Make sure these mandas are halal if it is china they pig fat on mandas
@hajrabaimohamed57496 ай бұрын
Thank you for sharing
@ahlamverynice.36056 ай бұрын
Ur welcome 😊
@selmezahor46966 ай бұрын
Ma Sha Allah kipenz mpak nimezitaman,❤
@FATUMASWALIHU7 ай бұрын
asante
@ahlamverynice.36057 ай бұрын
Ur welcome 🙏🏼
@user-mf8su7us1j7 ай бұрын
Mashaalla
@ahlamverynice.36057 ай бұрын
Shukrani 😍
@rukkysayid66138 ай бұрын
MashaAllah
@ahlamverynice.36058 ай бұрын
Shukran habibty 🤗
@pelagiaweiss22068 ай бұрын
Kama hutaki watu wajifunze basi usionyeshe maana uweki hata vipimo na maswali haujibu
@ahlamverynice.36057 ай бұрын
My dear samahani ukiangalia kwa makini hizi video zangu zote nimejitahidi kuelezea vizuri na kuwaandikia maelezo na vipimo vyake sasa sijuwi tatizo lako liko wapi au tatizo langu mimi irudie video kwa umakini utaona vipimo mwanzo wa video huwa naweka vipimo vyote ok. 🙏🏼
@user-ff1hl1ev7k8 ай бұрын
M naomba kuuliza ivi unaweza kusaga kila kitu usiku alaf asubuhi ukachoma tu
@ahlamverynice.36057 ай бұрын
Kiukweli sijawahi kujaribu hivyo unavyo sema lakini kama unataka kujaribu sio mbaya ispokua usiweke hamira uje uiweke asubuhi then uwisubirie uumuke ndio uchome ukiweka kabisa hiyo usiku mchanganyiko wako utakua mkali na havitakuwa vizuri vitumbua Vyako ok karibu tena. 🙏🏼
@YIRtrue8 ай бұрын
Baada ya dakika ngap unaugeuza ili kwa chini usikakamae
@ahlamverynice.36058 ай бұрын
Unausubiria kama 1 min hivi halafu unaugeuza karibu saana 😊
@YIRtrue8 ай бұрын
Okay shukran
@khadijasaid7818 ай бұрын
Sijahamu kwa kweli mbn hujawek maelekezo my dear
@ahlamverynice.36057 ай бұрын
Umeangalia vizuri video tokea ilipo anza?
@Deedeevenice9 ай бұрын
Hi, can someone please share AUTHENTIC Tanzanian vegetable sambusa with raw onion and no garlic or coriander powder ( original recipe only had green chilli and ginger) but cinnamon and clove powder? I have had them with a tiny bit of sultana and lemon juice only! No red chilli powder
@salhasaid10279 ай бұрын
nimejaribu maelekezo yako kila kitu..the results comes out perfect..🎉...nimejiona chef na mm..thkx dear
@ahlamverynice.36058 ай бұрын
Ur welcome habibty karibu saana mimi ndio mkombozi wenu kwa sasa 😅
@farthatallysuleiman32754 ай бұрын
MashaAllah receip zake zote perfekt Allah ambarik
@farthatallysuleiman32754 ай бұрын
@@ahlamverynice.3605sanaa
@ilhamsaid38094 ай бұрын
Mashallah je flampen ukiw nay 1 tu inaweza
@fatimaomar150810 ай бұрын
I love this bread if you translate in English I will be very great full thakyou
@ahlamverynice.36058 ай бұрын
Okay thank you 👍
@jackiepaul00111 ай бұрын
🤤🤤
@user-tk3oj5wr3i11 ай бұрын
Ukisema vikombe 4 ni vikombe vipi ( design)
@ahlamverynice.360511 ай бұрын
Vikombe vya kawaida tu
@user-tk3oj5wr3i11 ай бұрын
@@ahlamverynice.3605 Asante Ahlam😊
@UlendeCaissa-pd2yr Жыл бұрын
Mimi sijuwe kusukuma
@ahlamverynice.36057 ай бұрын
Jitahidi kuangalia hii video itakufundisha jinzi ya kusukuma ok au unamaanisha kusukuma nini?
@glorymafuru6342 Жыл бұрын
Izo manda ni special?? Nasikia zinauzwaga sijawahi ziona me nikitengeneza manda mwenyewe samosa zinakua ngumu😢sijui nakosea wap🤔
@ahlamverynice.3605 Жыл бұрын
Yes hizi ni special zakununua supar markt au maduka ya wahindi
@ludiaelias64877 ай бұрын
Shoppers zipo ila za azam
@alrahbialrahbi277 Жыл бұрын
Manshalah zangu zinakuwa na mafuta yani nyama sijue please reply
@leokamil6284 Жыл бұрын
Habari samahani naomba kukuuliza kilo moja ya mchele hamira itakuwa kiasi gani kama ni ile ya vipakiti ?Na tui kiasi gani,je yai hufanya vitumbua viwe laini ni kweli ?asante sana
@ahlamverynice.36057 ай бұрын
Okay, bila samahani 1kg ya mchele una weka vipakti 2 vya hamira na tuwi utaweka 1L lisiwe zito saana na kuhusu yai kwenye vitumbua sio lazima cha muhimu mchanganyiko wako usage vivuri na vitumbua vyako ukisha choma vihifadhi vizuri lakini ukipenda kuweka sio mbaya utaongeza ladha na kuboresha zaidi nimekujibu hivi kwa sababu usijiwekee kwenye akili yako huwezi pika vitumbua mpaka uwe na yai no hapana ukiweka sawa usiweke ni sawa vitumbua vinatoka tena vizuri tu ok karibu saana. 🙏🏼
@leokamil62847 ай бұрын
@@ahlamverynice.3605 Asante sana ubarikiwe 🙏
@dynamic66896 ай бұрын
@@ahlamverynice.3605samahani kama kilo 1 ya mchele ni Lita 1 ya tui la nazi, mbona kwenye vidio umeweka Lita 1 kwenye kilo 2 za mchele?
@ibtisamjuma4180 Жыл бұрын
Me naomba kuuliza kuna ulazima wa kuupiga sana au unachnganya kama wew mpka uchangnyike vizur tu?
@ahlamverynice.3605 Жыл бұрын
Hakuna ulazima wa kuupiga saana changanya vizuri ukichanganyika basi unauwacha umuke
@ibtisamjuma4180 Жыл бұрын
@@ahlamverynice.3605 shukran
@neemalkiswaga6126 Жыл бұрын
Mashaalaah!mikate mizur hivi naweza pata mashine ya kukandia unga
@ahlamverynice.360511 ай бұрын
Asante saana unaweza ndio zipo tele tu madukani
@neemalkiswaga612611 ай бұрын
@@ahlamverynice.3605 shingap wanauza
@assmamohd2876 Жыл бұрын
Mbna mm nikipika unakua mgumu sana sijui nakosea wap
@ahlamverynice.36057 ай бұрын
Maji kidogo unayo weka na pengine hukorogi uji kabla hujapika ugali 🙏🏼
@firdaushamid8200 Жыл бұрын
Ahlam mziki inatuumiza vichwa lakini mapishi mazuri sana Masha Allah 🎉❤😊