Пікірлер
@DoreenBwere
@DoreenBwere 16 сағат бұрын
Amen family
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Күн бұрын
Bora teump mara mia kuliko hao wanaosimmia na kueneza ushoga
@Alexanderthegreat-w3v
@Alexanderthegreat-w3v Күн бұрын
Amina mungu atalichukua kanisa lake
@pollenjile1299
@pollenjile1299 Күн бұрын
Barikiwa
@julygabrieltv9093
@julygabrieltv9093 2 күн бұрын
Nothing dangerous is fighting for the right things, This is not an incorporation between the church and the government.
@tossymediachannel
@tossymediachannel 2 күн бұрын
But it is what?
@JOSEPHMAINGI-fk3ne
@JOSEPHMAINGI-fk3ne 2 күн бұрын
Trump anajisumbua sana na asijidanganye kitu ni anataka kuuwa watu wasi wote Waikiki dunia nzima use yao
@sarahmwasyoge1830
@sarahmwasyoge1830 2 күн бұрын
Asante kwa ufunuo wenyenguvu hata mimi ninasadiki unachokiongea. Tujiandae tufue mavazi yetu
@joachimndelembi2798
@joachimndelembi2798 3 күн бұрын
Big up to Trump. What does it matter? The important thing is in every way, whether from false motive or true, Christ is preached. And because of this why can't we rejoice. Kikubwa kinacho onekana hapo ni tangazo la uhuru wa kuabudu. Wanaoona kuwa bado Mungu anatafutwa wakamtafute hadi wampate, wanaoona si wakati wa kutafuta Mungu bali Mungu amekwisha wapata yuko pamoja nao, nao waendelee kumsaidia Mungu kuwapata wengine. Kuwa m-Beroya pokea neno litafakari penye yes say yes penye no say no from yourselves. Yule mtumishi yale ni maoni yake yakatae au uyakubali. Thanks
@goodluckmolleltennis5980
@goodluckmolleltennis5980 3 күн бұрын
Umemuelewa vibaya..trum anamanisha America imeathiriwa na mambo ya kipagani kama ushoga kuhalalishwa,sasaiv mambo ya gender pronounce, Killings..biblia inataka tuishi katika asili..mwanamume awe na atende kama mwanamume na mwanamke awe na atende kama mwanamke..Rissia na china wanagundua tacnologia mpya wakat wamarekan wanabishana nani mwanamke nan mwanaume..waweze kuwa huru ila kuna mipaka..Dini inapo potea nchi inaanguka kwamfano miji ya sodoma na Gomors..America is falling under peganism ,Ona kinacho endelea UK especially London..Bible and Fear of God..angalia mataifa kwenye biblia yaliyo adhibiwa na mungu kwa makosa ya kiongoz ikiwemo Misri..Hapa sikubaliani na messege yako
@joseph232
@joseph232 3 күн бұрын
Napingana nawe kabisa, na nina mashaka na lengo lako maana hapo unanukuu vifungu na kuvipotosha ktk kutafsiri. Kamala Harris ndio mwovu zaidi maana yumo ktk wanaoshabikia "haki za wanadamu" ikiwemo ushoga na kutoa mimba.
@tossymediachannel
@tossymediachannel 3 күн бұрын
kwahiyo wewe unapingana na nini.. kwasababu naona hata haujaielewa video inasema nini?
@emmanuelmboya671
@emmanuelmboya671 3 күн бұрын
Kiongozi mwenye hofu ya Mungu huwa siku zote anafanikiwa.Trump ni mtu pekee anaweza kukomesha maovu yanayoendelea katika Taifa hilo.
@tossymediachannel
@tossymediachannel 3 күн бұрын
umeielewa video inaongelea nini lakini?
@maulidimpili698
@maulidimpili698 3 күн бұрын
Bibilia ni kitabu cha mung lkn kuna watu wametia mikono yao soma 8:8 yelemia ndio maana kila cku utaona makanisa ya ajab wanafundisha maneno ya uongo
@tossymediachannel
@tossymediachannel 3 күн бұрын
Ni kweli
@maulidimpili698
@maulidimpili698 3 күн бұрын
Wazung sio watu wa kuwaamini sana huo mpango wa kuigiza tu marekani wapo vizur Kwenye ulinzi hasa wa viongoz wakubwa wana vyombo mbalimbali vya kutambua silaa kwa adui
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 4 күн бұрын
Mim naona upuuzi tu bora niwe muislam
@amanmalima940
@amanmalima940 4 күн бұрын
Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).
@HoseaPeter-yu3qh
@HoseaPeter-yu3qh 4 күн бұрын
Nyie wasabato mnazingua
@tossymediachannel
@tossymediachannel 4 күн бұрын
tunazingua nini?
@StephenMpallange
@StephenMpallange 4 күн бұрын
Zwewe hufahamu,Amerika,UK,Sweden,Denmark yangu zamani hizi hujulikana Kama Nchi za Kikristo,na ndio maana Amerika hujinasibu kuwa In God we Trust.
@NeemaElisante-zd2dt
@NeemaElisante-zd2dt 4 күн бұрын
WEWE Trump ni rais mzuri sana he puts Gods first ambacho naona hakieleweka hapo ni kua amesema anairudisha bibilia hivyo watu watakua wakimuabudu Mungu yaan kuweka Mungu kwanza na pia constitution ambayo itamtambua Mungu yaan ukristo utakua mbele he is good kwa kweli
@RSMEDIAONE
@RSMEDIAONE 5 күн бұрын
Haya Mambo Yanatabiri mwisho wa mambo yote
@tossymediachannel
@tossymediachannel 5 күн бұрын
ni kweli, Barikiwa kwa kulijua hili
@zenoatanasi1702
@zenoatanasi1702 5 күн бұрын
Hongera sana Trampo.
@PeterClaude-ym2nw
@PeterClaude-ym2nw 5 күн бұрын
❤ 3:42
@laalabanzatz
@laalabanzatz 5 күн бұрын
Amen Barikiwa
@PeterClaude-ym2nw
@PeterClaude-ym2nw 5 күн бұрын
Fact😮
@laalabanzatz
@laalabanzatz 5 күн бұрын
Barikiwa
@ANETHJOYCE
@ANETHJOYCE 5 күн бұрын
Amina,Bwana akubariki.
@laalabanzatz
@laalabanzatz 5 күн бұрын
Amen barikiwa
@shadraachshadinho
@shadraachshadinho 5 күн бұрын
Nafikiri twenderee kutafakari kwa kina ila naona kama pengine mungu anaweza kumtumia vzr akarudisha ukhristo katika taifa lake
@loicymwakyanjala2828
@loicymwakyanjala2828 5 күн бұрын
Nina kuchagua leo yesu
@tossymediachannel
@tossymediachannel 5 күн бұрын
Amen ubarikiwe sana
@user-wp8sn2rv2c
@user-wp8sn2rv2c 5 күн бұрын
Nimekuchagua yesau kristu
@tossymediachannel
@tossymediachannel 5 күн бұрын
Amen ubarikiwe
@SimulizinaPerfect
@SimulizinaPerfect 5 күн бұрын
Huyu mwamba yupo kama Magu aisee anaweza
@FabienMuteba-fv6nu
@FabienMuteba-fv6nu 6 күн бұрын
Ubarikiwe nduguyangu
@laalabanzatz
@laalabanzatz 5 күн бұрын
Barikiwa sana
@magigesabai8674
@magigesabai8674 6 күн бұрын
Ukisoma kitabu cha DANIELI na UFUNUO huo mpango wa Dini na Serekali unaundwa na kanisa Catholic kwa kupitia Papa lengo lao ni kwamba watu wote walazimishwe kufanya ibada siku ya kwanza ya juma ambayo ni Jumapili na hii ndio 666
@user-lp4fs9su4q
@user-lp4fs9su4q 6 күн бұрын
MTUMISHI Tafadhari SANA usimkosoe Trump yeye ameona mbali. Katika uongozi uliopo sasa wa Marekani mkazo wao MKUBWA ni kueneza mambo ya kuzimu, kama vile ushoga, utoaji mimba kubadilisha jinsia nk Sasa Trump kuweka mkazo Kwa watu kuizingatia Biblia Naona ni Nuru mpya katika giza
@MaryGeorge-z5g
@MaryGeorge-z5g 6 күн бұрын
Mteule wa Bwana ni heri tukusikie ukipinga mauaji ya albino,unyanyasaji wa ngono kwa watoto, uchunaji ngozi za watu na mengine wafananayo na hayo. Waache wamarekani wajinene kuhusu Rais wao huku ukijua kuwa hata hela yao wameiandika (IN GOD WE TRUST) na je utatuambia nini kuhusu SAUD ARABIA ambayo sheria zake zipo katika misingi ya dini ya Kiislam?
@MaryGeorge-z5g
@MaryGeorge-z5g 6 күн бұрын
I love Trump and I will always do. Hakika ntaendelea kumpenda Trump pamoja na mapungufu yake kwa sababu:- 1. Anachukia ushoga na ndoa za jinsia moja. 2. Haungi mkono kabisa kwa selikari yake kuruhusu utoaji wa mimba yaani abortion. 3. Aliahidi katika kampeni yake kuwa:- Akiingia madarakani atahakikisha kuwa anasitisha vita huko GAZA.( kumbuka vita hiyo inauwa watu wasio na hatia na wa dini zote) 4. Nampenda Trump kwa sababu ndiye kiongozi pekee ambae wakati wa utawala wake aliutangaza mji wa Jerusalem kuwa ni mji mkuu wa Israel. "Tuacheni porojo, tuheshimu neno la Mungu kwa kuwahubilia watu waache Dhabi wamfuate YESU huku tukijua kuwa tunaishi nyakati za mwisho hivyo tujiweke tayari kwa unyakuo na wala tusikifanye kitabu cha UFUNUO WA YOHANA kuwa ni cha propaganda za udini.
@dennismoses-ds4rx
@dennismoses-ds4rx 6 күн бұрын
Amen
@tossymediachannel
@tossymediachannel 6 күн бұрын
Amen Ubarikiwe
@dennismoses-ds4rx
@dennismoses-ds4rx 6 күн бұрын
Ninakuchangua mungu reo
@tossymediachannel
@tossymediachannel 6 күн бұрын
Amen Ubarikiwe
@KATANYAMA
@KATANYAMA 7 күн бұрын
Fanya kazi acha kuleta siasa ktk mambo ya dini .....wakileta ushoga Nongwa wakisema msome biblia NONGWA sasa mnataka wasemeje??ubinadamu kazi sana
@barakaschaula8323
@barakaschaula8323 7 күн бұрын
Serikali ni watu ambao nao wanamuhitaji mungu . Acheni uoga
@user-vr6lu8tq1n
@user-vr6lu8tq1n 7 күн бұрын
Uko sawa lakinni hata weza
@sianagodson3690
@sianagodson3690 8 күн бұрын
Upo sahihi,new world order,one currency,one religion,(unabii unatimia,sanamu ya mnyama ipo karibu kusimamishwa( Kama kipindi cha Daniel) ukristo unaenda kupita wakat Mgumu,maana kanisa la kristo litapitia mateso,Lakini atakayevumilia mpaka mwisho atapata taji ya uzima.(. Mungu tusaidie )hii agenda ni ya kishetan
@ebuelamichael9693
@ebuelamichael9693 8 күн бұрын
Vizuri sana kaka
@laalabanzatz
@laalabanzatz 7 күн бұрын
Amen Barikiwa sana
@BOAZ-MEDIA
@BOAZ-MEDIA 8 күн бұрын
Very correct 💯
@tossymediachannel
@tossymediachannel 8 күн бұрын
Barikiwa
@mbojebertha
@mbojebertha 8 күн бұрын
Upo sahihi kiongiz
@tossymediachannel
@tossymediachannel 8 күн бұрын
Barikiwa sana
@BOAZ-MEDIA
@BOAZ-MEDIA 8 күн бұрын
Mhh waiting it😮
@tossymediachannel
@tossymediachannel 8 күн бұрын
Barikiwa sana
@JonathanNtauta
@JonathanNtauta 9 күн бұрын
Barikiwe kwa ujumbe mzuri
@stephenmmbago4975
@stephenmmbago4975 9 күн бұрын
Donald Trump is a man of God Hujasoma vocabulary vya Trump ,always huwa ana dedicate watu Kuykendall Mungu . Mafanikio ya Trump ni maganiko ta watu kumpemda Mungu,Kama kiongoz anampenda Mungu ,Taifa litapona KJV Bible
@LabaniAkyoo
@LabaniAkyoo 9 күн бұрын
Sasa kama anasema tusome Biblia kuna shida gani ,Trup ni mtu wa maana sana na anashinda urais wa marekani ,
@eliacmaginya3429
@eliacmaginya3429 10 күн бұрын
Wachache tumekuelwa
@tossymediachannel
@tossymediachannel 9 күн бұрын
Amina barikiweni
@user-mc8ob4hc3l
@user-mc8ob4hc3l 10 күн бұрын
I knew this man is Godly.i felt so bad when he didn't go through as president.. but God knew and knows better.. I deeply felt bad in my heart. Let God's will be done. Amen
@salvatorymushi2038
@salvatorymushi2038 10 күн бұрын
Trump ana akili sana ...anatafuta namna yakuingia madarakani tena,,,akijidai anaupigania ukristo kwa kuchukia ushoga na mambo mengine Ila watu wanasahau sana ,,,trump alishashika madaraka aliongoza vibaya sana leo anataka kutuaminisha kwamba amebadilika 😢 ukristo hautatewa hivyo kama anautetea ukristo awe muhubiri wa injili asituleteee siasa zake huyo ...tena huyo ndie atakuwa mpinga kristo... Ataleta vita vya kidini huyo ...tutaanza kuchukiana badala ya kuungana ...tumtazame huyu mtu kwa jicho la rohoni Tuingie magotini Sana,,,,,,shetani ana nguvu Maisha tyliyofikia MUNGU hataki tumtetee kwa marungu hapana .... KRISTO alishakufa na kazi aliimaliza ...maisha ni kuchagua Muhukumu atakuja mwenyewe....kazi tuliyopewa ni kupeleka injili kwa kila kiumbe ...
@alembeasukulu9849
@alembeasukulu9849 10 күн бұрын
Unaongea usiyo ya juwa
@tossymediachannel
@tossymediachannel 9 күн бұрын
nisiyojua yapi??
@francisluanda8672
@francisluanda8672 10 күн бұрын
Mamlaka inatoka kwa Mungu, na Mungu ni umoja si utenganio lakini true prophet anatabiri jambo na linatokea yeye akiwa hai kwa nadra sana anakuwa hayupo, yule mnyama ni uwakilishi wa shetani aliyejeruiwa kwa mara ya kwanz na Mwenyezi Mungu kwa kuwa alishuka na theluthi moja ya malaika wa mbinguni ndio hao wanaoendelea kumtesa mwanadamu wakijaribu kutaka kupata nguvu za awali ambazo hawana, SASA Tujifunze jambo moja muhimu nalo ni kumuheshimu Mungu na kutii amri zake kwa sababu kwa Mungu mbinguni haendi au hakuna msabato, hakuna mmarekani, hakuna mkatoliki, hakuna Donald Trump hakuna muisalam kwa Mungu kuna watakatifu walioweka uhusiano sahihi naye wakiwa hapa duniani we should not consider or treat GOD in our human sentiments