Kwanza huyu mama mwenye nyumba kabila gani ?. Ndio maana kuna makanila mengine yanapenda pesa kuliko Utu, sasa isije ikawa binti alikua snadai mshahara wake wa miezi mingi , sasa bosi wake mama kwa kuona.ni hela nyingi na usumbufu akacheza uomchezo; naam tunaona ukumitaani house girl anapigana na bosi wake kisa miezi mingi 😲
@isayacharles28502 күн бұрын
Chunguzeni vizuri, asije ikawa mama kaisi house girl anatembea na mumewe. 🤫
Hilo taira lichawi.likubwa hata halina aibu lipigeni nalo life bumbavu sana
@fatmafatu11284 күн бұрын
Hovyoo wamama watu wazima tabia chafu wote mitipwa tipwa manido makubwa hamjayavalisha sidiria yananingi,nia kama mafenesi
@Zainab-qg6xvКүн бұрын
Hovyo hovyo mwenyewe umetumwa kuangalia si upite tu tuachie sie tupewe burdani 😂
@Rahima-kv6mn3 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@neykombe88314 күн бұрын
Hii kali ya mwaka duuuh km me ningeuwa kbs
@neykombe88314 күн бұрын
Ningekuwa me wasingenitoa na nisingekubali hiyo taraka
@mpefu_49364 күн бұрын
Watoto wanaibiwa msikanushe jamani
@user-wu9rn2rm2r4 күн бұрын
pole saana
@user-zl3we4si9q4 күн бұрын
Tuweni na tahadhari sana watoto wetu na ndugu zetu na jamaa zetu wanapotea bure
@user-zl3we4si9q4 күн бұрын
Jamani pia siku hizi kuna magari mawili au moja huwa zinapita sehemu na kujaribu kuchukua watu wawili au zaidi ya wawili nakundoka nao wananchi msikubali kabisa fatilieni gari hizo mufate zinapokwenda maana huwa wanajifanya Askari kumbe sio watu wazuri kabisa ni wauwaji hao ndugu jamaa , kaka ,wadada wote mtahadhari sana