Пікірлер
@nestor384
@nestor384 28 минут бұрын
He is my best president after the late Mwl Julius K Nyerere. RIP the King and the greatest of our time
@daudimaniseli759
@daudimaniseli759 57 минут бұрын
JPM ni 1 tu
@samwelmwaupigu7767
@samwelmwaupigu7767 13 сағат бұрын
Jpm
@daudintinda486
@daudintinda486 Күн бұрын
Utajiri upo kaburini watu wamekufa na ndoto
@AllyFeruuz
@AllyFeruuz Күн бұрын
KUNA WANASIASA WAKUBWA WATAPOFARIKI KTK TANZANIA WANANCHI BAADA KUSIKITIKA WATAFURAHIA KUTOKANA NA MATENDO YAO
@user-cx9lt8hh4l
@user-cx9lt8hh4l Күн бұрын
🫡🇹🇿 RIP 2024
@jamalnaheka1131
@jamalnaheka1131 Күн бұрын
yaani hyu mzee alikuw powerful toka yupo waziri.
@CharlesOmanya
@CharlesOmanya Күн бұрын
Unforgettable material ❤
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Күн бұрын
Nape nauye former lnfometion minister now we should not blame him we tanzania why nape nauye has shown all Tanzania people how ccm crush election and world as well ccm stiling vote use so many way regional commissioner gavment official under ccm leadership this is lnfometion from nape nauye as the lnfometion minister into c cm leadership nape is the ccm member pointed by exelence president Samia sluu Hasan as the lnfometion minister know ccm how it crush opposition and election kwahiyo tusimlaumu make nauye kawawmsha watanzania wote kunua kuwa hatuendagi kwenye uchaguzi Bali tunaenda kupoteza muda kwahiyo tunipange kwenye Sanduku la kura Kata vituo vyote nchini msikubali visogezwe hata hatua moja police na mkuu wa wilaya akilita za kulete au msimazi yoyote atakaejaribu kuzigeza Sanduku la kura Bora Sanduku lenyewe liwe jivu
@abdilnas7563
@abdilnas7563 Күн бұрын
This was the real president, the executive himself.
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Күн бұрын
One of the things saprys me vary sensitive speech from late John pombe makufuli Samia sluu Hasan inside speech but vary disupoint to see national is on big loan vary lmbarasing out of PhD we have on sensitive hart of tanzaniti resources crush by forenor easy tanzania people first do research of trable jakaya kikwete came from them bring on social media let Tanzania discuss about jakaya kikwete control Samia sluu Hasan then back to ally Hasan mwinyi utawala wake alipopata tuu madaraka aliza lololiondo mwalimu akililalamika sana
@RachelMdao
@RachelMdao 2 күн бұрын
😢😢
@RachelMdao
@RachelMdao 2 күн бұрын
Samia kila siku anasafili tunajua ni yey aliuwa magufuli tu
@VerusWilliam
@VerusWilliam 3 күн бұрын
Jamani!
@SsemakulaTopher
@SsemakulaTopher 9 күн бұрын
Rip
@daudimaniseli759
@daudimaniseli759 9 күн бұрын
ALIPANDA MPAKA JUU YA MILIMA,,,NA AKAWAFUNDISHA JINSI YA KUFANYA KAZI...ALIWAULIZA HIVYO VI BOMBA VYA KUPITISHA MAJI MBONA VYEMBAMBA NA VINABONYEA NAWAKATI HAPO KUNA MAJI MENGI ,,NA AKAWAMBIA MIZIGO IMESIMAMA YAKWENDA KONGO NA NCHI ZINGINE YANI NIHASARA KABISA...WAZIR NAKUPA ONYO LA MWISHO... DAR_ MOROGORO ROAD HIYOO....HAPA KAZI TU.
@kingevarist6653
@kingevarist6653 9 күн бұрын
R.i.p jpm
@user-sv1gm9ci5p
@user-sv1gm9ci5p 10 күн бұрын
😭😭
@NyerereShaban
@NyerereShaban 10 күн бұрын
Duuuu lala sarama mzee wetu tunakukumbuka sana
@truthandrighteousness
@truthandrighteousness 10 күн бұрын
A truly righteous man you were, you wouldn't stand any injustice!! I now understand why the crafty opposition and it sympathisers hated you!!
@user-sj8fr8kv2m
@user-sj8fr8kv2m 10 күн бұрын
Utumye nkukumbura basi RIP😭😭😭
@danielkaingu6645
@danielkaingu6645 11 күн бұрын
Viongozi wetu wazalendo tuna waenzi Africa Mashariki
@ShomarSaidmkuvita
@ShomarSaidmkuvita 11 күн бұрын
Mungu awa laze mahara pema pepon
@athumanisagara
@athumanisagara 11 күн бұрын
id
@marcusmalyceline7060
@marcusmalyceline7060 11 күн бұрын
Mafisadi walikipata pumzika kwa amani Amiri jeshi mkuu na Raisi wa awamu ya tano wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania
@adudeswalehe8724
@adudeswalehe8724 12 күн бұрын
tunakumiss sana baba😢
@gstonetheone
@gstonetheone 12 күн бұрын
Hapo "sikuwatuma"...😂r.i.p legends.
@HappynessNyambona
@HappynessNyambona 12 күн бұрын
❤❤❤❤❤eeeee baba ulale salama hiko uliko
@KhalfanOmary-d1v
@KhalfanOmary-d1v 12 күн бұрын
Baaaaa mungu kupe pepo monono
@snazzyfranz1874
@snazzyfranz1874 12 күн бұрын
Lile swali tunafaa kujiuliza,"ninani walikula mpaka wanatishia raisi wa nchi?..".. More questions than answers i swear
@JosephShiwa
@JosephShiwa 13 күн бұрын
Tuta kukumbuka sana Jonh pombe magufuli
@danielkasau8747
@danielkasau8747 13 күн бұрын
Hio million Moja ni kama elfu kumi za Kenya
@UstadhiRai
@UstadhiRai 13 күн бұрын
Kz ni ngumu.tena yaajabu unaamrisha hata yasiyo
@floreanfrance5967
@floreanfrance5967 13 күн бұрын
Maneno ya Ekima
@RebeccaSagathi-e1p
@RebeccaSagathi-e1p 13 күн бұрын
😭😭😭😭👏👏👏👏👏
@user-xx8fb4ed5u
@user-xx8fb4ed5u 13 күн бұрын
Ulale pema baba amka uone nchi ilipo kwa sasa
@RobertPaulo-ll4lj
@RobertPaulo-ll4lj 13 күн бұрын
Magifuli
@user-gb5vz6wm2q
@user-gb5vz6wm2q 13 күн бұрын
We miss you
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 13 күн бұрын
Kweli mzee.
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 14 күн бұрын
Mungu akurehemu mzee aiweke roho yako mahali pema peponi 😢
@Mohd-wl1tc
@Mohd-wl1tc 14 күн бұрын
Mungu mtu sasa huy
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 14 күн бұрын
Sasa hivi misafara imekuwa mingi mpaka wasanii pia wanachukuliwa kwenye msafara wa rais.
@GeorgeSikaona-zl6jg
@GeorgeSikaona-zl6jg 14 күн бұрын
I love u daima magufuri you are the best
@florakweyunga4490
@florakweyunga4490 14 күн бұрын
Nikweli Baba.mara uliletewa Moshi wa Ajabu kule Mtwara,....hotuba yako ya MWISHO ni paleeee.....mbezi stand ya MAGUFUL....ROHO inauma saaana,....😭😭😭😭
@user-dk6rc9kb3f
@user-dk6rc9kb3f 14 күн бұрын
Huyu Mzee alikuwa ni mtu wa kutekeleza angepewa uraisi akiwa kijana tungeshafika mbali sana Tanzania na Africa kwa ujumla✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️
@SylvesterMakenzie
@SylvesterMakenzie 14 күн бұрын
Nchi imebaki mikononi mwa machawa tu yanatamba kwa sasa
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 14 күн бұрын
Watanzania tumepoteza kiongozi😢😢😢
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 14 күн бұрын
Mungu umemchukua jembe.letu kwa haraka. Tulikuwa tunampenda sana. Rais wa wanyonge😢
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 14 күн бұрын
Mungu akulaze mahali pema peponi tuna kukumbuka shujaa wetu.
@user-dt7ec3tr2v
@user-dt7ec3tr2v 15 күн бұрын
Kweri ulijitolea kuwa sadaka ya watanzania kz uliifanya❤❤❤ mungu Akurehemu magufuli