Пікірлер
@user-bw8un9ds6t
@user-bw8un9ds6t 7 сағат бұрын
Mashallah tabarakallah Allah awahifadhi kwenye ndoa yenu na awazidishie mahaba na maendeleo yenu
@RahmaAlly-r6x
@RahmaAlly-r6x 2 күн бұрын
Kuna kitu nimejifunza kutoka kwako'nakushukuru'mungu akulipe
@queenndonde
@queenndonde 3 күн бұрын
Amependeza sana huyu dada 18:43 ❤
@queenndonde
@queenndonde 3 күн бұрын
Amependeza sana huyu dada
@queenndonde
@queenndonde 3 күн бұрын
Jamani amependeza sn huyo dada,ukiangalia mwanzo alivyokua yaani kabla ya makeup,yaani ni amazing
@ShadyaIssa-gs2ej
@ShadyaIssa-gs2ej 3 күн бұрын
Izo bidhaa zako zinapatikana wapi
@ShadyaIssa-gs2ej
@ShadyaIssa-gs2ej 3 күн бұрын
Jamn mke wa gabo kumbe mzuri hivyo mashallah 🥰
@AbduliShabani-wy3lj
@AbduliShabani-wy3lj 3 күн бұрын
Hamna group la whatsap la kujifuza
@PatriciaLutindi
@PatriciaLutindi 4 күн бұрын
Waoo❤
@AbduliShabani-wy3lj
@AbduliShabani-wy3lj 4 күн бұрын
Mashaallah na m2 akitaka kujifuza nd inakuaje
@dhudhumnemo1490
@dhudhumnemo1490 7 күн бұрын
MashaAllah dadangu Kwanza roho yako inaonekana Safi na uzuri unachangia ila ningepata Pacha wako basi NAMI ningelichukua jiko, ongera Mr. Gabo! Umepata tunda.
@MozaaAli-v5p
@MozaaAli-v5p 8 күн бұрын
Kipindi kimeenda poa sana nakupenda sana tifa na da sabra
@FaridaSelemane
@FaridaSelemane 8 күн бұрын
Mnapatikana wapi
@user-zq9cv3dm4u
@user-zq9cv3dm4u 9 күн бұрын
Nikweli mumeo ni mzuli sana alafu ana tamaa mimi na mpenda sana kama kaka ananikosha sana anapoigiza kimakonde❤😂❤😂❤😂Mungu awape maisha malefu sana 100 ,100
@SurprisedDumplings-pt1bb
@SurprisedDumplings-pt1bb 10 күн бұрын
Hongera sana na Mungu aendelee kuwalinda
@salomemguddilwa5239
@salomemguddilwa5239 10 күн бұрын
Elfu 35 moja au
@khadijarashid5533
@khadijarashid5533 10 күн бұрын
Masha allah❤❤
@khadijarashid5533
@khadijarashid5533 11 күн бұрын
Masha allah Allah awalinde ww na mume watoto na hadi za watu na majini
@annakimei4083
@annakimei4083 11 күн бұрын
Mbona mafuta mengi dr kwa hilo yai
@maryedward4471
@maryedward4471 11 күн бұрын
Story yak imeniliza sana for real na imeni motivate sana ❤
@NassourBimkubwq
@NassourBimkubwq 12 күн бұрын
Allah akulinde wewe na mume wako na hasadi za majini na watu, ❤
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 12 күн бұрын
Ada ikoje❤❤
@qz680
@qz680 14 күн бұрын
MASHALLAH Bless you HABIBTY you are fantastic wife
@GraceMalley-ly2xn
@GraceMalley-ly2xn 14 күн бұрын
Hongera na Mungu awape Msaada zaid na awalinde umewapa watu wengi fundisho toka uliporoka Mpaka hapo ulipo
@aminaomary5567
@aminaomary5567 15 күн бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉
@SahilMtumba
@SahilMtumba 15 күн бұрын
Nimependa unavyopaka conciller kwny wnja mashaallh
@user-jv3ny2lu6i
@user-jv3ny2lu6i 19 күн бұрын
Jamani nimependa
@TrustGirl-y6u
@TrustGirl-y6u 19 күн бұрын
Nimeelewa nahitaji kujuwa kujuwa zaidi dad
@GracceNgekele
@GracceNgekele 25 күн бұрын
❤❤
@Asmalove958
@Asmalove958 25 күн бұрын
Napenda jaman kujifunz
@SaumuSimba
@SaumuSimba 29 күн бұрын
Nataka kujifunza mekup na kufunga malemba ni sh ngapi?
@MamaSylvia-d8t
@MamaSylvia-d8t Ай бұрын
Shoga angu mi naomba unigundishe wasap ,maskio yangu mabovu
@user-nn7vv2fd7z
@user-nn7vv2fd7z Ай бұрын
amazing 😍
@SurprisedBicycle-wv9bq
@SurprisedBicycle-wv9bq Ай бұрын
Mko wap
@AymanZawad-jc8ug
@AymanZawad-jc8ug Ай бұрын
Darasa bei gn?
@KanyinyiSaid
@KanyinyiSaid Ай бұрын
nimekupenda my🎉🎉🎉🎉
@dorothylyimo5378
@dorothylyimo5378 Ай бұрын
Mimi nahitaji foundition na makeup
@salamsabdullah-st9pt
@salamsabdullah-st9pt Ай бұрын
Mashallaha wapi unapatikana
@user-fq8ff7tz5c
@user-fq8ff7tz5c Ай бұрын
Mashallah
@AshuraSory-eu1tl
@AshuraSory-eu1tl Ай бұрын
Hiyo set ni pamoja na box lake?
@user-lf2lj7up1o
@user-lf2lj7up1o 2 ай бұрын
Mimi mahitaji napataje
@shamilaissa5206
@shamilaissa5206 2 ай бұрын
nauliza hamna dalasa hapo ofisini
@RukiaLiku
@RukiaLiku 2 ай бұрын
@RukiaLiku
@RukiaLiku 2 ай бұрын
@KanyinyiSaid
@KanyinyiSaid 2 ай бұрын
kiasi yani unauza
@KanyinyiSaid
@KanyinyiSaid 2 ай бұрын
mashallah🎉
@zulfatalli8069
@zulfatalli8069 2 ай бұрын
Nice
@ZAINABHAMIS-wh9ww
@ZAINABHAMIS-wh9ww 2 ай бұрын
naa taman kujuwa dada
@user-lg9sx7fk1b
@user-lg9sx7fk1b 2 ай бұрын
Masha llah