Nimepika lkn zina mafuta yakutosha nifanye nn ili ziziwe na mafuta
@eddymasasimd883611 күн бұрын
UNATUSAIDIA SANA SISI MA BACHELOR.......
@user-de7se1eb3y17 күн бұрын
Vizury sana kwapshi lako zury nimeipenda
@mwitamwita625718 күн бұрын
Nimeipenda hiyo
@SiaJoshua22 күн бұрын
Wow 😳
@DogoMabrouk27 күн бұрын
Sasa shoga upishi huo na makucha ya kubandika vipi? Maana kawaida hygiene muhimu kwenye mapishi kawaida kucha zikiwa ndefu zinabeba uchafu, hoteli za kimataifa huruhusiwi kuwa na kucha ndefu, hio sio sawa kabisaaaa shoga yangu.
@BatonMtalimbo27 күн бұрын
Tupo
@FransiscaThomas-zs4nn27 күн бұрын
Utumbo wa mangoni
@ShukraniWilsonАй бұрын
Asant mamy
@user-ys6vy5lr2lАй бұрын
Nimependa jinsi umevyorost nitam sana ninaomba siku nyingine unifundishe njinsi ya kumuandaa kuku kabla ya kumrost
@elishaobadia8829Ай бұрын
Upo wap dada tufungue darasa
@VictoryMwambembeАй бұрын
So amazing
@MwanahamisiMatano-pp9ozАй бұрын
Sasa unatanguliza tui jepesi kwanza ama unaeka zote kwa pamoja..hujaonyesha
@user-ks2bx7ik8fАй бұрын
Mie naswali je hiyo kabechi nikiipasha kidogo jikoni wengine hawapend bichi inawezekana
@i.a.m_a.n.n.i.eАй бұрын
Just know that when i wanna try something new, i always visit your page😊👌🏻Thanks
@ALLYZAHOLO-gr9pyАй бұрын
unajua saana
@namelockmaasailady80022 ай бұрын
Very nice description 🥰🥰🥰
@LoveObadii2 ай бұрын
Sijataka kupitwa jaman nami nimejaribu duh utam had mister kapenda jaman,
@LovelyOutdoors-wd5nh2 ай бұрын
Nimelipenda pishi lako kwa kweli,Mungu akubariki, Hellen kutoka Arusha
@BvxoHCl2 ай бұрын
ok Asante
@aboudkhalifa73292 ай бұрын
So hakuna need ya kuweka maspice?
@user-og3nt3uh1m2 ай бұрын
Safi sana ni pishi zuri ila hapo Kwa nynya Kwan lazima zote mbili?
@user-og3nt3uh1m2 ай бұрын
🎉wawoooo😢 umetisha pishi lako Haina milima na mabonde n mtelemko sana
@RehamAlmamari2 ай бұрын
Pish zul San dad
@user-rk6ew7vz5s2 ай бұрын
Wawoooo nice dear namim napik leo nione
@user-iw2jl6ss8z2 ай бұрын
PILI pili kali dada angu hawez kukela
@hamismbaruku48502 ай бұрын
mashaAllah, I like it❤
@nusramsangi10742 ай бұрын
Woow
@NeemaDeogratias-oz6er2 ай бұрын
Mom unajua Jaman kupika
@agnesmvulla28012 ай бұрын
Nimeipenda hiyo
@user-en5yk6xx4j3 ай бұрын
Mashaala 🎉
@SheRoseAgain3 ай бұрын
Thank you for this simple recipe. My meal ilikuwa tamuuuuuuuuuu! I used pojo and it still came out delicious. Shukran!😊