Tunaomba barabara ya Iringa mjini kwenda Ruaha National park kwa kiwango cha lami. Kama ilivyoelekezwa kwenye Ilani ya ccm. 🙏
@mduda_iКүн бұрын
Tunaomba barabara ya Iringa mjini kwenda Ruaha National park kwa kiwango cha lami. Kama ilivyoelekezwa kwenye Ilani ya ccm. 🙏
@ngurukitv4584Күн бұрын
Looking good follow back done God bless you 🇱🇷 💪 🙏 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Gsamir6942 күн бұрын
Tunamuomba sana raisi samia atengeneze barabara haraka mikoa ya rukwa songwe mbeya ruvuma njombe iringa mpanda ziwe nane nne kwenda nne kurudi
@Gsamir6942 күн бұрын
Safi sana
@UjenziTv_2 күн бұрын
Kazi Iendelee...
@user-gj5iy2rq8y5 күн бұрын
Kwanini hamjengi majiji mapya kila mkoa
@HamisMghuna-fj3vz7 күн бұрын
Mtoa mbuu,Arusha drift lina jaa maji maska tuwekewe,daraja
@IsmailSaid-od9bs7 күн бұрын
Hana vifaa huyo mkandarasi wenu
@altentic86168 күн бұрын
Tanroads wanatakiwa kujenga barabara vizuri kama zinavyotengenezwa Afrika Kusini, barabara zenye njia 4 na hata 5 kwa kila upande wa magari.
@tanzanite99449 күн бұрын
Makunduchi Haiko Mjini Zanzibar bwana wewe, hebu jiongeze. Makunduchi ni Vijijini sio mjini.
@zobakazizi763710 күн бұрын
Wapeni wachina......
@user-qs1xx9yl8i11 күн бұрын
Weka na tunnel ww boss
@IsayaSosolo-nx8zk12 күн бұрын
Mnapanua au mnaongeza upana wa barabara?
@JK-uq1tv14 күн бұрын
Wizara ya ujenzi barabara ya kusini hasa ya mkoa wa lindi madaraja Yana Hali mbaya jaman chukueni hatua mvua masika siyo mbali sana hakuna mkandarasi site mpaka Sasa.
@ramaaman402014 күн бұрын
Tanzania juu huondiouzalendo asantenisana pamoja na Mheshimiwa raisiwetu.
@ContentSmartphone-rq6po14 күн бұрын
Ok
@hajimgwami522414 күн бұрын
2008 NA 2012 JK NDIO ALIJENGA JENGO LA ABIRI NAKUONGEZA UREFU WA BARABAA YA KURUKIA RUNWAY
@Optionxll_Playz114 күн бұрын
Ni kwa nini watalamu wetu mnatuangusha lakini
@alfinmbilinyi598514 күн бұрын
Waziri wa ujenzi fanya ufanyalo bara bara ya kusini makaraveti na madaraja yote siyo mazuri kwa mwaka ujao mvua ikinyesha njia itakatika tena.madaraja yenye ubana wa kutosha ni muhimu sana.pia Kuna sehemu kontena imetumika kama kalaveti ni hatari kontena inaoza haraka sana.sehemu somanga nangurukuru Bado nguvu inahitajika Ili kabla mvua hazija Anza lami mpya ijengwe viraka si sawa.
@user-oh8ig2cy9q14 күн бұрын
Ivyo vioo nyani ndio watakua wanavitumia watajaa
@ngurukitv458415 күн бұрын
Looking good job follow back 👍 ❤❤❤❤❤
@JeminKiza15 күн бұрын
Mzani Wenda unatuharibia muda sana
@peternassari763415 күн бұрын
Saf 👏
@razackndeze-pv5bm16 күн бұрын
Suluhisho la muda mrefu pekee ni kujenga ao kupitisha hiyo barabara sehemu nyingine sio kupanda huo mlima kitonga, ao kujenga tunnel. Lakini hao mumbo ya kupanua barabara haitasaidia chochote bali itakula hela za bure tu.
@user-ku4xq4nd9v17 күн бұрын
Hongera Tanroads kwa kutupatia mrejesho kila wakati
@Gsamir69418 күн бұрын
Safi sana
@Gsamir69418 күн бұрын
Safi sana
@flova702218 күн бұрын
Nawashukuru wananchi kwa kutoa kodi ambazo ndio fedha zinnazotumikka katikka maendeleo..apo vip
@eddechriss266418 күн бұрын
Engineer sehemu km hiyo suluhisho ni tunnel tu
@killy_hoffman269818 күн бұрын
geography ilikupiga chenga shuleni🤣🤣
@eddechriss266418 күн бұрын
@@killy_hoffman2698 bahati mbaya sijawahi kutembelea nyanda za juu, ndio utuambie sasa kama study zilishafanyika ili tujuwe na sio kuongea in short km hivo
@flova702218 күн бұрын
@@killy_hoffman2698shida tusio na elimu hiyo tunnabishana
@yustomwaisomania258718 күн бұрын
Kuna shida ya elimu hapo
@frankmare170817 күн бұрын
Toa ilo neno " Tu"
@ngurukitv458419 күн бұрын
Looking good follow back done God bless you 🇰🇪 🙏 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@shinipapaya84619 күн бұрын
Kwanini mnaandika kwa kiingereza hapo mpanda wengi wao hawajui kiingereza aibu aibu kwenu 😭😭😢😢 RIP mzee baba Magufuli
@waluohopaulo211622 күн бұрын
Yani ujenzi wa gorofa moja bado mnahitaji mwandishi mshauri
@msafiriomary89323 күн бұрын
Mpaka reo mnaiba tuu cement na nondo hariiishi mrimtoa bure tuuu magufuli mngemuacha atujengeee inchi wajinga nyinyi
@African51124 күн бұрын
Akili za mwanaume mmoja aitwaye Magufuri,alooo Mungu alimtumia sana huyu jpm
@stanymccary713624 күн бұрын
Mkandarasi anayejenga ring road muangalieni yani haikamilkagi, SGR itakamilika yeye bado
@upendokiula-n8h25 күн бұрын
Contact please
@ShkiruIsmail26 күн бұрын
pongezi kwa serikali kwa daraja la jpm bridge
@amirymdee425927 күн бұрын
***Korogeshen ni kitu gani?Kiswahili hamjui?
@sebmalunde594527 күн бұрын
Jengo linaendelea pia. Mambo ni 🔥 🔥 🔥
@michaelrweyemamu106827 күн бұрын
Serikali mlifikirie kulipanua Daraja la Kirumi pia.
@shabanponera289528 күн бұрын
Jengo wapi?
@fredyjunior696128 күн бұрын
ONESHENI UWANJA MZIMA KILA KINACHOENDELEA
@omarybakunda255428 күн бұрын
Hakikisheni mnatoa majani yaliyo ota kwenye maji
@George-f6u28 күн бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪💪💪💪💪
@ZeProDJay28 күн бұрын
Hili daraja halijaishaga tu duuh
@samsonmwijage186927 күн бұрын
Angelikuwepo duniani mwenyewe kwa sasa magari na waenda kwa miguu wangelikuwa wanapishana juu katika daraja hili.
@anafisuleimani708328 күн бұрын
Hongera nyingi kwa viongozi wote mlio shiriki ujenzi huu
@NixonJohnson-zn8nk28 күн бұрын
Tunashukuru fikra za mtu na tunalaumu viongozi wazembe wa nchi hii kwa kutuchekewesha kutumia kodi zetu kwa maendeleo yetu
@NixonJohnson-zn8nk28 күн бұрын
Hakuna cha daraja LA magufuli ni daraja letu wananchi na kodi zetu tu sio mtu
@zachmaselle663529 күн бұрын
Hayo Magugu ziwani, tunangojea mpaka wazungu waje kuyaondoa?
@prosperidinya58643 күн бұрын
Eeeeh, kumbe ni magugu! Basi Mimi nikawa nakuuliza, kwanini hizo pile cap zijengewe kwenye maji badala ya kujenga kwenye ardhi hiyo yenye mimea. Asante