Mt. Don Bosco Kimanga - Amani ni Tunu (Official Music video)

  Рет қаралды 76,618

KMD KIMANGA

KMD KIMANGA

2 жыл бұрын

Karibu kutazama video ya wimbo AMANI NI TUNU katika kuendelea kumuomba mwenyezi MUNGU Amani na upendo katika kanisa, taifa na Dunia nzima. Mungu mwenyezi atufanye kuwa chombo cha AMANI yake tuzidi kuitangaza Duniani kote.
Wimbo: AMANI NI TUNU
Waimbaji: MT DON BOSCO KIMANGA
Mtunzi: A. J MYONGA
Kinanda: BARAKA THOMAS MASHIBE
English Subtitles: DICKSON NYAMWIHULA
Audio: HOLY TRINITY STUDIOS
Video: DON BOSCO MEDIA

Пікірлер: 408
@prudenceamulungi9720
@prudenceamulungi9720 2 жыл бұрын
Wapendwa tujenge kanisa lenye upendo ,Taifa lenye Amani na Jamii yenye furaha hivyo Dunia iwe mahali salama pa kuishi na kumtukuza Mungu
@florianafrimin9066
@florianafrimin9066 Жыл бұрын
Wooow nyumbani katoliki kumenoga... Kimanga tunashukuru kwa zawadi hii.. hello kutoka temeke.karibuni muinjilishe nasi
@mchumi_thecatalystofeconom7889
@mchumi_thecatalystofeconom7889 2 жыл бұрын
Amani ni tunu inazidi kuchanja mbuga. AMANI ITAWALE DUNIANI KOTE. AMANI ITAWALE KWA MAJIRANI ZETU KENYA HASA WAKATI WA KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZI MKUU.
@Iconic-gk3oe
@Iconic-gk3oe 11 ай бұрын
Asante kwa utunzi na uimbaji wa wimbo huu. Maneno yanazidisha amani na utulivu moyoni. Mungu azidi kubariki uimbaji wenu.
@petermarwadelighton3544
@petermarwadelighton3544 2 жыл бұрын
Kama wewe umebarikiwa kwa kazi hii na Ulikua ukiisubili kwa hamu kubwa Kama Mimi gonga like halafu wasambazie link na wengine....mweeeemweeee mweeee mweeee wimbo hauchoshi ni mtaaaaaaaaamuuuuuu sana.... Hongereni wanadombosco
@gastonegeorge7408
@gastonegeorge7408 2 жыл бұрын
Amani ya kiroho ni Amani ktk yote. Barikiwa kwa kuitangaza Amani ya Injili
@eliudmishago3070
@eliudmishago3070 2 жыл бұрын
Omuhaya akachwa omugani ai nolwo atagamba chonka wakaulila mbwenu naichwe tutwagamba chonka emilembe elya amyoyo yaitu
@kiriaregula8475
@kiriaregula8475 2 жыл бұрын
Absolutely!!! Katika msamaha kuna Upendo na Amani📌📌🔥🔥🔥🔥
@annamajuva9383
@annamajuva9383 2 жыл бұрын
Daaah hongereni sana Don Bosco wimbo ni mzuri sana kwa kweli Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki
@kiriaregula8475
@kiriaregula8475 2 жыл бұрын
Familia iwe shule ya msamahaa kiini cha jamii bora📌📌📌💕💕
@janemwangi6065
@janemwangi6065 Жыл бұрын
Hongereni wanakwaya wote kwa wimbo wenu mzuri sana wa AMANI NA PIA UPENDO. MUNGU AEDELEE KUWALINDA NA KUWAMBARIKI AMINA 🙏🙏
@gradnesscharles9066
@gradnesscharles9066 Жыл бұрын
Baraka mashibe hujawah kuniangusha ase unatisha sana kwenye mapigo
@jumannebasesa1100
@jumannebasesa1100 Жыл бұрын
Nawapongeza kwa kazi ya kumuimbia Mungu. Mungu azidi kuwabariki
@josephmassawe5883
@josephmassawe5883 Жыл бұрын
🔥Yani hatuchoki kuangalia kazi za KMD Kimanga. Excellent!🔥🔥🔥
@temuemanuel4671
@temuemanuel4671 2 жыл бұрын
Wimbo mtamu sana. Asante sana kwa kuinjilishaji wenu uliotukuka
@lucykiria6454
@lucykiria6454 2 жыл бұрын
Kaeni kitaalamu,usibanduke hapa
@agatonngailo6632
@agatonngailo6632 2 жыл бұрын
Hongereni kwa wimbo mzuri hakika amani ni tunu,tuilinde na kuidumisha organist mashibe kinand umekipga vizuri
@eliudmishago3070
@eliudmishago3070 2 жыл бұрын
Msamaha ni nzuri sana tena sana Mimi kupitia wimbo uhu nimewasamehe walio nikosea
@kiriaregula8475
@kiriaregula8475 2 жыл бұрын
Dunia iwe mahali salama pa kuishi,, wimbo huu umegusa kila nyanja kuanzia familia,jamii kanisa na Dunia . Hongera sana mtunzi,waalimu na waimbaji.🙏🙏🙏🔥🔥
@wensilauskibongolo5965
@wensilauskibongolo5965 2 жыл бұрын
Waziri wa katiba na Shelia ameshaupata wimbo huu, bado mama Samia, kazi iendelee 🥳🥳🥳🔥🔥🔥🔥
@alfredrhoda1492
@alfredrhoda1492 2 жыл бұрын
Nahesabu masaa tuu saivi
@berthafred8212
@berthafred8212 2 жыл бұрын
Tujenge taifa lenye furaha,hakika kwa pamoja usikubali huu ujumbe usiilize peke yako aseee wimbo mzuri
@user-cs5su3uk4p
@user-cs5su3uk4p 6 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤wimbo mzuri waimbaji wazur mpga knanda ni noma an 🎉🎉🎉🎉🎉 yaooo
@eliudmishago3070
@eliudmishago3070 2 жыл бұрын
Kifaru kifaru kifaru kifaru kifaru kifaru kifaru kifaru kifaru kifaru kifaru kifaru kifaru kifaru mungu akupe maisha marefu na yenye furaha
@BernardMukasa
@BernardMukasa 2 жыл бұрын
Waaaoooo, mwayanga mwaija. Kandi mwaijage 👏👏👏
@malisafrank7988
@malisafrank7988 2 жыл бұрын
Mr Benard mukasa tunasubir na wewe nyimbo zako za Aman
@donboscomedia6364
@donboscomedia6364 2 жыл бұрын
Wakola waitu! tubashange!
@arnoldkagaruki5277
@arnoldkagaruki5277 2 жыл бұрын
Wakola waitu, tubasange
@mpambanajimawenge3578
@mpambanajimawenge3578 2 жыл бұрын
Kaz nzuri mungu awabariki muendelee vyema
@selestinakatwazo7258
@selestinakatwazo7258 2 жыл бұрын
Mwenyezi MUNGU abariki Kazi zenu na kuwaimalisha ktk uimbaji🙏🙏Safi Sana nawapenda Don Bosco Kimanga
@mushiamrani8308
@mushiamrani8308 2 жыл бұрын
Mungu atuongoze kulinda hii Amani ya taifa yetu na pia viongozi wenye uadirifu na wenye utayari kujitoa kwaajiri ya Taifa.nimebarikiwa
@geraldmiza7207
@geraldmiza7207 2 жыл бұрын
Don BOSCO MEDIA mpo VZRI sana DENIS NA TIM YAKO HONGERA KWENU!
@rosemgisha2918
@rosemgisha2918 2 жыл бұрын
Palipo na FURAHA ,hapo pana UPENDO,Mungu awabariki na kuwalinda Donbosco,Wana Donbosco ,mzidi kutuburudisha na nyimbo zenu nzurii🙏🙏🙏🙏
@dativateddy1874
@dativateddy1874 Жыл бұрын
Hongereni saana kwaya ya mt Don Bosco.....base haijatendewa haki
@clausgabriely2608
@clausgabriely2608 2 жыл бұрын
Halelluy mungu ainuliwe juuu juuu milele tujenge kanisa tujenge taiga tukikoseana tusameheane. Amina waimbaji mmenibariki mno. Mungu awatunze
@juliaricaldo9197
@juliaricaldo9197 2 жыл бұрын
Wooooh mmetisha sana Mungu azidi kuwabariki mzidi kumtumikia yeye
@eliudmishago3070
@eliudmishago3070 2 жыл бұрын
Safari bado kaza mwendo mafanikio yanaitaji kupambana bado kitambo kidogo Mungu ataitika bado kitambo kidogo Mungu atajibu maombi
@eliudmishago3070
@eliudmishago3070 2 жыл бұрын
Mbalikiwe kwa kutufaliji kwa wimbo nzuri
@marrygeogre3206
@marrygeogre3206 2 жыл бұрын
Sauti zinavyopenya kwenye masikio hadi raha mungu azidi kutakatifuzwa kwa uwimbaji wenu
@mariachale6089
@mariachale6089 2 жыл бұрын
Wao, kweli palipo na upendo hapo Mungu yupo. Wimbo unainjilisha, hakika ni wimbo wa kuhamasisha Kanisa lenye Upendo, Amani na furaha. Well dressed, sauti zimetulia. Hongereni Wana kwaya wote. Big up kwa mtunzi na mpiga kinanda
@alfredrhoda1492
@alfredrhoda1492 2 жыл бұрын
Haya masaa kama hayasogei ivi
@jovinusjulius9840
@jovinusjulius9840 2 жыл бұрын
KMD# Familia yangu# mmejua kunibariki mnoo...
@erickedward7315
@erickedward7315 2 жыл бұрын
Itabidi tuyasukume masaa aisee
@lucykiria6454
@lucykiria6454 2 жыл бұрын
Daah Hadi msisimko,hakika Amani ni tunu Bora ya thamani kubwa
@suzanapaul3797
@suzanapaul3797 2 жыл бұрын
Whaoo ngoma inogile jamen kazi nzuri Sana ♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@eliudmishago3070
@eliudmishago3070 2 жыл бұрын
Utume ni kupambana utume ni wito sio lelemama
@elizabethmsukwa5420
@elizabethmsukwa5420 2 жыл бұрын
Wao hongereni Sana Wana KMD kimanga kwa wimbo nzuri❤️❤️
@jackmsuya9599
@jackmsuya9599 2 жыл бұрын
Mungu azid kuwalinda il mzd kumtumikia
@sophinarichard8910
@sophinarichard8910 2 жыл бұрын
😍😍😍😍😍🤩🤩🤩🤩🤩aise wimbo nimeupenda mkovizuri mbarikiwe mnanipa burudani nzuri. AMANI NI TUNI
@eliudmishago3070
@eliudmishago3070 2 жыл бұрын
Ata majumbani kwetu tukiwa na amani mambo yatakuwa mazuri
@eliasmajawanga4794
@eliasmajawanga4794 2 жыл бұрын
Ama kweli mmejua kutuinjilisha hasa nyakati hizi Dunia ikiwa kwenye machafuko ya Amani. Hii Injili ikapenye mioyoni mwetu na kuitafakari kwa kina.
@miracleboy2116
@miracleboy2116 2 жыл бұрын
Mmetisha don bosko kimanga mungu awapende
@sinjemoses6759
@sinjemoses6759 2 жыл бұрын
Asante miracle boy mdogo wa sinje
@marrygeogre3206
@marrygeogre3206 2 жыл бұрын
Good bless hakika mungu azidi kudumisha uwimbaji wenu hakika mmetuinjilisha kwa wimbo mzuri sana hongereni sana
@egibartrespicius6748
@egibartrespicius6748 2 жыл бұрын
Amani ni zawadi ya upendo wa mungu baba❤️🙏🏿
@justinakalekana6344
@justinakalekana6344 Жыл бұрын
Wimbo mtamuuu sauti saafiiii♥️🤍♥️🤍♥️🤍
@bwijeanundji2234
@bwijeanundji2234 Жыл бұрын
Sawa sn vijan
@juliusjuvian6052
@juliusjuvian6052 2 жыл бұрын
Ni motooo
@goodluckmdugi3207
@goodluckmdugi3207 2 жыл бұрын
Hongereni sana kazi nzuri hakika tuidumishe amani yetu
@arnoldkagaruki5277
@arnoldkagaruki5277 2 жыл бұрын
Mungu azidi kutulinda sote, Tuilinde Amani ambayo ni zawadi ya Upendo wa Mungu Baba
@kiriaregula8475
@kiriaregula8475 2 жыл бұрын
Palipo na upendo amani haikosekani...duh yaan najiskia kusisimka kwa ujumbe mzuri wenye maneno matamu, Mmetisha sanaa guys
@evalinakiria8221
@evalinakiria8221 2 жыл бұрын
The count down is on
@lucykitela6662
@lucykitela6662 Жыл бұрын
What a wonderful song, the teachings are quite touching and serve as a daily prayer to our country Kenya, Baraka za bwana zikae nanyi nyote Amina
@geraldmiza7207
@geraldmiza7207 2 жыл бұрын
Amani iwe juu yenu wateule wa Mungu kwa Utume wa UIMBAJI.
@yohanambano872
@yohanambano872 Жыл бұрын
Amiina nyimbo nzuri sana hongereni
@arnoldkagaruki5277
@arnoldkagaruki5277 2 жыл бұрын
Haichoshi kuangalia na kusikiliza, Naendelea kisema hii ni nyimbo ya kitaifa na kimataifa
@prurenalogistics6182
@prurenalogistics6182 2 жыл бұрын
KALIIIIIIIII
@joelelias3742
@joelelias3742 2 жыл бұрын
Mungu awatunze guys mmetishaa sana from singers mpaka video producer Nasikiliza na sichoki ❤️🔥🔥
@irenekanyerere8549
@irenekanyerere8549 2 жыл бұрын
Such kind of vibrator daaaaah this is so amazing
@beatricecharles5119
@beatricecharles5119 2 жыл бұрын
Hongereni Sana wanakwaya KMD Mtunzi Organist, studio Wote mmefanya vyema....tunabarikiwa🥰🔥
@patrickmsimbe2370
@patrickmsimbe2370 2 жыл бұрын
Hongereni sana wana Don Bosco kwa kazi nzuri
@kiriaregula8475
@kiriaregula8475 2 жыл бұрын
Familia ziwe shule ya upendo, hakika nazidi kubarikiwa
@eliudmishago3070
@eliudmishago3070 2 жыл бұрын
Jamani ongera sana piga atua songa mbele
@sue846
@sue846 2 жыл бұрын
Wow, great production here, the dress code and all choreography its just wow.
@alfredrhoda1492
@alfredrhoda1492 2 жыл бұрын
Kaka Peter Mkamati umeupiga mwingiii
@alfredrhoda1492
@alfredrhoda1492 2 жыл бұрын
Don Bosco media mchague zawadi
@ediphoncendakidemi265
@ediphoncendakidemi265 2 жыл бұрын
Nabarikiwa Saaana na hii nyimbo ndo maana sichoki kusikiliza🙏🙏🙏🙏🙏🥰🥰🥰😍😍😍🤩🤩🤩💯💯💯
@florianafrimin9066
@florianafrimin9066 Жыл бұрын
Hongera design wa mavazi yenu...
@Kagamastephen
@Kagamastephen 2 жыл бұрын
hongeren sana wanakwaya kwa wimbo mzuri hakika nimebarikiwa na uimbaji na ujumbe mzuri...Mungu awabariki sana ndugu zangu... Bwana Kagama kutoka Kahama Shinyanga apa katika utume
@pasilisajerono7409
@pasilisajerono7409 Жыл бұрын
Nice song congratulations.
@sophinarichard8910
@sophinarichard8910 2 жыл бұрын
Wow wimbo nzuri mbarikiwe AMANI NI TUNI💯💯💯💯💯💯🙏🙏🙏🙏🙏😋😋😋🤩🤩🤩😍😍😃😃😃
@catherinelacha6643
@catherinelacha6643 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺🎺be blessed my family
@ngowigrace644
@ngowigrace644 2 жыл бұрын
Thanks God kwaa zawadi hii kubwa ya familia don bosco
@lucykiria6454
@lucykiria6454 2 жыл бұрын
Nyieeeeee
@alfredrhoda1492
@alfredrhoda1492 2 жыл бұрын
Ariiiiiiiiii
@peterdavid4230
@peterdavid4230 2 жыл бұрын
waoh best for you...wimbo mzuri mno na una ujumbe mzuri🙏
@agrinathadeo5720
@agrinathadeo5720 2 жыл бұрын
AMINA sana singers kwa kuhimiza Amani ndani ya Taifa MUNGU awajalie baraka tele 🙏🙏🙏🙏
@peterdavid4230
@peterdavid4230 2 жыл бұрын
@@agrinathadeo5720 🙏🙏
@kiriaregula8475
@kiriaregula8475 2 жыл бұрын
Katika msamaha kuna upendo na Aman
@patrickmndeme7754
@patrickmndeme7754 2 жыл бұрын
Super super ......ujumbe mzuri na mtamu. Waimbaji very super mmefanya vizuri 💯💯💯💯
@eliudmishago3070
@eliudmishago3070 2 жыл бұрын
Byona tubisimile omukama
@stephensanga
@stephensanga Жыл бұрын
Good song and well composed, thanks to KMD KIMANGA and Mr A.J Muyonga👏👏👏👏👏👏👏
@ediphoncendakidemi265
@ediphoncendakidemi265 2 жыл бұрын
Kaz nzur Sana kmd kimanga endeleeni kumsifu Mungu, natumain atawapa Mambo mazur Zaid ya haya nawapnda sana....by Mwesi
@deom.bantulaki324
@deom.bantulaki324 2 жыл бұрын
Hongera saana ndugu zangu wa damu.. Mungu na atubariki tuendelee kumtukuza Yeye aliye Juu
@sinjemoses6759
@sinjemoses6759 2 жыл бұрын
Mungu awakumbuke nawapenda sana KMD
@shimbibenard7320
@shimbibenard7320 2 жыл бұрын
Mungu aendelee kutukuzwa , Amani Ni tunu hakika
@arnoldkagaruki5277
@arnoldkagaruki5277 2 жыл бұрын
Ni asubuhi nyingine, tunafurahia Amani tuliyonayo..
@MartinDismas-ou5oy
@MartinDismas-ou5oy 9 ай бұрын
Bwana awe Nanyi siku zote❤❤😊😊
@alfredrhoda1492
@alfredrhoda1492 2 жыл бұрын
Bado masaa 3 😋😋😋
@vivianlaizer3016
@vivianlaizer3016 2 жыл бұрын
Hongereni Sana👏👏👏👏👏, mafundisho mazuri
@saveramussa9300
@saveramussa9300 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana kwa utume huo
@amosmuia4268
@amosmuia4268 2 жыл бұрын
Hongereni sana kazi safi na mbarikiwe.
@ayubuponsianomtunge4679
@ayubuponsianomtunge4679 2 жыл бұрын
Kaka mkubwa Prudence
@kiriaregula8475
@kiriaregula8475 2 жыл бұрын
Mungu aendelee kuwapa nguvu muweze kumtumikia hadi uzee wenu 👏👏💪💪
@sophiamtallo3967
@sophiamtallo3967 2 жыл бұрын
Oooooòh ?😇😇😇😇😇 kazi nzuli sanaaaaaa
@eliudmishago3070
@eliudmishago3070 2 жыл бұрын
Nawatakia utume mwema
Mt. Don Bosco Kimanga - Twendeni Kawekamo (Official music video)
9:11
WARAKA
12:56
Don Bosco Media
Рет қаралды 41 М.
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 5 МЛН
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 10 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 8 МЛН
Dr.Ipyana - NAWEZAJE KUNYAMAZA//NAMNA HII SIJAONA
15:41
Dr Ipyana
Рет қаралды 114 М.
UKUU WA MUNGU   Ben Nturama KWAYA YA MT GABRIEL MALAIKA MKUU PAROKIA YA SEGEREA DAR ES SALAAM TZ
8:16
KWAYA MALAIKA GABRIEL PAROKIA YA ROHO MT. SEGEREA
Рет қаралды 37 М.
KWAYA YA KRISTU MFALME (NGARENARO, ARUSHA) - CHOMBO CHA AMANI
6:39
KKM NGARENARO ARUSHA
Рет қаралды 7 М.
Mt. Kizito Makuburi - Wewe ni Mungu (Official Music Video)
9:29
KMK MAKUBURI
Рет қаралды 9 МЛН
Frank sanga amani niliyonayo
9:02
FRANK SANGA ONLINE TV
Рет қаралды 51 М.
Moyo (Live)
10:09
AIC Chang'ombe Choir - Topic
Рет қаралды 9 М.
TEMBEA NAMI (Official Video) - KWAYA YA MWENYE HERI ANUARITE - MAKUBURI
10:41
NITAKUTUMIKIA
7:17
kmmmm-mtwara
Рет қаралды 13 М.
Stray Kids "Chk Chk Boom" M/V
3:26
JYP Entertainment
Рет қаралды 67 МЛН
Жандос ҚАРЖАУБАЙ - Ауылымды сағындым (official video) 2024
4:25
Жандос ҚАРЖАУБАЙ
Рет қаралды 101 М.
Erkesh Khasen -  Bir qyz bar M|V
2:43
Еркеш Хасен
Рет қаралды 1,2 МЛН
Nurmuhammed Jaqyp  - Nasini el donya (cover)
2:57
Nurmuhammed Jaqyp
Рет қаралды 736 М.
Dj Jack SpaRRow - Akbar Ghalta Bahiati ( Slap Remix Arabic ) #TIKTOK
2:21
Dj Jack SpaRRow
Рет қаралды 2,5 МЛН
Alisher Konysbaev - Suie ala ma? | Official Music Video
2:24
Alisher Konysbaev
Рет қаралды 1,4 МЛН