MFUKO WA HATIFUNGANI (BOND FUND )
2:44
16 сағат бұрын
MFUKO WA JIKIMU (JIKIMU FUND)
4:24
MFUKO WA UMOJA (UMOJA FUND)
7:23
Күн бұрын
MFUKO WA WATOTO (WATOTO FUND)
5:33
TUPO TAYARI KUKUSIKILIZA
0:16
21 күн бұрын
MFUKO WA UKWASI (LIQUID FUND)
11:59
28 күн бұрын
Mfano wa Jedwali la Kuwekeza
1:47
JINSI YA KUWEKEZA NA UTT AMIS
1:18
Пікірлер
@salvatorybakilana2378
@salvatorybakilana2378 18 сағат бұрын
Nina app natoaje gawio
@uttamisplc4746
@uttamisplc4746 16 сағат бұрын
Kwenye fomu zetu kuna sehemu ya kuweka tiki ikiwa unataka gawio lako kila mwezi au kila baada ya miezi 6 kwa mfuko wa Bond, kwenye App utaona gawio hilo ikiwa limekuza mtaji au kutolewa tu. na Gawio ikiwa litatoka litaingia katika benki akaunti yako uliyotujazia kwenye fomu.
@salvatorybakilana2378
@salvatorybakilana2378 18 сағат бұрын
Unachukuaje gawio lako
@uttamisplc4746
@uttamisplc4746 16 сағат бұрын
Kwenye fomu zetu kuna sehemu ya kuweka tiki ikiwa unataka gawio lako kila mwezi au kila baada ya miezi 6 kwa mfuko wa Bond, kwenye App utaona gawio hilo ikiwa limekuza mtaji au kutolewa tu. na Gawio ikiwa litatoka litaingia katika benki akaunti yako uliyotujazia kwenye fomu.
@salvatorybakilana2378
@salvatorybakilana2378 7 сағат бұрын
@@uttamisplc4746 nilijaza kupata gawio kila mwezi ila na naona imeongezea łąki 2 lakini hakuna kitu kimeingia kwenye account yangu
@magrethzakaria7659
@magrethzakaria7659 Күн бұрын
Ukienda crdb utakutana na watoa huduma wa Utt na wanatoa elimu kuhusu hii mifuko?
@BOASHAURI.09
@BOASHAURI.09 Күн бұрын
❤❤❤❤
@abdlhaleem8380
@abdlhaleem8380 5 күн бұрын
Big up hii nimeipenda.. good idea.. Each one Teach one 🙌 UTT amis 🔥🔥
@uttamisplc4746
@uttamisplc4746 16 сағат бұрын
Karibu UTT AMIS.
@user-wl9ry9tk7p
@user-wl9ry9tk7p 5 күн бұрын
Inahuzunisha sana kuona vijana na watu wengi hatujui wala hatuchunguzi kwa kina michongo ya maana kama hii badala yake tumeishia kuwekeza katika kuangalia mimovie, miziki ya kipuuzi na mapicha picha ya ajabu ajabu mara kununua mafuta na maji eti ya upako kwa manabii, kujua majina ya wachezaji, ushabiki wa mechi za mpira, kubeti na kuangalia season za kwenye TV yaaani mh! Kimbia UMASIKINI wekezeni huku UTT AMIS, "Mshirika hakika katika uwekezaji" huku tunajidai na Interest rate za kuanzia 12%.....benki gani au nani anayethubutu kutoa riba kama hii kwa mwaka? Hapo hatujaongelea ajabu la 8 la Dunia" COMPAUND INTEREST" kama umejielewa nipe like na tukutane ofisi za UTT AMIS Dar Sukari house, Mwanza Nyamagana jengo la NSSF gorofa Mezanine n.k "STUKA" amkeni kutoka usingizini aisee!
@othumntz6953
@othumntz6953 5 күн бұрын
Nawapata vizuri sana
@uttamisplc4746
@uttamisplc4746 16 сағат бұрын
Karibu UTT AMIS.
@ZinadiniMmou
@ZinadiniMmou 6 күн бұрын
Kuna kitu kinaitwa " vipande" hii imekaaje maana nashindwa kuelewa vizuri.
@user-wl9ry9tk7p
@user-wl9ry9tk7p 7 күн бұрын
Amin, Amin nawaambia; Hizi ndo habari za kusikiliza for the better 2morrow. "Mshirika hakika ktk uwekezaji"
@uttamisplc4746
@uttamisplc4746 6 күн бұрын
Karibu UTT AMIS.
@othumntz6953
@othumntz6953 8 күн бұрын
Aise vizuri sana nafanya mpango nakuja kuwekeza
@uttamisplc4746
@uttamisplc4746 6 күн бұрын
Karibu sana.
@Elikiyosaki_
@Elikiyosaki_ Күн бұрын
Make fast vipande vinakuwa value kila siku
@user-wl9ry9tk7p
@user-wl9ry9tk7p 10 күн бұрын
Ni mfuko upi kati ya hiyo 6 una Compaund intetest ??????
@user-wl9ry9tk7p
@user-wl9ry9tk7p 12 күн бұрын
Tunaojua umuhimu wa hii kitu tumewahi na naombeni like zenu aisee
@songweairport7602
@songweairport7602 14 күн бұрын
AISEE MAELEZO MAZURI SANAAAAAAAAAA
@uttamisplc4746
@uttamisplc4746 8 күн бұрын
Karibu UTT AMIS.
@user-so3gy2io8l
@user-so3gy2io8l 18 күн бұрын
Naomba kuuliza kila siku napewa kiasi flani cha hela kwenye bond fund je na mwisho wa mwezi ntapewa gawio
@uttamisplc4746
@uttamisplc4746 17 күн бұрын
SIFA ZA MFUKO Habari, Mfuko wa Bond Fund unatoa machaguo matatu ya uwekezaji kama ifuatavyo; (a) TZS. 50,000 kwa mpango wa kukuza mtaji; (b) TZS. 10,000,000 kwa mpango wa gawio kila mwezi; na (c) TZS. 5,000,000 kwa mpango wa gawio kila baada ya miezi sita. Kiwango cha chini cha nyongeza katika uwekezaji ni TZS. 5,000 kwa mipango yote ya uwekezaji.
@uttamisplc4746
@uttamisplc4746 17 күн бұрын
ikiwa utachagua mpango wa kukuza mtaji mwisho wa mwezi gawio ulilotakiwa kupata litawekwa kwenye mtaji wako. Kumbuka: Gawio ni sehemu ya Faida
@user-so3gy2io8l
@user-so3gy2io8l 17 күн бұрын
@@uttamisplc4746 nilikua wapi mimi jmn 🙏
@johnstonemwesiga236
@johnstonemwesiga236 13 күн бұрын
@@uttamisplc4746 ni kiasi gani cha gawio kinachotolewa?
@gaiadgets8913
@gaiadgets8913 18 күн бұрын
@isacklaizer6776
@isacklaizer6776 18 күн бұрын
👏👏👏🙏🙏🙏🙏....UTT Mshirika hakika katika uwekezaji.
@boniphacegervas8118
@boniphacegervas8118 22 күн бұрын
Kwanini hapo kwenye verification msifanye kama walivyo fanya DSE , weken sehem ya mtu kuweka no ya nida ili taarifa ziji update zenyewe maana kila no ya nida iko na picha
@uttamisplc4746
@uttamisplc4746 12 күн бұрын
habari, Asante kwa mpendekezo tumepokea.
@GraceNkondola
@GraceNkondola 22 күн бұрын
🎉
@estergasper
@estergasper 23 күн бұрын
❤❤❤
@mkiramwenitv6948
@mkiramwenitv6948 25 күн бұрын
🎉
@komboratz
@komboratz 25 күн бұрын
Naomba kujua kati ya mfuko ukwasi na bond upi mzuri zaidi
@mkiramwenitv6948
@mkiramwenitv6948 25 күн бұрын
Yote Ni Mifuko Bora Na Mizuri Mnooo, Naona Katika UTT ni Moja Ya Mifuko Imara Na Bora, Ila Inautofauti Mdogo Sana, Maana Kwenye Bond Tunazungumzia Dhamani Za Serekali, But Kwenye UKWASI hapo pesa ikiingia inaenda kuwekezwa kwenye Dhamani, Mabank Na Makampuni, So Bond Inabezi kwenye Hatifungani tu za Serekali(Dhaman?, Kwa uelewa wangu,
@mosescompany5913
@mosescompany5913 28 күн бұрын
💯..
@abdlhaleem8380
@abdlhaleem8380 29 күн бұрын
I'm 24 now 📈
@mwanamakahaji240
@mwanamakahaji240 2 ай бұрын
Nambari ya simu haipokelewi nina shida kila siku nasubirishwa sijawahi kupokelewa simu mpaka sasa nina shida ya app siipati ile ya kuonyesha account
@uttamisplc4746
@uttamisplc4746 8 күн бұрын
Habari, Pole kwa changamoto.
@uttamisplc4746
@uttamisplc4746 8 күн бұрын
Tafadhali tumia msimbo wa *150*82# kupata Huduma hiyo.
@DpN-rk8xz
@DpN-rk8xz 5 ай бұрын
Utt oye
@uttamisplc4746
@uttamisplc4746 8 күн бұрын
Karibu UTT AMIS.
@catherinegideon4689
@catherinegideon4689 5 ай бұрын
Mm nimependa hii presentation Ila nashauri uoneshe ukuaji kwa kila mfuko
@uttamisplc4746
@uttamisplc4746 12 күн бұрын
Asante, Tumelipokea.
@AmaniMacha
@AmaniMacha 6 ай бұрын
App haifunguki inaleta error kila masaa
@uttamisplc4746
@uttamisplc4746 6 ай бұрын
Tipigie simu 0800 11 20 20 au tuandikie barua pepe [email protected], kwenye barua pepe usisahau kuweka namba yako ya simu na namba yako ya uwekezaji.
@franciscathadei2045
@franciscathadei2045 8 ай бұрын
Jinsi ya kudeposit kwny simu
@uttamisplc4746
@uttamisplc4746 12 күн бұрын
habari, unatumia mtandao gani ?
@kaundimemwinyi6644
@kaundimemwinyi6644 Жыл бұрын
Naomba form
@uttamisplc4746
@uttamisplc4746 12 күн бұрын
habari, Tafadhali ingia kwenye website yetu www.uttamis.co.tz kupata fomu hiyo
@vincentlaizer
@vincentlaizer Жыл бұрын
Mkitoa na video inayoelekeza jinsi ya kuuza vipande ingekua vizuri zaidi.
@uttamisplc4746
@uttamisplc4746 12 күн бұрын
Habari, Tunalifanyia kazi. utaiona video hiyo
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Kazi nzuri
@uttamisplc4746
@uttamisplc4746 12 күн бұрын
Asante