын
safi sana kwaya ya mtakatifu don bosco kutokea parokia ya kristu mchungaji mwema tabata kimanga hakika mnainjilisha vizuri katika utume wenu wa kuimba kama vijana wanavyosema hakika umeupiga mwingi mtunzi na mpiga kinanda wapewe maua yake
@HappyNkwabi-nj9ey3 ай бұрын
Mungu awabariki sana kwa kazi nzri🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@HappyNkwabi-nj9ey3 ай бұрын
Nawakubali sanaa
@HappyNkwabi-nj9ey3 ай бұрын
Hongera sana kwenu wana Don Bosco mko vzri🎉🎉🎉🎉🎉
@arnoldkagaruki52773 ай бұрын
👏👏👏👏
@egibartrespicius67483 ай бұрын
🎉🎉
@felisterligwa3 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@MINISTERBAHATIMPUME-px4pf3 ай бұрын
Ubunifu mzuri sana MUNGU awainue zaidi na zaidi
@Kmdkimanga3 ай бұрын
Tumshukuru Mungu
@petermarwadelighton35443 ай бұрын
Naomba urudie tena kuutazama na kusikiliza wimbo huu, halafu sikiliza vionjo vyote vya sauti,vyombo n.k…. Aiseeeeeee kuna hiko kinalia (krrrrrr) unakisikia kama mm?????? Safi sanaaa aiseeeee pongezi mno kwenu
@jovinusjulius98403 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@MeshackAudax4 ай бұрын
Hongereni Sana ❤️
@geraldmiza72074 ай бұрын
👏👏👏Hakika mnastahili pongezi🎉🎉🎉
@sinjemoses67594 ай бұрын
Ni shangwe tu hongera sana don bosco kimanga ❤❤❤❤
@hellen2ruka5484 ай бұрын
Hongereni sanaa
@EphremAssenga4 ай бұрын
Aiseeee hongereni mno wanakwaya cjawahi kuona kwaya nzuri km hii jmniii hongereni Kwa Ubunifu🙏
@RoseJames-br2pp4 ай бұрын
Ngoma kaliiii
@sistyandrea19314 ай бұрын
Hongereni sana wanakwaya wenzetu kwa wimbo mzuri wa Pasaka from sesilia makuburi
@Kmdkimanga4 ай бұрын
Tumshukuru Mungu marafiki zetu 🙏
@RobertCosmas-lc7ic4 ай бұрын
Mbarikiwe sana KMD
@prurenalogistics61824 ай бұрын
Halaa!
@KulwaKanyata4 ай бұрын
Amen 🙏
@benjaminmmand924 ай бұрын
Kazi nzuri na safi sana hii inatutia hamasa watu tuendeleee kumtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji mbarikiwe sana💪💪💪
@annamanyam20104 ай бұрын
Hongereni sana KMD. Kazi nzuri sana. Kristu Mfufuka atukuzwe