MIAKA 5 YA TIFFANY STORE NDANI YA NDOA NA GABO ZIGAMBA

  Рет қаралды 44,386

Tiffany Store

Tiffany Store

Жыл бұрын

TIFFANY STORE ni Chaneli inayojihusisha na Maswala ya Urembo. Make up Tutorials, Make up Classes, Make Up Products, Ushauri wa Maswala yote yanayohusiana na Urembo.
Usisahau kuSUBSCRIBE na Kuweka Notification ON Kwa Video Nyingi Zijazo🙌🏾.
Unaweza Kutufatilia katika Mitandao ya Kijamii Kwa Kubonyeza LINK Zifuatazo.
INSTAGRAM @tiffany_store_tz
LINK: tiffany_store_t...
TIKTOK @tiffany_store_tz
LINK: vm.tiktok.com/ZMNDeHnxe/
Kwa Mahitaji yote yanayohusiana na Masuala ya Urembo Unaweza Kuwasiliana nasi kama ifuatavyo.
CALL/WHATSAPP
+255783840811
LOCATION : Sinza Kamanyola , Shekilango Road
GOOGLE MAP : Tiffany Store , Shekilango Road

Пікірлер: 102
@teedullah5708
@teedullah5708 7 ай бұрын
Kwa Hali hi qabo hata km Ana mchepuko bc Ana chepuka kwa adabu mashallah bi Dada kwa kumsifiya mumeo🇰🇪
@pendosimbeye4866
@pendosimbeye4866 10 ай бұрын
Nyi watu mna upendo sana...the way gabo naemjua kwenye tamthilia na gabo OG tofauti...imagine leo hii for the first time..nmemuona kaja apo ofcn nikisubiri percel..kanisalimia na kiroba changu cha shangazi kaja kwa upendo na heshima..sikutegemea aisee..nmewaza...sana mshamba mimi wa mbeya nmesalimiwa vzr na huyu msanii as if ananijua....? Kweli usimjidge mtu asiemjua...at tje end..mkewe tiffany akanihudumia kwa upendo...nyi watu..nawapenda sana..Mungu awabariki ,abariki uzao..wenu..adi vitukuu..mkawe vichwa c mikia...❤❤
@user-fu5jp3vv5t
@user-fu5jp3vv5t 11 ай бұрын
Mungu aibariki ndoa Yako na familia Yako Mamie🙏🏾 na pia AKULINDE na husda za walimwengu mdogo wangu....... team Manyoni! Much love to you♥️♥️♥️
@theresiamartin3150
@theresiamartin3150 11 ай бұрын
Wanaume warefu wanajua kuhandle sana wake zao let's proud of our hubby❤❤
@najmasaid7057
@najmasaid7057 11 ай бұрын
🤣🤣 jomon
@fatma1farid159
@fatma1farid159 11 ай бұрын
Habibty ukionqea mambo.yko yabiashar au mume wako jitahidi kusema mashallah nikinqa nzri na hasadi
@nailaomar4810
@nailaomar4810 11 ай бұрын
Mm nakupa nasaha tu kama mdogo wangu usipendele kusema kheri zako wala mazuri ya mumeo dunia hii tulonayo hasad nyingi mungu akuhifadhi roho yako mzuri mashaallah lakini siku hizi hakuna mtu anasema kheri zake Allah akupe maskilizano na furaha daima inshaallah inshaallah
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 11 ай бұрын
Hakika watu wana roho mbaya hakuna anaependa kuona mwenziwe ana mazuri huku yy anateseka
@shaaonga4894
@shaaonga4894 11 ай бұрын
Ana baya anawapa hamasa wenziweee.
@najmasaid7057
@najmasaid7057 11 ай бұрын
Naam ni kweli habibty Allah atuhifadhi
@tatusadiki6880
@tatusadiki6880 11 ай бұрын
punguza story,utaharibu Kila kitu mdogo wangu dunia hi utajuta
@swabihiharuna6333
@swabihiharuna6333 11 ай бұрын
Duuh umempa kitu kitamfaa maisha yke yote waja awapendi kukuona na furaha
@user-kf3wg3mk3b
@user-kf3wg3mk3b 11 ай бұрын
Shukuran sana kwakutupa moyo sisi wapambanaji mwenzezimungu akupe maisha marefu yenye furaha
@fatumaomary9635
@fatumaomary9635 11 ай бұрын
Hongera dada tifa....unapatikana wapi duka lako ,,mie nipo kigamboni ..naitaji nifike dukani kwako namaitaji yangu ya urembo..🥰✌️
@nurusaidi3642
@nurusaidi3642 11 ай бұрын
Ukisema hivyo nakuelewa kabisa mwanaume muoaji anaga mambo mengi nakupenda Sana Tiffany
@ReshimaaChitende
@ReshimaaChitende 11 ай бұрын
Asante kwakunipa moyo ndugu 🙏nishapanga mabox sana🤣
@annahulilo6719
@annahulilo6719 11 ай бұрын
Oooh.... Mungu azidi kuwalinda na kuwaongoza, mdumu kwenye upendo wa kweli, mzidi kufanikiw katika shughuli zenu, awalee watoto wenu na zaidi ya yote daima mumtegemee na kumtii yeye.
@user-tv4hj4rl2s
@user-tv4hj4rl2s 3 ай бұрын
Mashaallah mungu awazidishie upendo namaelewano alafu nikitaka vitu vya mekaup ntavipaje nawauzaje full nawauzaje
@wifematerial8943
@wifematerial8943 11 ай бұрын
Mashaa ALLAH daa Tiffany ALLAH awazidishie mapenzi mdumu katika ndoa yenu mpaka kifo kitakapo watenganisha,nawapenda sana wewe na shem salim
@najmajite2935
@najmajite2935 11 ай бұрын
Nimependa sana hii interview na umenipa nguvu sana kwamba tusikate tamaa pia imekua interview ya baraka kwangu ❤❤
@khadijasalum2302
@khadijasalum2302 11 ай бұрын
Alhamdullillah Allah akuzidishieni maisha mzuri na kizazi chema mukhitimishane yarrab
@leylaabuu7025
@leylaabuu7025 11 ай бұрын
MashaAllah tabarakAllah, asante dear mungu akubariki aki story yko inatia moyo mtu azidi kupambana
@AsRtsanura-yu3fr
@AsRtsanura-yu3fr 11 ай бұрын
Masha Allah umeweza Allah awazidishie na awaepushe na hasad za watu
@gradnessshitindi3694
@gradnessshitindi3694 11 ай бұрын
Hongera sana dada n mzuri na unaonekana hauringi, utafika mbali sana 🥰
@mossyhamza7750
@mossyhamza7750 11 ай бұрын
Nimependa sana interview yako na hustling zako.. Maashaallah
@ashurajengela3926
@ashurajengela3926 11 ай бұрын
Shukrani sana na Asante kwa kushare dia ubarikiwe 😍😍
@AgnessChambo-mx6rd
@AgnessChambo-mx6rd 10 ай бұрын
Nimekupenda sana ila ushauri muombee sana mume wako kuliko kumuweka wazi mitandaoni ni hatari kuna mdudu mbaya anaeharibu ndoa nakufunika kwa damu ya Yesu wabaya wasikuone barikiwa
@alicekadzo340
@alicekadzo340 11 ай бұрын
Nice content, God bless your hustles
@floramlowe7078
@floramlowe7078 11 ай бұрын
Hongera hakika una mume mwema na anayejitambua
@NeemaKenneth
@NeemaKenneth 11 ай бұрын
Hongera sana 🎉
@tommyomar2672
@tommyomar2672 11 ай бұрын
Mashallah tabaraka Allah I love the way you have faith baby girl 😍🙏
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 11 ай бұрын
Allah akubarikie kila kheri ktk maisha yko Ameen🤲
@tommyomar2672
@tommyomar2672 11 ай бұрын
Oohh so cute I like it jaman😍😍❤️❤️🤗
@mwizaluchiba6264
@mwizaluchiba6264 11 ай бұрын
Mungu awabariki tunawapenda sana🙏🏻
@samweltarimo2478
@samweltarimo2478 11 ай бұрын
Umenipa saaaaa ❤ nakupenda
@nurusaidi3642
@nurusaidi3642 11 ай бұрын
Muombee Sana mumeo Mungu ampe maisha marefu
@lightnessgoodluck8123
@lightnessgoodluck8123 9 ай бұрын
Kipenzi changu kumbe niendelee kupambnaa eeeh asante ❤❤
@ziadajoisa8752
@ziadajoisa8752 11 ай бұрын
Mashallah hongera sana
@yasinta1589
@yasinta1589 11 ай бұрын
❤❤❤😢😢wow good job napenda unavyoongea vizuri hadi unaonekana una moyo nzuri sana.
@frankngoloka2589
@frankngoloka2589 11 ай бұрын
Hongera kwa upambanaji
@nyangiibrahim9356
@nyangiibrahim9356 11 ай бұрын
Mungu akubariki dada mzurii
@KhadijaAhmed-eu1
@KhadijaAhmed-eu1 11 ай бұрын
Hongera dear
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 11 ай бұрын
Maashallah tifany❤❤❤❤
@nancywanjiku1554
@nancywanjiku1554 11 ай бұрын
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
@nancywanjiku1554
@nancywanjiku1554 11 ай бұрын
Will come there one day
@hanifaa1487
@hanifaa1487 11 ай бұрын
Mashalla
@collinlukeye9258
@collinlukeye9258 11 ай бұрын
Daaaaah hongera sanaaa Dada
@GetrudeShoo-fm6xd
@GetrudeShoo-fm6xd 11 ай бұрын
Hongera sanaa
@tiffanystore_tz
@tiffanystore_tz 11 ай бұрын
asante
@dayana5513story
@dayana5513story 11 ай бұрын
God bless you love 💓
@niriacatering172
@niriacatering172 11 ай бұрын
Hongera sana na Asante kwa kushare
@tiffanystore_tz
@tiffanystore_tz 11 ай бұрын
asante
@khadijauledi3293
@khadijauledi3293 11 ай бұрын
JAMAN MADADA ZETU ALLAH AWAJALIE SANA MAANA NI WENGI TUNAPITA MIKONONI MWAO
@teacher-esy
@teacher-esy 11 ай бұрын
Your also beautiful none of bad things can meet😂❤❤❤
@ubakabwire3385
@ubakabwire3385 10 ай бұрын
MashaaAllah❤
@teedullah5708
@teedullah5708 7 ай бұрын
Mashallah honqera qabo funqu lako utalikuta kwa munqu
@user-nq7sx7xm1i
@user-nq7sx7xm1i 11 ай бұрын
❤❤❤❤❤ hongera sana
@tiffanystore_tz
@tiffanystore_tz 11 ай бұрын
asante
@lightnessgoodluck8123
@lightnessgoodluck8123 9 ай бұрын
Kipenzi changu❤❤
@NeemaKenneth
@NeemaKenneth 11 ай бұрын
And you husband He's my favorite actor in Tanzania happy anniversary to both of you nafatilia sana video zako kwa ajili ya kujifunza nikija Tanzania lazima nifike dukani kwako kwa ajili ya manunuzi ya vifaa❤ god bless you family 💕🙏
@tiffanystore_tz
@tiffanystore_tz 11 ай бұрын
karibu sana
@janemedadusi6372
@janemedadusi6372 11 ай бұрын
Dada t samahan haufundishi online
@janemedadusi6372
@janemedadusi6372 11 ай бұрын
Dada t samahan haufundishi online
@janemedadusi6372
@janemedadusi6372 11 ай бұрын
Dada t samahan haufundishi online
@NeemaKenneth
@NeemaKenneth 10 ай бұрын
@@janemedadusi6372 anafundisha umu KZfaq fatilia
@azizakalikugwa6865
@azizakalikugwa6865 11 ай бұрын
Mansh'Allah
@user-ml4gt5fy2f
@user-ml4gt5fy2f 11 ай бұрын
Nakupnda sana dada yangu
@tiffanystore_tz
@tiffanystore_tz 11 ай бұрын
asante, nakupenda pia
@user-tv4hj4rl2s
@user-tv4hj4rl2s 3 ай бұрын
Nk kenya
@user-we7fp3qv6d
@user-we7fp3qv6d 11 ай бұрын
Ongera
@tiffanystore_tz
@tiffanystore_tz 11 ай бұрын
asante
@usindemdamo5299
@usindemdamo5299 3 ай бұрын
❤❤
@firdausally-tc9fb
@firdausally-tc9fb 11 ай бұрын
Uko sehem gan
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 11 ай бұрын
Mashallah
@AshaMakame-zg9xi
@AshaMakame-zg9xi 11 ай бұрын
Nami natamani nipate bahati hiyo Inshaallah 💕💕💕
@najmasaid7057
@najmasaid7057 11 ай бұрын
Amiiin
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 11 ай бұрын
Hizo ndio story tunahitaji kuskia changamoto za biashara
@zahraabdul9652
@zahraabdul9652 3 ай бұрын
Zatia bidii na moyo biashara ni Sabra juu Ina mengi hasara na haitaki asira Wala giving up
@annaepmack7270
@annaepmack7270 11 ай бұрын
😍😍
@sylviamwanza3009
@sylviamwanza3009 11 ай бұрын
Great things take time ❤
@neemaduduma9046
@neemaduduma9046 11 ай бұрын
Urembo mafundisho ya ngozi karibuni sana kwenye page yangu
@kamikazisalma5209
@kamikazisalma5209 11 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@drmabalansatobingwawawanaw2081
@drmabalansatobingwawawanaw2081 9 ай бұрын
😄😄😄😄 baby k
@zamzamtv10000
@zamzamtv10000 11 ай бұрын
hongera sana
@tiffanystore_tz
@tiffanystore_tz 11 ай бұрын
asante
@SherlyTon-yk3ef
@SherlyTon-yk3ef 11 ай бұрын
Umenigusaa mnoo mpz
@tatusadiki6880
@tatusadiki6880 11 ай бұрын
Punguza story utaharibu Kila kitu mdogo wangu dunia hi,upo wapi mi nashida ya ngozi
@JosephinaDominick-tp7bo
@JosephinaDominick-tp7bo 11 ай бұрын
Keep it up sis😍😍
@tiffanystore_tz
@tiffanystore_tz 11 ай бұрын
Thank you, I will
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 11 ай бұрын
Ukaanza kumuhadithia shida hahahaaa wanawake wepesi kwa kutaja shida huuwii
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 11 ай бұрын
Sio Kwa ubaya eti, huwez kumhadthia mwanaume mambo Yako Kam Hana akil, lkn yeye tifany alimuelewa na akamhadthia mambo yake
@Jin.Jhope.Suga7
@Jin.Jhope.Suga7 11 ай бұрын
Natoka kenya naeza order mummy
@HabibaMtukwao-om4li
@HabibaMtukwao-om4li 11 ай бұрын
Nime yatamani aso Zako Dada umenifunza nisikate tamaa kwenye kutafuta.
@Userog254
@Userog254 10 ай бұрын
Naweza pata namba za ofisi ili niweze kufika
@roqayaro9439
@roqayaro9439 11 ай бұрын
KWAKWELI ATA KWENYE KUINGIZA GABO ANAONEKANA YUPO VZR ATA MIMI UWA NATAMANI NIPETE MWANAUME KAMA YEYE YUPO VZR MSHUKULU ALLAH KWA KUKULETEA MUME BOLA
@froladickson5255
@froladickson5255 11 ай бұрын
Nakupnda sana ww na mme wako Ila unani inspire sana but one tym nitakuja dukan kuchukua bidhaa then unifundishe biashar ya mitandaon jins ya kufanya
@tiffanystore_tz
@tiffanystore_tz 11 ай бұрын
karibu
@user-un4sx6hr4z
@user-un4sx6hr4z 11 ай бұрын
Naomba namba yako dd ninashida ns ngoz yangu 10:17 10:18
@hidayaally7059
@hidayaally7059 11 ай бұрын
Sasa miaka 5 kwani nimingisaana mpaka kushangaa mie nina 13
@theresiamwacha7845
@theresiamwacha7845 11 ай бұрын
Je wewe umefanyiwa Nini na mumewe
MAISHA YA NJE TUKIWA SAFARI ZA BIASHARA/TUCHEKE KIDOGO
9:42
Tiffany Store
Рет қаралды 6 М.
КАРМАНЧИК 2 СЕЗОН 7 СЕРИЯ ФИНАЛ
21:37
Inter Production
Рет қаралды 530 М.
Пробую самое сладкое вещество во Вселенной
00:41
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН
#armenia
1:01
NS Production
Рет қаралды 2,4 МЛН
Speed punched Messi 🫢🥊
0:50
GoalAntics
Рет қаралды 10 МЛН
Luggage to the Rear 🤣?! 2025 Porsche 911GTS Hybrid #shorts
0:20
thomas.letsgo
Рет қаралды 18 МЛН
Sweet watermelon 🍉😋
0:15
LizAlex Fam
Рет қаралды 2,3 МЛН