HATARI KUBWA KWA WAKRISTO NA Baraka Tossy

  Рет қаралды 33,717

TOSSY MEDIA CHANNEL

TOSSY MEDIA CHANNEL

Ай бұрын

Пікірлер: 222
@DanielErnest-nn2zj
@DanielErnest-nn2zj 20 күн бұрын
Mi nimemuelewa sana Trump l, watu wanachati sana, imani inapotea yeye kaliona hilo kama mnabisha kwa kauli yake, shetani atapambana nae lkn hata shina. Pamoja na mabaya yake Trump lkn anapinga ushoga na usagaji na kutoa mimba, Mungu amsaidie
@salvatorymushi2038
@salvatorymushi2038 10 күн бұрын
Endelea kutafakari kwa kina
@user-mc8ob4hc3l
@user-mc8ob4hc3l 9 күн бұрын
I knew this man is Godly.i felt so bad when he didn't go through as president.. but God knew and knows better.. I deeply felt bad in my heart. Let God's will be done. Amen
@sarahmwasyoge1830
@sarahmwasyoge1830 2 күн бұрын
Asante kwa ufunuo wenyenguvu hata mimi ninasadiki unachokiongea. Tujiandae tufue mavazi yetu
@francisluanda8672
@francisluanda8672 10 күн бұрын
Mamlaka inatoka kwa Mungu, na Mungu ni umoja si utenganio lakini true prophet anatabiri jambo na linatokea yeye akiwa hai kwa nadra sana anakuwa hayupo, yule mnyama ni uwakilishi wa shetani aliyejeruiwa kwa mara ya kwanz na Mwenyezi Mungu kwa kuwa alishuka na theluthi moja ya malaika wa mbinguni ndio hao wanaoendelea kumtesa mwanadamu wakijaribu kutaka kupata nguvu za awali ambazo hawana, SASA Tujifunze jambo moja muhimu nalo ni kumuheshimu Mungu na kutii amri zake kwa sababu kwa Mungu mbinguni haendi au hakuna msabato, hakuna mmarekani, hakuna mkatoliki, hakuna Donald Trump hakuna muisalam kwa Mungu kuna watakatifu walioweka uhusiano sahihi naye wakiwa hapa duniani we should not consider or treat GOD in our human sentiments
@johnmuturigithinji3581
@johnmuturigithinji3581 27 күн бұрын
Ukweli bro barikiwa warning of last day revelation 14:6-12 Amen
@tossymediachannel
@tossymediachannel 27 күн бұрын
Amen amen Barikiwa sana
@Tumai_moja
@Tumai_moja Ай бұрын
Ubarikiwe kwa ujumbe mzuri wa kutukumbusha ujio wa Yesu.
@tossymediachannel
@tossymediachannel Ай бұрын
Amen Ubarikiwe
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 28 күн бұрын
Trampu ndio mpinga ushoga kama na usagaji japo ana mabaya yake lakini ana hofu ya Mungu pia laki mwandishi dini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu lakini Ufalme wa mbinguni ni mpango wa Mungu kumtamfuta mwanadamu
@tossymediachannel
@tossymediachannel 24 күн бұрын
Wote ni njia ileile kuelekea Muungano wa Dini na serikari na hakuna aliye Bora hapo
@danielthomasmsigwa31
@danielthomasmsigwa31 18 күн бұрын
Two wings on the same eagle!
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Күн бұрын
You can say that again 🎉🎉
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Күн бұрын
​@@tossymediachanneluongo hivi vuaka ni tofauti na watu wake pia Wadanganyeni wasiofuatilia siasa za Marekani
@OmariShuli
@OmariShuli 13 күн бұрын
Dhana nzima ya kuchanganya dini na siasa inakuja pale ambapo viongozi wa serikali si wanadini, si watekelezaji wa maamrisho na makatazo ya Mwenye ezi Mungu. Hawa dini kwao wao ni kikwazo cha kuyatekeleza matamanio ya nafsi zao. Dini ni Sheria; maamrisho na makatazo kutoka kwa muumba kwa ajili ya kusimamia MASLAHI YA MAISHA YA WATU. kama mtu anaweka utaratibu ktk vitu vyake, ikiwa ni nyumbani kwake kazini kwake shambani au popote pale, vipi Mwenye ezi Mungu auumbe ulimwengu, watu waishi ndani yake kisha auache pasi ya kuweka utaratibu wa Kuishi? HAIWEZEKANI. Qur 75:36. "...Hivi Mwanaadamu anadhani ataachwa bure?(yaani bila kuwekewa sharia?) Serekali ilitakiwa kusimamia utekelezwaji wa Sharia za Mwenye ezi Mungu.
@Alexanderthegreat-w3v
@Alexanderthegreat-w3v Күн бұрын
Amina mungu atalichukua kanisa lake
@user-xf3lv5xp1i
@user-xf3lv5xp1i 15 күн бұрын
LAZIMA UNA BII WA SIKU ZA MWISHO UTIMIE WATEULE WA BWANA TUJITAKASE YESU ANARUDI
@tossymediachannel
@tossymediachannel 9 күн бұрын
Amen amen
@elizabethawuor5402
@elizabethawuor5402 7 күн бұрын
Amen u arikiwe hiyo ni devil mission
@JonathanNtauta
@JonathanNtauta 9 күн бұрын
Barikiwe kwa ujumbe mzuri
@NeemaElisante-zd2dt
@NeemaElisante-zd2dt 4 күн бұрын
WEWE Trump ni rais mzuri sana he puts Gods first ambacho naona hakieleweka hapo ni kua amesema anairudisha bibilia hivyo watu watakua wakimuabudu Mungu yaan kuweka Mungu kwanza na pia constitution ambayo itamtambua Mungu yaan ukristo utakua mbele he is good kwa kweli
@StephenMpallange
@StephenMpallange 4 күн бұрын
Zwewe hufahamu,Amerika,UK,Sweden,Denmark yangu zamani hizi hujulikana Kama Nchi za Kikristo,na ndio maana Amerika hujinasibu kuwa In God we Trust.
@R.mkushi-vo2hn
@R.mkushi-vo2hn 11 күн бұрын
WAZUNGU wanataka kutupeleka kwenye mpango wao wa DINI Moja DUNIANI Ambayo.
@tossymediachannel
@tossymediachannel 9 күн бұрын
yeah ni kweli kabisa japo sio wazungu ni utawala
@elishampoki8751
@elishampoki8751 29 күн бұрын
Mpendwa unachokisema niukweli Adui wa imani anakuja kama malaika wa nuru ,Kwa waminio ninamana waliozaliwa mara ya pili sasa huu ndiyo wakati wakutengwa na Dunia nzima Ukiwa rohoni utajua nini kinafanyika napata afaraja ,ukombozi umekalibia wa kanisa kuondoka na Mzee wa siku,
@tossymediachannel
@tossymediachannel 29 күн бұрын
Amina Barikiwa sana, sote tuzidi kujiandaaa
@user-no8mp7yg1m
@user-no8mp7yg1m 20 күн бұрын
Unabii unatimia Ole wake anaetumika kutimiza unabii
@tossymediachannel
@tossymediachannel 9 күн бұрын
Amen amen
@WilbertChambilo-yl1kc
@WilbertChambilo-yl1kc 26 күн бұрын
Bora ya Trump kuliko mashoga hayo. Namuombea Kwa mwenyezi aweze kupita na aje awanyooshe hawa waliopinda na ushoga
@tossymediachannel
@tossymediachannel 24 күн бұрын
hatusemi Trump au Biden ni bora kuliko mwingine lakini hawa wote wanatuongoza kuelekea Muungano wa Dini na Serikari
@trophywilson7211
@trophywilson7211 11 күн бұрын
​@@tossymediachannelsi kweli
@trophywilson7211
@trophywilson7211 11 күн бұрын
​@@tossymediachannelTrump hashabikii huo muungano kamwe usimquote tofauti
@kananisarafe8582
@kananisarafe8582 10 күн бұрын
Ukweli unasema
@RehemaDavid-f2l
@RehemaDavid-f2l 9 күн бұрын
Trump lazima awe raisi marekani ili atimize mpango kazi wa madhehebu ya kikristo kuwa na nguvu ya serikali,na Hilo litaanza kwa kuipitisha hyo biblia mpya ya marekani,na baadae marekani yenyewe itajitangazia kuuheshimu umoja wa kidini na serikali walioutengeneza,na ktk kilienzi Hilo, marekani itajitangazia siku ya ibada kwa USA yote ambayo itakuwa ni jumapili,na hvyo ktk siku hyo watu wote watapaswa kupumzika na shughuli zote za uchumi zitafungwa siku hyo ya ibada (jumapili), baadae huo mfumo utachukuliwa na mataifa mengne na mwishowe utakua ndo mfumo wa dunia nzima,na hapo ndipo zitakapotungwa sheria za kuwashughulikia wasio tii mamlaka ya mfumo huo.kwahyo Sasa kumeanza kuchangamka dunian, maana Yesu kamwe hawezi kuja mpaka wazimu huo utokee,na ndio tukio mahususi tunalolisubiria litukie na YESU KRISTO aje.
@OswardalexandarbapafukeB-ty9oe
@OswardalexandarbapafukeB-ty9oe 27 күн бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi
@tossymediachannel
@tossymediachannel 27 күн бұрын
Amen Barikiwa
@shadraachshadinho
@shadraachshadinho 5 күн бұрын
Nafikiri twenderee kutafakari kwa kina ila naona kama pengine mungu anaweza kumtumia vzr akarudisha ukhristo katika taifa lake
@israelmunuo7938
@israelmunuo7938 28 күн бұрын
Ni ujumbe mzuri sana! Barikiwa
@tossymediachannel
@tossymediachannel 27 күн бұрын
Amina Barikiwa
@EdwardDikson
@EdwardDikson 10 күн бұрын
Mungu akubaliki
@bravebrain642
@bravebrain642 24 күн бұрын
Serikali zote ni za Mungu, ni vizuri tuwe dhahiri kuwa taifa ni la Kristo Mungu. Wakati
@tossymediachannel
@tossymediachannel 9 күн бұрын
serikari kuwa ya Mungu sio kwamba kila kinachofanyika ni cha Mungu
@EGSiyaga1
@EGSiyaga1 25 күн бұрын
Yaani hapo HATARI Iko wapi ni kwamba serikali ya US imeungana na dini kweli mtu wa Mungu?? Mbona kama unatoa taarifa isiyo sahihi. Kingine wengi humchukia Trump sababu ya ujasiri wa kusema mambo mengi hadhatani. But all In ubarikiwe kwa insights nzuri
@tossymediachannel
@tossymediachannel 24 күн бұрын
sijasema kwamba Vimesha ungana tayari, bali ni njia kuelekea kuungana kwa sababu unabii wa Biblia unaeleza wazi, na yeye kusema kwamba ni lazima tuuurudishe Ukristo Marekani ni ishara zaidi ya hatari "Dini hailazimishwi".
@user-nx5og4cz7b
@user-nx5og4cz7b 13 күн бұрын
​@@tossymediachannelMBONa nchi za kiislam zanaongozwa na Sheria ya dini Sheria NYINGI za nchi zimekopiwa katk vitabu vya dini kwani Sheria za nchi SI zimewekwa na watu na zinaweza kubadilshwa na watu kitabu Cha dini hakiwezi kibadilka kama Sheria za nchi kinafaa Sana kuongoza serikali na hapa ALICHO zungumza ni watu kumrudia MUNGU NA SII KUKAA NJE NA MUNGU HUKU UPANDE WA PILI UKICHUKUA HATAMU.
@LedianaMaganda
@LedianaMaganda 3 күн бұрын
J​@@tossymediachannel
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Күн бұрын
Asante umeona hilo Yaani Wanachambua uongo mtupu
@user-wg2gd2nl6c
@user-wg2gd2nl6c 29 күн бұрын
Barikiwa kaka nimeelewa sana
@tossymediachannel
@tossymediachannel 29 күн бұрын
Amina Barikiwa zaidi
@trophywilson7211
@trophywilson7211 11 күн бұрын
ni muongo huyo Trump ni Mkristo wa Kweli hamtaki Viongozi waliookoka ninyi??
@ndemasimnene4359
@ndemasimnene4359 11 күн бұрын
Mbona kuna serikali za kidini hapa duniani je mpango wa Mungu ni kutawaliwa na wafalme.
@tossymediachannel
@tossymediachannel 9 күн бұрын
kivipi?
@ZabulonKitamuliko
@ZabulonKitamuliko 11 күн бұрын
Heri inji ile viongozi vyake wamujuwa mungu
@R.mkushi-vo2hn
@R.mkushi-vo2hn 11 күн бұрын
Yupo sahihi 👀💯
@joachimndelembi2798
@joachimndelembi2798 3 күн бұрын
Big up to Trump. What does it matter? The important thing is in every way, whether from false motive or true, Christ is preached. And because of this why can't we rejoice. Kikubwa kinacho onekana hapo ni tangazo la uhuru wa kuabudu. Wanaoona kuwa bado Mungu anatafutwa wakamtafute hadi wampate, wanaoona si wakati wa kutafuta Mungu bali Mungu amekwisha wapata yuko pamoja nao, nao waendelee kumsaidia Mungu kuwapata wengine. Kuwa m-Beroya pokea neno litafakari penye yes say yes penye no say no from yourselves. Yule mtumishi yale ni maoni yake yakatae au uyakubali. Thanks
@emmanuelmboya671
@emmanuelmboya671 3 күн бұрын
Kiongozi mwenye hofu ya Mungu huwa siku zote anafanikiwa.Trump ni mtu pekee anaweza kukomesha maovu yanayoendelea katika Taifa hilo.
@tossymediachannel
@tossymediachannel 3 күн бұрын
umeielewa video inaongelea nini lakini?
@josephmanase3176
@josephmanase3176 21 күн бұрын
Huyo jamaaa akiingia madarakan anapenda kufunga historia ya ulimwengu huuu😢😢😢
@gospelman3720
@gospelman3720 19 күн бұрын
Mpinga Kristo akija dunia haitakuwa na resource yoyote kusapoti maisha na yeye ndo atatoa solution. Vijiji havitakuwa solution, vyakula vya asili havitalimika 😂😂😂😂
@tossymediachannel
@tossymediachannel 9 күн бұрын
Soma Biblia yako vizuri
@alembeasukulu9849
@alembeasukulu9849 10 күн бұрын
Unaongea usiyo ya juwa
@tossymediachannel
@tossymediachannel 9 күн бұрын
nisiyojua yapi??
@stephenmmbago4975
@stephenmmbago4975 9 күн бұрын
Donald Trump is a man of God Hujasoma vocabulary vya Trump ,always huwa ana dedicate watu Kuykendall Mungu . Mafanikio ya Trump ni maganiko ta watu kumpemda Mungu,Kama kiongoz anampenda Mungu ,Taifa litapona KJV Bible
@SimulizinaPerfect
@SimulizinaPerfect 5 күн бұрын
Huyu mwamba yupo kama Magu aisee anaweza
@obedimunguachiza8434
@obedimunguachiza8434 29 күн бұрын
Ulianza vizuri ukamaliza vibaya, pale uliposema tutayarishe mahali pakujificha na tutayarushe vyakula vyetu vya asili. Zakuambiliwa changanya nazakwako. Asante kwa ujumbe.
@yamungummungulo633
@yamungummungulo633 29 күн бұрын
N kwel maan popote uendapo wanaona
@obedimunguachiza8434
@obedimunguachiza8434 29 күн бұрын
@yamungummungulo633 be blessed dear 🙏
@EdmundTemba-pz8ui
@EdmundTemba-pz8ui 27 күн бұрын
Nimekuelewa sana, neno litasimama
@tossymediachannel
@tossymediachannel 27 күн бұрын
zipi hizo za kuambiwa, na kuchanganya na za kwako?
@obedimunguachiza8434
@obedimunguachiza8434 27 күн бұрын
@@tossymediachannel Akili zakuambiwa changanya nazakwako.
@laurensithomasi3152
@laurensithomasi3152 19 күн бұрын
🙏🙏🙏
@MarrycianaFaustine
@MarrycianaFaustine 19 күн бұрын
Ubarikiwe
@tossymediachannel
@tossymediachannel 19 күн бұрын
Amina Barikiwa sana
@RSMEDIAONE
@RSMEDIAONE 5 күн бұрын
Haya Mambo Yanatabiri mwisho wa mambo yote
@tossymediachannel
@tossymediachannel 5 күн бұрын
ni kweli, Barikiwa kwa kulijua hili
@ImaniMatumaini
@ImaniMatumaini Ай бұрын
Je umepata hiyo bible ukasoma ??? Aisee ACHA kutoa vitu kichwani
@tossymediachannel
@tossymediachannel Ай бұрын
unawezaje kuweka katiba kwenye Biblia?🚫🚫
@evodiusbahegwa6557
@evodiusbahegwa6557 29 күн бұрын
Anakurupuka kuongea
@nelssua8486
@nelssua8486 15 күн бұрын
​@@evodiusbahegwa6557ameuliza hivi, hiyo biblia umeisoma? ungemjibu swali lake kisha ukatoa maoni yako ingependeza ndugu
@user-vr6lu8tq1n
@user-vr6lu8tq1n 7 күн бұрын
Uko sawa lakinni hata weza
@fredrickkagwa8853
@fredrickkagwa8853 12 күн бұрын
Mtu ambao haijasoma -Ufunuo --13:11---18 hawezi kujua ubaya wa Serikali ya America kuiruhusu Dini iongoze. Mungu tuepushie mbali- USA itakiuka msingi wa katiba yake
@tossymediachannel
@tossymediachannel 9 күн бұрын
ni kweli kabisa... ubarikwe sana
@ZabulonKitamuliko
@ZabulonKitamuliko 11 күн бұрын
Huyu ndiyo kiongozi bwana, achana na maelezo Yako hayana msingi
@tossymediachannel
@tossymediachannel 9 күн бұрын
sawa
@tossymediachannel
@tossymediachannel 9 күн бұрын
hayana msingi??😅😅
@sianagodson3690
@sianagodson3690 7 күн бұрын
Upo sahihi,new world order,one currency,one religion,(unabii unatimia,sanamu ya mnyama ipo karibu kusimamishwa( Kama kipindi cha Daniel) ukristo unaenda kupita wakat Mgumu,maana kanisa la kristo litapitia mateso,Lakini atakayevumilia mpaka mwisho atapata taji ya uzima.(. Mungu tusaidie )hii agenda ni ya kishetan
@ROMMEDIACRAFT
@ROMMEDIACRAFT 22 күн бұрын
Mbona hukumalizia stori ya meshark, Shadrack na Abednego nini kilitokea baada ya kutupwa kwenye tanuru je walikufa kwa moto au ilikuwaje na je mfalme alifanya nini na je nani alishinda mfalme au wao?
@tossymediachannel
@tossymediachannel 9 күн бұрын
siku zote Mungu anashida
@eliacmaginya3429
@eliacmaginya3429 9 күн бұрын
Wachache tumekuelwa
@tossymediachannel
@tossymediachannel 9 күн бұрын
Amina barikiweni
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Күн бұрын
Bora teump mara mia kuliko hao wanaosimmia na kueneza ushoga
@fridachuwa8622
@fridachuwa8622 24 күн бұрын
Dini na serekali havina tofauti Cha msingi ni KUACHANA na hizi dini zilizoletwa Afrika, AMKA EWE MTU MWEUSI
@tossymediachannel
@tossymediachannel 24 күн бұрын
umanaanisha tusiwe na dini?
@JukumuKimbendela
@JukumuKimbendela 23 күн бұрын
You're very clever .Alafu kuna wengine wanataka kubadilisha/kuubatiza ukristo kuwa asili yake iwe Afrika.Western always western can't be eastern.
@PaulMsuya
@PaulMsuya 21 сағат бұрын
Hakuna uhusiano wowote kati ya mapokeo ya dini na matokeo yoyote kulihusu Bara Afrika.. Ukosefu wa maadili ndio kitu pekee kinachotugharimu. Mungu yupo na uwepo wa dini ni jambo la lazima
@tyivbra
@tyivbra 27 күн бұрын
Nlichokuelewa Baraka ni kuwa tupo kweny nykt za mwisho ambapo shetn yupo mbioni kuiweka Sunday law into act lkn wakt wa Mungu ni wakt sahihi ila kikubwa tukaetukijiandaa
@tossymediachannel
@tossymediachannel 27 күн бұрын
ndio ni kweli... cha msingi ni kukumbushana tuzidi kujiandaa kwa hali tulio nayo na tusijisahau
@jofreykilangila4118
@jofreykilangila4118 24 күн бұрын
MUNGU alituumba ili tumwabudu na tusione mabaya. Ukitaka uwe unachambua mabaya ya Dunia hii hutamwabudu aliyekuumba. Mabaya yanafutwa kwa Toba tu na hayatatokea
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 4 күн бұрын
Mim naona upuuzi tu bora niwe muislam
@user-no8mp7yg1m
@user-no8mp7yg1m 20 күн бұрын
Niwachache watakao kuelewa
@tossymediachannel
@tossymediachannel 9 күн бұрын
hakika
@injilinimoto8595
@injilinimoto8595 7 күн бұрын
Ndugu naona kuwa huja melewa anaelezea taifa lake lilikuwa na misingi ya biblia ila chama kilichopo madarakani wanachoma biblia na kukuza ushoga na ushetani mimi nafikiri kuwa bila trapo kuliko alioko madalakani
@munainjiru7983
@munainjiru7983 16 күн бұрын
Freemasonry mentioned can talk about bible now and then
@tossymediachannel
@tossymediachannel 9 күн бұрын
sure
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 28 күн бұрын
Kanuni ya Mungu ilikua viongozi wa serekali wawe watakatifu ,swala la nebkadneza alikua mpagani ,Yusuphu aliongoza Misri kwa fahari kubwa na nchi ikaneemeka sana ,Daudi pia ,gidioni,sulemani nk.,Tatizo ninyi wasabato hamumuhitaji Roho mtakatifu na ndio maana mnatafsiri unabii kwa akili tupu ,mwacheni Tramp aongoze heri huyo kuliko anae ruhusu ushoga na vituko,
@tossymediachannel
@tossymediachannel 27 күн бұрын
sawa, Nyie mnatafsirije unabii wenu?
@MaryGeorge-z5g
@MaryGeorge-z5g 6 күн бұрын
Mteule wa Bwana ni heri tukusikie ukipinga mauaji ya albino,unyanyasaji wa ngono kwa watoto, uchunaji ngozi za watu na mengine wafananayo na hayo. Waache wamarekani wajinene kuhusu Rais wao huku ukijua kuwa hata hela yao wameiandika (IN GOD WE TRUST) na je utatuambia nini kuhusu SAUD ARABIA ambayo sheria zake zipo katika misingi ya dini ya Kiislam?
@user-ro2mb5uc1y
@user-ro2mb5uc1y 10 күн бұрын
MUNGU naomba utupe nguvu za kumshinda shetani
@tossymediachannel
@tossymediachannel 9 күн бұрын
Amen amen
@barakaschaula8323
@barakaschaula8323 6 күн бұрын
Serikali ni watu ambao nao wanamuhitaji mungu . Acheni uoga
@SileIsmail
@SileIsmail 17 күн бұрын
Mara zote ukiwa masikini halafu huna akili utadanganywa kiurahisi sana 😂😂😂 inatisha maana wajinga bado ni wengi yani mpaka leo wanamuamini mwanasiasa ambae ni mwanachama wa illuminati haha hapa lengo ni New world order
@alphphobill549
@alphphobill549 15 күн бұрын
Yor vague and wrong judging him straight. Ask of the Holy Spirit na hapo utapata ufunuo thabiti. Mungu hujitukuza hata kati ya maadui na waovu.
@tossymediachannel
@tossymediachannel 9 күн бұрын
not judging, just referring the Bible
@HoseaPeter-yu3qh
@HoseaPeter-yu3qh 4 күн бұрын
Nyie wasabato mnazingua
@tossymediachannel
@tossymediachannel 4 күн бұрын
tunazingua nini?
@EGSiyaga1
@EGSiyaga1 25 күн бұрын
Bora Trump kuliko Biden anayekaribisha LGBTQ Ikumbukwe Biden Mwaka huu siku ya Pasaka ndiyo aliitangaza kuwa siku ya Transgender.
@tossymediachannel
@tossymediachannel 24 күн бұрын
hakuna ubora, wote ni njia moja tuu
@MaryGeorge-z5g
@MaryGeorge-z5g 6 күн бұрын
I love Trump and I will always do. Hakika ntaendelea kumpenda Trump pamoja na mapungufu yake kwa sababu:- 1. Anachukia ushoga na ndoa za jinsia moja. 2. Haungi mkono kabisa kwa selikari yake kuruhusu utoaji wa mimba yaani abortion. 3. Aliahidi katika kampeni yake kuwa:- Akiingia madarakani atahakikisha kuwa anasitisha vita huko GAZA.( kumbuka vita hiyo inauwa watu wasio na hatia na wa dini zote) 4. Nampenda Trump kwa sababu ndiye kiongozi pekee ambae wakati wa utawala wake aliutangaza mji wa Jerusalem kuwa ni mji mkuu wa Israel. "Tuacheni porojo, tuheshimu neno la Mungu kwa kuwahubilia watu waache Dhabi wamfuate YESU huku tukijua kuwa tunaishi nyakati za mwisho hivyo tujiweke tayari kwa unyakuo na wala tusikifanye kitabu cha UFUNUO WA YOHANA kuwa ni cha propaganda za udini.
@LabaniAkyoo
@LabaniAkyoo 9 күн бұрын
Sasa kama anasema tusome Biblia kuna shida gani ,Trup ni mtu wa maana sana na anashinda urais wa marekani ,
@elishampoki8751
@elishampoki8751 26 күн бұрын
Torati inaludi Hapa wanatafutwa watoto wa Mungu nikipindi cha wana wa Mungu kuishi kwa imani
@tossymediachannel
@tossymediachannel 24 күн бұрын
Amen amen
@davidsuleman233
@davidsuleman233 24 күн бұрын
Muungano wa dini na serikali hautaanzia kwa marekani na tramp mfano ni nchi zenye misimamo ya kiisilamu na zinasimamia hasa sheria za kiisilamu huko huoni ni hatari? Mtu wa MUNGU mpk ikawa trump na marekani?
@tossymediachannel
@tossymediachannel 9 күн бұрын
wewe unavyosoma utaanzia wapi?
@tyivbra
@tyivbra 27 күн бұрын
Km ipo ipo ty bwana haya maswala waty waliyakazania sana kpnd cha Obama mara trump mara korona cjui mara nn Lkn nadhani muda ukiwadia utakuwa umewadia that's all
@tossymediachannel
@tossymediachannel 9 күн бұрын
lazima tujiandae na tukumbushane kujiandaa
@PaulSanga-m3p
@PaulSanga-m3p 18 күн бұрын
Wapendwa,turudi katika historian,marekani ni taifa lililoanzishwa na mamisionari toka ulaya huwezi kutenganisha ukristo na serikali ya marekani ,mtoa hoja naona no siasa Wala siyo theolojia marekani ndiyo inchi inayotimiza agizo kuu kuliko inchi yoyote duniani
@tossymediachannel
@tossymediachannel 9 күн бұрын
ilikuwa kipindi hicho cha zamani... na serikari na dini havikuwa vimeungana... lakini sasa kuuunganisha dini na serikari ni kinyume cha katiba yao
@adamsonmwaisumo6791
@adamsonmwaisumo6791 12 күн бұрын
Usabato tu hujui kitu
@aronmapunda2023
@aronmapunda2023 24 күн бұрын
Pole ndugu japo unahimiza ndugu zako wajiandae ni vyema ila umesahau kuhimiza kuachana na dini kwa kuwa hizi dini wameziunda wao na wanamamuzi ya kufanya wapendavyo. Yesu hajawahi kuwepo bali wameunda uongo tu dhidi ya mtu mweusi.
@tossymediachannel
@tossymediachannel 24 күн бұрын
Sio kweli usemacho, nitaleta somo linalohusu "Kuaminika kwa Biblia" naamini tutajifunza pamoja
@aronmapunda2023
@aronmapunda2023 24 күн бұрын
@@tossymediachannel ikiwa ni biblia hii ya kisasa ndani yake kuna Yeremia:8-8;-"... lakini tazama kalamu yenye uongo ya waandishi imeifanya kuwa ya uongo
@Martine-bd3sy
@Martine-bd3sy 21 күн бұрын
Biblia ni kweli halisi.ni ukweli usiyo pingika
@aronmapunda2023
@aronmapunda2023 21 күн бұрын
@@Martine-bd3sy Ndugu na ieleweke ikiwa biblia ni kweli halisi uongo unatoka wapi? "Kwa maana waliibadili kweli ya Mungu kuwa uongo.....Warumi1-25
@KATANYAMA
@KATANYAMA 6 күн бұрын
Fanya kazi acha kuleta siasa ktk mambo ya dini .....wakileta ushoga Nongwa wakisema msome biblia NONGWA sasa mnataka wasemeje??ubinadamu kazi sana
@nabosedward4836
@nabosedward4836 22 күн бұрын
Mbona sijaona kosa la tramp kwan bila serikali za wakolon ungeujua ukristo wewe
@tossymediachannel
@tossymediachannel 9 күн бұрын
sikiliza vizuri Tena
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc 24 күн бұрын
Obama alibariki Ushoga Baden, Trump anapiga Ushoga,Na kusimama Israeli
@tossymediachannel
@tossymediachannel 24 күн бұрын
wote ni njia moja ileile tuu
@febby8308
@febby8308 28 күн бұрын
Marekakan siku zote inasimamia upagani ndio mahana inasapoti ushoga sasa wewe mchambuzi unashangaa nini
@tossymediachannel
@tossymediachannel 27 күн бұрын
Hatushangai tunakumbushana juu ya nyakati tulizonazo na wapi tunaelekea
@MartiniEnock-e2e
@MartiniEnock-e2e 12 күн бұрын
Utakuwa msabato unahofia eti utalazimishwa kuabudu siku ya jpili Kitu ambacho sio kweli
@desireofages6446
@desireofages6446 9 күн бұрын
Yaangalie mapendekezo ya Republican iwapo watashinda uraisi " 0:04 project 2025".
@user-lp4fs9su4q
@user-lp4fs9su4q 6 күн бұрын
MTUMISHI Tafadhari SANA usimkosoe Trump yeye ameona mbali. Katika uongozi uliopo sasa wa Marekani mkazo wao MKUBWA ni kueneza mambo ya kuzimu, kama vile ushoga, utoaji mimba kubadilisha jinsia nk Sasa Trump kuweka mkazo Kwa watu kuizingatia Biblia Naona ni Nuru mpya katika giza
@user-kv4zd2mz7y
@user-kv4zd2mz7y 29 күн бұрын
hajasema atalazimisha mtu kuwa mkristo,wala hiyo katiba ya marekani hailazimishi kuwa mkristo,acha hofu ya dhehebu lako
@tossymediachannel
@tossymediachannel 29 күн бұрын
yeye amesemaje?
@CadiaOnesmo
@CadiaOnesmo 11 күн бұрын
We naye huna maana kasema tusome Biblia unampinga ulitaka aseme nini? mwambie wewe cha kuzingumza
@tossymediachannel
@tossymediachannel 9 күн бұрын
sikiliza vizuri tena tangu mwanzo utaielewa
@ImaniMatumaini
@ImaniMatumaini Ай бұрын
Je umejuje ndani ya hiyo biblia Kuna katiba au unabuni tu
@tossymediachannel
@tossymediachannel Ай бұрын
rudia tena iyo video kuitazama utaelewa
@boaziamos1224
@boaziamos1224 24 күн бұрын
Baomba kujua hii biblia tunayosoma sasa hv n ileile ya kwanza au umeshabadilishwa mara kibao
@tossymediachannel
@tossymediachannel 24 күн бұрын
bado haijabadilishwa
@JJTSUPERCLEANER
@JJTSUPERCLEANER 29 күн бұрын
Vp kama angepromote dhambi ndo ingekuwa good?????? Serikali zote duniani zingepaswa kuwa na katiba moja tu wala si vinginevyo ambayo bi biblia! Kwa maana hiyo ndiyo katiba itakayotumika kuwahukumu watu wa chi zote ulimwengun siku ya meisho!
@tossymediachannel
@tossymediachannel 27 күн бұрын
swala sio kupromoti dhambi, swala ni maneno yanayosemwa katika kauli zake, mfano " Ni lazima tuurudishe ukristo", Dini ya Mungu sio ya kulazimisha watu
@JJTSUPERCLEANER
@JJTSUPERCLEANER 26 күн бұрын
@@tossymediachannel ok
@deusNjimba
@deusNjimba 28 күн бұрын
Mbona daudi ali ongoza selikali na hata musa dini. Selikali
@tossymediachannel
@tossymediachannel 27 күн бұрын
sawa, wewe unautasfirije unabii juu ya kuunganishwa dini na serikari? kwamba haina shida yoyote?
@davidsuleman233
@davidsuleman233 24 күн бұрын
​@@tossymediachannelmbona nchi za kiisilamu zimeunganisha dini na serikali na wanafuata sheria za dini ilihali wanaserikali? Hebu tufafanulie na hapo
@evodiusbahegwa6557
@evodiusbahegwa6557 29 күн бұрын
Ww ripota ni mjinga,siyo mpumbavu,na hujui chochote na utakuwa bila shaka ni msabato,ila Trump and Republicans are best for Christianity
@tossymediachannel
@tossymediachannel 27 күн бұрын
sawa nashukuru hilo
@195941233
@195941233 11 күн бұрын
Usichanganye mada. Hujamwelewa Rais Donald Trump. Anasisitiza watu kumpenda Mungu na kusoma Neno la Mungu kwa kumaanisha.
@tossymediachannel
@tossymediachannel 9 күн бұрын
Ameeleweka tu kabisa.. huwezi sema "Lazima" tatizo linaanza hapo
@shilimaabdallah-mw2bj
@shilimaabdallah-mw2bj 24 күн бұрын
Hakuna sauti
@tossymediachannel
@tossymediachannel 9 күн бұрын
ipo
@ZabulonKitamuliko
@ZabulonKitamuliko 11 күн бұрын
Ni muda sasa wa matengeneso wa amerika
@bravebrain642
@bravebrain642 24 күн бұрын
Kabla ya uchafu Marekani ilikuwa hivyo, kila mwanafunzi anaenda darasani na bible. Waulize Waarabu wanafanya nini na uislamu. Je waizraeli waliagizwa nini Mungu? Wewe tulia kabisa vingivyo siyo mkristo.
@angiemkusa3845
@angiemkusa3845 14 күн бұрын
Kweli huelewi.. pole
@joseph232
@joseph232 3 күн бұрын
Napingana nawe kabisa, na nina mashaka na lengo lako maana hapo unanukuu vifungu na kuvipotosha ktk kutafsiri. Kamala Harris ndio mwovu zaidi maana yumo ktk wanaoshabikia "haki za wanadamu" ikiwemo ushoga na kutoa mimba.
@tossymediachannel
@tossymediachannel 3 күн бұрын
kwahiyo wewe unapingana na nini.. kwasababu naona hata haujaielewa video inasema nini?
@Visionofeagle9689
@Visionofeagle9689 23 күн бұрын
Trump 2024
@bonifacemwansasu6638
@bonifacemwansasu6638 29 күн бұрын
Lakini unajua kuwa Trump ndiye atakayechelewesha New World Order?Omba maongozi ya Roho Mtakatifu kabla hujapost
@tossymediachannel
@tossymediachannel 29 күн бұрын
umesoma wapi iyo inayokuambia hivyo?
@levisdiamond4797
@levisdiamond4797 29 күн бұрын
Wooote hamjui chochote hao sio wajinga ,,,, trump anatuletea sunday law. Eti ndie atachelewesha new world order huyo anahusika nini na hivo 😂😂😂😂 huyo ni mtoto hawanao panga mambo ya new world order nivikongwe
@tyivbra
@tyivbra 27 күн бұрын
Who says so bhn😂
@bonifacemwansasu6638
@bonifacemwansasu6638 26 күн бұрын
Waliopangwa ni vikongwe,wanaotumika ni viongozi wa nchi bhanq
@danielthomasmsigwa31
@danielthomasmsigwa31 Ай бұрын
Mwaka 2016 akigombea kwa mara ya kwanza, niliwatahadharisha washirikiki wenzangu hapa Njombe kuhusu TRUMP. Nilidhani anaonyesha sifa za roho ya unabii, biblia raisi wa marekani atakayeleta taabu ya Danieli 12, fungu la 45 la sura11 nilifananisha na awamu 45 za taifa muhimu wakati wa mwisho..!
@tossymediachannel
@tossymediachannel Ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi, tuzidi kusoma na kujifunza zaidi
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 27 күн бұрын
Huo usabato ,ninyi Kila kitu papa ,marekani hamna pengine mnasemaga ,kwani mataifa mengine mbona hamyataji ?? M natafsiri Unabii kwa akili na hisia au dhana,ukijiona unajua Sana basi kwake mtu huyo hajui kitu ,mambo ya Rohoni yana fasiriwa kwa jinsi ya Roho na sii vinginevyo ishini ndani ya Neema na muachane na Sheria ,Sheria Haina kazi wakati wa Neema .
@danielthomasmsigwa31
@danielthomasmsigwa31 26 күн бұрын
@@nicksonlyimo1562 ufunuo 13 mnyama wa kwanza na mnyama mwingine f.11 wanashirikiana kuleta sheria za JUMAPILI; wameanza na ushoga 2015 miaka10 baadaye 2025 Sabato ya uongo
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 26 күн бұрын
@@danielthomasmsigwa31 Dunia lazima itawaliwe na Sheria ,ndio maana hata YESU alisema yalio ya Mungu mpenj Mungu na ya kaisari mpenj kaisari,wewe unadhani issue ya wanyama walio Nenwa ni nchi ? Hapana ni Roho za mashetani ,hata wewe unae shika sabato Bado uko kwa mnyama ,kwani unaabudu siku badala ya YESU KRISTO,na YESU aliivunja sabato na YEYE Ndie Bwana wa sabato ,ukimwamini basi upo kwenye sabato ya Neema na sii ya Sheria ,Hekima tuu ya shetani imeanzisha mifumo ya Dini mbalimbali na kuinua manabii na watu wakiwaamini wakidhani wapo sahihi ,KRISTO ndio mwisho wa Sheria na ametufundisha kumwabudu Mungu siku zote pasipo kukata tamaa ,hayo ya siku yatakugharimu Sana siku ya hukumu ,Andiko huua Roho huu Isha ,nakushauri tuu umpokee YESU na Umpokee Roho wake MTAKATIFU hapo utakua Mwana wa MUNGU na sii mwanafunzi wa Musa. Kwanini msiombe Mungu awafunulie alipo nabii wenu wa kike ,??? Hakuna Dini ya kweli duniani YESU tuu ndio njia ,kweli na uzima kinyume na hapo imekula kwako ,
@veronicanestory1662
@veronicanestory1662 23 күн бұрын
@@nicksonlyimo1562usijidanganye, kwan ufunuo iko agano ka kale au agano jipya, kumbuka icho ni kitabu cha mwisho chenye unabii wa siku izi sa mwisho. Hivyo hakuna kinachobadilika km ni upapa itabaki kuwa upapa, marekani itabaki palepale kwasababu neno la Mungu alibadiliki… toka uko gizaji utaangamia
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Ай бұрын
Sasa wewe umesimamia upagani hapo sijakusoma lipi ni lipi ni Bora sasa wakati ushoga na gay vimepamba moto
@tossymediachannel
@tossymediachannel Ай бұрын
Angalia video sehemu ya mwisho utaelewa lililobora
@apostlemussaonlinetv
@apostlemussaonlinetv 20 күн бұрын
Wasabato uwa wajinga hawanaga Roho
@tyivbra
@tyivbra 27 күн бұрын
Km ipo ipo ty bwana haya maswala waty waliyakazania sana kpnd cha Obama mara trump mara korona cjui mara nn Lkn nadhani muda ukiwadia utakuwa umewadia that's all
@tossymediachannel
@tossymediachannel 24 күн бұрын
Hatuna haja ya kuacha kukumbushana juu ya haya.. siku kwa siku tukumbushane ili Tujiandae
@katwigayona8041
@katwigayona8041 13 күн бұрын
Hapo ndipo Mungu huwa anawashangaa sana pale wanadamu mnapokuwa wajuaji kupita kawaida,, eti dini na serikali haziwezi kwenda sambamba. Shida dini umeiona kuwa ndo Mungu mwenyewe, afrika tutaendelea kutawaliwa kwa sababu ya ujuwani wa kijinga. Kwa hiyo daudi mfalme yeye tusemeje sasa, alijitenga na Mungu kwa sababubya urais wake? Acha kupotosha watu Trump yuko sahihi
BIBLIA inasema nini juu ya TRUMP kupigwa Risasi?
18:59
TOSSY MEDIA CHANNEL
Рет қаралды 3,1 М.
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 26 МЛН
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
УГАДАЙ ГДЕ ПРАВИЛЬНЫЙ ЦВЕТ?😱
00:14
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 4 МЛН
Je Elon Musk ni ANTICHRIST(Mpinga Kristo)?  Na Baraka Tossy
16:56
TOSSY MEDIA CHANNEL
Рет қаралды 356
BIBLIA INAMAKOSA KIBAO
29:11
UNIVERSITY FILMS
Рет қаралды 14 М.
Dhambi mpya  Hiihapa :  Mch Abiud Misholi
34:25
Mch. Abiud Misholi
Рет қаралды 65 М.
MALKIA WA FREEMASON ALIVYOJISALIMISHA KWA KUHANI MUSA
23:55
NGOME YA YESU KRISTO
Рет қаралды 505 М.
KIMEUMANA CASSIN NA KIBOKO YA WACHAWI KUZALILISHANA HAZALANI EV PASCHAL CASSIAN
1:11:12
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 85 М.
KIBOKO YA WACHAWI KALAANIWA EV PASCHAL CASSIAN
39:08
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 56 М.
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 26 МЛН