😂😂😂umeona ee Thank you so much for your saport dear 😘 🥰🙏🏼
@umsalem1081 Жыл бұрын
💖🥰🙋♀️♥️
@alrahbialrahbi277 Жыл бұрын
Manshalah zangu zinakuwa na mafuta yani nyama sijue please reply
@MahraMansoor5969 Жыл бұрын
Nakukubali habibty manake unatupa njiarahisi wengine wanatuchanganya kesho in shaa allah nitafanya Shukran habibty Allah akusimamie na kazi zako Amin yarab Alamin 🤲🤲
@@ahlamverynice.3605 hiyo pilipili iko kwa kabakuli huwa unaitengeneza aje
@ahlamverynice.3605 Жыл бұрын
hii pilipili huwa na nunua hivyo kama ilivyo sijatengeneza mimi mpenzi
@salomechukwuma72 жыл бұрын
Please also use English subtitles
@user-xw8fb8be5j3 ай бұрын
Shukran
@huzlayfathamad4215 Жыл бұрын
Mashalalalah ❤❤❤
@ahlamverynice.3605 Жыл бұрын
Shukran saana 🙏
@UlendeCaissa-pd2yr11 ай бұрын
Mimi sijuwe kusukuma
@ahlamverynice.36057 ай бұрын
Jitahidi kuangalia hii video itakufundisha jinzi ya kusukuma ok au unamaanisha kusukuma nini?
@user-xw8fb8be5j3 ай бұрын
Naombufanyesamosayakenyans
@ahlamverynice.36053 ай бұрын
Sorry sijakufahamu
@Deedeevenice8 ай бұрын
Hi, can someone please share AUTHENTIC Tanzanian vegetable sambusa with raw onion and no garlic or coriander powder ( original recipe only had green chilli and ginger) but cinnamon and clove powder? I have had them with a tiny bit of sultana and lemon juice only! No red chilli powder
@fathiyaishak3030 Жыл бұрын
1a
@seraevalynw7324 Жыл бұрын
Love you
@ahlamverynice.3605 Жыл бұрын
Thanks 😊 🙏
@FahimaAbdi-fo5do3 ай бұрын
Hiya nyama unsaga na nn ama mwanunua vile
@umiy19715 ай бұрын
What size of sambusa wrapper you use
@lisabruno56702 жыл бұрын
I love you 🥰
@ahlamverynice.36052 жыл бұрын
Asante saana nakupenda pia 🙏🏼❤️
@FahimaAbdi-fo5do3 ай бұрын
Hiyo nyama unasaga na nn jaman😢
@shukurusaid25162 жыл бұрын
Simchezo shem lake
@ahlamverynice.36052 жыл бұрын
Karibu shem🤗
@mtilimsita66752 жыл бұрын
Nimekufollow
@mtilimsita66752 жыл бұрын
Hatari
@ahlamverynice.36052 жыл бұрын
Shukran saana dear 😘🙏🏼
@mtilimsita66752 жыл бұрын
Nimepika tambi
@ahlamverynice.36052 жыл бұрын
@@mtilimsita6675 wow mashallah hongera saana na asante pia mpenzi 🙏🏼😘
@mtilimsita66752 жыл бұрын
Nimechemka kwenye maji
@dr.chifugamilo8273 Жыл бұрын
Hizo sheets zina ukubwa upi?
@ahlamverynice.3605 Жыл бұрын
Sorry sijakufahamu swali lako👆🏻
@salamaabasi44162 жыл бұрын
Samahan Kwa hiyo recp inatoa sambusa ngapi kma za biashara
@ahlamverynice.3605 Жыл бұрын
Ok kama za biyashara unaweza toa samosas ata 50 kwa nyama 1Kg ukimix na vitunguu kiyasi lakini usiweke vingi saana kuliko nyama ukiweka vingi utaharibu biyashara yako zitakuwa samosas za vitunguu nasio nyama ok karibuu😊🙏
@SafiaOmar2 жыл бұрын
Samahani habibty naona Sambusa zina mafuta ndani. Napika Sambusa kama hizo nikisha kutoa kwenye karai Huwa naweka kwenye chujio Kwa kuisimamisha Kwa kutumia Moja ya ncha zake tatu. So mafuta yote ya ndani yanatoka kupitia hio tundu
@ahlamverynice.36052 жыл бұрын
Hapana dear bila samahani huwo ni uwono wako tu tu mimi sambusa zangu haziwi wazi ninipo funga huwa nahakikisha tundu zote 3 zimeziba kwa sababu ya kuingia mafuta na kuchafuka nje sambusa ASANTE LAKINI KWA USHAURI MPENZI🙏🏼 unasimamisha sambusa 200 sote ncha 1 zigidike mafuta mpenzi?
@salajohn55422 жыл бұрын
Izi manda napata supermarket?
@ahlamverynice.36052 жыл бұрын
yes dear zipo nyingi tu.
@glorymafuru6342 Жыл бұрын
Izo manda ni special?? Nasikia zinauzwaga sijawahi ziona me nikitengeneza manda mwenyewe samosa zinakua ngumu😢sijui nakosea wap🤔
@ahlamverynice.3605 Жыл бұрын
Yes hizi ni special zakununua supar markt au maduka ya wahindi