Jinsi ya kupika rosti ya kuku wa kienyeji (How to make Free Range Chicken Roast).... S01E29

  Рет қаралды 246,780

B's Magic Kitchen

B's Magic Kitchen

4 жыл бұрын

INGREDIENTS
Boiled Hard Chicken
Maggi
Ginger
Garlic
Tomato
Tomato Paste
Carrot
Capsicum
Onion
Scotch Bonnet
Lemon
Salt
Olive Oil
Song: Usiniache
Artist: Dallarz
• Dallarz - Usiniache (o...
Instagram: / bmagickitchen

Пікірлер: 156
@user-de7se1eb3y
@user-de7se1eb3y 17 күн бұрын
Vizury sana kwapshi lako zury nimeipenda
@janealoyce7991
@janealoyce7991 Жыл бұрын
Aseeh dada nafatiliaga sana kila pishi yec uko vizuri en simply nimejifunza mengiii
@geofreyniyonkuru5724
@geofreyniyonkuru5724 4 жыл бұрын
Duu mdogo wangu ndio alipika kuku akiwa anaangalia hii video kuku alikuwa mtamu sana ngoja na mimi nijaribu asante dada
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Safi sana, hongera nyingi kwake na kila la kheri kwako. Asanteni sana kwa support yenu👏
@patriciazephania1195
@patriciazephania1195 3 ай бұрын
Uko vzr
@mwajumaramadhani4771
@mwajumaramadhani4771 Жыл бұрын
Nimependa nzuri
@mwasitimusa8926
@mwasitimusa8926 3 жыл бұрын
Nice
@agnesmvulla2801
@agnesmvulla2801 Жыл бұрын
Nice 👍
@roseevarest7409
@roseevarest7409 Жыл бұрын
Mzr❤️
@hermandemello2200
@hermandemello2200 2 жыл бұрын
Roast lenye nguvu na akili nzuri!! Kuku wa kiswahili. Wow love this chicken recipe n supper results I'm pleased and happy watching ur post from Tanga Tanzania amen
@MsBupe
@MsBupe 2 жыл бұрын
Thank you so much, i really appreciate your support🙏🏾
@RechoKihombo
@RechoKihombo 4 ай бұрын
Good
@user-ys6vy5lr2l
@user-ys6vy5lr2l Ай бұрын
Nimependa jinsi umevyorost nitam sana ninaomba siku nyingine unifundishe njinsi ya kumuandaa kuku kabla ya kumrost
@anethwilliam1526
@anethwilliam1526 7 ай бұрын
Asante sana
@ramulahnabukalu6980
@ramulahnabukalu6980 4 жыл бұрын
Nyc n very ezy sister thank u, reali
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
You're welcome, thank you for watching.. Please don't forget to subscribe and hit on the bell notification also follow me on insta please @bmagickitchen thank you👏
@sarahlaurian6899
@sarahlaurian6899 4 жыл бұрын
Wooow very nice sister and easy to cook
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Thank you so much👏
@lilianatupele924
@lilianatupele924 3 жыл бұрын
So much inspired❤
@MsBupe
@MsBupe 3 жыл бұрын
Thank you my dear👏🏾❤
@fadhilamunisi1061
@fadhilamunisi1061 3 жыл бұрын
Rosti nzuri sana. Hongera kwa mapishi mazuri.Ubarikiwe kwa kushare nasi.
@MsBupe
@MsBupe 3 жыл бұрын
Asante sana my dear, nami nskushukuru sana kwa support yako🙏🏾❤
@malaika4158
@malaika4158 2 жыл бұрын
watching and cooking 9 August 21 . You have a new subscriber from Kenya village Asante dada.
@MsBupe
@MsBupe 2 жыл бұрын
Thanx Malaika for your support and welcome to our Family🙏🏾❤
@malaika4158
@malaika4158 2 жыл бұрын
@@MsBupe Thank you so much
@essiedj9986
@essiedj9986 3 жыл бұрын
😍😍amazing
@MsBupe
@MsBupe 3 жыл бұрын
Thanx dear👏🏾❤
@deriphinatobiasi6207
@deriphinatobiasi6207 Жыл бұрын
Asante dad kwamafunzo mazur mag n nini
@chapaklaleee7385
@chapaklaleee7385 2 жыл бұрын
Waoooooo nimependa nzur
@MsBupe
@MsBupe 2 жыл бұрын
Asante sana na ninashukuru sana kwa support yako🙏🏾
@asifiweminja9071
@asifiweminja9071 3 жыл бұрын
Upo vizuri saba
@MsBupe
@MsBupe 3 жыл бұрын
Asante sana my dear🙏🏾❤
@mirrykirungi5078
@mirrykirungi5078 Жыл бұрын
Leo nataka nijaribu hii recipe inaonekana tamu mno
@honoratamafala6968
@honoratamafala6968 Жыл бұрын
Waoo..super sana.naingia jikoni sasa ivi watajingata nakuambia 😂
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
Kuku anavutia sana, upate na kaugali chako wooo
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Hatari sana🔥🔥🔥 asante kipenzi😘❤
@tajiriskitchenswahiliflavo1723
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 4 жыл бұрын
@@MsBupe 😍😍😍
@joshuakaminyoge4954
@joshuakaminyoge4954 4 жыл бұрын
❤ be blessed
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Thank you👏 Be Blessed too.
@hkular5220
@hkular5220 3 жыл бұрын
Recipe poa sana. Nimejaribu hii recipe pia na samaki na mbuzi mchuzi. Imetoka sawa
@MsBupe
@MsBupe 3 жыл бұрын
Aisee, hongera sana na asante kwa mrejesho🙏🏾❤
@umfarid247
@umfarid247 4 жыл бұрын
Asante sanaa nimependa rost la kuku asante sanaa
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Nashukuru kama umependa na asante sana kwa support yako👏
@luq28
@luq28 4 жыл бұрын
Asante for the recipe . I am going to cook that today but with nazi .
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Asante kwa kuipenda, haina shida tena itakuwa tamu tu sana...
@yusramuhamed4234
@yusramuhamed4234 3 жыл бұрын
Mashaallah nimeipenda nzr sn
@MsBupe
@MsBupe 3 жыл бұрын
Asante sana my dear na pia nakushukuru sana kwa support yako mumy🙏🏾❤
@zylperlynetakoth1464
@zylperlynetakoth1464 4 жыл бұрын
Am inspired to cook this,,too much love from Kenya and see❤
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Aaaaww! Thank you dear, feel free to check other videos and please Subscribe to my channel and hit that bell button so that u're notified whenever i upload.... Thank you so much😘❤
@donpablo2651
@donpablo2651 3 жыл бұрын
Safi sana mashallah
@MsBupe
@MsBupe 3 жыл бұрын
Asante sana na ninashukuru kwa support yako🙏🏾
@maryamhamad3731
@maryamhamad3731 3 жыл бұрын
Mamb
@LucksonEdwardmgallah-tf5nc
@LucksonEdwardmgallah-tf5nc Жыл бұрын
Mpaka mwili unasisimka
@bnbnbnbbnvbn9006
@bnbnbnbbnvbn9006 4 жыл бұрын
Shukran habibty
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
👏❤
@dottoabel3455
@dottoabel3455 3 жыл бұрын
Your so good Madame
@MsBupe
@MsBupe 3 жыл бұрын
Thank you so much👏🏾
@lynewandia8453
@lynewandia8453 4 жыл бұрын
It was of great help. ...kudos
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
I'm glad i could help, thanks dear, Please don't forget to subscribe and click on the bell too so you are notified whenever i upload....You're also welcome to watch other videos.
@evancekimath7405
@evancekimath7405 2 жыл бұрын
Kizuri sana
@MsBupe
@MsBupe 2 жыл бұрын
Asante sana na ninashukuru pia kwa support yako🙏🏾 Karibu tena.
@shimenikavira6431
@shimenikavira6431 4 жыл бұрын
Ee yaani nameza mate mm asante kwa kutufunza dada
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Asante my dear, nashukuru kwa kuangalia.... Naomba usubscribe to kubonyeza kengele pia karibu uangalie na zingine👏 Pia waweza nifollow insta ukipenda, natumia @bmagickitchen
@webbytjthomas9851
@webbytjthomas9851 4 жыл бұрын
Umenifanya nianze kuwaza kula ugali mapema hii... ngoja nitoe oda kabisaaa...
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Hahahaaaa, sawa sawa. Asante kwa kuangalia na asante sn kwa support.
@tawbathomary3398
@tawbathomary3398 3 жыл бұрын
Very simple😋😍
@MsBupe
@MsBupe 3 жыл бұрын
Thank you👏🏾
@jeremianguvumali2099
@jeremianguvumali2099 4 жыл бұрын
asant
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Karibu sana, naomba usisahau kusubscribe na kubonyeza kengele pia naomba unifollow insta @bmagickitchen asante sana👏
@omanseeb8609
@omanseeb8609 4 жыл бұрын
Thanks my
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Karibu sana🙂
@davidkossy
@davidkossy 4 жыл бұрын
kwa kingereza kuku wa kienyeji haitwi hard chiken...anaitwaga free range chicken au country chicken....
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Asante kwa masahihisho👏
@davidkossy
@davidkossy 4 жыл бұрын
video nzuri sana nimeinjoy
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
@@davidkossy nashukuru sana, karibu uangalie na zingine, pia naomba usubscribe na kubonyeza kengele, naomba pia unifollow insta @bmagickitchen. Asante sana👏
@mwajabujuma8973
@mwajabujuma8973 4 жыл бұрын
Mmmmh jamn mpak rah
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
👏❤
@rishmashymer7262
@rishmashymer7262 3 жыл бұрын
mmmmmmmmmh mpaka rahaaaaaaaa
@reydizaina7022
@reydizaina7022 2 жыл бұрын
Si hata mafuta ya kawaida unaweza tumia??
@agnesmathew5446
@agnesmathew5446 9 ай бұрын
@godwinnatai7960
@godwinnatai7960 4 жыл бұрын
Nimepika kupitia wew
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Aaaww! Asante sana, karibu uangalie na zingine ukipata nafasi... Pia naomba usubscribe na kubonyeza kengele na pia naomba unifollow insta @bmagickitchen thanx 👏
@maryleonaldy3011
@maryleonaldy3011 4 жыл бұрын
aise nyama tamu sana hiyo
@agnesmvulla2801
@agnesmvulla2801 11 ай бұрын
😳😳
@naomilaizer5832
@naomilaizer5832 4 жыл бұрын
Thanks
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
You're welcome.
@BittyWamaitha
@BittyWamaitha 4 жыл бұрын
Simple and nice cooking no spices,reason i will just subscribe
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Thank you so much, welcome to the family.
@hananbuluba1451
@hananbuluba1451 4 жыл бұрын
shukhran
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
👏❤
@gloryshayo6874
@gloryshayo6874 4 жыл бұрын
Nice one bebe
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Thanx babe, thank you 4 watching. Please don't forget to subscribe and hit that bell icon so that you're notified whenever i upload also you're welcome to check other videos.
@affaanothmaan6287
@affaanothmaan6287 4 жыл бұрын
Muwe basi hata mnatukaribisha jamaniiii twaishia kuona tuu😋😂🙈
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 pole jamani.
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Жыл бұрын
🙏
@suleimanhemed7110
@suleimanhemed7110 4 жыл бұрын
A.Alaikum kwann hukuweka pamoja carrot na plpl hoho
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Sikuweka pamoja sababu hoho zinawahi sana kuiva na mimi huwa sipendi zirojeke ila carrot ngumu kidogo ndio maana. Asante sana kwa kuangalia, nakukaribisha uangalie na zingine pia naomba usubscribe na kubonyeza kengele, naomba pia unifollow insta @bmagickitchen
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 4 жыл бұрын
Sio mbaya Suleman wakat mwingine wanawekaga tu pamoja karot na hoho hata mim saa nyingine nawekaga
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 4 жыл бұрын
Napendaga nyanya zikiivaga zinavyokuwa nzur
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 4 жыл бұрын
Ya magu Inachumvi
@jree2026
@jree2026 3 жыл бұрын
Duh, ad nahc haruf ya kuku rost
@MsBupe
@MsBupe 3 жыл бұрын
😂😂😂 balaaa.
@rahmashaban947
@rahmashaban947 3 жыл бұрын
Samahn mage ndonin
@MsBupe
@MsBupe 3 жыл бұрын
Bila samahani my dear, inaongeza ladha kwenye chakula kama vile Royco.
@assiahamour3094
@assiahamour3094 2 жыл бұрын
Hiyo blender uliyosagia nyanya naweza ipata wapi
@MsBupe
@MsBupe 2 жыл бұрын
Kwa Tz sifahamu mpz, sorry. Nashukuru sana kwa support yako🙏🏾❤
@davidkims7286
@davidkims7286 4 жыл бұрын
Mwenye hana iyo machine yakusagiya jameni afanye je
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Sio lazima kusaga.
@hkular5220
@hkular5220 3 жыл бұрын
kata na kisu piece ndogo ndogo hiyo pia ni sawa. itaiva na moto.
@elizag.edmond7637
@elizag.edmond7637 Жыл бұрын
Brenda ya kawaida ya mchina du mbona inasagika vizuri tu
@hayyatinahlazaza1322
@hayyatinahlazaza1322 Жыл бұрын
Hujuwi kupika wewe duuuu pishi lauswazi
@jollyeversamwelmassam6500
@jollyeversamwelmassam6500 2 жыл бұрын
Sijaelewa ni magi au maji,
@MsBupe
@MsBupe 2 жыл бұрын
Itakuwa magi dear, asante kwa support yako🙏🏾
@hefsibahunkie7376
@hefsibahunkie7376 2 жыл бұрын
Bachela nimekuja hapa nimenunua kuku
@MsBupe
@MsBupe 2 жыл бұрын
Karibu sana🙂
@bnbnbnbbnvbn9006
@bnbnbnbbnvbn9006 4 жыл бұрын
Je kwa nyama ya wezekana ivo ao pak kuku
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Hata nyama unaweza kufanya hivyo.
@saidrajabu9589
@saidrajabu9589 3 жыл бұрын
Na mimi nitaangalia leo hii huku napika imenoga hii
@MsBupe
@MsBupe 3 жыл бұрын
Kila la kheri na ikatoke vizuri sana, nashukuru sana kwa support yako🙏🏾
@saidrajabu9589
@saidrajabu9589 3 жыл бұрын
Amina 🙏🏿 tutaendelea kuwa pamoja kusubscribe video zako na coment
@MsBupe
@MsBupe 3 жыл бұрын
Asante sana🙏🏾
@derrickthedon91
@derrickthedon91 4 жыл бұрын
Alafu Dada eeh yule kuku mwanzoni kabisa uliyemuwekea tangawizi alikua bado mbichi au ulikuwa tayari ushamchemsha?
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Alikuwa bado mbichi ndugu yangu.
@derrickthedon91
@derrickthedon91 4 жыл бұрын
@@MsBupe ahaa sawasawa Dada hapo nimekuelewa
@naomimgori8382
@naomimgori8382 4 жыл бұрын
Magi ni nini?
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Magi ni km Royco mchuzi mix i think, inaongeza ladha kwenye chakula.
@naomimgori8382
@naomimgori8382 4 жыл бұрын
@@MsBupe asante
@fatumakweka5182
@fatumakweka5182 4 жыл бұрын
Magi inapatikaa wapi
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
@@fatumakweka5182 kwa Tz sifahamu mumy, ila jaribu kuulizia katika maduka ya vyakula.
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 4 жыл бұрын
@@fatumakweka5182 tafuta kwenye suparmakert
@awuorsenzera5404
@awuorsenzera5404 4 жыл бұрын
Umuhimu wa limau kwa chakula ni nini jamani, naomba kujuwa
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Kuondoa shombo na ladha.
@evamtafungwa9003
@evamtafungwa9003 3 жыл бұрын
Jamani hiyo magic inapatikana wapi?
@MsBupe
@MsBupe 3 жыл бұрын
Sijaelewa mpz, umemaanisha nn? Kama ni Maggi basi jaribu kucheck kwenye maduka ya vyakula, kwa sababu hiyo sio Tz mumy. Nashukuru sana kwa kuangalia my dear na karibu tena👏🏾❤
@shukranimwasembe-bv7lc
@shukranimwasembe-bv7lc Жыл бұрын
Magi ndo nin my
@derrickthedon91
@derrickthedon91 4 жыл бұрын
Dada nakuomba unielekeze. Usichoke na maswali yangu please? 1) Pale uliposema unabandika ni kwamba unaiacha na viungo vtake inajibandika au unaipasha? 2) Alafu daaa na pale uliposema unaiacha kuku mpaka itoe maji yake ndipo uongeze maji ili kuchemsha?
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Ninapobandika maana yake naibandika na vile viungo nilivyoweka. Na pale ninaposema ijitoe kwanza maji maana yake ni kwamba nyama ukiiosha huwa inabaki na maji kwa hiyo kabla sijaongeza maji ninaacha kwanza ichemke na yale maji yanayokuwa yamebaki baada ya kuosha na hayo yanakuwa mazuri sana unaweza ukayatoa kwanza halafu ndio ukaongeza maji. Usijali kama hujaelewa uliza tu haina shida kabisa.
@derrickthedon91
@derrickthedon91 4 жыл бұрын
@@MsBupe ahaaa hapa angalau nimeanza kukuelewa..Asante sana kwa kunipa Uhuru wa kukuuliza maswali. Hivyo Dada pale ulipokuwa unabandika ndiyo yale maji baada ya kuiosha kuku yanatoka yenyewe?
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Ndio na ni mazuri pia ukiyatenga kabla hujaongeza maji.
@derrickthedon91
@derrickthedon91 4 жыл бұрын
@@MsBupe sawasawa Dada asante sana. Sasa nimeanza kuwa na kiburi kuwa najua kupika. Housegirl hanitani tena. Nipo naangalia namna unavyopika kisamvu...
@irenemuthoka3750
@irenemuthoka3750 4 жыл бұрын
hio ya mwisho umeweka sijaielewa please,elaborate
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
Ipi? Hoho?
@derrickthedon91
@derrickthedon91 4 жыл бұрын
@@MsBupe haha inaeza kuwa hiyo magi
@sophiasanga6142
@sophiasanga6142 4 жыл бұрын
Magi ndo nn na zinapatikana wap
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
@@sophiasanga6142 sijui kuielezea ila inaongeza ladha kwenye chakula nadhani ni kama Royco kwa Tanzania.
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
@@sophiasanga6142 nadhani maduka ya vyakula unaweza ukapata.
@bettyoluoch9774
@bettyoluoch9774 4 жыл бұрын
Nimetamani then upata na soft ugali walai karibu hakuna kwangu
@MsBupe
@MsBupe 4 жыл бұрын
😂😂😂 ni balaaa.
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 4 жыл бұрын
Haaaaaa
@mwasitimusa8926
@mwasitimusa8926 3 жыл бұрын
Nice
@MsBupe
@MsBupe 3 жыл бұрын
Thanx dear🙏🏾❤
Jinsi ya Kupika Maini Roast.....S01E47
8:28
B's Magic Kitchen
Рет қаралды 170 М.
MPIKE KUKU WAKO HIVI UTAPENDA👌👌ROSTI LA KUKU TAMU SANAA
3:09
Hadija Sheban
Рет қаралды 22 М.
Miracle Doctor Saves Blind Girl ❤️
00:59
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 47 МЛН
[柴犬ASMR]曼玉Manyu&小白Bai 毛发护理Spa asmr
01:00
是曼玉不是鳗鱼
Рет қаралды 49 МЛН
1🥺🎉 #thankyou
00:29
はじめしゃちょー(hajime)
Рет қаралды 78 МЛН
Normal vs Smokers !! 😱😱😱
00:12
Tibo InShape
Рет қаралды 119 МЛН
Jinsi ya kupika mchuzi wa rosti mzito bila kutumia nyanya za kutosha
4:58
JINSI YA KUPIKA TAMBI TAMU/MAPISHI MBALIMBALI YA TAMBI
17:50
MAPISHI FOOD LIFE
Рет қаралды 24 М.
MATEMBELE:Jinsi Ya Kupika Tembele Tamu linalokushawishi Kula😋
4:27
Roast/Rojo ya Nyama ya N'gombe. the Malkia Way, utaenjoy sana
4:32
Wali wa Mamboga na Kuku wa Nazi Mtamu sana / Vegetable Rice & Coconut Chicken /Tajiri's kitchen
10:42
SIRI YA KUPIKA PILAU TAMU NA YA KUCHAMBUKA//MASWALI YOTE KUJIBIWA
8:30
MKATE MTAMU WA MAZIWA KWENYE JIKO LA GESI
8:28
keki plus
Рет қаралды 1,2 МЛН
Jinsi ya kupika makange ya kuku wa kienyeji  (local chicken)
12:33
🥕Nyau Kitchen🥕
Рет қаралды 3,4 М.
Miracle Doctor Saves Blind Girl ❤️
00:59
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 47 МЛН